MAUMIVU NA MAPENZI 1B/HEMED PHD/KAJALA MASANJA/MBOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • MAUMIVU NA MAPENZI 1B/HEMED PHD/KAJALA MASANJA/MBOTO

ความคิดเห็น • 126

  • @user-ks6wj1uf9k
    @user-ks6wj1uf9k 7 หลายเดือนก่อน +10

    So sirii nimeagania kwa sabbu ya kajala na hemed ❤❤ nawapend sana broo and ssstr❤

  • @MERCYLINEngario-hy5om
    @MERCYLINEngario-hy5om 7 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera sana dah kajala kwa KAZInzuri, kipaji chako kiko hapa kwa uigizaji na wala sio kwenye mziki❤❤❤

  • @naomiribson4615
    @naomiribson4615 8 หลายเดือนก่อน +19

    Nilivomuona Kajal nikapat nguvu y kutazama,,,I really love her❤

    • @ashwaqhasni
      @ashwaqhasni 8 หลายเดือนก่อน

      Me too jamani ❤

    • @minalgodlove2363
      @minalgodlove2363 8 หลายเดือนก่อน

      Move ya mwaka gani hii?

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 8 หลายเดือนก่อน

      Me too

    • @MagdalenaMaswaga
      @MagdalenaMaswaga 4 หลายเดือนก่อน

      Yan hat mm kajala kanipa nguvu yakuangalia.

  • @janethmonge5594
    @janethmonge5594 8 หลายเดือนก่อน +6

    Movie tamu sana mwanamke wa hivi ni shida mwanaume hawezi kufanikiwa kimaisha

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 8 หลายเดือนก่อน +25

    Ni movie lakn vijana wengi tunaishi maisha kama haya yan kuwa na mwanamke usiyeweza kum mudu ni fedheha kubwa mnooooooo... Utateseka mpaka ujihisi unamikosi kumbe duuh unatumia moyo na hisia so akili.....😭😭😭😭

    • @hamisisalim
      @hamisisalim 8 หลายเดือนก่อน +5

      Salute umenena ukweli kabisa wallah niwatu wabadilike la sivyo maisha yatachapa watu sana

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 8 หลายเดือนก่อน +5

      @@hamisisalim hahahaha tunabaki kusema kwann wanaume tunakufa mapema kumbe tunajichanganya sisi wenyew😂😂😂😂

    • @hamisisalim
      @hamisisalim 8 หลายเดือนก่อน

      @@benedictinelusambo069 hapa hemed amenifunza wallah

    • @hafsahmassemoh3598
      @hafsahmassemoh3598 8 หลายเดือนก่อน +3

      Ndio tunasema ni maisha ya kuiga wengine wakt huwezo wk wala haufikii kipato chao muhimu nikujikubal tu maana hii inafilisi had Umri 😂😂😂

    • @benedictinelusambo069
      @benedictinelusambo069 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@hafsahmassemoh3598 hahaha 😂🤣🤣😂

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya Watching, twapenda. Kazi nzuri

  • @MrsDariya-y1j
    @MrsDariya-y1j 8 หลายเดือนก่อน +6

    Jaman wanawake tuwen na huruma eeeh🙌

  • @SerenakaremboDzombo
    @SerenakaremboDzombo 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mnapenda wenye sura nzuri na mishepu yao ila nanyi mnalikuta sio haba😂😂😂

    • @user-by4en8zr8i
      @user-by4en8zr8i 6 หลายเดือนก่อน +1

      Wanaanza kulalamika ooooh sijui kaniroga kumbe kakimbilia tako na sura nzuri tu 😂😂

  • @user-jn1oi8eo2t
    @user-jn1oi8eo2t 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hemed leo umepatkan mtu wang kushawates sn na wy inabid uvumilie 😅😅😂😂😂❤

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kajala Wang nakupenda sana bby❤❤❤

  • @G3toBoiz
    @G3toBoiz 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanamke ni ududu mwing huyu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 8 หลายเดือนก่อน +8

    😂😂😂 naceka kama mazuri mwanamke gani uyo wakurudishana nyuma pole sana hemed umepatikana 😢😢

  • @umikifupa-mi3re
    @umikifupa-mi3re 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wanaume ni vizur wapate mabibi kama hawa ,wakipata wale wanyenyekevu huwa hawaheshimu

  • @user-by4en8zr8i
    @user-by4en8zr8i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Piga moyo konde kaka Hemed 😂😂 nakuhurumia sna 😢

  • @user-vx1pw5dq7k
    @user-vx1pw5dq7k 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn atatuuria mtu uyu mdangaji sio mke aise ata mdangaj anauruma huyu shetan asee 😢😢😢😢😢😢

  • @user-hd3tx5eo2g
    @user-hd3tx5eo2g 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wow nime ipenda

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanamke wa hovyo huyu umekuaje mpka umri huo usijue kupika

  • @AyeshaA-d7f
    @AyeshaA-d7f 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mapenzi shikamoo

  • @emmaa_God1
    @emmaa_God1 8 หลายเดือนก่อน +8

    Dadaa ana komwe alfuu anataka maisha ya classic 😂😂

    • @ChristinaInnocent-ns2hz
      @ChristinaInnocent-ns2hz 8 หลายเดือนก่อน

      Ahahahaahahahaha🤣🤣🤣🙌napitaa tu

    • @emmaa_God1
      @emmaa_God1 8 หลายเดือนก่อน

      @@ChristinaInnocent-ns2hz unaenda wap 😂😂😂

    • @ChristinaInnocent-ns2hz
      @ChristinaInnocent-ns2hz 8 หลายเดือนก่อน

      @@emmaa_God1 ahaaaaaa kunasehem naelekea

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 8 หลายเดือนก่อน

      Wenye makomwe ndo wanaongoza kwa kutaka maisha mazuri na wavivu kupambana

    • @emmaa_God1
      @emmaa_God1 8 หลายเดือนก่อน

      @@sharifamahamudu182 😂😂😂😂

  • @MarthaMkasi
    @MarthaMkasi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke wa hivi utafukuzwa adi kazi mwanamke ajui kupika ajui ata kula ugali mlenda wala dagaa bamia mwanamke gn huyo jini kifilisi😅

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 8 หลายเดือนก่อน +3

    Wake wengine c o wa kuoa n wa kutimiza haja zako na kupita tu

  • @AdidjaKadjemba-qe9sd
    @AdidjaKadjemba-qe9sd 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ohh kajala

  • @jamlaashiri372
    @jamlaashiri372 7 หลายเดือนก่อน +2

    hii ipo kwa mabiti walioko kwenye family zenye uwezo.hawajui kupika.pia hata mamake kupika.tusishange.halfa watto wao vicheche.

  • @salharashid8437
    @salharashid8437 8 หลายเดือนก่อน +1

    Really love its next please

  • @WhiteBoy-r9c
    @WhiteBoy-r9c 7 หลายเดือนก่อน +3

    Acha hivyo bwana mimi mwna mkee hawz kunitekeleza na kunishawishi kihivyo jamani toka mkosi

    • @mamu1155
      @mamu1155 5 หลายเดือนก่อน

      Usiseme ivo broo waeza fanya anything because of love

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 8 หลายเดือนก่อน +1

    Najifunza sana na hii movie wallah Big up team PHD

  • @LevocatusLinus
    @LevocatusLinus 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nachek sababu yupo hmd na kajala

  • @madinaofficial6503
    @madinaofficial6503 8 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂 uyooo dada vp anajivunia nini 😢komwelile

    • @HawaHussein-hq1lj
      @HawaHussein-hq1lj 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @sharifamahamudu182
      @sharifamahamudu182 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kma bus za chuo😂😂😂😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂​@@QueenMishy

  • @josephmupole5801
    @josephmupole5801 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wow 😮

  • @andrewgumbo3517
    @andrewgumbo3517 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mdad hajui ata kuigza😅

  • @innocentMwale-qm3ih
    @innocentMwale-qm3ih 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hasala hii hapa kwa huyu mwana mke

  • @nancyshikuku-vs9le
    @nancyshikuku-vs9le 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waah stress tubu.

  • @AnastaziaLouis-rs6cy
    @AnastaziaLouis-rs6cy 8 หลายเดือนก่อน +1

    Movie nzuri mno

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 8 หลายเดือนก่อน +7

    Bobi maneno ya watu wazima n dawa 😢 Leo yamekukuta hii sio ndoa ni ndoano

  • @neemakarisa6117
    @neemakarisa6117 7 หลายเดือนก่อน +1

    Waaah

  • @user-jg5xb4kp6e
    @user-jg5xb4kp6e 7 หลายเดือนก่อน

    Filam iko vizur sana❤❤❤

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ogopa kupata mwanamk anaependa cfa km uyu

  • @user-vx1pw5dq7k
    @user-vx1pw5dq7k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Angempiga kbsaaa

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban 8 หลายเดือนก่อน +1

    mwanamke mwenyewe chefu

  • @damaridaudi9785
    @damaridaudi9785 8 หลายเดือนก่อน +2

    mbon sasa mimi simuon kajala

  • @mgonda79omari
    @mgonda79omari 8 หลายเดือนก่อน +1

    kudadeki php huli unaliwa kwa mwanamke gan

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hemed toa series Broo mi nakuamini sana tena uchanganya na mtoto ambae anakaa msumbufu kama Jennifer wa kanumba please 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @NeemaMushi-gb2rp
    @NeemaMushi-gb2rp 5 หลายเดือนก่อน

    Vzr

  • @WhiteBoy-r9c
    @WhiteBoy-r9c 7 หลายเดือนก่อน +1

    Macho yakupnd waga hayaoni haswa

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tuhame tuhame tukahamia wapi 😂😂😂

  • @HabakukiMateo-bg3kp
    @HabakukiMateo-bg3kp 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo ni gumegume

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nice❤❤❤

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 Tuhame Bongo mbona kazi ipo

  • @TatuMsanja
    @TatuMsanja 5 หลายเดือนก่อน

    Mmmh!!! Hayo ni mateso hemed

  • @hesborningosi
    @hesborningosi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwaza ongea chinichini tujue linalo kusibu hemed😢

  • @user-tx8su6vd1x
    @user-tx8su6vd1x 8 หลายเดือนก่อน

    Kaz nzur San

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 8 หลายเดือนก่อน

    Uzuri wte huo kupika pia hujui mackini khaaah😂😂😂😂

  • @sergioramoel9704
    @sergioramoel9704 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @protusisiaho8241
    @protusisiaho8241 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bure mwanaume.

  • @SarahAdam-ge3go
    @SarahAdam-ge3go 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waoo 🥰

  • @ancillarneema
    @ancillarneema 8 หลายเดือนก่อน

    Hemmed si ukuje unioe mm 😂😂😂🎉❤🎉

  • @HappyPetro-uy4oz
    @HappyPetro-uy4oz 2 หลายเดือนก่อน

    Pazia

  • @user-hu8hd2rf9x
    @user-hu8hd2rf9x 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda Kwa kweli

  • @ZawiyaAdamu
    @ZawiyaAdamu 8 หลายเดือนก่อน

    Umependa pabaya bro

  • @user-jg8zz6el8k
    @user-jg8zz6el8k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Am here because of kajala❤❤❤❤❤

    • @QueenMishy
      @QueenMishy 8 หลายเดือนก่อน

      Me too atavafanye nn kamala nampenda sana😂😂

  • @bukuruvyes5807
    @bukuruvyes5807 7 หลายเดือนก่อน

    Kajala unfanya kazi vizuri Ilove you

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 6 หลายเดือนก่อน

      Jaman hv huyo anayeitwa Irene ndio kajala
      Mbona ni tofauti sana na alvyo sasa

  • @asmandunda3639
    @asmandunda3639 7 หลายเดือนก่อน

    Hemedy kwenye hii movie umebakwa

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 7 หลายเดือนก่อน

    Hemed lafa san ww😂😂😂😂😂

  • @NiyonsabaEmelyne-nl6mp
    @NiyonsabaEmelyne-nl6mp 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel wamama tunjifunze njisiakurea watoto wetu kwakuafuza kimaisha😊

  • @abdiabdilahi7319
    @abdiabdilahi7319 8 หลายเดือนก่อน +1

    lamu
    abdilive2

  • @user-px3ct3nq6r
    @user-px3ct3nq6r 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli wanavyosema wanawake mashetan hawa ndo wanasababisha tuitwe ivooo daaaa😢😢😢

  • @EdinaShaban
    @EdinaShaban 8 หลายเดือนก่อน +2

    mwanamke kama hyu ni changamoto sana mi kama mimi namrdisha kwa wazazi wke unaoaje mwanamke kama hyo

  • @zamdairadukunda3239
    @zamdairadukunda3239 7 หลายเดือนก่อน

    Uyu mdada walimtowa wapi?hata kuigiza hajuwi😂😂

  • @hafsahmassemoh3598
    @hafsahmassemoh3598 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂yy kasema ntakuvutavuta kumbe ndo atavutwa yy😂😂😂😂

  • @deborahmidiburo3541
    @deborahmidiburo3541 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mume bwege kabisa 😅

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisa huyu ni zaid ya bwege maana sio kwamba mkewe aniba hzo pesa ni yeye mwenyew na ujinga wake ndio anatoa si ujinga huo

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Achana nae huyo mwanamke wa hovyo

  • @mylifemyhistory3609
    @mylifemyhistory3609 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ouais

  • @user-by4en8zr8i
    @user-by4en8zr8i 6 หลายเดือนก่อน

    Hivi huyu dada hana akili nzuri 🤷 yaan anamuacha mchumba ake kwenye gari anamufuat mwanaume mwingine 🤦🤦🤦🙆🙆🙆 dharau kweli

  • @user-xf9or5cv1d
    @user-xf9or5cv1d 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona huyu jamaa anae itwa hamedi kavaa herini kwema?

  • @Elijahfondo.
    @Elijahfondo. 7 หลายเดือนก่อน

    Mwanamke kama huyo anaetumia pesa vibaya ogopa akijapata pesa anakuhepa na kutafuta mwanaume mwenye pesa na wanaishia kuchezewa na kuachwa tumieni pesa yetu vizuri na muache tamaa

  • @emmaculatejames5530
    @emmaculatejames5530 8 หลายเดือนก่อน

    Yani hap😂 kunashid kwel map3nz daaaa any😂 way madem na maboy tuwe wavumilivu na kuheshimiana

  • @user-pj9dc4wp1y
    @user-pj9dc4wp1y 8 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba muendelezo jamany

  • @selmezahor4696
    @selmezahor4696 7 หลายเดือนก่อน

    Hemed ww ni muislam jina tu unawapa watu misifa mitandaoni ila ukumbuk hujafa hujaumbik Mwanaume mzima unavaa herin cheni etiy kuwafurahisha watu ogopa zambi na uziache Kabla yakuliogop kabur ambalo halitakuwacha,??

  • @RoziDocta-cq6bb
    @RoziDocta-cq6bb 8 หลายเดือนก่อน

    Text pleas jamn nimeipenda hii❤❤❤❤❤

  • @user-ot2uu7ob7d
    @user-ot2uu7ob7d 7 หลายเดือนก่อน

    Mwanamk wa hivy sio wa kuoa

  • @kombororo2571
    @kombororo2571 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ujinga hua sipendi, najua hii ni film tu, ila inaniumiza ishu kama hii, maana kunamaisha halisia Ya watu yako mfumo kama huu

  • @ShijjaKizumbi
    @ShijjaKizumbi 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂

  • @ChipokaRashidi
    @ChipokaRashidi 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka hemed wahenga walisema kwamaba;kizur chajitembeza chenyewe na maneno ya watu wazima ni dawa hvyo uyo bint hakufahi mla bata kinomahaache tamaa ili maisha muweze kuyasongesha vyema;

  • @MwakaZaitun
    @MwakaZaitun 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @SaitotiSimei
    @SaitotiSimei 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona kajala simwoni bn

    • @monicapeter9065
      @monicapeter9065 6 หลายเดือนก่อน

      Kajala ni huyo wif yake Irene mke wa hemed
      Yaan dada yake hemed kwenye movie anayejiita wendi

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 8 หลายเดือนก่อน

    Kajala hapo umefunza wanawako wenzako ❤

  • @wisdom123-s3k
    @wisdom123-s3k 7 หลายเดือนก่อน

    This kind of woman is a disaster and a disgrace 😢😢😢😢😢

  • @user-vc3fy9fb8p
    @user-vc3fy9fb8p 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke wa hovyo huyu umekuaje mpka umri huo usijue kupika