Ni kweli wapo watu wakifanya jambo alilofanya mwingine wanazomewa na kushambuliwa pasina kusifiwa kama aliyefanya awali,kuna mtu aliimba sandakarawe akasifiwa ila mwingine akaimba huo mnazi akapondwa sana eti kaishiwa...hii ndio Tz bhana
Huyu jamaa alijibu vzuli Sana kumbe mrisho mpoto alimjibu huyu jamaa Kwa kukurupuka lkn majibu ya twenty Yako SAWA kabisa asilimia 90 mpoto akiwekewa beat aambiwe ifuate imba hawezi.
Alifanya kazi na nyimbo nzuri sana zener hekima kubwa kama akina Chameleon, lakini nidhamu ya kazi na kujisahau, ubunifu ukamfanya asifaidi kazi yake! Ona akina Diamond, Kiba, Hamo, nk wamefanikiwa kwa nyanja yao kwa kujituma, maarifa yao na kufocus Nakutakia uvuvio ,ujio mzuri na utoke kinidhamu UNAWEZA, pia pingeni madawa ya kukevya yanaua vipaji, punguzeni starehe wasanii wetu fanyeni makubwa ya maanaa
Mashabiki hawa wote wanaoteana sema tu ukiwa unakoment na una ideas za utimu unakuwa kama ivi,kuna mtu aliimba sandakarawe haikuwa ishu kubwa sana...lakini mwingine alipoimba huo mnazi akashambuliwa kuwa ameishiwa...
Kwani nini maana ya muziki? Muziki ni mlio wa vyombo au sauti ya midundo. Midundo inapochanganywa na mashairi ni wimbo, mpoto ni mwanamuziki kama wengine.
Wewe nawe ni muimba mashairi kwa kubadilisha mawimbi ya sauti. Mrisho ni msomaji wa mistari ya mashairi. Wewe na yeye mtofautiana namna ya mnavyoimba na kusoma beti za ushairi.
Nakubaliana 💯...mpoto ni muimba ngojera.....na Wala siyo kosa kusema hivyo...ngojera nayo ni Sanaa ...
Wavuta bangi uwa wanaongea kweli basi, Nakupenda Sana 20
Ni Ganja
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili.
Next Mrisho single.
Ni kweli wapo watu wakifanya jambo alilofanya mwingine wanazomewa na kushambuliwa pasina kusifiwa kama aliyefanya awali,kuna mtu aliimba sandakarawe akasifiwa ila mwingine akaimba huo mnazi akapondwa sana eti kaishiwa...hii ndio Tz bhana
The guy makes valid points.
Hahahahahah yuko sahihi zile za mpoto ni Ngonjera 🤣🤣🤣🤣🔥🔥
Yaani huyu mtangazaji anapenda sana ufukunyuku na uchonganishi
Mambo
Ni kweli kabisa, sio mwanamzik msoma mashairi
pamoja kaka I get this.
😂😂😂😂😂😂😂 mwandishi bhana
20%: kila mwanasiasa ana historia nyuma
Mwandishi: ya kuvua nguo?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Namkubali sana Chidy Benz kwa sababu kwenye interviews muulize ulichokusudia si kingine.
Hawa waandishi wengine wagombanishi.
Huyu jamaa alijibu vzuli Sana kumbe mrisho mpoto alimjibu huyu jamaa Kwa kukurupuka lkn majibu ya twenty Yako SAWA kabisa asilimia 90 mpoto akiwekewa beat aambiwe ifuate imba hawezi.
U r right 20%, singer and poet are 2 differents things
Bangi hizo
@@noelyusto7210 Basi bangi zake ziruhusiwe kutumika. Maana kuna watu hawana kiasi cha upeo huu wa akili.
Lkn twenty anaakili kubwa sana SEMA ndo hivo kunawatu wanampinga 😂😂
😂😂😂😂eti mda mwingine itabid umwambie ngonjera zako nmezipenda😂
Wavuta bangi huwaga sio waongo kbca
Ganja bwana,always humpaga sana m2 misimamo aisee
Jamaa kaongea fact, kasomeni topic ya Tanzu za Fasihi somo la Kiswahili Kidato cha Tatu then mpinge anachosema ✅✅✅✅✅
Amekuchonganisha tayari mzee 20% uku mpoto kimenuka aisee
Alifanya kazi na nyimbo nzuri sana zener hekima kubwa kama akina Chameleon, lakini nidhamu ya kazi na kujisahau, ubunifu ukamfanya asifaidi kazi yake! Ona akina Diamond, Kiba, Hamo, nk wamefanikiwa kwa nyanja yao kwa kujituma, maarifa yao na kufocus
Nakutakia uvuvio ,ujio mzuri na utoke kinidhamu UNAWEZA, pia pingeni madawa ya kukevya yanaua vipaji, punguzeni starehe wasanii wetu fanyeni makubwa ya maanaa
Umeongea point mzee baba 20.
😂😂 yuko sahihi sana
Mbona unacheza steps za kwaya!!?? 😅😅😅😅😂😂
Chachoooo rwaaaaa😀😀😀🤣🤣🤣🤣 kofi oromide
20 amekosea kidogo TU mrisho mpoto ni mwanamuziki lakini si mwimbaji
Ni kweli alichokiongea mpoto siyo mwanamuziki ni mshairi anaimba ngonjera anaongea tu
Uko sawa
20% unajua sana mzee
Exactly 100%
20% Power🔥
Mfano Gwajima
Nakweli msemaji tuu haimbi😂😂
@twenty bukavu Drc Congo uli acha vumbi
Khs mpoto 20 kasema kweli
20 percent unahakili wew jembe
Ngonjera zake ziko pouwa saana
Huyu mtangazaji simtakagi kabisa jinsi anavyo uliza maswali sijui kwanini anapenda kuleta chuki kati ya wasanii
Mrisho mpoto anaghani mashairi
Hapo kwanye kuzomewe na kushangiliwa jamaa kawahi maana anajua Diamond anashangilliwa harmo anazomewa na watu wake kwa jambo hilo hilo😃😃😃
Mashabiki hawa wote wanaoteana sema tu ukiwa unakoment na una ideas za utimu unakuwa kama ivi,kuna mtu aliimba sandakarawe haikuwa ishu kubwa sana...lakini mwingine alipoimba huo mnazi akashambuliwa kuwa ameishiwa...
Samahani Broo ivi NEMA anaendeleaje 🤔🤔🤔🤭
20% atabaki kuwa msanii wangu milele
Marijuana ✌️✌️✌️
Vipi kuhusu harmonize alisema atamshikishisha 20
Ila nimecheka mno
Yule ni mshairi
Chachuuuu, loi 🤣🤣🤣
😂😂😂
Yakuvua nguo?
Hahahahahahaaaaaa da!
Muimba ngonjera😂😂😂🤪
Akijibiwa ataanza kulalamika, achague maneno ya hekima
Twenty kaongea point hasa hapo kwa mrisho mpoto
20 percent amerudi mjini bwana
🤣🤣Ngojera
Bro bangi hajaacha huyu
🤣🤣🤣🤣ngonjera
Ni mwanamziki wa ngonjera
Safi twent
Uyu jamaa mi naonaga kama kipa katoka. Mimi lakini ndio naona ivo.
Acha unga
Alishawai kukuagiza ukannunulie au mnachafua watu, usiwe kama "MSENGE..NYAJI
Ebu maana ya mwana mziki ni nn au hujui maana ya mziki
Diamond Platnumz atukanwa vibaya sana n'a wa Congo ebu tizama ujioneye 🤭🤭🤭🤭🤭🔥👇👇th-cam.com/video/KFawskkVrXM/w-d-xo.html
Ndio akili yako
Unge acha bang bc kaka ungependeza mno
Huyu nae kapotea kitambooo. Hataki kukubali kuwa ni BabaNema wa enzi zile. Kudiss wenzie tu. Alinde heshima yake jamani.
Kwani nini maana ya muziki? Muziki ni mlio wa vyombo au sauti ya midundo. Midundo inapochanganywa na mashairi ni wimbo, mpoto ni mwanamuziki kama wengine.
Mpoto ni mwanangonjera
@@tyronemofekeng7152 nenda bagamoyo chuo cha Sanaa wakakuelimishe.
20%
Wewe nawe ni muimba mashairi kwa kubadilisha mawimbi ya sauti. Mrisho ni msomaji wa mistari ya mashairi. Wewe na yeye mtofautiana namna ya mnavyoimba na kusoma beti za ushairi.
Jaman msiizarau bangi....maan bang n dawa
Hapa hakuna msanii huyu akapimwe akili
Hosts wa hiki kipindi mnakosa weledi... nonsense questions!!
Umeongea vitu vinaingia akilini ila acha bangi
Sasa kama vimekuingia akilin hapo bangi ina kosa gn si aendelee kuvuta ili aendelee kuongea point?
Wachina
Dhubutu wewe Mpoto Mwana mziki Mzuri kuliko nyie
Nini maana ya mwanamziki?
jaribu kuelewa alichokisema kama hujamwelewa tafuta Kamusi soma utaelewa alichokisema 20
Mpoto ni muimba ngonjera
20% wewe nguli kaka.
Aaliya kiboko yako zuchu mtoto wa mama mipasho
Akiacha bangi atakua mtu makini.
Sasa bangi ina shida gani
Jamaniiiii mbona kila kitu bangiiiii
Kaishiwa huyu pimbi
Ukwer ndo hivyo mrisho mpoto ni mwana poem mbona ngojela tumeimba sana kipindi kile ya kuwaaga darasa la saba
@@rajabumalupu4184 kama uliimba mashairi ww ni mwanamuziki
Pimbi mwenyewe
Tafuteni hela wasenge nyie
kwahy mrisho Mpoto ni muimba ngonjera😂😂😂
🤣😅😄😁😂😆😃😀 Mrisho Mpoto ni muimba ngojera!