We mtoto mwandishi chunga maswali unalazimisha maswali ya kipumbavu unajua maumivu ya mioyo ya watu wewe maisha yana sili sana unapo fanya mahojiano chunga adabu
Wamiliki wa Media mmeona comment 99% hawamtaki huyo mtangazaji wa kiume na huyo msichana hizo nguo ni za disko sio kwenye vipindi. Kama anatafuta mabwana aende mitaani..... HUYO KIJANA MTOENI HARAKA SANA. Maswali yapo mengi sana ya kumuuliza mtu. Kama hhauna maswali uliza moja muache afunguke. Sio kulazimishia kuna watu wanasema na unaongea kama upo kijiweni. Kuna media na kuna kijiwe. Kama media mnaifanya kama kijiwe hapo sawa. Jifunzeni kwa Milad Ayo na SNS wananyoosha maswali na kwa utulivu kabisa
Sijapenda uyu dada amevaa nn kijipaja nje nje jieshimu mdada ndo nn kijipaja kukiachia wazi au uko soko 😂😂😂😂20 nakukubali cna kkngu mungu akuinuee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Daah! 20% anazo akili nyingi za kujibu maswa ,nilichogundua tu hawa watangazaji wametukosea maana kupata madini mengi kutoka kwa 20% sawa na uwulizaji maswali wao , wanauliza maswali ya kitoto sana kwa mtu mwenye mtazamo mkubwa.😢
Mtangazaji Bado Sana haswa huyu wa kiume Amna Kila siku. Anazidiwa mpaka na ane mhoji. 20 akiri nyingi Sana anajalibu cu balance Sana ila mtangazaji anamvunjia heshim Sana
Huyu jamaa anauliza maswali km anaongea na mhuni mwenzake mtaani anasahau km ni redio kubwa hapo nampa big up huyo dada anajitahidi,kiufupi mm sijasomea issue za intertainment lakini nikipewa nafasi ya kuhoji siwezi kuuliza maswali ya kitoto km huyo chalii😅
Huyu dogo msenge sana anahoji vibaya kama hatojilekebisha tutalifanyia kazi one day mpuuzi huyo 20% anajaribu kujieleza vizuri lakini jamaa kama ana hasira naye
Nyie East Africa Radio hao madogo wanaotangaza hebu watafutieni kazi nyingine ya kufanya hapo studioni kwenu kama kufagia,kutangaza hawajui,maswali yao ya kitoto sana
Watangazaji wameshindwa kuelewa swali.... Kama mwaka juzi ulikuwaaaa na ML 100 inakusaidia nini....? Ulikuwa.... Alafu Zina... Wakati uliopita Then uliopo...😂😂😂😂😂 Jamaaa Ana maalifa sanaaaa
Nyie watangazaji someni learn how to do interview with such big figures Mnataka aje alikiba ndio mjue msanii mkubwa ! This is the legend, mna fananisha mafanikio na pesa ndio maana wakija wasio jua hapo na muonekano kama pesa mtauliza kwa kuogopa 😢
Mtangazaji wa kiume hyo dogo anaulza maswali makali sana as if ana hasira nae yan kamkamia sanaa yan hapunguz ukal wa maneno nna waswas na professional yake
Ubongo wa mwanadamu unatumia 20% ya energy ya mwili, huyu jamaa ubongo wake uko grade ya juu sana, hawa wanaomuhoji watoto sana bado sana hata dogo anavyoongea ni kama udaku news
planet bongo imeanza kuwa ya kipuuzi bhana sina ujuzi sana utangazaji lakin kipindi kimepoteza ubora ni makelele maswali ya ajabu ajabu tu kipindi kina makelele bhana
20% mvumilivu sana kuhojiwa na watoto wa 2000 inahitaji moyo huyo jamaa wakiume fala tu analopoka tu mpka anafundishwa cha kuhoji duuu @eastafrica mjitathimini sio saizi yao hawo watoto
Bless sana ma blood rich msafi bonge la show mimi napitisha kila atua dua muhimu pumzi na kukaza..hiyo imenyoooka mi nawakilisha 97.5 chalinze fm kaka huku kitu kitu
Wasanii wa zamani walikua na Iq kubwa sana ata jinsi wanavyojibu maswali waandishi wanajikutaga kwenye kujitoa ujinga sana respect
Misanii ya zamani inajibu kwa kufikiria sana 20%,TID,CHID BENZ,DUDU BAYA n.k old is gold 🪙
We mtoto mwandishi chunga maswali unalazimisha maswali ya kipumbavu unajua maumivu ya mioyo ya watu wewe maisha yana sili sana unapo fanya mahojiano chunga adabu
IQ above 160, legend ni legend tu.
Uyu dogo atawaharibia kipindi...Mwandishi mzuri ni yule anae balance taarifa unless ana ushahidi...Ila maswali yake makali sana ajifunze hilo
Hekima na maarifa ya huyu Jamaa ni zaid ya huyu dogo msomi true legend 20%
Apo ndio utajua kusoma sio ndio kua na marifa mengi jamaa kawamiliki akili zao hao wote 😂
@@mohamedslh5478 sio poa aisee
Wamiliki wa Media mmeona comment 99% hawamtaki huyo mtangazaji wa kiume na huyo msichana hizo nguo ni za disko sio kwenye vipindi. Kama anatafuta mabwana aende mitaani..... HUYO KIJANA MTOENI HARAKA SANA. Maswali yapo mengi sana ya kumuuliza mtu. Kama hhauna maswali uliza moja muache afunguke. Sio kulazimishia kuna watu wanasema na unaongea kama upo kijiweni. Kuna media na kuna kijiwe. Kama media mnaifanya kama kijiwe hapo sawa. Jifunzeni kwa Milad Ayo na SNS wananyoosha maswali na kwa utulivu kabisa
My favourite artist forever
Presenter anauliza maswali ya kiwaki sana,hajui kubalance
Kwenye swala la utangazaji milradi ayo no 1 kwenye hii industry hapa bongo
20 Paecent nilikujua ktk maigizo ya Mama Nema. Uliniluza saana na nilikupenda saana. Nakufatilia from Oman.
Kuna tofauti kubwa saaanaa kati ya intelligent man na genius nadhani nimeeleweka
Daaah Twent Yuko Normal Sana Kapiga Zake Kapelo Ya Voda Fresh Tyuuu Hawazi Wala Nini Hahahahah😂
😂😂..
Alafu wee DOGO jifunze kuuliza maswali,,unauliza maswali yakiwaki ningekuamie unanihoji upuuzi huo NINGE KUCHAPA wewe ndie ungeita walinzi MPUUZI
Ni kweli hizo swali anazo uliza siyo pow
Uyoo dogo anaonekana hana nidhamu wala adabu arudi kujifunza bado sana kuwa hiyo sehemu
Muelewe walizaliwa kipindi cha Raisi Magufuli kwanza kipindi wanazaliwa Hospitali wanazaliwa kwa bure 😅
Maana ya mwandishi wa Habari ni nini sasa?
@@benoitniyukuri2105 sio kuuliza maswali ya kijinga halafu huyo sio mwandishi ni mtangazaji
Mjadala uko sawa lakini wakati mwingine tumieni ustarabu katika kuuliza maswali. Much love 20%
Huyu mtangazaji wakiume hana maadili ya utangazaji. 20% ni genius sanaaaa.
Na wamemkuta leo katulia anachelewag kuwachana si unaona mwishon alishaanza kuwachana
20% my artist of Tanzania 🇹🇿 Bro nyimbo zako zina nipa Elimu sana until now bro.
Sana yan
Mbona kama mtangazaji ana upande wake! "Negative side"
Uyo Dogo Mmemuokota Wapi Anauliza Maswali Kishamba Yani Daaaah😂😂😂😂 Mnafeli
hawa ma legend NAOMBA WAHOJIWE NA WATU WAKALE achana na hivi vitoto vya 2000
Watangazaji hamna akiri nyinyi loooo😢😢 au mmeokotwa tuu
Nampenda uyu jamaa jmn ❤20%
Duuuuu cheki huyuuuuu Demu mtangazaji alivo vaaaa😢😢😢😢
Nalia na uyo dogo mjinga sana hajuwi kuhoji ni Fala tu
Mtanganzaji mwenye upeo wa chini anapomuhoji mtu mwenye akili kumzidi inaboa
hahaha
From Canada Jameni hata kumuita kwenye mahojiano ni upendo sijaona mbaya mana hata 20 kakata collaboration na kond
Uyo dogo yuko less sana break ziko mbali 😔😔😔anamaswali yakiwaki
Sijapenda uyu dada amevaa nn kijipaja nje nje jieshimu mdada ndo nn kijipaja kukiachia wazi au uko soko 😂😂😂😂20 nakukubali cna kkngu mungu akuinuee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
20 parcent on 🔥🔥🔥🔥🔥 akuna kam wew bro kam kuna mtu anabisha na abishe
20 uko vizuri sijui tatizo nini ushamba kujua sana au nn piga kazi bro upo vizuri sana
Hongera sana Brother 20%,kwa maelekezo yako kwa hao madogo.
Hili Dogo Lakiume Senge Sana Yaani,Hili Linaonekana Hii Kazi Amepewa Tu Hana professional Nayo Kabisa Yaani,Ni Hovyooooo Pumbafuuu Kbisaaa
Daah! 20% anazo akili nyingi za kujibu maswa ,nilichogundua tu hawa watangazaji wametukosea maana kupata madini mengi kutoka kwa 20% sawa na uwulizaji maswali wao , wanauliza maswali ya kitoto sana kwa mtu mwenye mtazamo mkubwa.😢
Sana jamaa aka Akili nyingi sana zakukibu maswali mana usipokua makini unajikuta una gombana na watu kwaajiliya waandishi wahabali
Nakupenda sanaaa Nakuomba urudii twenty kwe mziki❤
20 anaongea vitu vya kufikilika sana harafu watangazaji wepesi they are not critical thinker
Akili kubwa
Twenty paa we miss you bro kama vp achia mawe tuenjoy nayo
Mtangazaji Bado Sana haswa huyu wa kiume Amna Kila siku. Anazidiwa mpaka na ane mhoji. 20 akiri nyingi Sana anajalibu cu balance Sana ila mtangazaji anamvunjia heshim Sana
Huyu jamaa anauliza maswali km anaongea na mhuni mwenzake mtaani anasahau km ni redio kubwa hapo nampa big up huyo dada anajitahidi,kiufupi mm sijasomea issue za intertainment lakini nikipewa nafasi ya kuhoji siwezi kuuliza maswali ya kitoto km huyo chalii😅
Twent pasent
Unajizarau sana
Sasa uh mkapelo
wa vodacom wann sasa mzee
IQ ndogo kukutana na IQ kubwa checheee 🔥
Maswali ya kitoto sana bora angekwepo yule dada kibonge amekomaa kiufahamu faken
Huyu dogo msenge sana anahoji vibaya kama hatojilekebisha tutalifanyia kazi one day mpuuzi huyo 20% anajaribu kujieleza vizuri lakini jamaa kama ana hasira naye
Twenty ndo msani anaeza nitosha Congo Kinshasa 🇨🇩 mpaka TZ
Nyie East Africa Radio hao madogo wanaotangaza hebu watafutieni kazi nyingine ya kufanya hapo studioni kwenu kama kufagia,kutangaza hawajui,maswali yao ya kitoto sana
Bro hawa madogo wanafaa kufanyia interview rika zao watt serelac wenzao
Hawa watangazaji wako na kichwa studio alafu wanakuwa na muhemko 😅😅
Namkubali sana huyu kiumbe 20% hakuna msanii kama huyu kwa Tanzania.
Dada paja ilooo❤
Hahahahaaa daaah umeona eeh
Huyu dogo mtangazaji ni hovyo sana
hawa waandishi sometimes hawana maana, yaani wanamasanifu tuu mshikaji, soo sad
Halafu mbona kama anam-disrespect LEGEND yaan kama yupo na Underground flan ivi
Sawa kafulia ila ndo avae kofia ya vodacom 😂😂😂
Jamani wewe
Tena Ya Promosheni Hahahahahah😂😂
🖕🖕🖕 acha usenge wew
Daaah 😂😂😂😂
@@severinkiria591 afikirii ata vitu anavyoongea alaf ukute ni mwanaume
Mtangazaj wa kiume mapepe mnooo,hana mpangalio wa maneno pia
Wewe dada hayo mavazi hapo sio pahala pake
20% my favorite artist❤❤❤❤
Respect twente%20 nakubar
Kufanya mahojiano na mtu mwenye akili nyingi inafaa uwe na akili nyingi pia ili mwende sawa
Fact, yan kiufupi kawamudu pakubwa
Sanaaaa
20% Ni legend na ana akili nyingi mnoo...
Kweli kabisa kaka mkubwa
Baadhi Ya Waandishi Tulizeni Akili Kwny Kuuliza Maswali Kwa Watu ,Igeni Mifano Kwa Malegend Someni Kwao
Dogo hafai kuwa main Host
Uwe unafunika vipaja vyako wee dada,,vipaja vyenyewe vina UPARANTA
Kweli kabs uyo dada na kahb anaonekan bt paja lann
20% Kaisha jua hadia Mawazo yao Na kaisha tambua ni watu wa lika gani.
Watangazaji mnasafar ndefu sana, jifunzen kuhoji, huyo ni moja ya wasanii wanamajibu Kwa utulivu na weledi sana, msimuone hivo.
Namkubali sana 20% ila watangazaji hamna maadili
Huu ndo msani peke Tanzania mana Ana imba wimbo wakudumu ata ukiw na watoto una skiliza sio wal wanao imba matusi
#EATV ni media kubwa sana sema mda mwingine mnafany vitu local sana mfano hii interview mmekata clips kiwaki sana
EA Radio and TV will never be one of top stations with these intern presenters..
Naku kubali Kaka 20 pacent. Niko Congo RD
Kuweni na nidhamu mnafanya interview na legend
Watangazaji wameshindwa kuelewa swali.... Kama mwaka juzi ulikuwaaaa na ML 100 inakusaidia nini....?
Ulikuwa....
Alafu Zina...
Wakati uliopita
Then uliopo...😂😂😂😂😂 Jamaaa Ana maalifa sanaaaa
20%ur the best but mtangazaji uyo wa kiume bado sana ajue anaeongea anaakili zaidi yake tena parefu sana
Aibukubwa ivi hawa wa2 mnawatoaga wapi😂😂😂😂😂😂😂
Nyie watangazaji someni learn how to do interview with such big figures
Mnataka aje alikiba ndio mjue msanii mkubwa ! This is the legend, mna fananisha mafanikio na pesa ndio maana wakija wasio jua hapo na muonekano kama pesa mtauliza kwa kuogopa 😢
20 anahekima kubwa sana ya kujibu na watangazaji wanahoj kitoto wamesahau kuwa 20 anaakili zaid yao
Presenter rudi shule yan we jamaaa hujui hujui hujui tena
Huyu dogo sio mtangazaji kbx maana ajuu itu kbx yan anauliza maswali ya kitito sana yan huyo dogo anazingua xna
Mm ni shabiki yako 20% nakupenda sana. 🇲🇿
Mtangazaji wa kiume hyo dogo anaulza maswali makali sana as if ana hasira nae yan kamkamia sanaa yan hapunguz ukal wa maneno
nna waswas na professional yake
Huyu mtangazaji wa kiume ni mshamba sana
mTunahitajii vpaji naomba hawa watangazaji wafukuzwe kazi
Ubongo wa mwanadamu unatumia 20% ya energy ya mwili, huyu jamaa ubongo wake uko grade ya juu sana, hawa wanaomuhoji watoto sana bado sana hata dogo anavyoongea ni kama udaku news
20 ana brain nzuri sana
Aseee huyo dogo imekuaje amekalia kiti hichoo mbona hana adabu kiasi hichoo
Hakuna watangazaji hapo mmefeli mnauliza yakijinga kabisa.
Mwanangu 20% kuigiza upo vizuri kuimba upo vzr unafeli wapi kitaa tunakukubali fanya mazurii
Rich anahoji kisenge kweli ukikutana na mtu mwenye akili hoji kwa akili
Wadada mwiliwenu huwa unawavutia sana wanaume,,weemtangazaji wakike ndio umevaanini hapo,si upouchi hapo Umempa tabusana 20%
DADA HAPO STUDIO UPO UCHI
Hawa watangazaji wamesoma na kufuzu kweli😅😅 Hawajui namna hata yakubalance story Baba level alikuwa na maana nzuriii
Huyu dogo hajui kufanya interview
Maswali yake yamekaa kinafiki sana
Pumbavu sana hakuna mtangazaji hapa nyoko zenu kabisa
Nampenda sn 20% nyimbo zke sichok kuzisikiliza cjui kapotelea wp tyu
20, anaakiri nyingi sana
planet bongo imeanza kuwa ya kipuuzi bhana sina ujuzi sana utangazaji lakin kipindi kimepoteza ubora ni makelele maswali ya ajabu ajabu tu kipindi kina makelele bhana
Nimefurahi sana kwa kuwajib ipasavyo ingawa wanao hoji ni wanafiki
MCHANGA SANA HUYU JAMAA KWENYE GAME LA UTANGAZAJI DAH MMEZINGUA SANA
Watangazaji hamna kitu hao. Watoto wa sasa wanajali swag kuliko content pumba tupu!
Huyu dogo ajifunze kwa kina Real Omi
Huyu dogo mtangazaji awe na adabu na malegend huyo 20% usiuhoji as if unaongea na mjinga mwenzio
20% mvumilivu sana kuhojiwa na watoto wa 2000 inahitaji moyo huyo jamaa wakiume fala tu analopoka tu mpka anafundishwa cha kuhoji duuu @eastafrica mjitathimini sio saizi yao hawo watoto
Afu huyo dogo siyo mara ya kwanza, sijui hii radio ni ya baba yake. Huwezi ajili mtoto mjinga kama huyo kwenye brand kubwa kama hiyo
Angekuwa 20 ni baraka the pr dogo angechwanwa
Bless sana ma blood rich msafi bonge la show mimi napitisha kila atua dua muhimu pumzi na kukaza..hiyo imenyoooka mi nawakilisha 97.5 chalinze fm kaka huku kitu kitu
Watangazaj wenginee bhana