ANGALIA SASSO WA WIKI TANO WALIVYO SASA. HUU NDIO WAKATI WA KUPOOZA MIGUU DCP NI MUHIMU.🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • Umri huu ndio haswa kuku wanashambuliwa na tatizo la kupooza miguu so ni kupambana sana wawekee DCP ka waji ya kunywa kila siku. 🌹🌹🌹🇹🇿🇹🇿🇹🇿 SUBSCRIBE PLEASE.👏👏👏.

ความคิดเห็น • 108

  • @allykuyawa4832
    @allykuyawa4832 27 วันที่ผ่านมา

    Ongela sana

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  23 วันที่ผ่านมา

      @@allykuyawa4832 🙏🙏

  • @naidasaidy8345
    @naidasaidy8345 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Kwa kutupa darasa,,ila samahani Naomba kujua unalisha chakula Cha kampuni gani jamaji..kuku ni wazur sana wanapendeza sana

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  7 หลายเดือนก่อน +1

      Silveland company♥️♥️

  • @odilndelwa
    @odilndelwa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hahaa 😅😊😂 nimependa kiingereza

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 หลายเดือนก่อน +1

      Kimefanyaje jamani kizungu cha mkoloni hiki🥰🥰

    • @odilndelwa
      @odilndelwa 3 หลายเดือนก่อน

      Hahaha ila nimependa unachokifanya be blessed csta

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 หลายเดือนก่อน +1

      @@odilndelwa 🥰kizungu kisikusumbue Afrika hii hana kizungu kuna pigin tu kizungu kipo UK😁🤝

  • @AlexLugalala-mm8zi
    @AlexLugalala-mm8zi ปีที่แล้ว +1

    Mama kazi yako ni nzuri na mwanao hapa nimeanza huku nikiendelea kujifunza kwako

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      Hingera sana kaza buti Ufugaji unalipa Mungu akusaidie🌹🌹

  • @JosephKeyenza
    @JosephKeyenza หลายเดือนก่อน

    Dada hongera sana,ww kweli niwanamke wa shoka..Sasa dada mm nahitaji kufuga SASO..Je vifatanga nitapataje?Nimependa darasa lako.

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  หลายเดือนก่อน

      @@JosephKeyenza Silverland

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 10 หลายเดือนก่อน

    Ninashukru sana kwa upenda wako. Wewe utupenda sana na sisi tunakupenda zaidi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 4 หลายเดือนก่อน

    hongera sana kwa uthubutu

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  4 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🥰🥰🥰

    • @filipinadaud885
      @filipinadaud885 4 หลายเดือนก่อน

      👋🏼👋🏼👋🏼👋🏼👋🏼👋🏼👋🏼
      MPENDWA NAOMBA KUJUA KUKU 100 WENYE KUTAGA WANAKULA KIASI GANI CHAKULA?

  • @deborambogoso195
    @deborambogoso195 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana dada uko vizuri kwa upendo wako.Mungu akubariki

  • @ProsperMushi
    @ProsperMushi 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana dada kwa masomo YAKO yananifundisha sana kiukweli

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @annamsigwa-z4q
    @annamsigwa-z4q 11 หลายเดือนก่อน

    Nimekupenda

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  11 หลายเดือนก่อน

      I love you too♥️♥️♥️

  • @user-ur7ek2bc3l
    @user-ur7ek2bc3l 5 หลายเดือนก่อน

    Wamependeza sana

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  5 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🥰🥰

  • @danielmngazija7118
    @danielmngazija7118 2 ปีที่แล้ว

    Wapo vzr

  • @santinachalamila6879
    @santinachalamila6879 ปีที่แล้ว

    Dada upo vizuri natamani Kila muda nikusikilize napenda Sana ufugaji

  • @user-vv8rp6rj1i
    @user-vv8rp6rj1i ปีที่แล้ว

    Amen

  • @filipinadaud885
    @filipinadaud885 9 วันที่ผ่านมา

    kwa hiyo dada unaweka kwenye chakula na kwenye maji hiyo dcp?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 วันที่ผ่านมา +1

      @@filipinadaud885 USIKILIZE video vizuri

  • @mariamshirima4067
    @mariamshirima4067 2 ปีที่แล้ว

    Kweli wamekua sana

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Kadala nimejaribu kweka malanda wakapata mafua, nimewaweka juu wavu, changamoto kusafisha yaanisiju nifanyeje
    Hao wa kwako wapo vizuri sana ubarikiwe sana

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  4 หลายเดือนก่อน

      Piga simu tuongee. Umeshindwaje jamani? Kuku wa aina gani?

  • @williamnguridada3734
    @williamnguridada3734 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka kufuga sasso Ila gharama ya chakula ndy mtihani ivi nikiwapa pelat ya starter I kwa 2 alafu wiki ya 3 nikatengeneza chakula mwenyewe inawezekana kwa biara

  • @elizabethnekesa3563
    @elizabethnekesa3563 ปีที่แล้ว

    mimi niko kenya na natamani sana kufuga lakini nyumba naishi ni yakupangisha si yangu binafsi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      Huwezi kufugia nyumba ya watu jitahidi utafute Shamba au Plot ujenge my dear kufuga ni raha ukiwa kwako tu♥️♥️♥️

  • @ashamuthoni686
    @ashamuthoni686 ปีที่แล้ว

    Mm Niko Kenya nitapatawapi sasso

  • @FurahaRichardCharles
    @FurahaRichardCharles 3 หลายเดือนก่อน

    napatkana wapi

  • @FrederickNkyaa
    @FrederickNkyaa 9 หลายเดือนก่อน

    Ongea luga mojaa,. Tunajua unajua ,. Ia badoo

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏♥️♥️♥️

    • @fidelishassankikwete4316
      @fidelishassankikwete4316 7 หลายเดือนก่อน +1

      SAFI SANA DADA KWAKUTUELIMISHA MIMI NAHITAJI VIFARANGA UNAUZAJE NA VINA MDA GANI?

  • @justinayohana3892
    @justinayohana3892 ปีที่แล้ว +1

    Safimama

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      🌹🌹❤️❤️👏👏

  • @frankbella4271
    @frankbella4271 ปีที่แล้ว

    Kama hujui vizuri lugha ongea kiswahili

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว +1

      Hata wanajua hiyo lugha wanajifunza kwa kujaribu kuitumia tu sio kukaa kimya kama bubu. Unaumizwa na nini na upo kwa chanel yangu alafu unipangie maisha? Hapana hapa hujalazimishwa kusikiliza. Lugha hii hakuna mwenye hisa nayo .

    • @alicempuya5238
      @alicempuya5238 ปีที่แล้ว

      ​@@KADALAtv255 barikiwa dada

    • @alexntahiraja2974
      @alexntahiraja2974 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@KADALAtv255ni kweli kabisa. Na kama lugha siyo ya kwako kwanini uwe na aibu ya kuongea. Mimi kingereza changu kina accent ya kirundi na sioni aibu. Ila siku nitashindwa kuongea kirundi basi hapo no aibu.

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@alexntahiraja2974 Kila nchi ina kingereza chake kwa hiyo I'm free to speak also free to learn. Nikikutana na Mrundi nitamfundisha Kiswahili nitajifunza Kirundi shida ipo wapi. Ukoloni tu wa wajinga fulani. 🥰🥰

    • @alexntahiraja2974
      @alexntahiraja2974 2 หลายเดือนก่อน

      @@KADALAtv255 tena mimi ningekutia nguvu uanze kufanya hata video za kingeleza. Mtu anaetafuta kujifunza atajitahidi kusikiliza kwa makini. Nimeona watu wengi ambao hawajui kingeleza kama wewe na wanafanya video na tunawasikiliza tena tunawa appreciate. Mimi nimeweza kupata fulsa ya kuishi kwenye inchi za kizungu. Wachina na wahindi hawajui kingereza ila wanaendesha biashara. Saa nyingine imetubidi kuwasiliana bei kwa kuandika kwenye karatasi. Dada fanya video za kingereza ukishindwa neno fulani liongee kwa kiswahili video iendelee. Utaweza kujipatia wafuasi ambao hawajui kiswahili.

  • @user-dw4td9ci1s
    @user-dw4td9ci1s 10 หลายเดือนก่อน

    N'a furahi kuku sikiliza toka déc Bunia

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  10 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏♥️♥️

  • @ludarkiller2902
    @ludarkiller2902 6 หลายเดือนก่อน

    Samahani dada angu ,ningeomba kujuwa dawa gani ya typhoid i mean coccidiosis unayoitumia ,maana ugonjwa huu unasumbuwa sana kuku wangu tafadhali naomba unisaidie

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  5 หลายเดือนก่อน +1

      Sikudanganyi siijui unatumia mbalimbali hadi ufanikiwe tylodox na nyinginezo🥰🥰

  • @MfaumeYamussuf
    @MfaumeYamussuf 23 วันที่ผ่านมา

    Darasa nimelipend vifalanga nitavipata wap

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  23 วันที่ผ่านมา

      @@MfaumeYamussuf Makampuni tafuta🥰🥰

  • @ashamuthoni686
    @ashamuthoni686 ปีที่แล้ว

    Alfu Mami natka kufuga Kwa wiki nnane plz nielekeze

  • @user-ik4wu5hm8b
    @user-ik4wu5hm8b 9 หลายเดือนก่อน

    Dcp unawapa kwa siku ngapi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  9 หลายเดือนก่อน

      Wakati wote dear♥️♥️♥️

  • @kassimbilali5779
    @kassimbilali5779 7 หลายเดือนก่อน

    Napata wapi hao vifaranga madam..??

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  7 หลายเดือนก่อน

      Silverland company

  • @AminaSwalehe-v7w
    @AminaSwalehe-v7w 10 หลายเดือนก่อน

    Nataka kuku nawpataje please

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  10 หลายเดือนก่อน

      Kwa sasa sijui mimi sina

  • @agredifaemmanuel5590
    @agredifaemmanuel5590 2 ปีที่แล้ว

    Mnapatkana wapi nawezaje kupta vifaranga

  • @user-qt3qu4wd4c
    @user-qt3qu4wd4c ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza hiyo DCP unatia kwenye naji au unaongezea ktk chakula?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      Sikiliza vizuri video ya Dcp

  • @user-rj7ey3dd3o
    @user-rj7ey3dd3o ปีที่แล้ว

    Sasso kwa mfumo huo wataanza kutanga kuanzia wiki ya ngapi

  • @carolinemrinji9605
    @carolinemrinji9605 10 หลายเดือนก่อน

    Unawalisha vipi hao kuku miezi miwili pamoja na tiba zao

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  7 หลายเดือนก่อน

      Kuna. Video nyingi shuka zile za nyuma

  • @annastaziamzobora1984
    @annastaziamzobora1984 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya fundi wa Banda aliweka wavu hapo chini

  • @christinawambura7813
    @christinawambura7813 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi

    • @cliphjohn
      @cliphjohn ปีที่แล้ว

      Love it to much

  • @PaulinaThomasi
    @PaulinaThomasi 3 หลายเดือนก่อน

    Chakula gani uawapa

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  3 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza vizuri video utaelewa zaidi🥰🥰

  • @philemonmwita2305
    @philemonmwita2305 ปีที่แล้ว

    Kuku wangu Wana miezi 2¹/² lakini hawaishi kuharisha nitumie dawa gani

  • @philemonmwita2305
    @philemonmwita2305 ปีที่แล้ว

    Na wakihalisha kinyesi kinabakua Kwa manyoya sasa hiyo ni ugonjwa gani

  • @emanuelamosha4297
    @emanuelamosha4297 ปีที่แล้ว

    Croiller wanatunzwa kwa chakula kipi? au hakunatofauti na sasso kwenye lishe

  • @mektlidamarco2588
    @mektlidamarco2588 ปีที่แล้ว

    Chost,sasso 200 wanakula stater mifuko mingapi na grower ngapi

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      Sikiliza video zilizopita soma maelezo

  • @agredifaemmanuel5590
    @agredifaemmanuel5590 2 ปีที่แล้ว

    Nawezaje kuwapat

  • @sadicktangama9251
    @sadicktangama9251 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  2 ปีที่แล้ว

      Unge subscribe kwanza ningekushukuru kweli kweli

    • @khadijamunis3213
      @khadijamunis3213 ปีที่แล้ว

      @@KADALAtv255 wiki tano wanakua na uzito gani

  • @michaeljanuary3736
    @michaeljanuary3736 ปีที่แล้ว

    Ko hilo Banda utawahamisha au

  • @zubeirhaji2164
    @zubeirhaji2164 2 ปีที่แล้ว

    Km m2 anawahitaji kwa umri huo unauzaje

  • @alfredmaingi3506
    @alfredmaingi3506 ปีที่แล้ว

    Kwa hio unawauza Kama broiler?

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      10000 Tsh.@

    • @merrymiracle3807
      @merrymiracle3807 ปีที่แล้ว

      Ongea Kiswahili ndio unapendeza

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  ปีที่แล้ว

      @@merrymiracle3807 najifunza zote ni lugha za kimataifa

  • @emanueldaniel2416
    @emanueldaniel2416 2 ปีที่แล้ว

    namba yako plzz

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  2 ปีที่แล้ว

      0789136803

    • @KADALAtv255
      @KADALAtv255  2 ปีที่แล้ว

      Dubscribe kwanza jamani

    • @JumaDeo-cr4fw
      @JumaDeo-cr4fw 8 หลายเดือนก่อน

      Asante dada unapatikana wapi napenda kuonana nawe

    • @JumaDeo-cr4fw
      @JumaDeo-cr4fw 8 หลายเดือนก่อน

      Nisaidie namba Yako dada ombi

  • @ibrahimamanimussa376
    @ibrahimamanimussa376 ปีที่แล้ว

    Zasaizi dada nipe number yako ya WhatsApp