UNYAKUO TV.
UNYAKUO TV.
  • 724
  • 1 811 541
MARENDEJA HUNA HATIMILIKI YA UNABII WA KUANGAMIA DARESALAAM
MAJIBU YA MARENDEJA TAZAMA VIDEO USIDOWNLOAD AUDIO.. KUNA MAELEZO YA MAANDISHI.
BAADA YA KUTOKA VIDEO YA SAUTI YA MARENDEJA . IKIHITAJI MSAADA WA KUSAMBAZA UJUMBE WAKE UFIKE KWA WATU WENGI,
HIVYO AMEWEZA KUTUMA MTU KUPIGA SIMU UNYAKUO TV.
NA KUSEMA TUFUTE UJUMBE HUO KWANI, HATUNA HATIMILIKI YA UJUMBE HUO HIVYO TUMEUTUMIA UJUMBE HUO. KUJIPATIA PESA PALE ALIPOSEMA WATU WAMCHANGIE. NA HATUKUWEKA NAMBA ZAKE,
NASI TUMEMJIBU KWA KUPITIA AUDIO HIYO HIYO KATIKA VIDEO KWA MAANDISHI, KUMUAMBIA KUWA MARENDEJA SAUTI NI YAKO LAKINI UJUMBE HUO AMA UNABII HUO, SIO WA KWAKO KWA SABABU YOTE ULIYOYAONGEA. NI MARUDIO YA KILE ALICHOKIONGEA AU KUTANGAZA NABII, KUANGAMIA KWA MJI WA DARESALAAM MWAKA MZIMA,NA UMEPITA SIKU NNE TU, BAADA YA MWAKA KUMALIZIKA NA KUSEMA KUWA UMETUMWA DAR. KAMA ALIVYOTUMWA NABII MUSA.
NA TUMEWEZA KUONDOA KIPANDE CHA SAUTI KINACHOSEMA ANAHITAJI MICHANGO ACHANGIWE. HAPO TUMEWEKA UJUMBE HUO USIKILIZE ANACHOKISEMA NA TUNACHOMWAMBIA KUWA UJUMBE HUO UMEUCOPY.
KUTOKA NA KUNUKUU KITABU KILICHOTOLEWA NA NABII 2023 KUHUSU KUANGAMIA KWA DSM KIKIWA NA NAMBA ZA USAJILI ISBN. KAMA NI HATIMILIKI BASI KWA UJUMBE WA KUANGAMIA KWA DSM. BASI MTAFUTE NABII MUSA,
NASI TULIAMBIWA NA MUNGU TUANDIKE UJUMBE HUO NA KUUWEKA KATIKA VITABU KAMA KUMBUKUMBU JUU YA KITAKACHOTOKEA AU KINACHOKWENDA KUTOKEA KATIKA MJI WA DSM.. NABII YEYOTE ATAKAYE KUJA NA UNABII WA KUANGAMIA KWA DARESALAAM NI HALISI KUWA AMEKOPI UJUMBE HUO KUTOKA KWA HICHO KITABU AMBACHO TUMESAMBAZA KATIKA MJI MZIMA WA DSM KUANZIA 202- 2023.
USHAURI
UNAWEZA WEKA NAMBA ZA PRESY POWER REDIO AU WAPO REDIO. WATU WAKACHANGIA MOJA KWA MOJA KIPINDI, ITAPENDEZA,
ASANTE
GOD ACCEPTS YOU SO MUCH FOR RECEIVING THIS MESSAGE. KEEP SEARCHING MY BOOKS AND THERE IS A CONTINUING TESTIMONY FROM AWAY ABOUT THE KINGDOM OF GOD;
PROPHET BONIFACE VICTOR, IS A PROPHET FROM TANZANIA WHO RECEIVED THE GRACE OF GOD IN 2020. AND WAS TAKEN TO HEAVEN MORE THAN NINETY TIMES, AND STUDYED IN THE HEAVENLY BIBLE COLLEGE.
WHILE HE DOES DIFFERENT WORKS IN HEAVEN. INCLUDING CARRYING PEOPLE'S BLESSINGS AND BRINGING THEM TO THE WORLD. THEN HE WAS GIVEN A MESSAGE FROM THE LORD, REGARDING HIS RETURN. THE SECOND RETURN OF JESUS. IN THE YEAR 2666. AND THE END OF THE WORLD IN THE YEAR 2673.21
(DANIEL-12:6-7/11-12)
WITNESSING THE OPENING OF THE FOURTH SEAL IN 2021. {REVELATION-6:7-8} HE WAS GIVEN TO KNOW THE TIME OF THE END AND WARNINGS TO THE CHURCH.
THE PROPHET WHO ATE THE ROLL OF THE WORLD
THE PROPHET WHO FIGHTED THE SEVEN GODS OF THIS WORLD. IE THE DRAGON OF THE WORLD.
HE IS AN APOSTLE WHO SIT IN THE BELLY OF DEATH FOR FIVE DAYS AND OVERCOME DEATH AND HELL FOR TWO THOUSAND AND TWENTY TWO YEARS. AND GIVEN THE FLAG OF THE COUNTRY OF TANZANIA IN HEAVEN, AS A GIFT,
THE PROPHET WAS GIVEN A NEW NAME WHICH NO ONE KNEW,
THE PROPHET WAS GIVEN THE MORNING STAR. AFTER WINNING ALL. REVELATION-2; 17
THIS IS THE PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET, HE RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME. AND ESTABLISHING THE CHURCH OF RAPTURE SERVICE TANZANIA.
THIS BOOK IS BELIEVED AND TRUE, IN EVERYTHING YOU WILL HEAR AND READ IN THIS BOOK. BECAUSE IT CAME FROM HEAVEN BY THE HAND OF GOD AND WAS PLANNED FOR THE PROPHET BONIFACE. THE PROPHET BONIFACE WAS ALSO GIVEN THE BOOK OF REVELATION AS A GIFT FROM HEAVEN; JULY -2020
THE PROPHET BONIFACE GETS A REWARD IN HEAVEN, A VICTORY MEDAL, ON MAY 17, 2023 AFTER BEING THE WINNER OF ALL. amen
THIS IS PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET,
THE ONE WHO RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME IS THE PROPHET MUSA. WHO CAME THE SECOND TIME AND YOU ARE READING HIS MESSAGE, THIS. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
DEUTELONOMY -34:10-12
10 Nor has a prophet risen in Israel like Moses, whom the Lord knew face to face;
11 in all the signs and all the wonders, which the LORD sent him to do in the land of Egypt, to Pharaoh, and to all his servants, and to all his land;
12 and in the hand of all power, again in all the great terror, which Moses did in the eyes of all Israel.
AND NOW PROPHET MOSES IS BACK AGAIN, TALKING TO GOD FACE TO FACE FROM TANZANIA.
MOSES IS THE PROPHET OF THE LAST TESTAMENT FROM TANZANIA 2666. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
follow the book, get more information.
TH-cam- UNYAKUO- TV
what's app +255686-44 88 80
Prophet of God - Boniface victor
มุมมอง: 838

วีดีโอ

MIUNGU YA DAR KUPAMBANA NABII,ILI DAR ISIANGAMIE/ KILA KITU KITAFUTWA HAKUNA TUMAINI
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
PROPHET MOSES,I RETURN AGAIN FROM TANZANIA.I am here to inform the world, the present time JESUS ​​RETURNS IN THE YEAR 2666/ 2 IS THE SECOND WOE, (revelation-11:14-15 6 IS THE SIXTH SEAL, (revelation-6:12-17) 6 IS THE SIXTH TRUMPET,(revelation-9:13-14 6 IS THE SIXTH WEEK (revelation-16:12-17) The Prophet reached heaven more than a hundred times. A prophet who studied at the Bible college of hea...
UNABII MBAGALA SAKO/WATIMIA NYUMBA KUBOMOKA NA KUZAMA.SIKILIZA CHANZO CHAKE
มุมมอง 2.3Kหลายเดือนก่อน
INGIA KATIKA LINK HII UTAPATA FULL VIDEO YA UNABII WA MBAGALA SAKO th-cam.com/video/2Wd0SvM9i58/w-d-xo.htmlsi=ZXifKZJa2pV77jK6 th-cam.com/video/dxdZOQmxlsU/w-d-xo.htmlsi=YPPdwmefJWE-QMkM PROPHET MOSES,I RETURN AGAIN FROM TANZANIA.I am here to inform the world, the present time JESUS ​​RETURNS IN THE YEAR 2666/ 2 IS THE SECOND WOE, (revelation-11:14-15 6 IS THE SIXTH SEAL, (revelation-6:12-17) 6...
TANGAZO LA MWISHO MAY- DARESALAAM/PROPHECY
มุมมอง 3.7K2 หลายเดือนก่อน
PROPHET MOSES,I RETURN AGAIN FROM TANZANIA.I am here to inform the world, the present time JESUS ​​RETURNS IN THE YEAR 2666/ 2 IS THE SECOND WOE, (revelation-11:14-15 6 IS THE SIXTH SEAL, (revelation-6:12-17) 6 IS THE SIXTH TRUMPET,(revelation-9:13-14 6 IS THE SIXTH WEEK (revelation-16:12-17) The Prophet reached heaven more than a hundred times. A prophet who studied at the Bible college of hea...
SUNAMI INAKUJA
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
ANAYEPANGA KUUA WATUMISHI AKAMATWA,KWA KUSHINDANA NA SANDUKU LA AGANO
มุมมอง 2K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
NINATAKA RAISI MLOKOLE TANZANIA/ wameshasaini
มุมมอง 3.8K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
JACOBO MAJIBU YANAKUJA/TAFSIRI KISIMA
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
BREAKING; SERIKALI KUSIMAMIA DINI YA UISLAM
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
BREAKING; SERIKALI KUSIMAMIA DINI YA UISLAM
JACOBO MUNGU HAJAGAIL TUSUBILI TU TAREHE
มุมมอง 2.4K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
MIPANGO YA KUWAUA MANABII
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
TAMKO LA NABII KWA HIDAYA

BAHARI INAKUJA NA HIDAYA MTAJUA HAJUI/BEBENI NYUMBA ZENU
มุมมอง 6K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
WAKRISTO NI ZIRO NDIO MAANA WANAABUDU JUMAPILI
มุมมอง 1.6K2 หลายเดือนก่อน
KARIBUNI WOTE KWENYE GROUP LA MAOMBI LIVE.. MAOMBI YA WHAT'S APP MEETING GROUP HILI AU MAOMBI HAYA YANAFANYIKA SIKU YA JUMAMOS PEKEE... GROUP HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YA MAOMBI ONLINE TU NA KIONGOZI (ADMIN) PEKEE NDIO ATATUMA UJUMBE NA KUFUNGUA VOICE NOTE KUSUDI LA WHAT'S APP MEETING, NI KUWAUNGANISHA WALIOMBALI. NA WAHITAJI WA IBADA ZA UNYAKUO, Siku ya jumatano saa moja na nusu usiku, ibada ...
ONYO KWA WATU WASIOJULIKANA/MANAOTUMWA NA.../prophet moses return again from Tanzania
มุมมอง 2.3K2 หลายเดือนก่อน
ONYO KWA WATU WASIOJULIKANA/MANAOTUMWA NA.../prophet moses return again from Tanzania
JUMAPILI MLIABUDU KWA NEEMA/ SIO LEO 2024+
มุมมอง 1.6K2 หลายเดือนก่อน
JUMAPILI MLIABUDU KWA NEEMA/ SIO LEO 2024
TANGAZO IBADA LIVE
มุมมอง 5512 หลายเดือนก่อน
TANGAZO IBADA LIVE
ABILIA 20 WASOMBWA NA MAJI NDANI YA BASI LIVE: MKOAN TAZAMA WAKIONDOKA
มุมมอง 74K3 หลายเดือนก่อน
ABILIA 20 WASOMBWA NA MAJI NDANI YA BASI LIVE: MKOAN TAZAMA WAKIONDOKA
WARNING PROPHET MOSES
มุมมอง 1.7K3 หลายเดือนก่อน
WARNING PROPHET MOSES
WARNING:MAFURIKO MAKUBWA CHINA HAIJAWAI KUTOKEA MIAKA 140 GUANGDONG/prophet moses return again Tz
มุมมอง 5243 หลายเดือนก่อน
WARNING:MAFURIKO MAKUBWA CHINA HAIJAWAI KUTOKEA MIAKA 140 GUANGDONG/prophet moses return again Tz
NIMEONA VITA KUBWA MISALABA MIWILI IKIPIGANA
มุมมอง 3.2K3 หลายเดือนก่อน
NIMEONA VITA KUBWA MISALABA MIWILI IKIPIGANA
GOD'S WARNING /ONYO LA MUNGU KWA ULIMWENGU
มุมมอง 1K3 หลายเดือนก่อน
GOD'S WARNING /ONYO LA MUNGU KWA ULIMWENGU
LIVE MAN'GULA
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
LIVE MAN'GULA
BREAKNG: NABII AKAMATWA MAN'GULA /prophet moses return again from Tanzania
มุมมอง 9K3 หลายเดือนก่อน
BREAKNG: NABII AKAMATWA MAN'GULA /prophet moses return again from Tanzania
MAJIBU YA DAR ES ALAAM, ALICHOJIBU MUNGU/ Prophet Moses return again from Tanzania
มุมมอง 3.3K3 หลายเดือนก่อน
MAJIBU YA DAR ES ALAAM, ALICHOJIBU MUNGU/ Prophet Moses return again from Tanzania
ONYO KWA DARESALAAM/DUBAI BADO HAJAONA YA KWAKO
มุมมอง 4.2K3 หลายเดือนก่อน
ONYO KWA DARESALAAM/DUBAI BADO HAJAONA YA KWAKO
USHINDI KWA DARESALAAM/UTAANGAMIA KWA KISHINDO
มุมมอง 1.2K3 หลายเดือนก่อน
USHINDI KWA DARESALAAM/UTAANGAMIA KWA KISHINDO
TAREHE INAKARIBIA DARESALAAM ACHA KUJIPA MOYO, BAHARI ISUBILI TAREHE/ prophet moses return again
มุมมอง 5K3 หลายเดือนก่อน
TAREHE INAKARIBIA DARESALAAM ACHA KUJIPA MOYO, BAHARI ISUBILI TAREHE/ prophet moses return again
UNABII WATIMIA MBEYA,MAPOROMOKO/ prophet moses return again from Tanzania
มุมมอง 1.9K3 หลายเดือนก่อน
UNABII WATIMIA MBEYA,MAPOROMOKO/ prophet moses return again from Tanzania
MAFURIKO YAIKUMBA URUSSI NA KAZKSTAN. /prophet moses return again from Tanzania
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
MAFURIKO YAIKUMBA URUSSI NA KAZKSTAN. /prophet moses return again from Tanzania

ความคิดเห็น

  • @EveraidaVitalis
    @EveraidaVitalis 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shalom! Prophet nimebarikiwa Sana na lbada ya leo,, Amen

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha ujinga hiyo sio injili ni upumbavu.

  • @EmmanuelHaruni-rl1rb
    @EmmanuelHaruni-rl1rb 2 วันที่ผ่านมา

    Be ready

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 3 วันที่ผ่านมา

    Nawewe unachemuka unabii wako hautimii urisema dar waanze kuhama mafuko yanakuja mbona mpaka leo mafuriko hakuna wacheni kukuteletea uchochezi

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 4 วันที่ผ่านมา

    Endeleeni kuwadanganya Waafrika wasiojitambua,Masikini wa akili.Mulianza kuwadanganya watu miaka 1840s kuwa ndiyo mwisho wa dunia ikashindikana na ndipo ulikuwa ni mwanzo wa Imani ya kisabato.Mkaja na nyingine ya kuwa mwaka 2000 ni mwisho wa dunia.Ikashindikana.Kwa sasa mmekuja na nyingine.Mnaweka makadirio ya Miaka ya mbele zaidi kwa kuwa mnajua tuliopo sasa hatutakuwepo.Nendeni mkawambie maneno hayo ya mwisho wa dunia kule Marekani na Ulaya ambako ushoga na usagaji ni haki za binadamu.Sisi Waafrika tulimjua na tunamjua Mungu kuliko mnavyofikiri.

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 6 วันที่ผ่านมา

    Pia niwaombe watumishi tusigombanie unabii kama Mungu amesema na nabii huyu alafu akasema na mwingine Ina maana Tu ni uthibitisho kwamba Mungu atatenda ila msigombee unabii maana mwenye kuamua kama anaangamiza au anasamehe ni Mungu mwenyewe sisi wanadamu hatuwezi kufanya chochote kwenye hukumu

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 6 วันที่ผ่านมา

    Nilihisi wasiojulikana wameshakuteka maana umekaa muda ukiwa kimya

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 6 วันที่ผ่านมา

    Kama ww ni mwanaume chukua kitabu cha kiislamu af sema km ivo uone km hawajakupga na kt kzito kichwn

  • @drnow1528
    @drnow1528 7 วันที่ผ่านมา

    ASANTE MUSA WA TONGARENI NA WAFUASI WAKO WOTE

  • @user-yy8ol9ch4q
    @user-yy8ol9ch4q 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu wewe ni Mungu na utaendelea kuwa. Mungu

  • @revojomo
    @revojomo 7 วันที่ผ่านมา

    Umerudi tena wewe taperi wa kiroho na muongo mkubwa

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 7 วันที่ผ่านมา

    Malendeja anabwabwaja tu amefanya copy & paste. Nabii Musa alishamaliza kila kitu na vitabu ameandika kitambo tunavyo, 😂😂😂 acha inyeshe tuone panapovuja. Ila MUNGU wa Nabii Musa lazima ajitukuze

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 8 วันที่ผ่านมา

    Wewe acha kupotosha watu kifo ni siri iliyopo kwa Mwenyezi Mungu tu hata malaika mtoa roho hajui mpaka apewe amri na Mungu, acha uzushi acha uongo wewe huna uwezo wa kujua kifo acha uongo tabu kwa Mwenyezi Mungu kwa kumkufuru Mwenyezi Mungu

  • @user-nn4su2oq6y
    @user-nn4su2oq6y 8 วันที่ผ่านมา

    Acha Mungu ajitukuze muda wake ukifika Wanadamu niwatu wanafiki sana ila Mungu wa mbinguni anajua kuchunguza ya mioyoni mwetu.kama umesikiliza vizuri aliomba ujumbe usambazwe haijalishi kwa redio au youtube asa yametoka wapi maneno ya pesa tena kupokelewa na Unyakuo.jmn ulipaswa kushukuru ujumbe umewafikia watu asa chuki na wivu wa nini tena au una uwakika na ulichotumwa kama kweli ni Mungu au ndo mambo ya kucopy and paste Jmn tubadilikeni Prophet Mosses yupo Tanzania na ni Nabii pekee ambae tunatakiwa kumsikiliza maagizo anayotupa kutoka kwa Mungu wa Mbinguni

  • @cellinamuro6872
    @cellinamuro6872 8 วันที่ผ่านมา

    Nyie waongo mtaangamia wenyewe na familia zenu

  • @happynesjohn9005
    @happynesjohn9005 8 วันที่ผ่านมา

    Ulimpinga sana tengwa sasaiv umeamia kwa malendeja

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391 8 วันที่ผ่านมา

      @@happynesjohn9005 kwani tukiweka video ya mashimo au kiboko ya wachawi. Wewe unaelewa nini.. kwamba tumekubali, ni mtumishi wa Mungu au tunachangia kukufikishia alichoongea.

    • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 7 วันที่ผ่านมา

      Bado hujasema 🤔

  • @happynesjohn9005
    @happynesjohn9005 8 วันที่ผ่านมา

    Unabii huu ulitolewa tokea muda tu na malendeja, ndio umeamua uuweke ili uwarudishe wafuasi wako waendelee kukuamin

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391 8 วันที่ผ่านมา

      Naona umetoa maoni kishabiki

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@unyakuotv.1391kishabiki wakati unaambiwa ukweli, RUDI DAR URUDISHE MALI ZA WATU KWANZA

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 8 วันที่ผ่านมา

    Utukufu wa MUNGU hufifia mtumishi kumbuka kwa post yako hapo awali ulisema MUNGU amekutuma uondoe sintofahamu kuhusu ujio wa BWANA YESU, sababu watu hutabiri atakuja mwaka huu Kisha huo mwaka unafika chochote hakitokei hauoni hata wewe umekua kama hao watumishi kwa kutoa unabii uliofeli sababu huu si unabii pekee ambao umefeli inawezekana huo mji ukaangamia ila tayari unabii umefeli sababu ulisema ni mwezi wa tano kuja utwambie mbona haukutokea mwezi wa tano kwani mtumishi wa MUNGU mwenye uoga na kuepa epa baada ya mambo kuchemka hawezi stahimili mazito

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 8 วันที่ผ่านมา

    Mnatuharibia dini yetu. Hivi huyu Mungu anawaagiza watu wangapi na bado hata hao wanaoagizwa hawaaminiani. Hivi huyu Mungu wa kuongea na kila anayejiita nabii amekosa watu wa kuwatuma ? au ni lazima awatumie ninyi ?

    • @unyakuotv.1391
      @unyakuotv.1391 8 วันที่ผ่านมา

      Kama ipo kwako kuamin au usiamini utajua ukweli litakapo kupata

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 8 วันที่ผ่านมา

      @@unyakuotv.1391 Kwani kuani ni lazima kukjbali hata uwongo na vitisho? Mtu mkamilifu hawezi kutumia vitisho na kwa nini iwe ni Daresalaam navsio Arusha au Mwanza na Songea? Kwani huyu Mungu ni wa Daresalaam peke yao navhuku Songea hatuhusiki? Aunwafsnya Zambi wako Daresalaam tu. Mnachemsha sans.

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 8 วันที่ผ่านมา

    Pipa na mfuniko nyie wote hamna lolote.

  • @user-qy4gb1kn4z
    @user-qy4gb1kn4z 8 วันที่ผ่านมา

    wewe hutukwelewi unaongea mafumbo mafumbo unaongea maneno nusunusu iunamwogoba nani jirekebishe

  • @apostlejoshuakuhanda5524
    @apostlejoshuakuhanda5524 9 วันที่ผ่านมา

    Nabii na mtumishi wa Mungu, Je, ni nini MUNGU anataka kufanya kwenye NCHI hii kuhusu vifo hivyo?... Naamini kuna sababu (Mh. 3:1) Naamini MUNGU hafanyi au hawezi kuruhusu baadhi ya watu kufa pasipo sababu!!

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 9 วันที่ผ่านมา

    Sasa kumekucha manabii wakuu na kazi walizotumwa kuzikamilisha duniani hapo mwenye masikio ya kulisikia neno la mungu ataelewa wametumwa na nani hao manabii wakuu

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 14 วันที่ผ่านมา

    Ulitudanganya tukauza viwanja dar hatukwamini Tena.

  • @AnnaLwanda-oj4jn
    @AnnaLwanda-oj4jn 14 วันที่ผ่านมา

    Unadhani wewe unavyo danganya watu na wengine wanadanganya ukisema uongo kila siku

  • @frbm1729
    @frbm1729 14 วันที่ผ่านมา

    God have a mercy on us for we have sinned unto you

  • @user-cn7vz6ye1i
    @user-cn7vz6ye1i 15 วันที่ผ่านมา

    Acheni kuongelea mtu akiwa hawezi jitetea alipo kuwa hai mlikuwa wapi hamkusema ..sasa hawezi jitetea achaneni ni mtume wa Bwana

  • @user-cn7vz6ye1i
    @user-cn7vz6ye1i 15 วันที่ผ่านมา

    Mimi nipe mmoja ambayo imefanya T b JOSHUA kuwa nabii wa uongo..kusema hata wale wote walio toa taarifa wanaomba msamaha ..tena wale wote amezaa wengi katka mataifa mbali mbali

  • @user-cn7vz6ye1i
    @user-cn7vz6ye1i 15 วันที่ผ่านมา

    Mimi natetea T b JOSHUA ni mtumishi wa Mungu. Wala hakuna hata mmoja duniani aliyefanya kazi ya Mungu kwa uaminifu kama T b JOSHUA

  • @user-mk6if8xs3s
    @user-mk6if8xs3s 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu hujifunuo kwa kila mutu kivyake vyake

  • @SuleymanIbrahim-zi3ot
    @SuleymanIbrahim-zi3ot 15 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @user-xj8jq7ne8r
    @user-xj8jq7ne8r 16 วันที่ผ่านมา

    Kutoa ela miliyoni 10 hapo atakuwa raisi kwaniaba yake au kwaniaba yamungu! Mmmmh!!!???

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 16 วันที่ผ่านมา

    tulia soma biblia tulia.....maneno mengiiiiiiiii.....huna jipya