NIMEONA VITA KUBWA MISALABA MIWILI IKIPIGANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 5 หลายเดือนก่อน +4

    Amen mtumish mwanzon nilikua sikuamin kama mtumish wa mungu 😢niombee nimekosa

  • @InjiliTz
    @InjiliTz 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sio Msabato Ila Ukisema kuhusu Jumamosi Nakuelewa sana Baba..Wewe Ni Mtu wa MUNGU Hakika

  • @kelvinchristian8929
    @kelvinchristian8929 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nabii naomba na maombi yako niwe salama na familia yangu na watoto wangu na ndugu zangu hata wale ambao hawaamin,wakapate kuamin.

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amina prophet the Man of GOD be blessed.

  • @kelvinchristian8929
    @kelvinchristian8929 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi nabii, nimekusikiliza sana na nimeyaelewa uliyosema ni kweli, ila nabii mim moyo wangu umepotoshwa sana na manabii wa uwongo ambao sikujua, wameniambia mengi kuuzu mungu kunitendea, ila hayakutokea, sasa mim nitaondoka dar yakitokea uliyosema, mie nitakuja ulipo nitakufuata

  • @sarahshani6513
    @sarahshani6513 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen, ushindi ni lazima kwa msaada wa Mungu.

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 5 หลายเดือนก่อน

    Nakuamini.sana nabii musa napenda uwepo wako kwenye mtandao unanipa faraja sana AMEN AMEN AMEN

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 5 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu Kristo vipi huyu wewe pona Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai pona

  • @joannekesa1835
    @joannekesa1835 5 หลายเดือนก่อน

    Amina amina ubarikiwe nabii wa MUNGU Musa

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 5 หลายเดือนก่อน

    Amina amina mwenye masikio na asikie

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndiye Nabii mwenye msimano mkali wa kulazimisha mambo

  • @rehemakipesile4930
    @rehemakipesile4930 5 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu alisema mamlaka yote mbinguni na duniani amepewa yeye, wewe umetoks wapi tena jamani😢😢

    • @GeraldNjau-b6b
      @GeraldNjau-b6b 5 หลายเดือนก่อน

      Umemwambia kwel

    • @LenkPaul
      @LenkPaul 5 หลายเดือนก่อน

      Huyu kapagawa na mapepo tu, anajifanya yeye ndiye mwokozi

  • @NasofaAnna
    @NasofaAnna 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati huo ulikuwa unajua kama utazaliwa jamani tuwe makini nisiku za mwisho yesu ndiye njia na kweli na uzima

  • @Werema3760
    @Werema3760 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa maneno hayo Dar haitaangamia.😂

  • @GeraldNjau-b6b
    @GeraldNjau-b6b 5 หลายเดือนก่อน +2

    mti wa uzima ni Yesu 2

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uongo (rejea Mathayo 24:4-6)

  • @cecilortega9883
    @cecilortega9883 5 หลายเดือนก่อน

    Amen and Amen

  • @drnow1528
    @drnow1528 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Muea wa Tongareni

  • @ernestkomba5403
    @ernestkomba5403 5 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂 we jamaa ni muhuni labda wajombazako ndio watakuamini.

  • @gp.mavukiro6220
    @gp.mavukiro6220 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tafuta kazi ya kufanya brooo

  • @WemaMwaikambo
    @WemaMwaikambo 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani kwa sasa watu hawasilikizi mengine, ili uaminike na wasadiki unayosema, wewe endelea kumsihi Mungu aangamize dar kama ulivyosema na siku ndiyo hizo zinakimbia. Ila lisipotokea ndugu nakuonea huruma sijui utaweka wapi uso wako.

  • @chrispineacademicus5784
    @chrispineacademicus5784 5 หลายเดือนก่อน

    Mi nitaendelea kusema hii,roho siyo.Tangia muda tu,Et Yesu atarudi 2666,huna aibu,Biblia inasema hakuna ajuaye siku wala saa Hata Mwana wa Mungu Yesu hajui ,isipokuwa Baba .Huyu ni nabii wa Uongo, ni wasio ona tu ndo watamkubali Hakuna cha kuangamia Dar,Musa ana Eliyaha watakuja baadaa ya unyakuo kwa ajili ya kuwahubiria Israeli.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 5 หลายเดือนก่อน

    Ewe mwana wA joka🎉acha kutapika sumu iliyoko ndanii Yako,isije ikauwa watu Kiroho,labda wewe ni Nabii wa Kuzimu

  • @GeraldNjau-b6b
    @GeraldNjau-b6b 5 หลายเดือนก่อน +2

    Siku zote zinafaa kw kusali hakuna siku mbaya wala Mungu hajaumba siku mbaya

    • @hezekiamhapa7395
      @hezekiamhapa7395 5 หลายเดือนก่อน

      Siku zote ni sawa lakini Mungu alitenga moja TU kwa ajili ya ibada

    • @InjiliTz
      @InjiliTz 5 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 15:9
      KUABUDU KWAO NI SAWA NA BURE MAANA WANAABUDU WAKIFWATA MAFUNDISHO YALIYOMAAGIZO YA BINADAMU
      Jiulize Jumapili Imetokea wapi? Kwa Maagizo ya MUNGU Au Ya Binadamu

  • @LenkPaul
    @LenkPaul 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe umerukwa na akili. Ulituambia Dar itazama, nasubiri hiyo tarehe uliyoisema ili uabike vizuri. Dar haizami na sisi tunaomjua Mungu wa kweli hatuhami ng'o

  • @LukaMatimbwi
    @LukaMatimbwi 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna cripu uliwahi kusema wanao fanya ibada jpilimbinguni wataenda kwaneema ya mungu ikiwa watafanya kwa usahihi

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama wewe ni mkuu kuliko yesu au umekaa kwenye nafasi ya yesu mbona sasa unasema bwana yesu asifiwe kama sio uchizi huo ninini

  • @cecilortega9883
    @cecilortega9883 5 หลายเดือนก่อน

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nimepewa mamlaka ya kristo badala ya kristo nasimama mimi😅😅😅😅😅😅

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 5 หลายเดือนก่อน +1

    Duuh huyu jamaa alianzaga vizuri sijui wamemfanyaje au alijiinua ndiyo akavamiwa akawa hivi? Na kibaya zaidi atapotezwa vibaya na hayo mashetani!

    • @MathayoMulumbi
      @MathayoMulumbi 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

  • @GeraldNjau-b6b
    @GeraldNjau-b6b 5 หลายเดือนก่อน +1

    Unamatatizo maana huwez kusema wewe ndo unahukumu

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 หลายเดือนก่อน

    Nimkuu kuliko--------😂😂😂😂😂

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni Pepo.

  • @NasofaAnna
    @NasofaAnna 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe ndio mwenye mbingu jamani

  • @GeraldNjau-b6b
    @GeraldNjau-b6b 5 หลายเดือนก่อน +1

    wewe ukiwa nuru na Yesu atakua nani?

  • @kingsolomoni-xp3dv
    @kingsolomoni-xp3dv 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nawaambia huyu nabii ni chizi nyie mnabisha hayasasa sikia maneno yake

  • @bennymbwile6461
    @bennymbwile6461 5 หลายเดือนก่อน

    Umeingia rasimi kwenye kundi la manabii wa uongo. Huna lolote wewe agent wa kuzimu. Wengi walitokea kabla Yako wakijigamba kuwa ni Elia na wengine Musa. Wewe siyo mtu wa Kwanza. Usipotubu utaangamia

  • @PeterLaizer-hj3cy
    @PeterLaizer-hj3cy 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu lijinga kabisa, bibilia inasema Yesu ndio wa kwanza na wa mwisho.
    Wew unatoka wapi Hadi kua agano la mwisho????.
    Wewe mshenzi kweli kweli.
    Wewe unaweza kua agano Bora zaidi ya damu ya KRISTO YESU iliyofanyika agano kwetu sisi na MUNGU???.
    Hakika MUNGU akukemee, na aiharibu mawazo babaya na roho chafu ndani Yako.
    Shetani anakutumia Kwa nguvu.

    • @NasofaAnna
      @NasofaAnna 5 หลายเดือนก่อน

      Mimi nasema watu wanatafutia tumbo lao saivi yesu alisema tumtazame yeye mwenyewe kuazisha na mwenye kumaliza yeye ndiye aliifia dhambi hay sasa huyu nabii kafanyanini chakumshinda Jesus mbaka tu mtadhame yeye

    • @PeterLaizer-hj3cy
      @PeterLaizer-hj3cy 5 หลายเดือนก่อน

      @@NasofaAnna hata angefanya, Bado haipaswi kufuata yeye, kwani huyu ana mahali ya kuweka roho zetu

    • @PeterLaizer-hj3cy
      @PeterLaizer-hj3cy 5 หลายเดือนก่อน

      @@NasofaAnna na unapoona watu wanota ndoto kama anavyowaza kichwani mwake, sawa na ujinga na upotovu anaozusha huyu wakala wa shetani, tusishangae maana shetani Ili aweze kufanikisha jambo lake hutumia akili nyingi ionekanayo kwetu sisi kua ni kweli kumbe ni uongo.
      roho chafu ya shetani itokayo Kwa huyu nabii ndio inayoenea duniani Kwa wale wasiomjua MUNGU.