NINATAKA RAISI MLOKOLE TANZANIA/ wameshasaini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 51

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanao sikiliza unabii huu inawezekana Ni wachache Sana mwombeni Mungu awape hekima namna gani unabii huu uenee nchi kwa mkono wa Mungu

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi, jitahidi sana kuhusisha mafundisho na neno la Mungu,pia jitahidi kuomba Mungu akifundishe kupitia roho wa Mungu,

    • @nestorygilbert6170
      @nestorygilbert6170 4 หลายเดือนก่อน

      Tatizo umekariri, na unacoment usicho kijua,huyo roho mtakatifu mwenyewe humjui ,

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Prophet Mungu akubarki pia

  • @haridimpelengana1246
    @haridimpelengana1246 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe pepo mchafu nilishakukemea.
    Huna roho wa Mungu, pepo yuko ndani yako.
    Acha kulitaja jina la Yesu

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 5 หลายเดือนก่อน +1

      Haridi toka lini ukamkemea mwenye Kristo

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 4 หลายเดือนก่อน

    Safi nabii

  • @jorambranchofmud6299
    @jorambranchofmud6299 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mtumishi una maana hata tarehe uliyotupa ya unyakuo huenda itabadilika kama tarehe uliyotutajia ya dar kubadilika

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mimi unanichekeshaga tuu nikikuona ama kweli nabii Musa duh dar kuangamia imegomea wapi?

  • @AshilatAbas-qe4fh
    @AshilatAbas-qe4fh 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli wewe mtaona

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 5 หลายเดือนก่อน +1

    NAENDELEA KUSEMA HAKUNA NABII HAPO,HUYU ANATAFUTA MAMBO YAKE MWENYEWE NDIYO MAANA ANAISHI KWA KUBAHATISHA

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

      Muongo Sana Kwanza huo unabii kampa nani

  • @NyumaMasanja
    @NyumaMasanja 4 หลายเดือนก่อน

    Leo ni tarehe 29 bado siku mbili 😂

  • @Ruiyakibwana-ld2qj
    @Ruiyakibwana-ld2qj 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kila anacho kiongea ni mawazo yanayo toka kwenye akili yake. Hayana ukweli hata kidogo
    Kwaiyo mchukulieni kama mjinga flani aliye kosa la kufanya . Huyu ataishia kukaa mbele ya kamera mpaka ataacha na kwenda kutafuta kazi nyingine

  • @Musajacob
    @Musajacob 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa nitaanza kumwelewa baada ya tar 1 mwezi wa 6😂

  • @manfordmkinga4080
    @manfordmkinga4080 5 หลายเดือนก่อน +1

    HUYU NABII WA UONGO ALISEMA MTOKE DAR MWEZI APRIL KUNA MAFURIKO, NA ALIPOSHINDWA AKASEMA MWEZI WA 5 ,HUYU HANA MUNGU

    • @aidanmtabe3552
      @aidanmtabe3552 5 หลายเดือนก่อน

      Soma vizur kipeperushi kiliandika mwez wa 5 sio wa nne

    • @manfordmkinga4080
      @manfordmkinga4080 5 หลายเดือนก่อน

      @@aidanmtabe3552
      Mtetee sana, na mwezi huu 5 hakuna mvua kama nabii Dar es salaam haitakumbwa na hayo, wewe na huyo tapeli wote muokoke

    • @sendamabj2534
      @sendamabj2534 5 หลายเดือนก่อน

      ​​@@aidanmtabe3552huyo ni nabii tapeli Hana lolote.nawaomba someni maandiko msibaki kutapeliwa na manabii wa uongo,mtu yeyote anayekwenda kinyume na neno la Mungu unapaswa kumwogopa sana.

    • @nestorygilbert6170
      @nestorygilbert6170 4 หลายเดือนก่อน

      Manford hajui kusoma 😂hata hekima ya Mungu umekosa unacoment bila kufikiri 😂mtamjua Mungu kwa lazima Endelea kuitaman hasira ya Mungu utaiona

  • @ernestkomba5403
    @ernestkomba5403 5 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂 Tukumbushe Dar itaangamia lini mkuu mbona watu bado wanadunda.

    • @ebenezerchurchsupremetv9490
      @ebenezerchurchsupremetv9490 5 หลายเดือนก่อน

      Kibwetere huyu nyie😂😂😂

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

      Muoooooongo

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

      Wakatolik peke yao wanaoabudu Mungu mmoja

    • @Gaynor1234
      @Gaynor1234 5 หลายเดือนก่อน

      Acheni maswali ya kijinga.

    • @noeleliasi8401
      @noeleliasi8401 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Gaynor1234 ujinga wa maswali uko wapi, watu wasiulize AMA??

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 5 หลายเดือนก่อน

    Bila shaka atakuwa Dr Gwajima

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda labda 😊

  • @francismacha1693
    @francismacha1693 5 หลายเดือนก่อน

    Sanduku la agano itakuwa amepoteza ufunguo toka mwezi wa tano hajapata😂

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Werema3760
    @Werema3760 5 หลายเดือนก่อน

    🌍Mim mpaka kwamza Dar iangamie maana sikwelew kwa sasa😂.

  • @noeleliasi8401
    @noeleliasi8401 5 หลายเดือนก่อน

    KUKOSA MILIONI KUMI MCHEZOOO....

  • @SeifRashid-bd1qn
    @SeifRashid-bd1qn 5 หลายเดือนก่อน

    Nass,waislam ,tunahitaji,maraisi,masheikhe,😂

  • @KissahMuywanga-ht1sj
    @KissahMuywanga-ht1sj 5 หลายเดือนก่อน

    Punguza maneno utafungwa. Taharuki hatuzitaki.

  • @AverinaShirati
    @AverinaShirati 5 หลายเดือนก่อน

    Atutaki walokole waongo

  • @FaithZubeli-gl6fx
    @FaithZubeli-gl6fx 5 หลายเดือนก่อน

    Amin

  • @VenerandaKundi-ph4hg
    @VenerandaKundi-ph4hg 4 หลายเดือนก่อน

    We acha udini baba wa taifa alikemea yaani sie tunataka kiongoz
    Yoyote we ni shetani kila saa romankatolic hubiri watu waokoke waache dhambi sasa uongozi Kwa taarifa yako anayeamua amweke nani awe mlokole muislam au mkatolic ni mungu tu hizo chuki zako zitakumaliza polepole usifinishe watu 😂😂😂😂😂😂😮

  • @MerlickEduard
    @MerlickEduard 5 หลายเดือนก่อน

    Mafuriko yanasemaje na kuangamia

  • @jastinmodest8073
    @jastinmodest8073 5 หลายเดือนก่อน

    🙏🏾

  • @SimbaMuamuzi
    @SimbaMuamuzi 5 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja mussa

  • @drnow1528
    @drnow1528 5 หลายเดือนก่อน

    Tunataka Dini ya Serikali

  • @yusufmunisi4796
    @yusufmunisi4796 5 หลายเดือนก่อน

    Unafaham ni nini maana ukristo

  • @georginaKomolinyang
    @georginaKomolinyang 5 หลายเดือนก่อน

    Amen