BREAKING; SERIKALI KUSIMAMIA DINI YA UISLAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @dickson1820
    @dickson1820 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tazama umoja was waislamu wakitetea Dini yao, sisi wakristo hatuna misimamo kuwashinda waislamu na ndio maana ukristo umevurugika vibaya mno.

    • @MohamediNgoge
      @MohamediNgoge 3 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa hawa jamaa wanamsimo

  • @saidkiangi4196
    @saidkiangi4196 3 หลายเดือนก่อน

    Hii dalili ya kuwa na viongozi/watendaji wasiokuwa na wasiojua uislamu

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 3 หลายเดือนก่อน

    Mliomba kumbukeni kwenye bara la Idi mwaka juzi

  • @Werema3760
    @Werema3760 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunasubiri Dar iangamie. Mengine hatutaki kuelewa kwa sasa.🤣

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 3 หลายเดือนก่อน +1

      Neema na kweli ya Kristo,,Sasa Imani yako iko wapi Imani nikuwa na uhakika na Mambo yatarajiwayo,Imani iumbike moyon mwako,huko ni kumfosi Mungu Baba,

    • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
      @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 3 หลายเดือนก่อน

      Bado hujasema

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Hawa ndg zetu hawataki kuwapa haki wanawake sasa serikali ikitunga sheria ya ndoa Kuna Kosa gani?

    • @ramygichero1016
      @ramygichero1016 3 หลายเดือนก่อน

      Wapeni wanawake wenu

  • @mlowegb4097
    @mlowegb4097 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh....! Hatari

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 3 หลายเดือนก่อน

    Kaz kweli kweli

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 3 หลายเดือนก่อน

    😮😮😮😮😮WHAT?

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 3 หลายเดือนก่อน

    agenda ya papa hy

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน

      MFUMO KRISTO KUSIMAMIA MASOMO YA UISLAM TANGANYIKA NA ZANZIBAR
      Serika ya Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) inawadanganya Waislam kuwa Tanzania haina Dini. Lakini inataka kusimamia Masomo ya Dini ya Kiislam.
      Hiyo ni AGENDA ya Siri ya MFUMO KRISTO wa kuharakisha Mkatoliki Nyerere kuwa MTAKATIFU baada ya Muislam wa Zanzibar Rais Samia kuonana na Papa Francis kwa Mashirikiano ya Kanisa Katoliki na Serikali ya Tanzania.

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo I akuna dunia nzimaaaa dunia nzimaaaaa tu take tusitake

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 3 หลายเดือนก่อน

    TUJIANDAE mama anatuletea waaarabu maandarizi hayoo wanang'ang'anizaaa ndo mana wamepewa ngorongoro na bandariii da twafwaaaa

    • @HamisAbdallah-cj2sc
      @HamisAbdallah-cj2sc 3 หลายเดือนก่อน

      Asalam ALEY kum KWA hili mufti VP mbona hatumaikii na sheikh Walidi aijawasikia KABISA wamekaa kimya ??? HAPA ndio kwenye mtanange tutawajuwa masheikh WA kweli na mashelkh WA mchongo HAPA ndio patamu.masheikh WANGU ALLAH ATALISIMAMIA HILI KUPITIA VINYWA VYENU MSICHOKE KUAEMA MAAAHEIKH WA KUGOMBANIA KUTANGAZA MWEZI HAPA WAMEINGIA MITINI .WAO kazi yao kugombana na masheikh wenzao ila kugombana na wasio kuwa waisilamu wanapouchezea uwisilamu huwaoni kimyaaaaaaaaa.

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani hapa kinachopingwa ni nini?