WAKRISTO NI ZIRO NDIO MAANA WANAABUDU JUMAPILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @JohnMahu-f1g
    @JohnMahu-f1g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acha ujinga wako we mwenyew uliabudu jumapila wamwabuduo wa kweli watamwabudu ktk roho na kweli Kila ck ni ya mungu yesu alisema mi ndo bwana wa sabato we BK ktk ck na ujinga wako

  • @TeloAwor
    @TeloAwor 5 หลายเดือนก่อน

    Yaani wewe Mungu akusaidie😊

  • @josephkadeghe4720
    @josephkadeghe4720 5 หลายเดือนก่อน

    WANAOABUDU JUMAMOSI WANAMAAJABU GANI, HAWANA HATA UWEPO WA MUNGU, HAWAWEZI KUKEMEA HATA MAFUA.

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu mpaka kamtumia huyu kazi kweli ,kaongea kama utani ila ndio ilivyo

    • @AllyhHassani
      @AllyhHassani 5 หลายเดือนก่อน +1

      Siyo katumwa.ila wewe ndio husomi biblia soma ujue dini yako inatakaje.wewe subiri usomewe tu uitikie Amin amen mpaka unavuliwa nguo bado wasema amen

  • @GodloveLauwo
    @GodloveLauwo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kashapata maji meupe

  • @wemapaschal2325
    @wemapaschal2325 5 หลายเดือนก่อน

    Mtu haukumiwa kwa siku ya kusali au kwa vyakula alavyo hukumu ya mtu ni matendo Yako. Mchungaji acha kuwapotosha watu wewe wahubirie habari za ufalme wa mbingu utokanao na matendo mema na upendo wa Yesu

  • @joshuajohn2668
    @joshuajohn2668 5 หลายเดือนก่อน +2

    Walokole wakisha ona wananena kwa lugha wanaponya watu wanaupako Basi Wana verify tayari jumapili ni siku ya MUNGU kwa ibada wanakataa sabato kabsaa

    • @Reginajohnson19884
      @Reginajohnson19884 5 หลายเดือนก่อน

      Jumapili I like tea na wakatoliki hao ndio walibadilisha lakini ukweli kila siku ni siku ya ibada

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 5 หลายเดือนก่อน

    Uongo siku ya pasaka sio siku ya yesu kufa pasaka ilikuwapo kabla yesu kufa

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 5 หลายเดือนก่อน

    Soma kalenda ilianzia wapi NA ndani ya kalenda siku tano zilitolewamo KWA siku ya jumamosi au jumapili sio siku sahihi sa kuabudu jamani someni mfahamu nchi NA Dunia KWA ujumla

  • @KissahMuywanga-ht1sj
    @KissahMuywanga-ht1sj 5 หลายเดือนก่อน

    Hueleweki sasa hivi, fundisha ukijuacho ili ufuatwe.

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndio ukwel sabato n jumamos

  • @onlyyoujesus8232
    @onlyyoujesus8232 5 หลายเดือนก่อน

    Pole yako mtoa fundisho. Endelea hivyo hivyo ulivyo🤣😅🤣

  • @Reginajohnson19884
    @Reginajohnson19884 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu anawachamba wakatoliki

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 5 หลายเดือนก่อน

    BuMBAVU ZAKO WEWE HATUABUDU SIKU TUNAMWABUDU MUNGU MUUMBA MBINGU NA NCHI PIA NYIE MNAOMSIKILIZA HAWA MANABII FEKI POLENI MPINGENI SHETANI NAE ATAWAKIMBIA

  • @HAAM670
    @HAAM670 5 หลายเดือนก่อน

    KUNA THAWABU GANI KTK KUABUDU SIKU FULANI KULIKO SIKU NYINGINE YOYOTE ILE @ UNYAKUO TV?

    • @benignajosephwatendewao2065
      @benignajosephwatendewao2065 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli....JAMANI MAMBO YA SIKU 😂😂😂 WAPENDWA TUABUDUNI KATIKA ROHO NA KWELI NA SIYO SIKU.

    • @benignajosephwatendewao2065
      @benignajosephwatendewao2065 5 หลายเดือนก่อน

      KAMA SISI NI WAKRISTO BASI TUIISHI IMANI ALIYOTUACHIA KRISTO...TUACHE MATABAKA KATI YETU SISI WOTE TUNAUJENGA MWILI WA YESU KRISTO.

    • @benignajosephwatendewao2065
      @benignajosephwatendewao2065 5 หลายเดือนก่อน

      NDUGU ZANGU...TUKIMUELEWA VIZURI YESU KRISTO SIDHANI KAMA KUTAKUWA NA MAMBO KAMA HAYOO😢MIMI NAAMINI HIVYO.

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu anatakiwa apingwe kwa nguvu zote kutoka 12:16

  • @hezekiamhapa7395
    @hezekiamhapa7395 5 หลายเดือนก่อน

    Ukweli unasemwa wazi wazi