🎶 Lyrics to "Nimechoka Maumivu" by Naima Mohammed ft Coast Modern Taarab 🎶 #INTRO Asante Omary Teggo kwa hii #HOOK Lalalaaa Lalalaaa #CHORUS Kama ni ustahimilivu, nimefanya sana mie, Nimechoka maumivu, bora ngazi niachiee. Kama ni ustahimilivu, nimefanya sana mie, Nimechoka maumivu, bora ngazi niachiee. Nitakuja bure kufaa, tamu ya mapenzi sionii, Moyo umeweka ufa, wakuuziba ni nani!? Nitakuja bure kufaa, tamu ya mapenzi sionii, Moyo umeweka ufa, wakuuziba ni nani!? #VERSE 1 Mapenzi yana wenyewe, saizi wanaenjoy, Kwa upande wangu mie, sijawai kufurahi. Mapenzi yana wenyewe, saizi wanaenjoy, Kwa upande wangu mie, sijawai kufurahi. Nilijua mapenzi hijabu, vazi lenye kustiri, Kumbe ni kinyume chake, kumbe nguo isiyo na adabu. Mwezenu imeniadhiri, nimeshindwa vazi lake, Kila ninavyojaribu, yangu hayaendi sahari. Mapenzi kitu cha ajabu, nashindwa kukitafsiri, Kila ninavyojaribu, yangu hayaendi sahari. Mapenzi kitu cha ajabu, nashindwa kukitafsiri. Ni kweli nimegundua, kwenye mapenzi sina bahati, Basi mola jaalia, nipate wangu comfort. #VERSE 2 Wenzangu wanakula asali, kula asali pande zote penzini, Kwangu mimi nishubiri, heka heka kama vile nipo vitani. Wenzangu wanakula asali, kula asali pande zote penzini, Kwangu mimi nishubiri, heka heka kama vile nipo vitani. Mapenzi hayanikubali, hata sijui kwanini, Najiuliza maswali, kuna mkono wa nani. Ohh nateseka mwezenu, kwanini kila siku mimi, Ohh nioneni huruma, aah nina moyo na mimi. Umechoka mtima, na akili mayo sisemi, Kuumizwa kunauma kama Mandonga ma ngumi. Umechoka mtima, na akili mayo sisemi, Kuumizwa kunauma kama Mandonga ma ngumi. Bora ni enjoy maisha mafupi, ni simple, Yanimi niteseke rohoo, jiunge nami upooze koo. Bora ni enjoy maisha mafupi, ni simple, Yanimi niteseke rohoo, jiunge nami upooze koo. #OUTRO Una shape gani wewe, unashape gani? Hata ujishue mbele za watu. (Unashape gani, shape yako haivai taiti) Una pua gani wewe, unapua gani? Hata ujishue mbele za watu. (Una pua gani, pua yako haivai kipini) Una shoga gani wewe, una shoga gani? Hata ujishue mbele za watu. (Una shoga gani, shoga yako anakusengenyaa) Una sura gani wewe, una sura gani? Hata ujishue mbele za watu. (Una sura gani, sura yako haikai podaa) Enjoy and sing along! 🎤💖 Don't forget to like, share, and subscribe for more amazing Taarab music! 🎶
🎶 Lyrics to "Nimechoka Maumivu" by Naima Mohammed ft Coast Modern Taarab 🎶
#INTRO
Asante Omary Teggo kwa hii
#HOOK
Lalalaaa Lalalaaa
#CHORUS
Kama ni ustahimilivu, nimefanya sana mie,
Nimechoka maumivu, bora ngazi niachiee.
Kama ni ustahimilivu, nimefanya sana mie,
Nimechoka maumivu, bora ngazi niachiee.
Nitakuja bure kufaa, tamu ya mapenzi sionii,
Moyo umeweka ufa, wakuuziba ni nani!?
Nitakuja bure kufaa, tamu ya mapenzi sionii,
Moyo umeweka ufa, wakuuziba ni nani!?
#VERSE 1
Mapenzi yana wenyewe, saizi wanaenjoy,
Kwa upande wangu mie, sijawai kufurahi.
Mapenzi yana wenyewe, saizi wanaenjoy,
Kwa upande wangu mie, sijawai kufurahi.
Nilijua mapenzi hijabu, vazi lenye kustiri,
Kumbe ni kinyume chake, kumbe nguo isiyo na adabu.
Mwezenu imeniadhiri, nimeshindwa vazi lake,
Kila ninavyojaribu, yangu hayaendi sahari.
Mapenzi kitu cha ajabu, nashindwa kukitafsiri,
Kila ninavyojaribu, yangu hayaendi sahari.
Mapenzi kitu cha ajabu, nashindwa kukitafsiri.
Ni kweli nimegundua, kwenye mapenzi sina bahati,
Basi mola jaalia, nipate wangu comfort.
#VERSE 2
Wenzangu wanakula asali, kula asali pande zote penzini,
Kwangu mimi nishubiri, heka heka kama vile nipo vitani.
Wenzangu wanakula asali, kula asali pande zote penzini,
Kwangu mimi nishubiri, heka heka kama vile nipo vitani.
Mapenzi hayanikubali, hata sijui kwanini,
Najiuliza maswali, kuna mkono wa nani.
Ohh nateseka mwezenu, kwanini kila siku mimi,
Ohh nioneni huruma, aah nina moyo na mimi.
Umechoka mtima, na akili mayo sisemi,
Kuumizwa kunauma kama Mandonga ma ngumi.
Umechoka mtima, na akili mayo sisemi,
Kuumizwa kunauma kama Mandonga ma ngumi.
Bora ni enjoy maisha mafupi, ni simple,
Yanimi niteseke rohoo, jiunge nami upooze koo.
Bora ni enjoy maisha mafupi, ni simple,
Yanimi niteseke rohoo, jiunge nami upooze koo.
#OUTRO
Una shape gani wewe, unashape gani?
Hata ujishue mbele za watu.
(Unashape gani, shape yako haivai taiti)
Una pua gani wewe, unapua gani?
Hata ujishue mbele za watu.
(Una pua gani, pua yako haivai kipini)
Una shoga gani wewe, una shoga gani?
Hata ujishue mbele za watu.
(Una shoga gani, shoga yako anakusengenyaa)
Una sura gani wewe, una sura gani?
Hata ujishue mbele za watu.
(Una sura gani, sura yako haikai podaa)
Enjoy and sing along! 🎤💖 Don't forget to like, share, and subscribe for more amazing Taarab music! 🎶