"JAPO NINASOMA MEMKWA, NAAHIDI NITATIMIZA NDOTO ZANGU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2023
  • Ni jambo la kuleta faraja kuona watoto wakiongezeka kupata elimu kupitia Programu ya ELIMISHA MTOTO, hivyo tunapaswa kuwahimiza wazazi , walezi na jamii kiujumla kuwapeleka watoto shule.

ความคิดเห็น •