4 - MBINU ZA KUACHILIA NGUVU ZA MUNGU WAKATI UNAOMBA || Mwl Christopher Mwakasege || Babati 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 47

  • @DanielKishinja
    @DanielKishinja 2 หลายเดือนก่อน

    Amina sana mtumishi wa mungu ,mungu akubariki sana nimebarikiwa sana na ujumbe huu

  • @rachelpeter87
    @rachelpeter87 9 หลายเดือนก่อน +1

    We Bwana wangu nakuomba unifungulie milango yangu ya kiuchumi Bwana, nskuamini na kukutegemea wewe. Amen

  • @marthakonkumo7816
    @marthakonkumo7816 10 หลายเดือนก่อน +4

    Anima baba jioni ya Leo nakabidhi Umaskini wangu msalabani.

  • @CostanciaMichael
    @CostanciaMichael 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba mlango wa kutokea kwenye jalihu hili la kukosa mtoto na kupoteza Amani na furaha kwenye ndoa yangu.nimechoka mungu naomba ingilia Kati .

  • @LABANIREVOCAT
    @LABANIREVOCAT 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana yesu asifiwe, naomba mniombee niweze kuvuka kiuchumi maana kila miradi ninayo simamia haizalishi faida......................................

  • @NeemaMwakyasima
    @NeemaMwakyasima 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu fungua milango yote ya kikazi Kwa Damu Yako yesu

  • @mkoreawamsoma1348
    @mkoreawamsoma1348 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @doricetillya1902
    @doricetillya1902 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisaidie nikujue ww zaidi niondolee madeni na niinue kiuchumi

  • @noelmtumishi7895
    @noelmtumishi7895 10 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks for this message

  • @jakylinedeogratias7597
    @jakylinedeogratias7597 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ehh Mungu ulie hai nifungulie uzazi Mimi niwaabishe watesi wangu😢🙏

  • @danielikongo4677
    @danielikongo4677 7 หลายเดือนก่อน

    Utukufu uwe ni wako Yesu

  • @ThomasJohn-nt5ml
    @ThomasJohn-nt5ml 9 หลายเดือนก่อน

    Ewe mwenyezi mungu naomba wepesi wa maisha yangu

  • @levinakatana1374
    @levinakatana1374 9 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu ninaomba Kwa ajili ya afya nzuri ya mama yangu naomba Mungu amponye maradhi yake yote..Amen

  • @PaskalinaPanga-px3gu
    @PaskalinaPanga-px3gu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika Nimememwona Mungu akinifungua kwenye mkutan huu 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @miriamnaliaka7327
    @miriamnaliaka7327 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nifungulie milango ya uchumi Bwana

  • @ToussinSeraphin
    @ToussinSeraphin 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu awabariki sana kweli, mtumishi naomba msaada wa maombi Mungu anifunguliye milango ya kwenda Marekani. Naishi kambini Nyarugusu mkoani kigoma wilayani kasulu kambi la wakongomani naitwa Zuena malumbi.

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 8 หลายเดือนก่อน

      Marekani kufanya nini..?? 🤣🤣 Unataka kutukimbia wenzio 🥺🥺

  • @PaskalinaPanga-px3gu
    @PaskalinaPanga-px3gu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amn mbarkiwe watumish Mungu azidi kuwatia nguvu🎉🎉🎉🎉

  • @jenjuma6255
    @jenjuma6255 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nisaidie nikutangulize wew kw kila kitu ninachokifanya nifungulie malango ya uchumi kw nguvu zako

  • @benjaminimtafya8707
    @benjaminimtafya8707 9 หลายเดือนก่อน

    MUNGU awabariki Sana WATUMISHI WA MUNGU

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 9 หลายเดือนก่อน

    Ee Mungu naomba nifungulie milango ya uchumi naomba uniponye na kipanda uso

  • @samwelinyaku3810
    @samwelinyaku3810 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika nilimwona bwana yesu akitenda kazi ndani yangu kwa namna isiyo ya kawaida

  • @DaudiGutta
    @DaudiGutta 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anijalie ktk safari ya kumwona yeye Kwa macho yangu.

  • @doricetillya1902
    @doricetillya1902 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu nipe kibali cha kuinuka

  • @heavenlightobeid4264
    @heavenlightobeid4264 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen nmepokea kwajina la Yesu

  • @selemanjames8190
    @selemanjames8190 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu azidi kuwashikilia asiwaachie Mpaka TANZANIA itakapowekwa imara ikiwezekana Mpaka YESU Arudi Mungu Awatunza na Azidi kuwapa like ambacho Ni portion ya Taifa Hili Amen.,🙏

  • @udithAlbert
    @udithAlbert 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ammeen

  • @MariaMsungu
    @MariaMsungu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina nimebalikiwa san

  • @marthakonkumo7816
    @marthakonkumo7816 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina baba nimekuelewa..

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 8 หลายเดือนก่อน

    Ticha ✋️

  • @godfreycheyo3396
    @godfreycheyo3396 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 9 หลายเดือนก่อน

    Ameni♥️💯👏

  • @NaomiNgailo-k5l
    @NaomiNgailo-k5l 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen

  • @AmmyAlly-gm8rv
    @AmmyAlly-gm8rv 10 หลายเดือนก่อน

    Anayejua gharama za kwenda kwenye kongamano la kuombea taifa ni kiasi gan aniambie

  • @masanjaek6719
    @masanjaek6719 9 หลายเดือนก่อน

    Ninakabidhi umasikini msalabani sasa mimi ni mridhi ktk uzao wa Ibrahim

  • @JOSEPHINEMICHAEL-p2t
    @JOSEPHINEMICHAEL-p2t 10 หลายเดือนก่อน

    Baba binti yangu Amanda kufanya intavyu mm kama mama naweza kumuombea akafaulu

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 9 หลายเดือนก่อน +1

    Semina ni mwezi ujao tarehe 17 au mbn ilitangazwa kwamba 17 mwezi huu Dodoma

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 10 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @Patrickkiwia
    @Patrickkiwia 10 หลายเดือนก่อน +1

    amen

  • @trending9672
    @trending9672 9 หลายเดือนก่อน

    ameeeen

  • @miriamsospeter5996
    @miriamsospeter5996 10 หลายเดือนก่อน +2

    Aminaaaa

  • @AbelshedrackNnko
    @AbelshedrackNnko 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @joycekweka9124
    @joycekweka9124 10 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @zaituniramadhan6652
    @zaituniramadhan6652 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @jovitaaugustine
    @jovitaaugustine 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina