Anko bhn me mpk napat ugonjwa wa moyo aisee uku n kuxubir ximuliz daaah unatuwezea kinoma noma anko j tunakupenda sana na tunaipenda kazi yako❤️❤️❤️❤️ nawapenda walevi wenzangu wa simulizi za anko j 🥳🥳🥳🥳
Ankojay wewe ni Noma natamani hâta nikuone Ila sijuwe kama itatokea Siku kwani nakaa mbili kabisa n'a wewe mimi ni mukongo nakaa goma town nafurahiya sana simulizi zako
WAOOOOO LISA BEBEEE LISSA BINT MWALLAAA JAMAN SIKUA HEWAN MUDAKIAS SASA NIMERUD NAFURAHIA KUMKUTA MTUNZI WANGU PENDWA LISA MWALA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ NGOJA NIKAE
Nina shaka tumefumwa na mama sijui itakuwaje uku nyumbani Mahana mama uyu ni mwanajeshi ana piga mpaka sio poa jamani Sasa sijui akumbuki watu usema ukiwa na mtoto bac jua ukosi mkwe Sasa mama vipi ukari wa nin pole pole tu haya mambo akuna komandoo mwenyewe akumbuke alivyo kuwa akiwasimbua Babu na bibi 😂 hongera Sana mwandishi wetu Lissa wetu hila sikuizi umekuwa mwana mpotevu hila ukija unakuja mazima tuko pamoja mnooooooo una baya
Anko bhn me mpk napat ugonjwa wa moyo aisee uku n kuxubir ximuliz daaah unatuwezea kinoma noma anko j tunakupenda sana na tunaipenda kazi yako❤️❤️❤️❤️ nawapenda walevi wenzangu wa simulizi za anko j 🥳🥳🥳🥳
Wadau WA anko jay mpoo jay asante sana kwa simulizi zako ziko na mafunzo sana wadau like nitapata ata tano😂❤❤🎉
Haba baya lisa na Ankoooo
Mungu awalindee
Lete vituuuuuuuuu❤❤❤❤
Asante kwa vyombo vipya.. chukuwa maua yako yote anko jay🌹🌹💐💐💐💐💐💐🌼🌼🌼🌺🌺🌸💮💮🏵️🏵️🌻🌻🏵️
😅😮😮wamisho leo mie naomben like hata moja khA jamn
Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya much love.
Asante anko jey Yani humwezi umekuja na baraka zake masimulizi yakumwanga 🎧🎧🎧🎧🪑🪑🪑🪑
Hope sijachelewa,Ahsante sana Anko kwa simulizi yetu hii nzuri, usisahau bado tuko pamoya, Ankoo much love ❤.
Nimewai leo mapema 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Leo nimewahi shukran kaka Ankojay na abarikiwe daa Lisa mwala tumemiss mnoo
Ahsante bwana anko Jay simulizi wewe nakipenzi chetu lisa mwalla ❤❤❤❤
Nimewahi leo mauwa yako nko j mapesa❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani hata mm nimekuwa wa kwanza like zenu tafazalini
Haya Milele mpaka kifo ❤❤❤ kitutenganishe na wewe Anko j tunakupenda pokea maua yakooooo
Wow leo nimejitaid🔥👌
Jaman naomben like ata mia nnetuu
Familia ya anko jay mko vzr kwakuwahi simulizi mwendo wakobe niliwahi siku moja tu😢😢😢😢😢
Thank youuuuuuu so much 💞 my wetu kipenzi simulizi tamu hadi tamu tena mnooooo pokea mauwa yako Bwana anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Milele mbeya touniii 🌹🌹🌹🏃apa Lisa mwala najua unaelewa vema tulivo kumis kwenye simulizi wakubwa tu maua yako💐💐💐🤝
😂❤❤❤
Missed you bby gal Lissa Mwalla Asante sana Ankojay ♥️♥️♥️🇰🇪 🇰🇪
Lov uuu ❤
Milele❤❤🔥🔥🔥
nimewahi jamani like zangu🙏🙏🙏
Mm sitowi mguu wangu kwenda kwengine nasubiri hapahapa😊😊
Wow ♥️♥️♥️🥗🥗🥗🎋🎋🎋🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌿🌿🌿 miss you Lissa Mwalla😍
Nimekuwa wa 26 Asante Lissa mwala na Anko j wetu
Nakupenda sana anko j na sauti yako ya zahabu allah akuzidishie kila la kheri🎉🎉🎉🎉
Amin
Wewe 🎉🎉 asante sana anko jay
Waaaaaooooh walaghiii hii beet mm naon inanogesh simulizi saaan
Woow leo nimewahi hata kama hanitaki kunipa like 😢😢
Wallah napenda sana simulizi za ankojay napenda sauti yake yani inanipa furaha telle sana😊
Dada Lisa mwala asante nimengoja sana kazi zako
Lisa wetu dada yetu tunagupend sana tulikumisi sana milele ngoja nikaye
Nilimiss lisa mwala❤
Lissa mwala hajawah kuwa na kaz mbovu❤ anko pia huboi Wala hukeri Kwa kazi nzr🥰🔥♥️🎉
Asante my ❤
@@lissamwalla501 pamoja
Wallah hakuna muandishi nnaemkubal km lissa mwallah❤🎉
❤
kitu kipya apa kwa anko ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤Lisa mwala uko juu km dege laosama Ahasante sana anko jay kwasimulizi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
😂😂asante ❤
Nimecheka tu pongezi ❤❤🎉🎉
Much love from Kenya
Ila Lisa ww uko vixur kinoma sana pamoja na anko jay wetu sauti tu mwaaaaa 🎉🎉
Nakubali sana mwandishi Lissa Mwala pamoja na Edazaria...congrats
Asante ❤
Tumekumic madam wt ❤❤❤
Ankojei. Nipo. Hapa dada. Yako. Nakusikilisa. Mpaka. Mwisho. Wa. Simulizi. Hiii dada. Lisa. Asante. Kwa. Simulisi. Zako❤🎉🎉🇮🇹🇹🇿🔥
Ankojay wewe ni Noma natamani hâta nikuone Ila sijuwe kama itatokea Siku kwani nakaa mbili kabisa n'a wewe mimi ni mukongo nakaa goma town nafurahiya sana simulizi zako
WAOOOOO LISA BEBEEE LISSA BINT MWALLAAA JAMAN SIKUA HEWAN MUDAKIAS SASA NIMERUD NAFURAHIA KUMKUTA MTUNZI WANGU PENDWA LISA MWALA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ NGOJA NIKAE
Bella 😂😂😂 domo kaya 🥰
Lissa mwala kukumiss ❤❤❤❤
Jaman nmewai leo Asante anko kwa kitu kpya
Waooooh anko j
Kazi kazi. Uncle j ❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉
Twende nalo anko hadi milele ❤🎉
Wow amazing that
Jamani anko Jay tumalize lissa tupumuee
Binti lissa haina utamu tena.
Inabowa
Oyoooo kitu kipya kwa jomon njooni huk Kwa Anko mapesa❤❤🎉🎉😂😂like msininyime hat kama mnauliza wapi tunapeleka😢😂😂
Jaman mbona haiplay hiyo smliz sasa au nn mbaya wakuu
Bado inasumbua
😗
Hapana
Lissa Mwalla
Full Respect
Jamaa miss my sweet Lissa love u❤❤❤❤❤❤
Nimewahiii
Nimewahi leo jamani mimi siamini😂
Yaaani watu wanawahi hata kabla haijafunguka khaaa😢😢😢😢
😂😂😂😂
Habari ba ndugu
We lisa weeeeeee nilikua nimekumiss sana mwaya kuchua mauwa yako my dear🪷🪷
Lov uu
Nina shaka tumefumwa na mama sijui itakuwaje uku nyumbani Mahana mama uyu ni mwanajeshi ana piga mpaka sio poa jamani Sasa sijui akumbuki watu usema ukiwa na mtoto bac jua ukosi mkwe Sasa mama vipi ukari wa nin pole pole tu haya mambo akuna komandoo mwenyewe akumbuke alivyo kuwa akiwasimbua Babu na bibi 😂 hongera Sana mwandishi wetu Lissa wetu hila sikuizi umekuwa mwana mpotevu hila ukija unakuja mazima tuko pamoja mnooooooo una baya
Leo sinja chelewasana munipe like hata tano tu❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉from 🇨🇩🇨🇩🇺🇸🇺🇸
Achaaaaa ni sikilize kwanza alafu nita kuya ku cmt badaeee
Sema kurauka 😎
Very stor so much ❤❤
Asante boss anko lisa pia
Interesting 🎉🎉
Lissa mwalla na jua wewe na Ankojay mapesa hamna baya mungu awatangulie kwa kila jambo❤❤❤
Ameeen
Tupe mambo
Huakika ni wakubwa tu 😅😅😅staki y kusem walifanya lile tendo pamoja sana Anko jay n madame lissa
Wawo jamani milele da Lisa wao
Wakubwa iyoo vip😱😱
Kwakweli Bella ananifurahisha sana mtoto mmbeya huyu duuuuuh plus chombezo za Anko Jay mi hoiiiiii😂😂😂😂😂
Ni ya moto balaa
Jambo sana Anko Jy mbo na una Kaweya kutuma sumulizi baba tuma sasambio MiLELE na LISA
Hakika hii ni daima yaani siku zote kama zilivyo simlizi za Ankoj🎉🎉
Sas sijui nimpe like nani maan wot naon mmewahi2 ila nawap salamu2 mko poah vipenz wa Ankojay
Tuko fiti
Mamb msuya
@@FatumaRamadan.Mwalim he'll madam
Tuko poa
Sehem ya pili
Uyo Rei ndo uyo Pii
Hiv ni kwl siku mbili zote ha2na simuliz anko we2 uko sawa jmn 😢
Wa pili nipeni likes zangu 😂
Kazi yetu mimi n anko mpesa
Nimechelewa sana lakini nimefika naombeni mnikumbuke kwa like vipenzi vyangu
Asante Anko jay na Lisa mwala😍♥️
Haya jamaniii MILELE TENA TULIKUMIS SANA LISA MWALLA JAMANIII HAYA TUNASIKILIZA HIYO MILELE KAMA UMEMMIS LISA MWALLA LIKE 10 ❤❤
Umeona eeeh
Nawapenda sana
😂😂😂,,,, eti anatiahurumaa😂😂🎉
@@lissamwalla501 ❤️❤️❤️tunakupenda my love ❤️❤️
@@rhamarahma1188 hurumaa yanini tena🤣🤣
Mzazi mazuri hutiza mtoto wake hasiharembike asente anko jay
Namupeda sana bi dada Lisa mwala
I miss you LISA ❤
Mbn inachelewa jmn sehem ya pili
Ni mipinduko tuuuu😂😂😂😂😂 Lisa hatuachagi salama lazima vichupi vilowe tuuu mxiiiie😂😂😂
Wahoo amazing 😍😍😍 ancle na Lisa Asanteni kwa hii 🥰🥰
Jamni anko tuletee part twoo soon jmni anko🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰
Lete mambo
Wa tatiuuuu
Lisa mwala unaweza sana
Asantee
Leo hakuna ku lala
Habari za kushida anko jay vipi lisa
Aww beautiful Lisa tulikumiss
❤❤❤