Mwaka Jana nikiwa kwenye kipindi kigumu ya maisha niliyanganywa kila kitu nilichokua nimenunua na my brother nikawa Sina kazi Sina rent Sina school fees zaidi ya yote ameakikisha amenitenganisha na familia,nilijipata nimeingia TH-cam nakitu ya kwanza nilipata ni huu wimbo tena nandio ilikua imezinduliwa hiyo siku akika ilinifariji So far God is Good amenisimamisha tena na ninaamini atazidi kuniongoza, munaopitia magumu musife moyo God is a God of second chances.
Mawimbi ni makili, upepo ni mkali, Na mlima ni mkali umenyemanza! Maumivu ni Makali Na vita ni vikali, Sena kitu!!! Lord say something to my life. The song is my daily prayer and cry ..
Nilikuwa napita tu bila kufungua au kusikiliza nyimbo hii, lkn kumbe ni nyimbo nzuri yenye ujumbe na nguvu za Mungu ndani yake. Hakika Mungu akubarikini mzidi katika kulitangaza neno lake na injili kamili ya kristo yesu bila kuzimia mioyo yenu na wala kuyumbishwa na upepo na sauti za dunia hii iliyojaa masumbufu na sauti nyingi za mwovu. God bless you all 🙏🙏
The song touches me.I can't hold my tears. It speaks the true story of my life. 7 years now ,but I know God will come in one day at His chosen time 🙏🙏.Be blessed singers.
Yeye mwenyewe amesema,.hatatuacha wala kutupungukia kabisa,.. ,.na huu ndio ujasiri tulionao katika Yeye ya kwamba tukimwomba Baba anatusikia na kama atusikia tunazo haja tunazomwomba🤗
The dark times that we are undergoing in this life its not that easy...the winds,waves are too strong...o God we are praying that you may have mercy..the song itself is a hope to the hopeless and depressed..
Psalms 23- Though I walk through the shadow of death ,even then your scepter and thy rod shall not leave me 'Who is suffering in silence like millions across for fear of being mocked ? Yet God sees every pain ,he hears every prayer, he watches every tear that drops,In his time he makes all this beautiful,
Let me leave this comment here so that in some few years to come I can come back and give a testimony 😢😢 what I am going through right now with my kids all alone with this tough economy 😢 only God can understand...... It's not easy at all
This is one song of its own kind. My eyes buble with tears listening and listening to this Song. I pray , just like David in Ps42, for my soul and my life that He be my rock, quench my thirst and heal my soul. Its my petition to My God all days of my life
My only prayer is to get healed. I have a recurring disease and this time I'm so worried. Will I make it? Oh, God heal me, sema kitu. Niponye baba. I have children to take of. Sema kitu baba.
This song is exactly mine,my mom is sick and I have no money,my bussiness is down and the more i pray the more things get hard😭😭may the Lord of heaven say something today in Jesus name.Amen
@@emmanuelzabron9630 aah, mubarikiwe sana. Mnatujumlisha kabisa pamoja na mawazo yetu. Mtu unapoimba unahisi haswa haya ndio matarajio yangu kwake Mwenyezi. Dah! Baraka tu kwenu nyie.
(Sung in Swahili) Naogopa, nikiwaambia watu sijui wataniona vipi? (I’m afraid to tell people, how will they see me?) Naogopa, kuyasema yote acha tu ninyamaze kimya (I’m afraid to tell it all, let me remain silent) Naogopa, kuwaambia watu wanaanza kunisengenya (I’m afraid tell people for they will gossip) Nina maswali mengi, miguuni pako (I have a lot of questions by your feet) Kwa nini Mungu, umekuwa kama vile huoni? (God why, have you turned a blind eye?) Pesa sina, lakini umeacha niugue (I have no money, but you’ve let me suffer) Namtegemea, lakini umemwacha aondoke (I depend on them, but you’ve let them leave me) Kwa nini Mungu, umenyamaza? (Why God, have You been silent?) Refrain: Mawimbi ni makali, upepo ni mkali (The waves are violent, and the winds are strong) Na mlima ni mkali, umenyamaza! (The mountains are steep, but You’ve been silent!) Maumivu ni makali, na vita ni vikali (The pain is too much, and the battles are fierce) Nimevumilia, nimeshindwa, sema kitu! (I have endured, and cannot anymore, say something!) (Repeat) Mbona kwa yule umlitenda juzi, na leo tena? (Why have you done it for them yesterday and today) Kuna ugumu kwangu Baba, sema basi (What is difficult for mine Father, say it) Mimi binadamu nakosa majibu, sema Baba (I am mortal with no answers, say it Father) Nakuamini sana Baba yangu, usiniache! (I trust You my Father, do not abandon me) Kuna shinda gani, imekuwacha, hata usiseme (What is difficult for you to address?) Kama ni kosa, naomba unisamehe (If I’ve been sinful, I pray that You forgive me) Turekebishe, naomba unisamehe (Repair us, I pray that you forgive me) Nateta nawe, sitokata tamaa (I contend with You, I will not give up) Wa kuaamua yangu, bado ni we (You are still my judge) Nakuamini Mungu, bado ni we (I still put my trust in You) Naogopa, upo kimya kuna nini Mungu? (I am afraid, God, why are You quiet?) Sema neno, usikae kimya, nisije kufuru Mungu (Say something do not be quiet that I rebel) Kama siku zangu za kuishi duniani bado zipo (If my days on earth still remain) Naomba sasa Baba umalize (Father I pray then that you may finish) Umalizane na shinda zangu (Finish with all my struggles) Mambo mengi nimeomba kwako, umejibu, hili hujajibu (I have prayed for many things that you’ve answered, I pray for this as well) Mungu wangu, bado nasubiri kwako (My God, I still await You) Jibu basi, watu wakuone wewe (Respond, that people see You) Watu wakuone Baba, bado nasubiri kwako (People to see You Father, I still await You)
Best song to relate to my prayer situation at hand. Currently waiting on you LORD to answer my prayer. The waves are strong LORD. Send forth a wave of BLESSINGS my way and ANSWER my prayers
Sema kitu Baba Bado ni wewe Bado nasubiri kwako jibu basi NIPATIE MUME MWEMA BADO NASUBIRI KWAKO baba 🙏2022 malizana na shida zanguuu🙏 mawimbi ni makali NILETEE ubavu wanguu
Hongereni kwa ujumbe mzuri,, na kwa kuibua vipaji kwa hao waimbaji wapya!! Ila ushauri mmoja naona kama nyimbo zinafana kidogo na wimbo wa Jamila Ditto na Japhet Zabron fungua njia!! Mbarikiwe kwa ujumbe
For sure there hardships and God will say something. His promise is yes and Amen. Thanks for bringing in new voices but Jamila Dotto's absence is felt.... Good song as always my favorite choir
Kama ulisubir Japheth na Jamila waimbe hukuwaona gonga like
Huu wimbo ni wangu😭😭😭😭😭😭nikitaka kukata tamaa na kumbuka watoto wangu na simama tena na anziya hapo na SONGA MBELE 💪💪💪😭😭😭
Kama Unangoja Hii Gonga Likes Tukisonga
Mwaka Jana nikiwa kwenye kipindi kigumu ya maisha niliyanganywa kila kitu nilichokua nimenunua na my brother nikawa Sina kazi Sina rent Sina school fees zaidi ya yote ameakikisha amenitenganisha na familia,nilijipata nimeingia TH-cam nakitu ya kwanza nilipata ni huu wimbo tena nandio ilikua imezinduliwa hiyo siku akika ilinifariji So far God is Good amenisimamisha tena na ninaamini atazidi kuniongoza, munaopitia magumu musife moyo God is a God of second chances.
Mungu ni mwema siku zote Jack endelelea kubarikiwa
Zabron singers understood the assignment since day one 💯
Naogopa kusema mengi 🔥🙌..
Love from Kenya 🏆
Mimi ata nimeogopa.. watu wananisengenya
Mungu nione nimechoka
Mawimbi ni makali Mungu...usinyamaze
Thank you Zablon singers. Nimesikiliza wimbo huu mara nyingi Sana na nimebarikiwa Sana na wimbo huu. Mbarikiwe Sana mnapoenda kueneza neno la Mungu.
Amina
Hata kwangu mawimbi ni makali zaidi ya zaidi, Baba Sema kitu naomba. Am not giving up on you!
May our Almighty good LORD do it for you🙏🏾
Mwenyezi akufanyie wepesi na afungue milango katika changamoto
@Given Michael Amen. Nashkuru
@Kaicy Amen. Thanks
God time is the best wait upon him
"upepo Ni mkali,mlima Ni mkali,maumivu Ni makali --nakuamini Mungu wangu💪💪
Sometimes its seems God is silent, kumbe He is preparing His ways for you today,tomorrow or future... never lose hope on Him
th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Amen
Very true
@@nellywairimu9224 th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Gonga like 👍yako kama upo miongoni mwa wanaokubali kazi ya wainjilisti hawa...niko deep spiritually 💖
God is faithful...Kenya we love you. awesome voices and messages 🙏🙏🙏. Wapi likes za 2022
Amen
Team kenya 🇰🇪 hoiyee
Kweli maumivu ni makali wapi subscribers
Wahame gospel sasa...hamia secular...mpee sauti Sol challenge
This is the silent prayer of everyone going through untold hardship. MUNGU.....turehemu sote!
Hallelujah our strength comes from the Lord, don’t leave us Lord.
My hope,my strength,my salvation you have never failed me
Mawimbi ni makili, upepo ni mkali, Na mlima ni mkali umenyemanza! Maumivu ni Makali Na vita ni vikali, Sena kitu!!! Lord say something to my life. The song is my daily prayer and cry ..
This a prayer..... Lord forgive us and meet us at every point of our needs.
Amen🙏🏾
Nilikuwa napita tu bila kufungua au kusikiliza nyimbo hii, lkn kumbe ni nyimbo nzuri yenye ujumbe na nguvu za Mungu ndani yake. Hakika Mungu akubarikini mzidi katika kulitangaza neno lake na injili kamili ya kristo yesu bila kuzimia mioyo yenu na wala kuyumbishwa na upepo na sauti za dunia hii iliyojaa masumbufu na sauti nyingi za mwovu. God bless you all 🙏🙏
The song touches me.I can't hold my tears. It speaks the true story of my life. 7 years now ,but I know God will come in one day at His chosen time 🙏🙏.Be blessed singers.
Don't give up He knows always there way out. Keep praying
Just believe God is Abt to do
Have the courage sister to keep going,its going to be well
It's like Deborah's,,we go through a lot. I believe one day God will make us overcome all
@@debbiedebbie6656 all will be well
Yeye mwenyewe amesema,.hatatuacha wala kutupungukia kabisa,..
,.na huu ndio ujasiri tulionao katika Yeye ya kwamba tukimwomba Baba anatusikia na kama atusikia tunazo haja tunazomwomba🤗
'sema neno usinyamaze Mungu' .... Likes jameni
Whoever composed this song
Abundant blessings from above, I found myself shedding 😭...
Nakuamini Mungu, sema neno usikae kimya💞💞💞
Amen
Barikiwa na huu wimbo pia th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Wow what a lovely music. Event though I don't understand it's so lovely thank my African Queens and kings. Much love from South Africa 🇿🇦❤️
🙏Thanks, kindly use subtitles to understand😊
Let's make this to 100 M
Marco had a very unique voice you listen to all the songs and you realize that he was really blessed.
Until the resurrection morning my dear brother ❤
Upepo ni mkali na mawimbi ni makali😢😢😢😢
The dark times that we are undergoing in this life its not that easy...the winds,waves are too strong...o God we are praying that you may have mercy..the song itself is a hope to the hopeless and depressed..
I am so depressed at the moment and my family is going through a rough time, please someone pray for me and my family 🙏🙏
May He meet you at the point of your needs.His time is the best.
may the almighty take control over it in Jesus name
Mungu atasema,vumilia God is faithful
Psalms 23- Though I walk through the shadow of death ,even then your scepter and thy rod shall not leave me 'Who is suffering in silence like millions across for fear of being mocked ? Yet God sees every pain ,he hears every prayer, he watches every tear that drops,In his time he makes all this beautiful,
God be with you
m.th-cam.com/video/0SPyhP8tQog/w-d-xo.html
Finally Kenyans owned Zabron singers when they paid us a visit.Asanteni kwa wimbo huu.
Ha haa n we also feel that thanks to Kenyan
Amen
Let me leave this comment here so that in some few years to come I can come back and give a testimony 😢😢 what I am going through right now with my kids all alone with this tough economy 😢 only God can understand...... It's not easy at all
Mungu wangu hii vita ni Kali siiwezi baba yangu sema kitu Mungu wangu
Nawapenda mnooooo,me pia Nampenda kuimba ila sema cna support,mmbarikiwe sna
😭😭sema kitu maishani mwangu mungu😭nimevumilia nimeshindwa sema kitu😔😥
Kamasiku zanguzakuishi badozipo MUNGU marizana Nashidazangu Nawapenda🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimependa sana sauti ya huyo dogo wa kike..ina ujazo wa kinamna yake💪
Amina
Saana. That voice is powerful.
Mungu wetu sote.... Don't feel neglected He will be always be there for everyone 😍❤💙
Barikiwa na huu wimbo pia th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Why am i even crying 😭😭😭😭😭....sema kitu yesu😭😭acha kuninyamazia 😭🇰🇪🇰🇪
Ooo haleluya Mungu akutie nguvu
This is one song of its own kind. My eyes buble with tears listening and listening to this Song. I pray , just like David in Ps42, for my soul and my life that He be my rock, quench my thirst and heal my soul.
Its my petition to My God all days of my life
Amen
Waimbaji bora kwa upande wangu sijui wengine wanasemaje
If you’re reading this, May the Lord Almighty make it easy for you.
Amen
Amen
Amen
Amen
Ameen
You people never disappoint,Good work zabron singers
Sema kitu baba bado nakutumainia kama ni makosa nisamehe babaa nani ameguswa hapa
Wimbo umenibariki sana mungu azidi kuwainua zaidi mpaka viwango vya juu sana Zabron singers
Am in love with this song😢imiss my country kenya😭😭😭i hope one day i will go back to my family ooh God guide me in this country🎉am in diaspora
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Wimbo ni Mzuri sana pia Unaujumbe ❤️
Mmenisemea yote. Naomba Mungu anisinikie Kupitia sauti zenu.
Can someone give me a hug and tell me it's gonna be fine am dying inside 😢😢😭😭Kwa Nini Munguu🥺🥺
The girl's verse got me😭😭😭😭 current situation
Why is it hard for you to say something for me too God😭😭
Sema kitu bwana🙏thank you zabrons for speaking on my behalf
My only prayer is to get healed. I have a recurring disease and this time I'm so worried. Will I make it? Oh, God heal me, sema kitu. Niponye baba. I have children to take of. Sema kitu baba.
Healing is your portion
@@esthersalee14 Amen.
May God grant you your request according to His sovereign Will
Mungu ana sababu,na akuponye kupitia huu wimbo
Barikiwa na huu wimbo pia th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Wow!!! Amazing song,,, God bless you Zabron singers
Nasi tumejawa na Furaha, ila huzuni kwa sasa, kwa maana Maulana kampenda Mwendazake Marco.
Chenye napitia sahizi kwa life 😢😭😢… I really needed this. Nijibu BABA naomba
Naogopa kuyasema yote Ila kwaufupi,. Mnajua Sana., Kuuimba na kutrend mjini TH-cam pia.. be blessed..Dickson wa Ukonga sda.
This song is exactly mine,my mom is sick and I have no money,my bussiness is down and the more i pray the more things get hard😭😭may the Lord of heaven say something today in Jesus name.Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
It shall be well
This was my prayer in the beginning of this week, and imagine He Spoke 😭😭, don’t give up He’s still God in good and bad times.
Huu wimbo unaeleza kwa undani hisia za nafsi zetu. Tumaini tu kwa Mungu
Ni kweli kwa namna flani huwa tunawaza na kujaribu loungea na Mungu kwa namna tofauti🙏
@@emmanuelzabron9630 aah, mubarikiwe sana. Mnatujumlisha kabisa pamoja na mawazo yetu. Mtu unapoimba unahisi haswa haya ndio matarajio yangu kwake Mwenyezi. Dah! Baraka tu kwenu nyie.
Kwa Mungu! Umekuwa kama vile huoni! Pesa sina, lakini umeacha niugue, namtegemea lakini umemwacha aondoke! Kwa nini Mungu?! Umenyamazaa!!
This is the situation in my country 🇰🇪 May he comfort me as i wait for my breakthrough 🙏 alway on time ZABRON SINGERS BLESSED all
Oooo amen
Wimbo wapendeza kweli. Twazidi kubarikiwa uku 🇰🇪
(Sung in Swahili)
Naogopa, nikiwaambia watu sijui wataniona vipi? (I’m afraid to tell people, how will they see me?)
Naogopa, kuyasema yote acha tu ninyamaze kimya (I’m afraid to tell it all, let me remain silent)
Naogopa, kuwaambia watu wanaanza kunisengenya (I’m afraid tell people for they will gossip)
Nina maswali mengi, miguuni pako (I have a lot of questions by your feet)
Kwa nini Mungu, umekuwa kama vile huoni? (God why, have you turned a blind eye?)
Pesa sina, lakini umeacha niugue (I have no money, but you’ve let me suffer)
Namtegemea, lakini umemwacha aondoke (I depend on them, but you’ve let them leave me)
Kwa nini Mungu, umenyamaza? (Why God, have You been silent?)
Refrain:
Mawimbi ni makali, upepo ni mkali (The waves are violent, and the winds are strong)
Na mlima ni mkali, umenyamaza! (The mountains are steep, but You’ve been silent!)
Maumivu ni makali, na vita ni vikali (The pain is too much, and the battles are fierce)
Nimevumilia, nimeshindwa, sema kitu! (I have endured, and cannot anymore, say something!) (Repeat)
Mbona kwa yule umlitenda juzi, na leo tena? (Why have you done it for them yesterday and today)
Kuna ugumu kwangu Baba, sema basi (What is difficult for mine Father, say it)
Mimi binadamu nakosa majibu, sema Baba (I am mortal with no answers, say it Father)
Nakuamini sana Baba yangu, usiniache! (I trust You my Father, do not abandon me)
Kuna shinda gani, imekuwacha, hata usiseme (What is difficult for you to address?)
Kama ni kosa, naomba unisamehe (If I’ve been sinful, I pray that You forgive me)
Turekebishe, naomba unisamehe (Repair us, I pray that you forgive me)
Nateta nawe, sitokata tamaa (I contend with You, I will not give up)
Wa kuaamua yangu, bado ni we (You are still my judge)
Nakuamini Mungu, bado ni we (I still put my trust in You)
Naogopa, upo kimya kuna nini Mungu? (I am afraid, God, why are You quiet?)
Sema neno, usikae kimya, nisije kufuru Mungu (Say something do not be quiet that I rebel)
Kama siku zangu za kuishi duniani bado zipo (If my days on earth still remain)
Naomba sasa Baba umalize (Father I pray then that you may finish)
Umalizane na shinda zangu (Finish with all my struggles)
Mambo mengi nimeomba kwako, umejibu, hili hujajibu (I have prayed for many things that you’ve answered, I pray for this as well)
Mungu wangu, bado nasubiri kwako (My God, I still await You)
Jibu basi, watu wakuone wewe (Respond, that people see You)
Watu wakuone Baba, bado nasubiri kwako (People to see You Father, I still await You)
Thank you. Be blessed
Thank you
Mawimbi ni makali,nimevumilia nimeshidwa😭😭😭SEMA kitu mungu 🙏
Amen atasema nawe zidi kumuuita🙏
Best song to relate to my prayer situation at hand. Currently waiting on you LORD to answer my prayer. The waves are strong LORD. Send forth a wave of BLESSINGS my way and ANSWER my prayers
Message for the season, Blessings to you guys
Whoever is going through hard times may God give you strength to overcome, God hath not forgotten you
Ooh my!sijui mbona machozi yanidondoka🙏
Oooo haleluya barikiwa sana
th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
m.th-cam.com/video/0SPyhP8tQog/w-d-xo.html
Oh my, the new voices. Wow !! Woo!! Repeat after repeat. Them girls have grown up so quickly. Much love from Botswana.
Thanks be blessed Jeremiah
Amen
@@emmanuelzabron9630 my
@@ZabronSingers mmejua kunitia moyo love this choir from Kenya.wher's japhet
😭😭😭😭😭 huu mwimbo mbona ni wangu jamani Ee Mungu nikumbuke na mimi, mbarikiwe sana wimbo mzuri hila umenitoa machozi
Hata mm naona ni kama wameniimbia Mimi😭
@@lydiaemmanuel7893 pole, Mungu atukumbuke jamani
@@aderinacharles9415 amen 🙏
If you're reading this is 2080,just know this choir was one of the best in East and Central Africa.
God has not been silent,atatenda kwa wakati wake Isaiah 59 vs 1 onwards
I lost my mum weeks ago... thought it's over like it's my end .... this song made it up on me...Santi zabron.
Nawapenda sana Zabron singers .munavaa vizuri kama watumishi wa mungu hata msg munatowa inatuma tunabarikiwa
Wimbo umegusa sana moyo wangu😭😭 mungu awabariki sana🙏🙏🙏
Nakumbuka mbali saana,,Maisha ya kweli ambayo wengi wanapitia,,mtu unamtegemea lkn anakufa,,,kumbe wa kutumainiwa ni Mungu peke..
Sema kitu Baba Bado ni wewe Bado nasubiri kwako jibu basi NIPATIE MUME MWEMA BADO NASUBIRI KWAKO baba 🙏2022 malizana na shida zanguuu🙏 mawimbi ni makali NILETEE ubavu wanguu
I see The Almighty answer my prayers through this song🙏🙏🙏
This song just came when I'm in the darkest moment of my life, thanks for this song.Mungu sema kitu leo maishani mwangu..tumaini langu lipo kwako tu
It shall be well 🙏
Mungu na akufanyie wepesi
@@ongilezadock7426 Amen, thank you
@@ZabronSingers Amen
Barikiwa na huu wimbo pia th-cam.com/video/ppPIiGHhSO0/w-d-xo.html
Nyimbo hii ni siri kubwa sana Mungu nakushukuru kwa jana,leo na kesho na siku zote . Kufika mwisho kupo na kumbe naye MUNGU YUPO PIA
This comes at the right time to smoothen my soul hoping God hears our prayers
May God give you strenth
Amina Mungu atukuzwe kwa nyimbo nzuri na ya mguso kweli maumivu ni makali
Sema neno moja Mungu kwa maisha yangu 😭🤲
Oh yes🙏
Too much touching 🙏Sema kitu bwana😥maumivu ni mengi kwangu naogopa kusema sijui wataniona aje hawa Wanadamu 🙏😥😥
Lord please hear me....
At least God make it easy for me for once.....
Wow!! I penda the song. I hate to believe that God is silent on us. The evidence is all around that God works fulltime for us.
So sweetest song,which makes some one to think deep about his or her life,mungu tutetee wanao!!,blessed much you guys!!
Sema Bwana naogopa kuambia watu wataniseng'enya mimi oooh lord help me please
😭😭😭😭 huu msiba umenikubusha baba yangu pumzika kwa amani marco na baba yangu pumzika nitalia miaka nikiweka kumbukumbuku poleni zabron rest in peace
Hongereni kwa ujumbe mzuri,, na kwa kuibua vipaji kwa hao waimbaji wapya!! Ila ushauri mmoja naona kama nyimbo zinafana kidogo na wimbo wa Jamila Ditto na Japhet Zabron fungua njia!! Mbarikiwe kwa ujumbe
Do it for me Jesus 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭usininyamazie mungu
Inauma kuamini kwamba Marco hayupo nasi 😭😭😭😭 tana
..the way Tanzanians Sing is Dope😍😍
Amen big amen
Kuna waimba kwaya
Halafu kuna hawa
WASUKUMA 🔥🔥🔥🔥
Nawapenda sana 😘😘😘
👏🏾👏🏾, you have some other talent on board! Nice job as always and all glory to God 🙏🏾🙏🏾. Kenya 🇰🇪 supporting you.
Sema kitu Bwana....🙏
This song is a blessing... Mzidi kufanya kazi ya Mungu Zabron singers Asante 💝
Awww 🥰 this song is 🔥 as your all song
🙌🏾please GOD don’t keep quiet on me you scared me 😌 am still waiting for your blessings 😭
m.th-cam.com/video/0SPyhP8tQog/w-d-xo.html
Wimbo huu sawa sana. The new young soloists are sooooo goood.
Baba, sikiza maombi yetu ututatulie shida zetu. Jibu basi, Baba tukuone.
Amen
Amen na asante sana
😭😭😭😭😭😭😭😭this song has made me cry,God please intervene in my life please say something don't keep quite 😭😭😭😭😭
dont give up...He is ever faithful
He will surely intervene just hold on and trust in him.
May He speak to your situation the soonest time possible
For sure there hardships and God will say something. His promise is yes and Amen. Thanks for bringing in new voices but Jamila Dotto's absence is felt.... Good song as always my favorite choir
Very true we miss her voice
@@florencembaabu yes.... She is a ✨ in the team. Though i also noticed mwalimu Japheth is absent as well
Mwalimu japhet pia simoni 🤦♀️ila ni vizuri wengine wa solo
For anyone goin through a tough time,keep on hanging there your breakthrough is on the way, keep trusting Him, He never disappoint.