"Mawazo" Sehemu Ya 71 Thoughts Dr. Elie VD.Waminian''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw หลายเดือนก่อน +9

    Dunia ni kama kundi ila kila mtu hutambulika kwa namna yake bila juhudi wala jitihada. Imani inakuja zaidi kwa kusikia kuliko kuona. Upekee ni kuwa na muda na wewe.Uhuru ni umoja.Tunafeli kwa sababu ya UNAFIKI. Lengo la dini ni kutufundisha unyenyekevu kwa MUUMBA wetu. Uhuru wa kuwaza, kuenenda,kutenda ipasavyo. Uhuru wa kuwaza na kuishi pasipo unafiki ni kujipima uwezo wako katika utendaji wako.Unaweza kipi huwezi kipi.❤❤❤🎉Asante Chomoza, pongezi Dr Ellie.

  • @Newnormal-ch5im
    @Newnormal-ch5im หลายเดือนก่อน +2

    Kweli Jimmy Mawazo 70 ilikuwa next level, Link ilikuwa imeconnect balaa, mnara ulikuwa unatiririka tu, Dr.Elie abarikiwe sana

  • @bahatibillah6942
    @bahatibillah6942 หลายเดือนก่อน

    Nmependa sana ulivoelezea kuhusu role ya mzaz katika kuelekeza mtoto asiwe mnafiki. Please do more sessions on that, thanks.

  • @egidekalume1085
    @egidekalume1085 หลายเดือนก่อน

    Merci docta pour ces enseignements combien riche en profondeur de connaissance d'un être digne

  • @HELLENLAPUKENI
    @HELLENLAPUKENI หลายเดือนก่อน

    Doctor you doing great God bless you ❤️🙏

  • @kelvintety
    @kelvintety หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki team Chomoza

  • @ErickEustace-q8u
    @ErickEustace-q8u หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe baba pamoja na team chomoza

  • @AFYAKWAWOTE-jp5eh
    @AFYAKWAWOTE-jp5eh หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtaalam mimi nazidi kupata madini,,, ubarkiwe sana Dr

  • @toyikudratullah1466
    @toyikudratullah1466 หลายเดือนก่อน

    Doctor maisha marefu yenye barak kwako ❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 หลายเดือนก่อน

    Wisdom galore! God is great!

  • @MwamuJuma
    @MwamuJuma หลายเดือนก่อน

    By ndugu mwamu from zenji town

  • @Masokabya08
    @Masokabya08 หลายเดือนก่อน

    mubarikiwe sana nime hipenda hiyo ya wazazi❤

  • @lucyboti8327
    @lucyboti8327 หลายเดือนก่อน

    Ndiomana Jide hazeeki

  • @SamuelBahizire
    @SamuelBahizire หลายเดือนก่อน

    asante dr kwa taarifa nzuri

  • @pendomwaiteleke1636
    @pendomwaiteleke1636 หลายเดือนก่อน

    Kweli mawazo 70 ilikuwa hatari sana yani nilikuwa sitamani iishe. Mungu akubariki sana Dokta

  • @wandedalushi2984
    @wandedalushi2984 หลายเดือนก่อน

    Naelewa sana

  • @MwamuJuma
    @MwamuJuma หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu masomo ni mazuri ,ila tunaomba muludie kipindi,mama upande wa sauti ,tumekosa madini ,kwahiyo hatujaelewa somo mwanzo hip ndio ukweri,naomba bro.jimmy tusaidien

  • @mteule1976
    @mteule1976 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @HellenMacha-h5n
    @HellenMacha-h5n หลายเดือนก่อน

    🙌🏻💯

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimubwangu nakuelewa sana
    Unaongea kweli tupu
    Acha watu waendelee kuniita mbishi
    Watanielelewa siku zijazo😊

  • @ashireydaimu3148
    @ashireydaimu3148 หลายเดือนก่อน +1

    Sauti Leo inakata

  • @ashireydaimu3148
    @ashireydaimu3148 หลายเดือนก่อน +2

    Tuliyokuwa tunasubiri tujuane

  • @ShabaniAdamu-j5s
    @ShabaniAdamu-j5s หลายเดือนก่อน

    Somo zuri ila upande wa saut jmn Kuna madin tunayokosa ya dokta

  • @AbeliMusuta
    @AbeliMusuta หลายเดือนก่อน

    Masomo ya miaka iliyo pita hatuyapati

  • @mfungobryceson5530
    @mfungobryceson5530 หลายเดือนก่อน

    apewe kipind kila siku

  • @christiansylvester6901
    @christiansylvester6901 หลายเดือนก่อน

    Kama sisi Waafrika ni wahanga/ victim wa dini, so tunafanyaje ile tusiwe wahanga wa dini..?

    • @ruthn9381
      @ruthn9381 หลายเดือนก่อน

      Understand the truth through seeking knowledge.

  • @DorethMselem
    @DorethMselem หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤