TUNDU LISSU AKOMAA NA MBOWE,SASA ANATAKA MDAHALO NA MBOWE ILI AMMALIZE KABISA,ADAI HANA JIPYA TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @MrIpondelo
    @MrIpondelo 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii tamu sanaaa......ngoja tuendelee..ila tusisahau kutubu jamani Kuna kufa na kuhukumiwa.pia siasa haiko mbinguni wapendwa haleluyahh

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakuna anayemuweza tundu lissu kwenye kujenga hoja,hayupo

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu we subiri ballot box liamue ,

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu mbona Kama unaogopa uchaguzi ? Maana maneno mengi? Km Una kubalika wacha maneno mingi we piga kampeni, lkn pia lissu ali kuwa makamu yeye Ali kuwa ana Fanya nn halafu Leo talk talk Sana , huyu naye Ana propaganda nyingi si wakumwamini Sana .

    • @ElibarikiMollel-t5k
      @ElibarikiMollel-t5k 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kampeni na vizuri aseme sera aelezee mabadiliko atakayoyaleta.. Sasa hauwezi kuelezea mabadiliko bila kuelezea hali iliyopo kasoro na madhara yake yasiporekebishwa au kutafutiwa ufumbuzi. Na mabadiliko lazima yaletwe na mwenye maono mapya yanayoendana na hali ya sasa kisiasa.