Dah Utopolo tatizo lilianza mliposema hii Utopolo itafungwaje,..wakati wa wachezaji wenyewe Unga Unga Mwana....Kikosi kilekile wakikosekana wachezaji wawili tu wa kikosi cha kwanza basi timu hamna,..mpira sio mchezo wa ujanja ujanja ,...Mpira pesa tumia pesa ili uweze kusajili wachezaji wazuri wenye umri mdogo,...Football ni mchezo unaokwenda na Umri
Brother unaleta masihara yanga ni timu yangu nikwambie hivi Mimi nimelia Sana haiwezekani kocha sawa ni mgeni Ila tuseme saikolojia yake iko api mbele hakuendi hivi max alikua wakutoa na kumuacha dube ety anataka kumtoa pakome haya bareke mmemuleta kufanya kazi gani bareke anatakiwa acheze first eleven
Kuna kocha mmoja aliwahi kusema mashabiki wa yanga wanabweka hovyo kama manyani kuthibitisha hilo kuna shabiki anasema yanga iletewe malaika wacheze nao sijui akili zake mwenzetu ziko wapi?
Brother upo sawa kabisa upewe maua yako🎉🎉🎉
Ww unaujua mpira sio yanga maandazi upo vzur sn nakukubali
pameanza kuchamgamka sasa😀
Bado hawajasema, kitendo cha kusema hakuna timu ya kuwafunga mpaka mletewe malaika ucheze nao na hiyo itawatafuna Sana,
kweli kabsa maan.walijion miungu.wao walisahau kuw wapo chin yajua
Yanga mnaliwa sana skuiz ... mnapelekewa moto kila siku
Tatizo ni Raisi wa yanga kibuli anajitia uboss
Mwendo wa kushenyetwa 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 aaah. Huyu Jamaa anachekeshaa anavyotia hurumaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Raha sana ubaya ubwela
Tatizo mdomo uliponza kichwa😂
Dah Utopolo tatizo lilianza mliposema hii Utopolo itafungwaje,..wakati wa wachezaji wenyewe Unga Unga Mwana....Kikosi kilekile wakikosekana wachezaji wawili tu wa kikosi cha kwanza basi timu hamna,..mpira sio mchezo wa ujanja ujanja ,...Mpira pesa tumia pesa ili uweze kusajili wachezaji wazuri wenye umri mdogo,...Football ni mchezo unaokwenda na Umri
Sipendi mashabiki wanaopenda kulialia viwanjani
Mmezoea kuwapa marefa bahasha sasa mmefika mwisho yote ni kipondo tu
Yanga munategemea waganga mpira hamuwezi
Mlimkufuru Mungu kwa kusema mletewa malaika mcheze nao msipotubu mtafungwa sana hadi mtubie maneno yenu
Uko vizur kaka
Nyinyi machizi mlivyosema mnataka kucheza na malaika wa mungu mliona sawa nhe tatizo nyinyi mazuzu hata wakuwashauri hakuna mazuzu watupu
Umeongea facts Sana siyo kina mchome
Brother unaleta masihara yanga ni timu yangu nikwambie hivi Mimi nimelia Sana haiwezekani kocha sawa ni mgeni Ila tuseme saikolojia yake iko api mbele hakuendi hivi max alikua wakutoa na kumuacha dube ety anataka kumtoa pakome haya bareke mmemuleta kufanya kazi gani bareke anatakiwa acheze first eleven
WE NITAHILA USIPO ENDA NANI UNAMKOMESHA🤣🤣🤣🤣
Hakuna ila anatumia hela yake kwa mambo mengine😅
Msikilizeni magoma kk
Ila watu bwana mmesahau kwamba Gamondi pia alifungwa mechi za kwanza tulieni timu inapitia wakati mgumu tujipange upya.
Sio vibaya kujifariji uko vizuri,yatapita tu, poleni
VIONGOZI WA YANGA UMEZINGUWA SANA NI BORA MGEMUACHA GAMONDI AMALIZIE MUDA WAKE IIIIIIIIIIIH!
Ukiacha kuja uwanjani huna madhara kwa yanga.
Mtu wa mpiraa huyu , ✊
Laana za gamondi zinawatafuna😂😂
Uuu kwel niupumbaf vipigo mala tat😭😭😭😭😭
Na bado weka Tu kumbukumbu ya namba nyuma mwiko mtaachia Sana tu Namungo naye anakuja kuvuna pointi 3.
viongozi wanatukosea kamanimwalim wasimpangie wamuache afanyekaziyake
Yanga kwli kizazi jeuki mtemi kudundwa
Mmecheza na malaika wasio na makao si mliwaomba wenyewe vumilieni na bado labda muombe msamaha kwa kukufuru kucheza na malaika
Simlimwambia MwenyeziMungu awaletee malaika mchezenao,binadamu wenzenu machines kuwafunga me hai malaika mtawaweza kweli?
Mulitaka kuikomia Simba mkachukua chama beleke dube hamna kitu haoooooo9
😂😂😂😂😂😂😂 Dah kwa sababu ni upumbavu
Yanga kama kinyonga hamueleweki
Musinune yanga mpira sio mdomo man city kafungwa mechi tano hakufukuza kocha nyinyie hukuulizwa hali mmefukuza kocha
Walikufur san hao yanga ach wapigwe
Kuna kocha mmoja aliwahi kusema mashabiki wa yanga wanabweka hovyo kama manyani kuthibitisha hilo kuna shabiki anasema yanga iletewe malaika wacheze nao sijui akili zake mwenzetu ziko wapi?
Je hao malaika mtawaweza kweli?
Adi mumuombe mwenyezi mungu awasamee maana mumekufuru nyinyi si mulitaka muletewe malaika Sasa awo wanaowafungeni je ndo malaika?
Laana hiii itawatafuna
Mtoa laana na hukumu ni Mungu peke yake na mdomo kazi yake kuongea lolote liwe baya au zuri
@@Carolina-sm5ztMungu ndio kajibu sasa aongei anafanya vitendo
Hakikaaa MUNGU SI MWANADAM BADO watekaji wasiojulikana nawao WAJIANDAE
Kabisa watajuwa hawajui
Kuna wakati unatakiwa uongee point nasio km wengine wanaongea kishabiki
Achen kelele sindano fc mmeliwa kihalali
zaid ya elfu 30😂
😅😅😅😅😅😅😅
Azizi k best mobet
Si mliomba malaika? Subirini huu ni mwanzo tu. Mtavurugana sana
Yani ss hv ukitaka ucheke we ingia TH-cam andika yanga tu 😂😂😂
Injinia atuachie timu yetu
Heee!! Ghafla tu.
Msenge usijewewe sisitunakuja kumawe
Ilooo m chome
Mshakua kama mancity
Sijamuona mchome jmn yuko wapi
Kachomwa anajiuguza.
Tunajipanga gojamechiijayo kuyaona magoli
Inawauma kwasababu wapo shilikisho tutawashuhudiakesho yangatulieni ushindi upo hakuna kulala
Nyie ndo mlipiga kelele gamond afai anazarau viongoz leo et angebaki, alafu kochoa ndo mechi moja kelele nyingi tulia sindano iwaingie shwain, nyie ndo mliomba malaika washuke mchezenao !!?
Vp leo sindano zimeishaa?
Mtanyooka tuu
Umeongea point kubwa
Shida ya sindanoo ndo hyooo
😂😂😂
Hela nyingi wapi una Hela wewe?Toka zako
😂😂😂 usimdharau labda anazo
KWANI SI MLI TAKA MCHEZE NA MALAIKA????VP MSHA ANZA KUCHEZA NAE
Malaika jamani hata hapo walipo nao wapo hata uwanjani wapo kiujumla wapo mahali pote
😂😂😂
😂😂😂😂😂