DAAWAH MITAANI...MKRISTO ASEMA YESU HAJAWAHI INGIA KANISA NA ATAKAE SEMA KAINGIA ALAANIWE....KIBRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • DAAWAH MITAANI TUMEANZA RASMI......TUKIWA KATIKA MTAA WA KIBRA.

ความคิดเห็น • 56

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kazi nzuri

  • @MA-ht7po
    @MA-ht7po 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh yahya unaifanya kazi Allah vizuri sana,Allah ibarik fiq

  • @Ibrahim-qw4qr
    @Ibrahim-qw4qr 5 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar

  • @adnansaleh3971
    @adnansaleh3971 4 ปีที่แล้ว +1

    Ya rabb give this Sheikh janah

  • @khadijamusa2838
    @khadijamusa2838 ปีที่แล้ว

    Allahuakbaar

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว

    Allahuakbar

  • @ismailodemo2529
    @ismailodemo2529 5 ปีที่แล้ว +1

    I like those two girls in Mavin's

  • @abdilatifhashi9659
    @abdilatifhashi9659 5 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Ustadh Yahya

  • @bahatihadijabahati7456
    @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah sheikh yahya nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbr

  • @abdinoorissack8843
    @abdinoorissack8843 5 ปีที่แล้ว +1

    Takbir

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 ปีที่แล้ว +1

    Mm nawaombea dua masheik wote Allah awalipeni kheri fidunia wali akhea nashari Allah awaepushie

  • @aminasaid8311
    @aminasaid8311 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah awe nanyi kila step awakinge na kila la shari

  • @omaratik2778
    @omaratik2778 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh yahya Allah akuhifadhi kazi mzuri Sana ufikie unapo pataka ndugu zetu wakristo wakiona haki watafata Tu ila manabii wao ndio wano wapoteza uzidi subra jazzaa yako pepo na bwana mtume mkono wako wakulia peponiiii

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว +2

      Allahuma Amin sote tuwe pamoja akhi Omar mkono kwa mkono hadi peponi.

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 ปีที่แล้ว

    Mashaalaha 🇹🇿

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 5 ปีที่แล้ว

    adhwiiiiim kabisa kakangu ....MASHALLAH

  • @Rolemodel_wa_taifa
    @Rolemodel_wa_taifa 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dereva wa kwanza hajielewi

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀

  • @ramazubery8396
    @ramazubery8396 5 ปีที่แล้ว

    Ostadh good style

  • @aboudmsonde886
    @aboudmsonde886 5 ปีที่แล้ว

    Taqbiir

  • @alimwatajiri4083
    @alimwatajiri4083 5 ปีที่แล้ว

    Allah awape nguvu na ushujaa wa kutakazi dini ya haki

  • @ustadhyusuph1513
    @ustadhyusuph1513 3 ปีที่แล้ว

    Chukuen namba za wanao slim ili muwalee kiiman ikibid muanzishe darsa duara

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh yahya yuko wapi

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว

    ustadhi unavitukooo mmh kazi

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 ปีที่แล้ว

    Miaka yote watu wamekuwa barubaru wakiwa dini ya kikristo hawajui Yesu alikuwa akifanya ibada wapi wala.hawajui kitu kuhusu dini yao,Msiba mkubwa huu

  • @mohamedabu3268
    @mohamedabu3268 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa wa kwanza alisema yesu alizaliwaa kimuujizaa.So Yesu sio mtoto wa mungu ni mtoto wa kimuujiza. Muelewee hiyo wa kristoo. Wala haja sulubiwaa

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว

    Shekhe yahya fituko askofu ataki kusumbuliwa

  • @hassantoure7472
    @hassantoure7472 5 ปีที่แล้ว

    Huyo wa kwanza hajaelewa swali

  • @lugendohussein103
    @lugendohussein103 5 ปีที่แล้ว

    Yesu anasema"jitieni nira yangu na mjifunze kwangu..." sasa nyie kanisani mnajifunza kwa nani?

    • @allymrisha5632
      @allymrisha5632 4 ปีที่แล้ว +1

      Do LP pop hhuyggh OU in hc ko try GHG LP it LP poor pop tvyyy TV h 7íh lookup TV c NFC try GHG n huh Gy pop out op TFT th TV tug v pop y op but FC VC op c op d LP rfloof op ot FG f kitty guy oi TTY GHG Lou kitty GHG h Lilith GHG kitu nth g kitty GHG g lipi GHG g lipi bug h Lilith GHG g output 4

  • @abuuashyam8417
    @abuuashyam8417 5 ปีที่แล้ว

    sasa wao wanaenda kufanya nini

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

    Ati Yesu kafa msarabani? Sasa Mungu haezi kusamehe mpaka auliwe?

    • @raymondngajagu66
      @raymondngajagu66 5 ปีที่แล้ว

      Mtajiuliza mengi lkn aliyeamua kupotea na apotee kristo atabaki kuwa mkobozi wetu naninyi xubirini Muhammad aje awafufue

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@raymondngajagu66, الا بإذن الله

    • @shabamuhidin634
      @shabamuhidin634 ปีที่แล้ว

      @@raymondngajagu66 wewe ni Muisraeli? Yesu mwenyewe kasema katumwa kwa Waisraeli labda useme Mtume wako Paulo wewe unamfuata l...lakini kwa ulimi wa Yesu labda alidanganya kusema katumwa Israeli tu

  • @neemayahuu9904
    @neemayahuu9904 5 ปีที่แล้ว

    Sasa simuhubiri kiuslamu tu muache vita ya wa christo, kama hamuamini yesu iko haja gani kila wakati vita

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว +1

      Yesu علیه سلام ndugu yetu tunamwamini zaidi ya mtu yoyote,twampenda,twamuenzi,twamjua,sasa tatizo iko wapi dada?

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 ปีที่แล้ว +1

      Grace kihara. umewai kuona watu wakipigana apo ama ni maswali wanauliza 😑ama wafikir yesu niwako pekeyako utaki atajwe

    • @maulidkhamis9446
      @maulidkhamis9446 5 ปีที่แล้ว

      Grace Kihara .Dada lengo sio kubishana unatakiwa usikubali kupotoshwa na makafiri ukajikuta unaingia motoni soma YUDA 4:1 utagundua ukafiri nini maana yake ni kumfanya Yesu Mungu ndio Ukafiri wenyewe Mungu ni mmoja alie wa pekee

    • @maulidkhamis9446
      @maulidkhamis9446 5 ปีที่แล้ว

      Grace Kihara .ukisoma UFUNUO 1:1 utaona ,ufunuo wa Yesu Christ aliopewa na Mungu....utabaini kua kuna Mungu na Yesu na Yesu sio Mungu .aidha Yesu anasema asema anamwambia Mariam usinishike ...anakwenda kwa Mungu wake nae ni Mungu wetu ,sasa Dada Grassy soma injili kwa manufaa yako usifuate mkumbo

    • @maulidkhamis9446
      @maulidkhamis9446 5 ปีที่แล้ว

      Grace Kihara .unaposema wewe ni MROMA maana yake wewe ni Mtaliana (Italian citizen) kitu ambacho ni uongo lakini ukisema wewe ni Roman Catholic ,maana yake wewe ni Mroma popote pale,yaani wewe ni mtaliana ,kadhalika ukisema wewe ni Anglican wewe ni Muingereza sasa maeneo hayo yote Yesu hakuwahi kufika

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    😀😀😀