ความคิดเห็น •

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว +10

    Wallah kenya ukristo unaenda kuzikwa, hongeren sana

  • @janawchannel3797
    @janawchannel3797 4 ปีที่แล้ว +4

    Shiekh yahya nampenda you're hard work. Manshallah mungu akupeleke pahali pazuri

  • @abdur-rahmanmuhammad2898
    @abdur-rahmanmuhammad2898 4 ปีที่แล้ว +10

    May Allah open their hearts & guide them to Islam
    May Allah bless our sheikhs & protect them from evils

  • @rukiamatano7764
    @rukiamatano7764 4 ปีที่แล้ว +6

    '""Maashaallah mashekh wetu kazi nzuri ya daawa..Allah awalipe kheri inshaallah.

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 4 ปีที่แล้ว +1

    Wallahi aawape umri na uzima muendelee kuitangaza dini nasi pia tunanufaika lnshaAllah. Japo nimecheka sana

  • @feisalaliahmad8730
    @feisalaliahmad8730 4 ปีที่แล้ว +2

    In Shaa Allah,Allah awazidishie kueneza dini ya haki ulimwenguni,nayo ni Laailaha illallah,Muhammadun Rasuulullah.

  • @aishaabdulraheem1913
    @aishaabdulraheem1913 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awalipe kheriy wahadhiri wetu

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaaalah.spreading the light in different languages.may Allah forgive us all.

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90 4 ปีที่แล้ว

      Allahuma Amin

    • @naturalist9517
      @naturalist9517 4 ปีที่แล้ว

      there is nothing like spreading the light its just proving how fake all that is

  • @abuujureyjkhaniy.5520
    @abuujureyjkhaniy.5520 4 ปีที่แล้ว +1

    ماشاءاللہ ماشاءاللہ
    Nipo zanzibar ....جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah awahifadhi umri ulomrefu. Muuzidi kuitetea dini ya haki ya UISLAM INSHAALLAH

  • @salehesengiyanka5397
    @salehesengiyanka5397 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh! mtaa kwa mtaa, safi sana mashekh. Vunjen makanisa yote huko watu waache kuabudu sanamu la gogo la msalaba wa yesu, na kulivaa shingon kama kamba ya mbuzi, au mtu aliyejipa kitanz

  • @sharifahamisi9812
    @sharifahamisi9812 4 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah Allah awalipe kher kwakazi kubwa mnayoifanya kwa ajili ya Allah

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Sheikh ishaqa kazungumza lugha 4 😍 na Sheikh Yahya tukiacha daawa anacomed ndaniyake🤣 Allah alipemema kwa kazinzur. awajaalie utajiri wa nafsi na afya pamoja na waislamu woote in sha Allah🙏🙏🙏

  • @Zaisma7700
    @Zaisma7700 4 ปีที่แล้ว +1

    my Allah bless these sheikhs

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel2551 3 ปีที่แล้ว

    Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +4

    AL ISLAMUL DIINUL HAKKI💖💖💖👌👌👌🇰🇪

  • @mwanamwinyibmwakinalo4094
    @mwanamwinyibmwakinalo4094 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah masheikh wetu ALLAH awape umri mzidi kulingania dini yetu inshaallah, nawapenda sana

  • @yussufalawy3848
    @yussufalawy3848 4 ปีที่แล้ว

    Kipindi kizuri mashaa Allah Allah awape uwezo wa kuwafikia zaidi ila ningependekeza mtumie kiswahili zaidi ili somo liweze kuwafikia wengi kuliko kutumia lugha za makabila hio mnatuchanganya wengi na ujumbe hautafika mbali

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie umri mrefu muzidi kuzindua watu wa amini dini ya Allah

  • @safimabelle8230
    @safimabelle8230 4 ปีที่แล้ว +5

    Ma sha Allah

  • @jamilajarso4095
    @jamilajarso4095 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mungu awape nguvu ya kuyeneza nini ya haki

  • @aminaamulavu1338
    @aminaamulavu1338 4 ปีที่แล้ว

    Allah awaongoze insha Allah

  • @selemanmohamed4958
    @selemanmohamed4958 4 ปีที่แล้ว

    Mashehe wetu mungu awabariki sana.Ila msiwe mnazungumza kiluga kama mtu mnaezungumza nae anajua kiswahili.mnatunyima raha.kama huku Tanzania hatuna hata ile idea kidogo ya lugha mnayochanganya

  • @cabdisiciid6504
    @cabdisiciid6504 3 ปีที่แล้ว

    Manshallah kaka

  • @mdmalik8484
    @mdmalik8484 3 ปีที่แล้ว

    Mingy akupe umri mrefu

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha’Allah mmefika hii mitaa

  • @farahfarah3604
    @farahfarah3604 4 ปีที่แล้ว

    Masha allah islam thrue allah is the only one to worship

  • @mwanamkuuchilagane1321
    @mwanamkuuchilagane1321 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH 🙏 🤲

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 4 ปีที่แล้ว

    jangombeboys1999 safi

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah tabarkallah!

  • @hamisikassim3726
    @hamisikassim3726 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah awape kila la heri inshaAllah

  • @eliyakalangula3833
    @eliyakalangula3833 4 ปีที่แล้ว

    Acheni kufuatilia mambo ya dini chakufanya ni kuitafuta kweli ya mungu tangazeni habaki ya kuubili neno la mungu jamani

  • @siyaaraentertainment6973
    @siyaaraentertainment6973 4 ปีที่แล้ว

    Mashaaa allah

  • @ritharitha1685
    @ritharitha1685 4 ปีที่แล้ว

    Yesu ni kristo wafuwasi wa yesu ndio wakristo

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah kwa kweli ujumbe umefika

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @hamidahamida1473
    @hamidahamida1473 4 ปีที่แล้ว

    Inshalha shukrani

  • @hamsouledi17
    @hamsouledi17 4 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว

    ALLAHU BARIK

  • @abdallamohamed2676
    @abdallamohamed2676 4 ปีที่แล้ว

    ALLAHU AKBAR

  • @MohamedHussein-ey9ub
    @MohamedHussein-ey9ub 4 ปีที่แล้ว

    Mashllaha sheik

  • @shukrihassan9479
    @shukrihassan9479 4 ปีที่แล้ว

    Kitabu yoyote mstari namba

  • @jnrhassan4629
    @jnrhassan4629 4 ปีที่แล้ว +1

    Salim nisalimie sheikh yahya

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90 4 ปีที่แล้ว

      Imefika waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh Habib

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Waisilam mnafamu yesu kuliko mtu yoyote na ammfaam Muhammad aya atawapeleka njia yake

  • @zayfahmi5130
    @zayfahmi5130 4 ปีที่แล้ว

    kama yesu alikua na dini moja na manabii wote kwa mn mnasema kuwa yesu n mungu mara n mwana wamungu mbona hamuelewek ndugu zangu wachristo mnapotea lakin hamtak kuambiwaa I'm

    • @ushershaniyah7449
      @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว

      wacha tupotee wewe na waislamu kaeni huko huko musipotee.mbona munataabika na yesu?

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Mnapaswa mafundishwe wote

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 4 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @shukrihassan9479
    @shukrihassan9479 4 ปีที่แล้ว

    Asc shekh yahya madiko namba kidoģo asomwe vizuri

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Unamfananisha yesu na Muhammad kweli mnamatatzo uyo ajui ukristo na hata ww unae muoji yesu ni kristo na mnafkilia yesu ulivyo zaliwa nkama ww au Muhammad weye dhambi na kwama aliondoka duniani aliondaje unafikili alikuja kucheza mtachomwa

  • @ritharitha1685
    @ritharitha1685 4 ปีที่แล้ว

    Muhamad alikopi bible msidanganywe waislamu mumepotea

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Dini ni njia na ndomaana yesu alisema yeye ndie njia ya kweli na uzima yoyote awezi kwenda kwa mungu bila yeye mbona ausomi maneno ayo msilazimishe mtu asilmu asiejua

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Njia yake alkua akisujudia mungu kama waislamu.je nyinyi munajidai wafuasi wake munasujudu?

  • @esthermacharia6667
    @esthermacharia6667 4 ปีที่แล้ว

    Great revelation, Jesus brought a kingdom.

    • @teamallyracing1780
      @teamallyracing1780 4 ปีที่แล้ว

      Acha kutengeneza maneno soma Bible ukweli upo wazi Dini ya haki utaona usifate Kwa mazoea

    • @ushershaniyah7449
      @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว

      @@teamallyracing1780 there is nothing like dini in quran or bible..am very sure you haujasoma hiyo quran au bible no wonder mwapenda kujibizana.Tafuteni pastors sio watu mtaani. alafu abuduni huyu Mungu wanu mbona Yesu anawasumbua sana? Na ndio maana mwapenda ushirikina na kuvuga majini nyi

    • @teamallyracing1780
      @teamallyracing1780 3 ปีที่แล้ว

      @@ushershaniyah7449 wenye macho huona na wenye maskio husikia Kwani Hao wanaowafundisha si walikua mapastor wenu ,na izo Aya si wanazitoa kwenye biblia acha Kua mwanachama wa bure ukapisha Kama unaswali uliza uambiwe

    • @teamallyracing1780
      @teamallyracing1780 3 ปีที่แล้ว

      @@ushershaniyah7449 na pia wanaopenda majini Ni Hao mapastor wenu wenyewe kutumia nguvu za Giza na kuwandannya nyie mungu kasema na kuponya kwa nguvu za Giza hii Dunia ya mwisho msiwe wadhaifu mkandanywa na matapeli wanaojiita mitume

    • @ushershaniyah7449
      @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว

      @@teamallyracing1780 its just the same thing happening in this generation fake pastors and fake sheikhs...There is no prove which religion is true muslims love arguing instead of preaching love. Bullshit

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkristo mjinga ndio anaweza sema Yesu hakuleta Dini duniani na muislamu mwehu nae anaweza sema ivyo, maana kwanza ufahamu tafsiri ya neno DINI kabla ya kujibu lolote.
    Neno DINI kwa tafsiri nyepesi ni NJIA.
    Sasa msome YESU mwenyewe anajiita nani...

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 4 ปีที่แล้ว

      Ww unajua muislam hamtambui yesu tunamtambua km mtume wa mungu sio mungu biblia inasema mungu si mwanadam na yesu anaswma nauzima wa milele ndio huu wakujue ww mungu wa pekee na yesu kristo uliemtuma soma

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 th-cam.com/video/tPz6lPqn0VM/w-d-xo.html
      Hebu pita umo kidogo

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 th-cam.com/video/A2KmLEFqvmk/w-d-xo.html jifunze kidogo

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 umesema vyema tatizo hujui uungu wa Yesu kaa kwa umakini uisome biblia vyema utaelewa Yesu ni nani....
      Swali dogo unaweza kunambia kuna sehemu yeyote katika biblia Yesu anasema mimi sio MUNGU msiniabudu?

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 alafu waislamu hamumtambui YESU ni nani japo Quran inamtaja ni mtakatifu na unashindwa kuelewa neno utakatifu katika maneno ya MUNGU lina uzito gani...
      Mungu peke yake ndiye mtakatifu so unapomuita Yesu Mtakatifu alafu unashindwa kumtambua kua ni MUNGU wewe ni waajabu na kitabu chenu

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

    Hayo maswali mngeniuliza mtu kama mie mbona mngekimbia na msingerusha hata kipande kimoja cha maneno yangu maana msingeambulia kitu zaidi ya kuwabana kwenye kona...

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 4 ปีที่แล้ว

      Ww hujui kituunafata mkumbo km unajua dini andikk linasema kristo ni juna la kupanga sasa ww jina la mtu unafanya dini unaakili kweli ww?

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 aliyepanga jina la Kristo nani hebu nipe iyo taarifa

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@kibaikiramadhani1475 kwakua unawasikiliza wapotoshaji bila kujua uwezo wao utaniona mimi sina akili ila ukizingatia mafundisho kwa usahihi wake utajua nini namaanisha

  • @kalamajulius6107
    @kalamajulius6107 4 ปีที่แล้ว

    Mnahoji watu ambao hawajui maandiko nyinyi

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Yesu alikua na dini ya musa na ibrahim na adam namanabiwote

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Na taasibii mmeipata wapi na mila ya kkuyu ya zaman unafanansha vtu wakikuyu waliongea kialabu

  • @ritharitha1685
    @ritharitha1685 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna mohamad kwa bible na hats kuweko

  • @kimsi682
    @kimsi682 ปีที่แล้ว

    Hacheni upotofu wa uislamu. Enda uongee na wenye kuelewa na Biblia. Emanuel katika biblia inamaanisha nini??...
    ina maana gani??
    Swali kwa huyu mkikuyu bandia. Kwa biblia, kuna neno muhammad? Sura gani, mmstari gani? Maswali yako yooote unao uliza hawa wakamba, uliza mtu aliyekaa venturi kama pastor. Namuache ujaja na unafiki wa maandiko kusukuma mtu kwa corner fulani. Amelaaniwa yeye uleyaye njia za uwongo. Yesu akasema mwenyewe, taadharini, nyuma yangu kutakuweko managing wa uwongo. Tafadhari, acheni kipotosha watu.

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa wanajua sana kuchezea akili za watu wasiosoma maandiko. Huu jamaa wamemuokota barabarani hajui chochote masikini.

    • @jackiekerry324
      @jackiekerry324 3 ปีที่แล้ว

      Pia wanawadanganya kwa kutumia biblia ya kiafrika ambayo imeandikwa na wakatholiki ambayo ndio walianzisha uislamu

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      @@jackiekerry324 hii yathbitisha bible si kitabu cha mungu.

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Dini ni njia sasa kama hauna dini ambayo itakuongoza nakukuonesha cema na kisico cema utafikahe ? Jamani wacristo wenyewe wanasema hawana dini ni musiba

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

    Hammuelewi Yesu katika mwili ni nani na katika roho ni nani....
    Na quran ilikuja kupinga kua YESU sio MUNGU na wala si MWANA WA MUNGU
    kwa sababu iyo ni kazi ya shetani kupinga kila kilicho cha MUNGU

    • @shabanawino9426
      @shabanawino9426 4 ปีที่แล้ว

      Maoni kama yako tumeyazoea!

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@shabanawino9426 kuyazoea umeyazoea ila uwezo wa kuyaelewa ndio shida

    • @shabanawino9426
      @shabanawino9426 4 ปีที่แล้ว +1

      @@zenassylvester125Hauna hoja ya kueleweka,soma biblia ipasavyo!

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@shabanawino9426 najua mpaka hapa nimesoma vya kutosha ndio maana nikaeleza hayo sasa sijui unataka nisome nini zaidi

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@shabanawino9426 "I have heard the Apostle say: 'Whoever wants to see Satan should look at Nabtal. He was a sturdy black man with long flowing hair, inflamed eyes, and dark ruddy cheeks. He used to come and talk with the Prophet and listen to him. He would carry what he had said to the hypocrites. Nabtal said, 'Muhammad is all ears. If anyone tells him something he believes it.' Allah sent down concerning him: 'To those who annoy the Prophet and say that he is all ears, say, 'Good ears for you.' For those who annoy the Apostle there is a painful punishment."

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

    Muhammad hakuwa muislamu maana wazazi wake wote walikua wakiabudu miungu 360 pale al kabbah ndani ya makkah hata alipozaliwa babu yake alimpeleka kumzungusha al kabba na kumuimbia mashahiri ya miungu yao...
    Muhammad kazaliwa miaka minne baada ya baba yake kuzaliwa sasa hapa ndipo maajabu je! Mama ake muhammad alichepuka au alizini?

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

    Waislamu mnamfwata mtu ambaye aliwaongopea kapasua mwezi katikati tendo ambalo halipo katika historia popote isipokua kwenye hadithi zake mwenyewe na uko makka na madina..
    Wakati mwezi unaoandama Tanzania unaonekana pia arabuni..
    Muhammad anasema mbegu za kiume zinatokea kwenye uti wa mgongo na za kike zinatoka kwenye mbavu na kifuani...
    Pia anaendelea kusema wakati wa tendo la ndoa ataewahi kumwaga mbegu kati ya mwanamke au mwanaume mtoto atafanana na uyo aliyewahi kumwaga...
    Muhammad anatisha anavisa vingi vya ujinga kuliko kawaida

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 ปีที่แล้ว

      Clack Bonny
      changamsha ubongo wako na uzidi kumuomba mungu akuonyeshe njia ya haki ili uifuate kabla mauti hayajakufika!!

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 4 ปีที่แล้ว

      @@sokakilumbi9293 njia ya haki ni Yeshua ( Yesu Kristo)

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 ปีที่แล้ว

      Clack Bonny
      nipe dalili kuwa yesu ndio njia haki!!?

    • @sokakilumbi9293
      @sokakilumbi9293 4 ปีที่แล้ว

      Clack Bonny
      إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ
      (AL I'MRAN - 19)
      Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 4 ปีที่แล้ว

      Ww ni mpuuzi hao mabwana zko washaanza kukukimbia ww unabeba tu biblia mmzoea kila kitu ndio soma uelewe acha jazba

  • @goodlucklendey238
    @goodlucklendey238 4 ปีที่แล้ว

    Yohana 26 - 62 kwanza yesu akukata na pia amujui kusoma kiswaili yesu alise mtamuona mwana wa adamu sio kusema mtu napia nkuelewa yesu alkuwa roho zen alvyo kuja kuuvaa mwili ndo maana maana ametoka kwenye roho ndo maana ya mwena wa adamu

    • @azizymachadeson3577
      @azizymachadeson3577 4 ปีที่แล้ว +1

      We mwenyewe hujui kiswahili afu unaongea nini , kasome kwanza mshamba wewe!

  • @aichaabdul5844
    @aichaabdul5844 4 ปีที่แล้ว

    Badala ya kuhangaikia mambo yenu mnaangaika yasiyo wahusu

  • @ushershaniyah7449
    @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว +1

    Instead of preaching peace and tell people to live in love and harmony you are busy want to make people believe that Jesus is not God. Stay where you are and worship who you want stop fooling people and mocking Jesus! Islam is full or arguments and jinns which God do you worship? Your faith is poor but you love arguing as if any of you met God. Preach stop justifying and mocking Jesus the way and life!

    • @nawabfayadh802
      @nawabfayadh802 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂go read the bible illiterate Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundishoo😂😂hauez jisomea mpka usomewe na pastor😂

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Kuna peace zaidi ya neno la mungu. Shetani ww

    • @ushershaniyah7449
      @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว

      @@maherzain615 shetani ni wewe ..dini yako inakufunza kutusi watu na kuchukia mtu akiasi maana its an occultic religion.

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      @@ushershaniyah7449 sijatusi ni sifa ya shetani kukataa mungu ama kumpa mungu washiriki kiwa Jesus mwenyewe alisema mm mwaana wa adam ww unalazimisha awe mungu.kisha shetani hataki watu wahubiriwe Jina la mungu anachukia kama ww

    • @ushershaniyah7449
      @ushershaniyah7449 3 ปีที่แล้ว

      @@maherzain615 shetani ni wewe na uislamu yako na hizo chuki munazo kwa Yesu kwa maana anavuruga majini zenu...Keep off and worship your god amd prophets who was a womanizer lol

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @omargbabaomar2004
    @omargbabaomar2004 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah