[52]DADA;NIMESIKIA QURAN IMEFUNZA KUUWA WAKRISTO JE NI UKWELI? DAAWAH MITAANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • KASARANI LOISAMBO NAIROBI COUNTY

ความคิดเห็น • 134

  • @zaisule9171
    @zaisule9171 4 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah... Welcome brother to the right path Islam

  • @zaisule9171
    @zaisule9171 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma shaa Allah

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 ปีที่แล้ว +8

    MashaAllah ukweli inaendelea kusambaa, nasikia raha (ndacha na kasinah watakufa kwa uzuni wakiona uisilamu unaendelea kukita mizizi) masheikh jazzakAllah mwenyeziMungu amzidishie umri na aendelee kumuongoza kwa njia iliyonyooka

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ndugu zetu wanaelimika na kupata dawaah

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +3

    Maashaallah sheikh wetu akujaalie kila la kher jazaka Allahu khair

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 4 ปีที่แล้ว +3

    Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu nafurai sana kwa ajili kaka zetu na baba zetu wamepewa ujasiri wakufundisha dini ya Allah niliumia mda mrefu nikiwa mama waislam kuishia mskitini kumbe Allah ataarisha muda wake Allah awalinde maustadh wetu awape afya njema awalinde na kila dui🤲🤲🤲💪💪💪

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki katika kueneza dini yetu. Nimefurahi sana mungu awabariki sana

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +1

    MaashaaAllah masheikh wetu
    Allah awahifadhi awalinde na adui zenu popote walipo
    Allah awazidishie afya nanguvu na ilmu yenye manufaa muzidi kututoa katika giza
    Kwakweli wakiristo wanakurupuka km upepo unafuata bendera hawasomi bible kiundani wakaona vipi wanadanganywa

  • @malawatoaliasse7369
    @malawatoaliasse7369 4 ปีที่แล้ว +2

    Mr, Dani kasha fahulu mungu amenjalia kumpa akili ya kiachana na ukristo kwa sababu za msingi
    Na sanabu zake ni kwamba ukristo ni ajira kama ajira nyingine

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว +6

    Maa shaa Allah kazi nzuri Allah awajalie kila lenye kheir masheikh zetu

  • @aminaamulavu1338
    @aminaamulavu1338 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah awalipe mema insha Allah.. Amiin

  • @mulusaeunice4402
    @mulusaeunice4402 4 ปีที่แล้ว +8

    MashALLAH .Allah awazidishe kher hàpà nà ÀKHERÀ ÀMEEN

  • @islamicnewschannel2551
    @islamicnewschannel2551 3 ปีที่แล้ว +1

    Assalam Aleikum Akhui, Masha Allah Suleiman Mazinge mawaidha yake ni mazuri sana nimeipenda na inawaelisha watu wasiojua duniani unaendelea nini,mm ningependa Suleiman Mazinge, Uthman Mazinge na mashekhe wakubwa wenye elimu east Africa wamualike Dr Zakir Naik katika muhadhara iwe mkubwa na iwe uwanja mkubwa iwe Kenya au Tanzania, please ndugu yangu.

  • @alimasigasaleh8659
    @alimasigasaleh8659 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah awazidishie ilm na neema ya ilm yenu na awape Jannat Firdaus kwa kazi mnayofanya ya daa'wah. Na Allah awape umri na afya njema na imani zaidi.

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว +7

    This Guy has no sins from now he's clean as a New Born baby

  • @jabirmohamudey1770
    @jabirmohamudey1770 3 ปีที่แล้ว +1

    I love doing this work. Ustd ninaweza kufuata nyinyi kivipi? Katika Dawah mtaani

  • @user-hk2om2ef7m
    @user-hk2om2ef7m 4 ปีที่แล้ว +8

    I loved how he took them slowly to realise the mistakes which have been made inside the BIBLE.

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah

  • @dahabomohammed870
    @dahabomohammed870 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah...Allah awajalie kheir,afya na maisha marefu muzidi kuelimisha dini ya Allah.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah jazakallah kheir

  • @doyohuqa9467
    @doyohuqa9467 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Mashekeh wetu wanajitahidi sana... inshallah Allah hawajalie Bustani ya firdouws... inshallah...

  • @abubakarikikina7544
    @abubakarikikina7544 4 ปีที่แล้ว +7

    Laailaha illallah Muhammad rasulu llah

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 4 ปีที่แล้ว +4

    Allahu Akbar may Almighty Allah gave u guys enough strength and health to do the work of Allah, its never easy but wallai mutapata Malipo kwa Allah sw

  • @amirhassankamau871
    @amirhassankamau871 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah..... Kazi nzuri mnayo ifanya

  • @ummua5006
    @ummua5006 3 ปีที่แล้ว

    Jazakumu Llaahu khairan

  • @AbdulmajidHyder
    @AbdulmajidHyder 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah awalipe Kheiri nyingi sana bila hesabu, hakika mnafanya kazi kubwa

  • @paulosarumbo1888
    @paulosarumbo1888 3 ปีที่แล้ว +2

    Natamani kazi hii pia ingefanywa huku Tanzania pia....kwenda mitaani na kuwalingania watu face to face.

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaka Allah haira mungu awajalie ufahamu zaid ya kuwatoa watu gizan

  • @bidallahamadi4036
    @bidallahamadi4036 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah ,Allahuma Bariq🤲🤲🤲

  • @ambarnelly6304
    @ambarnelly6304 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabari masheh kazi nzuri

  • @dawahisourduty1311
    @dawahisourduty1311 4 ปีที่แล้ว

    أحبابي في الله جزاكم الله خيرا ... استمروا بالدعوة إلى الله ، الله سينصركم .

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah
    KENYA DAAWAH ONLINE TV,

  • @sahalanali5287
    @sahalanali5287 ปีที่แล้ว

    Mashaalla brothers may Allah bless you inshallah.kindly mupitie Hadi mwihoko githurai Sana Sana uku dini aijachanganya vile

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 ปีที่แล้ว

    Takbir

  • @djuninhoramisos2453
    @djuninhoramisos2453 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah Allah awape pepo

  • @sumbamkali8435
    @sumbamkali8435 11 หลายเดือนก่อน

    Mashalah

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye Enzi Mungu awa zidishie kheri na awa hifadhi na awape subra na nguvu kwa kuitangaza dini ya Mwenye Enzi Mungu. Allahumma ameen yaarab.

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +1

    TAKBIIR 🇰🇪

  • @mrbubaaside4388
    @mrbubaaside4388 4 ปีที่แล้ว +1

    mashalah mungu awajalie nguvu zaidi na afya zaidi

  • @omarabeid1363
    @omarabeid1363 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah 🙏🤲 Allah awajaze kula la kheri Inn Shaa Allah

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH 🙏 🤲

  • @abujole8649
    @abujole8649 4 ปีที่แล้ว

    Daawah mitaani nawatakia kaazi nzuri na mimi Niko Baraawa Nchi ya Somalia

  • @saidbakhlaaofficialchannel3950
    @saidbakhlaaofficialchannel3950 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @kareemalamoody6345
    @kareemalamoody6345 4 ปีที่แล้ว

    ALLAHU AKBAR

  • @jamilaomariomari8328
    @jamilaomariomari8328 4 ปีที่แล้ว +1

    Allahu Akbar!

  • @amirhassankamau871
    @amirhassankamau871 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah nawapenda sana kwa ajil ya Allah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  3 ปีที่แล้ว

      Nasi twakupenda kwaajli ya Allah

  • @jafarykahera1727
    @jafarykahera1727 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah masheha. Mungu atawalipa heri

  • @adinanijackobo1328
    @adinanijackobo1328 4 ปีที่แล้ว +1

    manshaAllah Allah awelipe masheikh zangu awape afya njema,karibu hata tanzania

  • @aminashaib6956
    @aminashaib6956 2 ปีที่แล้ว

    Allah Awajaalie wote walopotea Azidi kuwaonyesha jia ya haki uislam

  • @kutailadifi2854
    @kutailadifi2854 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah Allah awajaalie Afya masheikh wetu

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu Awabariki mashekhe kwa kuelimisha umma ulioghafilika na uzushi wa wanadamu, Allah vilevile Awaongoze wapate kujua haki IshaAllah...

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  3 ปีที่แล้ว

      Allahuma Amin

    • @muddymdigo5164
      @muddymdigo5164 2 ปีที่แล้ว +1

      Hawa maustadh wetu kutoka kikuyu yaani niwalinganiaji ktk kz ya ALLAH masheikh kutoka mombsa muige analau mwangaza upatikane INSHALLAH

  • @jaffarumar5258
    @jaffarumar5258 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha’Allah

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    🤲🤲

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-sj3di5wy9p
    @user-sj3di5wy9p 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awasamehe kwa kuwapeleka watu motoni

  • @mgenisaid6544
    @mgenisaid6544 4 ปีที่แล้ว

    Ajali mwendo kas dare salam

  • @fatmamombasa3430
    @fatmamombasa3430 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kwa hakika mnafanya kazi nzuri sana Allah awape nguvu na subra

  • @salimamry9432
    @salimamry9432 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah Allah awazidishie kheri na imani mpaka siku ya wisho.

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 ปีที่แล้ว

    Ma sheikh's hongera kwa kazi njema ya Allah bless love u big

  • @Da-cr6ow
    @Da-cr6ow 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Allah awalipe kheir Insha Allah kwa kila jema mnalo fanya na awazidishie umri mrefu muzidi kuzindua watu wa amini dini ya Allah

  • @swalehiddy2468
    @swalehiddy2468 4 ปีที่แล้ว +1

    Ustadh Yahya mtambulishe huyu ustadh mwingine ili tumfaham...kazi nzuri.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว

    N'a furkana

  • @kibeginiblue7188
    @kibeginiblue7188 3 ปีที่แล้ว

    Wakenya bwana, songea kidogo

  • @malawatoaliasse7369
    @malawatoaliasse7369 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuelewa ni vigumu kama sio mwelevu
    Ninakwelewa Mimi wa Mozambique na kwanini mkenya asielewe?

  • @axmedcabdi3660
    @axmedcabdi3660 4 ปีที่แล้ว

    Shukran,....kazi nzuri

  • @adidjaadidja2578
    @adidjaadidja2578 4 ปีที่แล้ว

    MANSH Allah awarip kir raher

  • @abujole8649
    @abujole8649 4 ปีที่แล้ว

    إ ن شاء اللة

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

    Mungu afanye ukahaba tena? Inamaana wakiristo mnaemuita Yesu Mungu ni kahaba? Astaghfirullah! Tatizo lenu original hamna mnabururwa tu.

  • @sadyrajabu9318
    @sadyrajabu9318 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hii nitofaut na iliyo somwa apo ustadhIsaya 23:17 BHN
    Baada ya miaka hiyo sabini, Mwenyezi-Mungu atauadhibu mji wa Tiro, nao utarudia kufanya uzinzi kwa kujiuza kwa mataifa yote ya dunia.
    BHN: Biblia Habari Njema
    husisha wengine/jumuisha
    Soma Sura Nzima

    Apu ya Biblia

    Apu ya Biblia ya Watoto
    Kiswahili

  • @abubakaribyabato4384
    @abubakaribyabato4384 3 ปีที่แล้ว

    Sheihk Ismail Gitau siku hizi yuko wapi

  • @Kokotokwenyekiatu
    @Kokotokwenyekiatu 3 ปีที่แล้ว

    Huyo bwana anasema wakristo ni marafiki wa waislamu lakini kitabu chake inasema;Sura 5:51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Na kuuhusu kuua watu hebu soma Sura9:5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu. Kumbuka kwamba muislamu anatuona sisi wakristo kama watu wanaoabudu miungu . Eeeh huo ni urafiki wa Allah na mtume wake

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Kwanza kumbuka Qur-an ilikua ikishuka kufuatana na matendo yanayotokea. Kipindi kilichoshuka hayo waisilamu walikua wakiuawa na walikua hawajawahi kupigana wanakhofia. Na ndio mana Allah akaleta aya hiyo kusudio wale wanaoua waisilam wasiachiwe. Waisilam wapigane nawao. Sasa utakua unachekesha ukiiquote aya hiyo na kuanza kuua kila mkiristo japo kua hana hatia. Au ww ukaichukua aya iyo ambayo haikuhusu ukasema ati waisilam wauuaji mana hata Qur-an inasema hayo.
      Kwani bible haielezei mauaji, kisasi n.k? Msidanganywe someni bible mushuhudie wenyenu msidanganywe na pastor tu mkaambiwa mpende jirani yako.

    • @Kokotokwenyekiatu
      @Kokotokwenyekiatu 3 ปีที่แล้ว

      Una maanisha ya kwamba Qurani haiwezi kuaminika kma neno la Allah ya daima? nilidhnai kwamba muislamu anaamini kwamba ni neno la Allah na ni ya milele. At least Qurani yenyewe inadai hivyo. Labda nimekosea. Halafu nadhani unahitaji kusoma historia kwa makini zaidi, watu hawakuwashambulia waislamu, bali walishambuliwa na jamaa mmoja aitwaye Muhammad... nakushauri wewe pia soma Qurani, na vitabu vingine vya kiislamu. Na kwa msaada zaidi oyesha kama andiko fulani lime kansuhwa na andiko iliyotangulia. Kwa upande wa Biblia ni vema kutofautisha kati ya Ak na AJ. Agano la kale ilitumika kwa wakati wake ila kwa leo tunaamin kwamba ni Agano Jipya iliyo na nguvu na hapo huta kuta fundisho ya kulipa kisasi. Nadhani unajua aliye leta AJ Yesu mnayemuita Issa.@@alhamdulillah5796

  • @masungwasalumu1278
    @masungwasalumu1278 4 ปีที่แล้ว

    Hamna.kitu hao soma Qruan 02:102 utajua

  • @mwanzomwisho6968
    @mwanzomwisho6968 3 ปีที่แล้ว

    tell her also about,
    S9:29. why do u have to fight them to believe in Allah and if they don't they are forced to pay jizya and if they don't kill them.
    Q5:51 tell Muslims not to take Christians and Jews as friends.

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah i

  • @giloogilo6589
    @giloogilo6589 3 ปีที่แล้ว

    Warongo.mbona wasoma kiarabu sio Kislamu.Wayahudi ndio watu wa kweli.

  • @user-sj3di5wy9p
    @user-sj3di5wy9p 4 ปีที่แล้ว

    Kama Muhammad ni mtume WA mungu mbona akafinywa mbavu ndio a kubali kuwa mtume

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

      Elimu haipatikani kiwepesiwepesi, inapobidi lazima mwanafunzi atishwe/aadhibiwe(adhsbu inayolingana na kuwa kwa mengi is kustawisha kwa lengo la kujeruhi/kuumiza) ili mwanafunzi atoke ktk ujinga awe mwelevu.
      So kusoma ni muhimu na ndomana mwanagunzi/wanafunzi huadhibiwa baadhi kwa kuchapwa ili upatikane umakini, uwelevu na mazingatio ktk kujifunza.
      Wazungu wanatuletea destuli/mila ya kuondoa viboko mashuleni/mwanafunzi asichapwe ili wanagunzi/watito wawe wajinga na wakose adabu kwa Walimu wao na Wazazi wao/Walezi wao.

    • @user-sj3di5wy9p
      @user-sj3di5wy9p 3 ปีที่แล้ว

      @@alhaddajmohammed4768 uongo huu mbona Muhammad mwenyewe kasema mimi sio mmoja WA mitumi walio tumwa na mungu kumbe Allah sio mungu Allah mwenyewe kaambia Muhammed yesu kanitusi heti mimi sikuumba manake Allah kaumbwa ndio maana anahapa kwa lieumba ndio maana kasilimishwa na Muhammed nakuamuru Muhammed aende kuwasomea Quran majini Quran sio kitabu cha mungu penda usipende shetani ndio Allah hio ndio ukweli upende usipende

    • @aminatatu5692
      @aminatatu5692 2 ปีที่แล้ว

      Aca kujicanganya nawona hawutaki kuwe lewa polesana😀

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-sj3di5wy9ptupe ilo andiko linalosema kuwa Yeye mtume muhammad alisema kuwa yeye sio mtume na hakutumwa na Mungu

  • @abujole8649
    @abujole8649 4 ปีที่แล้ว

    Nawasikia Daawah yiinu

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 ปีที่แล้ว

    Maskini huyu dada . TV and media news ime mdanganya Mwenye Enzi Mungu amhidi yaarab

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 ปีที่แล้ว

    Kafiri ni kupinga ukweli wa Allah dada yani kukata kitu kiko wazi na ni kweli wa Allah

  • @user-sj3di5wy9p
    @user-sj3di5wy9p 4 ปีที่แล้ว

    Ni nini Muhammad na Allah aliwaahidi kwa paradise yenyu wanawake 72 huyo ni mungu Aina gani

  • @user-sj3di5wy9p
    @user-sj3di5wy9p 4 ปีที่แล้ว

    Biblia sio kitabu cha uchawi kama qur an

  • @user-sj3di5wy9p
    @user-sj3di5wy9p 4 ปีที่แล้ว

    Allah sio mungu muumba WA mbingu na arthi ndio nyinyi mnakana yesu na ndio a tarudi mbona Muhammad harudi basi yesu ndio atawahukumu kwa kumkana mjiepushe na Islam qur an sio kitabu cha mungu ni cha shetani mnapeleka watu kuzimu nyinyi

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Sasa hujajijibu tu mwenyewe km kwa nn Yesu anarudi? Nikusaidie, Yesu anarudi kwa sabbu yy ni mtu nasio Mungu. Na ndio mana anarudi aendeleze maisha yake na kufa km wanavyokufa viumbe wote. Kila nafs itaonja mauti.

    • @user-sj3di5wy9p
      @user-sj3di5wy9p 3 ปีที่แล้ว

      Yesu sio mwanadamu Bali ni roho wamungu ndio maana Quran inawapoteza hamjui kuwa yesu ni roho,,, Muhammad alifinywa na shetani ndio a kubali kuwa mtume mbona mitume WA mungu hawakufinywa lkn Muhammad peke kafinywa,,,, ikuulize paradise yenu mliadiwa nini wanawake 72 na sisi yesu a nasema nitawapa uzima WA milele lkn waislam pombe na maziwa ilio oza Waaaaa mungu asamehe waislam Allah ako na ubaguzi WA rangi hapendi watu weusi Sasa na wewe una ngangana tu na kuran unatangaza na wewe ni mweusi Hata hivio Quran ililetwa kwa waarabu peke wewe ni mwarabu ama unajiona je

    • @user-sj3di5wy9p
      @user-sj3di5wy9p 3 ปีที่แล้ว

      Yesu anarudi kunyakuwa walio mkubali na kutii neno lake na sauti yake lkn wenye wanamkana kama nyinyi sijui mtaelekea wapi Bali nawaombea mfunguke macho muone mbele maana yesu ndio njia na uzima WA milele niambie wewe Sasa Allah na Muhammad wako na nini kwako mm kwangu hakuna faida

    • @user-sj3di5wy9p
      @user-sj3di5wy9p 3 ปีที่แล้ว

      Yesu alisema pendaneno jinsi mm nili vio wapenda lkn ukija kwa waislam wapendi wakristo na wayaudi maana Muhammad alikufa kwa sumu alie muua muyaudi,,,,, na vitabu vilioliwa mvunguni mwakitanda cha aisha wakati Muhammad amekufa viko wapi kama ukweli Quran ni kitabu cha mwenyezi mungu mbona kikaliwa mungu hakukilinda na mbona hakukinga mtume asife kwa sumu mtume akasema ukila date 7 kama umekula sumu hautakufa yeye ako wapi

    • @user-sj3di5wy9p
      @user-sj3di5wy9p 3 ปีที่แล้ว

      Soma Quran 2:97

  • @mrboma4343
    @mrboma4343 4 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri kabisa

  • @akeem1221
    @akeem1221 4 ปีที่แล้ว

    GIve the guy your phone number wafikirie , and they should call you when ready.

  • @malindaramadhani9271
    @malindaramadhani9271 4 ปีที่แล้ว

    Kafiri naweza kuwa mtu yeyote anaye pinga Allah / Mungu

    • @malindaramadhani9271
      @malindaramadhani9271 4 ปีที่แล้ว

      Ata muislam anaweza kuwa kafiri ikiwa anampinga mungu

  • @davidchesco1150
    @davidchesco1150 4 ปีที่แล้ว

    Wapotoshaji.biblia haitafsiliwi kizembe ivo

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

      Yesu hajawacha Biblia , hajawacha Ukristo wala hajawacha Kanisa.
      Wakristo mmeongopewa na Wapagani/Makafiri wa Antokia ili mpotee.
      Yesu alikuwa anasali ktk Masinagagi/Misikiti ya Wayahudi, Yesu amewacha Kitabu cha Injili na alikuwa Muislamu jinalake ni Issa ila Wapagani wakageza Yesu!.
      Biblia ni kitabu cha wapotoshaji wamechaguwa baadhi ya maneno wayatakayo na sheria wazitazo kutoka ktk Zaburi, Taurati na injili ili kuwapoteza wajinga.

    • @alhaddajmohammed4768
      @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว

      Wakristo walokuwa karibu/marafiki wa Waislamu ni Wale wa Zama zilizopita walokuwa wakitumia Kitabu cha Injili ya Yesu (Issa) kabla hakijachakuchuliwa na King James na kukusanyawa/kuingizwa ktk Biblia!

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa Allah

  • @nuruabdallah6692
    @nuruabdallah6692 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @hamsouledi17
    @hamsouledi17 4 ปีที่แล้ว +1

    Ma Shaa Allah

  • @salamamohamed6762
    @salamamohamed6762 4 ปีที่แล้ว +1

    MA SHA ALLAH

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah