CHECHE ZA ASKOFU GWAJIMA BUNGENI KUHUSU URAIA PACHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • CHECHE ZA ASKOFU GWAJIMA BUNGENI KUHUSU URAIA PACHA
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น •

  • @shaqdizo7678
    @shaqdizo7678 2 ปีที่แล้ว +7

    gwajima nakukubali mnoo, kiongozi pekee unayeongea vitu vya maana na kuangalia future ya Tanzania.. vizuri sana

  • @lilyjones3584
    @lilyjones3584 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana Gwajima kwa kuwachana wazi. Uchoyo ni adui mkubwa wa maendeleo.

  • @mako331
    @mako331 2 ปีที่แล้ว +4

    Ahasante Yesu kwa kuweka watu wachache wenye akili kama huyu kuwepo bungeni, isingekuwa hivyo sijui hili bunge lingekuwaje!

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 ปีที่แล้ว +4

    Mheshimiwa GWAJINA upo vizuri watanzania tunakuelewa sana MUNGU amekubariki maarifa

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe ปีที่แล้ว

    Watanzania tuna ushamba sana kuhusu maswala ya kidunia. Uelewa wetu mi naona upo chini sana. Tunateza faida kemkem kutokana na swala la sisi kutoelewa
    Uraia pacha. Nchi nyingi jiran yetu wapo mbele sana

  • @malipulachalamila110
    @malipulachalamila110 2 ปีที่แล้ว +3

    Always with you Dr Gwajima,safi sana kwa mchango mzuri sana

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania tunakupenda sana gwajiboy👏👏👏👏💪💪💪💪

  • @tresorlusolo8916
    @tresorlusolo8916 2 ปีที่แล้ว

    Ongera sana mweshimiwa gwajima

  • @josephsapuke7914
    @josephsapuke7914 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up gwajima

  • @dekanyaktown.255
    @dekanyaktown.255 2 ปีที่แล้ว +2

    Gwajima vs Polepole, Bashiru.
    Mungu awape maisha marefu sku moja nchi ya ahadi mtatufkisha.

  • @priscillamlay8184
    @priscillamlay8184 2 ปีที่แล้ว +1

    🎓🎓🎓 👏👏👏 Hii ni genuine thinking/fikra! 1+1=2. Kwa nini wengine mnaona 1+1=1? Fikra kama za mhe. Gwajima, zimekwenda shule na "kuiva sawasawa." Zina lengo la kuiinua Tanzania ki kwelikweli kwa manufaa ya watanzania wote, Hazina lengo la kuwa-please baadhi ya watu, au viongozi fulani. "People-pleasing!" Uraia pacha haumsaidii mwanadiaspora tu. Bali Tanzania yenyewe kwa hali ya juu kupita hata maelezo haya.

  • @eddyjunior2881
    @eddyjunior2881 2 ปีที่แล้ว

    Gwajima Gwajima Gwajima ,,, God bless you more,,, kuna watu hawataelewa umuhimu wako Leo mpaka siku ile umeingia kaburini🙏

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 2 ปีที่แล้ว +1

    Viongozi WA Tanzania roho mbaya

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 2 ปีที่แล้ว +4

    Gwajima oyeee!

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 ปีที่แล้ว +3

    Safi Sana ww jembe

  • @priscillamlay8184
    @priscillamlay8184 2 ปีที่แล้ว

    Wabunge wanaendelea kuikwamisha na kuilostisha Tanzania na watanzania wenyewe kwa miaka miingi kwa kuchelewesha uraia pacha. Wabunge tafadhali acheni kukwepa
    na kuogopa challenges kutoka kwa wanadiaspora zenye lengo la kuiendeleza Tanzania, kwa kupinga uraia pacha. Mmechaguliwa kwa kazi ya kuiboresha Tanzania. Please acheni politics. Well said Askofu Gwajima! 👏 👏 👏

  • @bahatichombo7209
    @bahatichombo7209 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana 🙏🙏🙏

  • @gmaemba22
    @gmaemba22 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa Kuna wakati anaongea mambo ya maana sana well done mtumishi

  • @mayagillamussa9486
    @mayagillamussa9486 2 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa mwaka huu kakiwasha sn bungeni point 2pu utadhani anamiaka 20 bungeni

  • @Richard_Range
    @Richard_Range 2 ปีที่แล้ว

    This is soooo true!!! We need this, just like Kenya! Msiende mbali, Jirani zetu wana uraia pacha!!

  • @ahmedsalim9463
    @ahmedsalim9463 2 ปีที่แล้ว

    Point sana gwajima

  • @gideonkasese9244
    @gideonkasese9244 ปีที่แล้ว

    Et stress less 😂😂😂 tumieni kiswahili TU ona sasa unavyotumia nguvu nyng

  • @coin9007
    @coin9007 2 ปีที่แล้ว

    Super

  • @gidsonmarko9800
    @gidsonmarko9800 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 ปีที่แล้ว +3

    Gwajima anafanya kaz Kwa moyo mmoja kuna wengine wanafanya Bora wapate pesa

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 2 ปีที่แล้ว +2

    Gwajiiiii ni kichwa

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @SHommymusic1
    @SHommymusic1 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaongea point.

  • @swahilimagnet
    @swahilimagnet 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana we need duo citizenship

  • @deohaule98
    @deohaule98 2 ปีที่แล้ว +7

    Tatizo ni ufahamu mdogo wa viongozi wetu. Nchi ya Nigeria ina fanya vizuri kupitia Diaspora wenye uraia pacha. Mfano leo mziki wa Nigeria umekua mkubwa kwa nchi za magharibi kupitia uwekezaji wa diaspora. Pia viwanda nk ni kupitia diaspora.
    Mimi naona ukosefu wa akili pale Serikali inaomba wawekezaji kutoka nje kipindi watu wako wenyewe ambao wako ugaibuni hauwataki. Yani unamkaribisha mwizi nyumbani anaiba anakukimbia, bado hauchoki unaenda kumtafuta mwizi mwingine. Kipindi hicho hicho una mtu unae mfahamu anaye aminika ila hutaki kumtumia. Serikali inatikiwa kutumia wana diaspora kutatua matatizo ya kiuchumi.
    Diasporas are greater resources for the country if utilise them effectively. Are people who have greater visions, exposure and they have seen the world, for them to identify a gap and fix it will be so much easier than someone/leader who never have any single exposure about what is going on around the world. It does not make sense to trust a stranger and not trusting your own. Let’s humble ourselves.
    I know diasporas who swore not invest in TZ due to poor foreign policy and recognition of diasporas, in that case I will never blame them.

    • @augustinemhando9093
      @augustinemhando9093 2 ปีที่แล้ว

      Viongozi wetu wanaogopa challenge ya vizazi vya diaspora , wanajua umuhimu wa uraia pacha ila wamekuwa wagumu kwa sababu wanalinda maslahi yao na watoto wao. Wanajua fika watoto wao itakuwa ngumu kushindana na watoto diaspora kwahiyo wanachofanya ni kuweka ugumu kukata uraia pacha. Wapo radhi kubadilisha katiba na kukubaliana na Western world kuhusu ushoga lakini hawapo tayari kukubali uraia pacha ambao ni obvious ni muhimu kwa maendeleo ya nchi kiuchumi, kijami na kielimu. Fikiria matatizo ya walimu waliyokuwa nayo na angalia diaspora ambao wako nje wengine ambao hawafanyi kazi kulingana na fani zao walizosomea kama wangetoa opportunity wengi wangerudi kusaidia kufundisha

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 ปีที่แล้ว +1

    Unajua

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 2 ปีที่แล้ว +1

    Bryson Mzungu raia wa Uingereza alikuwa Mbunge wa kinondoni,sasa method gani ilitumika kipindi kile inashindwa kutumika sasa,Mataifa mengi makubwa duniani ambako unaweza kuoga maziwa ukiamua na isiwe kitu,it's ok raia pacha,mawazo yangu bado linaweza ruhusiwa isipokuwa wasijiusishe na siasa,Nina imani awam ya pili ya mhe samia Suluhu Hassani atarekebisha,sababu ni mama anayejitambua na Jasiri sana,kazi iendelee, Hamisi Dale PSU 1984"

    • @TEMBAANICETUS1
      @TEMBAANICETUS1 2 ปีที่แล้ว +1

      Siasa inafundishwa shule zote duniani na wanasiasa wanapewa kazi. Itakuwaje mtanzania a afundishwe kazi nchi ze nje na a sipewe kazi Tanzania.

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 ปีที่แล้ว

    Shukran yako Gwajima umetu te te a , lakini vichwa ngumu humo hahaaa

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 ปีที่แล้ว +1

    Hata hapo jirani tu Kenya wanayo. How do you become stateless wakati umezaliwa in a State😬..mtu akiwa na points mnampigia kengele why?

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 2 ปีที่แล้ว

    Hadhi maalumu yenyewe haijatoka !

  • @kelvinyacobo705
    @kelvinyacobo705 2 ปีที่แล้ว

    Wazo lako lazma watalipuuza..kama nasema uongo niite mbwa niko pale nimekaa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 ปีที่แล้ว

    Kwa dunia ya sasa uraia pacha halikwepeki kikubwa serikali ijaribu kutafakari juu ya hilo jambo kwani hofu ni nini kama hofu ni watu kutumika vibaya ya mataifa ya nje labda hili mbona hata mtanzania akikosa uzalendo anaweza kusaliti nchi sasa kwanini tukatae ndugu zetu na watoto wetu

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 ปีที่แล้ว +2

    IVI UYO WAZIRI AMELEWA? MANA HAELEWEKI. KASHAMBIWA 'ASAFISHE 'NYUMBA YAKE' ILA PERHAPS ANZE NA YEYE MWENYEWE.
    TUNAONA KAZI NYINGI KUBWA ZINAFANYWA NA RAISI.. SASA, DAH!!

  • @elizalutiga6287
    @elizalutiga6287 2 ปีที่แล้ว

    Kiongozi makini

  • @athanaskitime1484
    @athanaskitime1484 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea Fact mh.. naungana na wewe mh. Doctor, askofu GWAJIMA SERIKALI ifikiri kwa upya kuhusiana na kuwapa uraia watanzania waliopo ughaibuni kwa sababu Mbalimbali za kibiashara, kimasomo, kikazi, wakajikuta wanalazimika kuwa raia wa hizo nchi ili kutimiza malengo fulani..