Charles:umesahau marehemu Magufuli alipokuwa akicheza wakati Diamond akiimba.Kweli haikuwa taarab lakini ni bandit ya mbona kama taarab. Tofauti ni kuwa taarab ni ya wanapwani na ile ya Diamond ya Wabara.Upo?
@@omarylukindo5306 tatizo lao wamejawa na fitna na uzandiki,huyo mwendazake alishakwenda so' sasahivi ni awamu ya mama acheni apige kz,,,mitano mingine mama
huyu anaonekana poa nyimbo zimeendana lakini zuchu ni ile super women tu zilobakia uharo mtupu manyimbo ya mapenzi nampa sukari siaseme tu nampa utamu kuficha nini ?
Arimari usisahau Zuchu katoka Wasafi Headquarters ya nyimbo ambazo hazina maadili na zenye matusi. Wimbo wa Sukari ni matusi matupu. Eti onjesha onjesha, ndo nini. Get to the point Zuchu.
Anaitwa Sabaha Salum Mchachu 👌
Usipofurahia nyimbo zake, ukapimwe mkojo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maandiko yaliyokataza taraabu hafai ndio yanatakiwa yakapimwe mkojo kwa mujibu akili yako
Jee mavi
@@jadam4031 nayo pia
Ah!😂RoadTech@Piga kelele
Anakumbukia enzi zake na yy alikiwa wamooo
Nmesikia Jina magufuli nmetokwa na machozi from Kenya poleni sana watanzania jurani zetu tuko pamoja na mama samia 🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Umetokwa machozi ya nini sas n ww
Tunashukuru ndug yetu kwa kushare maumivu na sisi huu ndo undugu wa kweli
Ahsante ndugu
Kutoka kenya pia nimeskia iyo imeniumiza Magu tulimpenda
@@masalakulwa7601 Sasa ni swali fani unalo muuliza shillah mahiri
Samia modern taarab!!
Blessed vocal mama uko juu 🇰🇪🇰🇪 swabah salum
Hapo akina mond Bay Bay,ni kazi iendelee na taraabu tu
Hapo sawa nyimbo zenye ujumbe mnzuri sio kitimbua sijui sukari🤣😂😂😂
Forkan Oman unasema kweli kabisa sio hao wengine wanaimba nyimbo za kihuni mpaka kuimana utadhani wamekulia Buza.
@@siyabongakzn9864 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣
@@siyabongakzn9864 😂😂😂😂😂😂😂
Yaani kaka nakuunga hizi ndio nyimbo zenye maudhui zile za Zuchu sukari ni uhuni wala sio nyimbo wajameni
Baraka za mama zatufikia East.Africa yote
Yangu machotu hapa wall jaa liwa nawafanye sisi tutazametu
Mungu akupe Maisha marefu mama suluu
Congratulations 👏🎈👏 swaba salim good song
Nchi nzima sasahivi itapenda taarab sasa!
Mambo ya vijembe vijembe 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂hahahaha
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Kila Zama Na Kitabu Chake.🖐
Ata Magu alisakata rumba ya Hamonize sana pale uwanja wa Taifa umesahau
@@jennytugara9470 Nakumbuka Sana Sio Rhumba Tu Ya Harmo Hata Singel Ya Shoro Alicheza, Kwahyo Ndio Tunarud Palepale "Kila Zama Na Kitabu Chake"
Nampenda Samia na nampenda Sabah
Saaaaaaf saaana taaarabu yenye ladha na maneno mazuri kusif na kumtukuza kiongozi wetu. Hongera saaana dada.
Safi sana Mama Samia. Tunakupenda na Mungu awe pamoja nawe In the name of Jesus
Nmependa uyo mama alivonyenyekea
Mama kwenye taarabu ndo ungepeleka mashuka,hospital ungepeleka fedha,kweli kazi tunayo hadi 2025 tutanyoka
🤣🤣🤣🤣
Wacheni unafiki nyie Wakati wa mwendazake kila hafla yake wasanii wote huwepo na hupiga miziki ila nyie munachuki zenu tu
Kabisa umeonaeee bt vice vessel is true da mama kazingua sa
Heee mnaumwa na nn walimwengu? Achen afanye kazi roho mbaya tu...kwan walopita walikua hawatuzi waimmbaji
Mama Samia hoyeee hoyeee Hongeraaa hongeraa Mama Samia
Mi nishaanza kula hadi urojo kariakoo, maisha yenyewe magumu alafu tuchoshane na mineno migumu
😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂
Safiii mamaa tupo nawe pamoja sana shaka ondoa huku pembeni tunakuunga mkono vibaya sanaa.na inshaallah utavuka tu mungu mkubwa inshaallah❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿👍
Ww Hodari Sana Kusikiliza Matatizo Ya Familia Yk Ina Maana Huangalii Mpira Wala Husikilizi Mziki Ww Kl Mara Unasikiliza Kero TU Za Nyumbani Kwako
Masha allah
Nikiwa +259 Zanzibar nimeipenda hii
Zanzibar ni 256 kumbe
Wacha Kumkosoa Raisi Kuna Muda Wa Kazi Na Muda Wa Mapumziko Katoka Mapumziko Yk Unaamua Ufanye Nini Nayy Ameamua Kwenda Kwenye Taarab Kosa Liko Wapi
Watz wenzangu tuendelee kula msoto Tuko pamoja tu
Imba na wew taarabu utapewa manoti na mama wala sio zito kwake 😂😂
@@ibnayub2374 Sipewi nafasi ndugu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅
Fanya kazi nani akupe pesa bure au uolewe
Ni mwendo wa taarabu mpaka kieleweke
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
😅😅😅😅
Na sio za alhajj
🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo Taarabu mametu kafika
Dah. ASante sana
Umeichelewwsha jana
Sabah ndiyo Aliye funika kwawimbo saaafi bila makelele
Safiiiiii sana
Huenda ni mtoto wa mamake mdogo huyo
huyo mdada anawashwa washwa nikimpata disco atakubal show yangu atarembua Hadi mwaka unaisha😁😁😁
Naitawauma sana imetoka iyoo
Serikali ya waimba taarabu hii yangu macho.bora magufulu mara billioni.
Charles:umesahau marehemu Magufuli alipokuwa akicheza wakati Diamond akiimba.Kweli haikuwa taarab lakini ni bandit ya mbona kama taarab.
Tofauti ni kuwa taarab ni ya wanapwani na ile ya Diamond ya Wabara.Upo?
WW MSENGE TULIA TULIAA MTAUMIA SANA LKN HUYO NDO ALOCHAGULIWA NA ALLAH ACHENI ROHO MBAYA HAIJENGI NCHI MBONA NYERERE ALIPOOONA ISHAMSHINDA ALIMPA MWINYI🤣🤣🤣🤣🤣
Na Magu alikua mcheza nini
Na bado mtaumwa na mama samia habari ya mjini
Piga kazi mama waache wanopika majungu
Taarab iendelee
Kate mbele huko
😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼 Ndio ndio Lugano
Tofauti ya Magufuli ni kwamba alikuwa anachangisha na kutoa kwa wahitaji. Huyu mama anatoa kwa lipi??*
Acha kuongopea watu,yule mzee alotoa jogoo nae akapewa pesa tuambie zilichangwa kwa Nan?
@@omarylukindo5306 mwambie shoga huyo hajitambui kashasahau jpm alikuwa anapiga ngoma
@@omarylukindo5306 tatizo lao wamejawa na fitna na uzandiki,huyo mwendazake alishakwenda so' sasahivi ni awamu ya mama acheni apige kz,,,mitano mingine mama
Acha ushamba wewe
@@omarylukindo5306 huo ni msumari pahala pake
Thats amazing!!hivi niulize hio noti ya pink ni ya pesa ngapi?
Red iyo elf 10 iyo
@@mariyamgharib940 thanks sana
Ak ww
@@matanojuma8333 am a kenyan so sijui n huona sana sana ikitumiwa na wasanii na celebs wakiwa kwa event😆😆😆
@@shiksshiks8494 mambo?
Penda sana Mama samia
At nin taarabu😲🙉
Oookay! Mama Samia making it rain. I see
Huko taarab huku mauaji 😭😱
Wananiudhi wanavo vaa mabarakoa
Usiwaangalie sasa 😆😆😆😆
😂😂😂😂😂😂
@@salamasaidi6620 🤣🤣🤣
Kwan bi sabah Salum si ushaacha kuimba ushrd makka au siyo weyeee?
karud mzee yussuf bdo hao hawajwah tyr kurud kw Allah
Acheni unaaa
Choyo kinawauma kwa kweli na nyie kaimbeni
Hela zetu hizi jamani
Za kwako ziko mfukoni kwako, hizo si zako,,,,,,!!!
Babako alivokuwa kanagawa ovyo pesa ulishawahi kuandika hivyo pesa yetu hizi?
Moses,umeona wapi jogoo ananunuliwa kwa laki moja?Jee ile ilikuwa hela ya nani?
@@jumakapilima5674 😂😂
Mbwa nyie kwani kusema pesa zetu nimekosea au nimetukana, au mnajua me niko upande wa magufuli mamae....," this is free country i comment what i feel"
Watqnganyik mnaumia wap mbon wakitwa kin diamond hamsem kitu choyo tuuuu
Zamu za wengine wakae pengine
Wacha Ufala
huyu anaonekana poa nyimbo zimeendana lakini zuchu ni ile super women tu zilobakia uharo mtupu manyimbo ya mapenzi nampa sukari siaseme tu nampa utamu kuficha nini ?
Arimari usisahau Zuchu katoka Wasafi Headquarters ya nyimbo ambazo hazina maadili na zenye matusi. Wimbo wa Sukari ni matusi matupu. Eti onjesha onjesha, ndo nini.
Get to the point Zuchu.
@@siyabongakzn9864 wallah . ndio vioo vya jamii hivyo
👌🏾
Leo Rais gani huyu anaacha kwenda kusikiliza kero za wananchi anasikiliza taarabu kweli wazalendo tunatukanishwa
Hapo hakuwa kwenye taarab alikuwa kwenye kikao na akina mama pumbav ww kichwa boga
@@eddy4998 🤣🤣🤣🤣
Kwan waimba taarabu sio wananchi....?
@@eddy4998 Hahahahaha umeanza vzr ulivyo maliza sasa Hahahahaha
Joce,wacha ukereketwa,Marehemu magufuliì alikuwa hachezi kwenye mziki wa Diamond?
👏👏👏👏
Raisi Atunza🤣🤣🤣🤣
Acha roho mbaya na umbea ww .mwanaume....kwan raisi hana moyo
@@salamasaidi6620 Hapo Kwanza Nicheke 😂😂,,
Rest In Peace Maghu
MtuMbuE LuKuVi NA SiLLo.
HawAnA mAanA yEYoTe .
Unaijua viZuri kazi ya lukuvi
INCH YANGU TZN RASI WANGU JPM
WENGINE WAPITE KUSHOTO
Kesho tunasain mkataba mwingine !!
Nenda nae kaburini!
@@jumakapilima5674 ucje ukatangulia ww tu😂😂😂😂 Mana maisha saiv hayana formular wa mwisho anakua wa kwanza.
@@hawamabira1499 ishu sio kutangulia, ishu ni yeye huyo ambae hataki kukubali kuwa magufuli keshakwenda,,,,,
@@jumakapilima5674 🤣🤣🤣🤣