Naomba angalau siku moja nikutane nawe nitimize ndoto yangu ya mziki❤❤napenda nyimbo zako ingawa pia mimi ni msanii I nimeandika nyimbo anaomba mwaka ujao niende studio ni record ❤❤❤kila laheri kaka❤❤❤❤❤mie naitwa MASADAKA kutoka kenya
Hebu tafazali nawaubali kutoka CONGO D.R.C hebu nisapotini pia mimi mtoto wa Congo, best naso nakukubali sana mzee ila tafazali nisapoti pia mzee wangu, Naitwa pia OBED KILLER KUTOKA CONGO ASANTE
naona watu mnaponda sana humu kivipi yaan wasanii gani wakubwa kwenu msanii ni msanii tu usiwe unaringanisha watu we unae mkubari wengine hatumkubali tuache na best naso wetu
Nikisema unyama nitakuwa nimekosea ko hii nikichwa ya fundi. kwenye nyimbo uko makini mno kaka kikubwa tunaomba tu mfumo wa biti zisichuje bali ziendelee kuja za moto moto
🎉🎉🎉❤❤❤ vizuri kabisa majina.
Wakwanza leo jamani nimewahi kutoka 🇨🇩 nipen likes 10 tu
Sawa❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤
Colabo bs wasanii wakubwa
❤
A
Hatari nasso wetu. Nani mwingine aliyeikubali hii agonge like twende pamoja.
Nasso yuko vizur sana.namkubali sana kuliko msanii yoyote Tz
Nimeipenda Sana hii Ngoma uko vizuri kaka natamani kukutana nawe nifanye Kazi moja na wewe nafurahi Sana
Naomba angalau siku moja nikutane nawe nitimize ndoto yangu ya mziki❤❤napenda nyimbo zako ingawa pia mimi ni msanii I nimeandika nyimbo anaomba mwaka ujao niende studio ni record ❤❤❤kila laheri kaka❤❤❤❤❤mie naitwa MASADAKA kutoka kenya
❤❤❤❤❤❤🎉 namkubali peke yangu na dogo silah waooo
Wamemchokoza bear 🐻... Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ludovk ni wewe
Hebu tafazali nawaubali kutoka CONGO D.R.C hebu nisapotini pia mimi mtoto wa Congo, best naso nakukubali sana mzee ila tafazali nisapoti pia mzee wangu, Naitwa pia OBED KILLER KUTOKA CONGO ASANTE
Bast naso aseee umefanya ngoma kali sana san Big up
Moto mkali swali kaka
Naelew❤
Leo nimewahi❤❤❤❤❤
Best song nduguuu 🎉🎉❤❤❤, big up
Tuliorudia zaidi ya mara mbili gonga like hapa tuendelee kumsaport mwamba
Aafi saaan ngoma hii❤❤❤
naona watu mnaponda sana humu kivipi yaan wasanii gani wakubwa kwenu msanii ni msanii tu usiwe unaringanisha watu we unae mkubari wengine hatumkubali tuache na best naso wetu
Kwendara
wapi wewe acha usinichi best naso ni mkari me namkubali shauri yako
Grand c'est bon vraiment ❤❤
Vizuri sana Brow
Sawa❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Wamasuspender mzee wa madon member kw ubora wake
❤❤❤ penda sana brother nakubali
Mimi ilinikuta hiyo yaani ilikuwa balaa ugomvi hazarani daaah😢😢kila watu wakashuhudia ugomvi wa aibu kama huo
Umeisha sanaaa bro ila nimekuwa wakwanza leo
UUnder ground haujawahi kumuisha huyu jamaa toka arudi kijijini. 😂😂😂😂
Kumbe nasso hata huku unaweza safi sana 👍🔥🔥🔥🔥
December SONG......Best Nasso on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakukubali sana mwamba pia huna wikaka
Goma mpy best naso😂😂
Eeeh mra, hapo sawa🎉
Umeingia kwenye mapiano na ww 🫣🫣
Unauliza ameingia kwenye amapiano hiyo ndo maana ya neno, msanii
Ngoma kaliiii🎉🎉🎉🎉
Bongo fleva +ampiano❤❤ best artist In Africa best naso🎉🎉
Yani We ni wa ngu❤
huyu Naso wagu wapi nitamwona nikija hapo morogoro jameni ...254 mko wapi
Naso mwanangu nakukubali sana naomba kolabo mwanangu
Ujumbe mzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shikamo mpendwa best nason❤
Huyu ndio nosoo noma
Nmefika mwamba nakukubali sana, niite MKALI SUMU mkenya halisi
Parfect san from arusha tz
Naso kaka nakukubari sana
best naso we mwalimu bwana
❤❤❤sana kaka kanda ya ziwa ni wewe tuuu🎉🎉🎉
Ujue hujatifanyia poa kamanda🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪
Tunahitaji kudownload lakni umezuia sio kama kitambo
Noma
Wazi best naso apo noma sana
Nasooo is fire sana pamoja kaka
Unjitahid kulinda mwili wawako hongera sana
Aki best naso nakupendaga Sana
BEST NASSOR,pambana sana kijana wa nyumbani kabisa,bado unapakumbuka IRINGO MLIMANI kipaji chako kilipoibuka?!
Wa kwetu huyu nasso musoma mara tunakubali sana
kitu kipya ausiyo🎉
Hapo hakuna msanii.....nenda ukalime
🎉bongo la ngoma bro
nakukubali sana best naso ,
Msaniiwngu no 1 tz.
Unajuwa sana bro
WAMEMCHOKOZA BEAR 🔥🔥🔥
Nyimbo nzuri sana
Ila wimbo kama hauna ujumbe
Supporting good composition naso.... Kabaridi records
Wakipatana lete ngoma,,,
umejitaldi❤❤❤❤
Kaka mkubwaa🎉🎉
Tunaomkubali best nasso gonga like hapa🎉
Yani mxiki wako hauwendi kabisa broo fanya colabo na wasanii wakubwa wakupush
kivipi yaan wasanii gani wakubwa kwako msanii ni msanii tu usiwe unaringanisha watu we unae mkubari wengine hatumkubali tuache na best naso wetu
Ushilikiano ni nguvu
❤ wanasema
Mganga wako na lava lava wachinjwe mwaka huu
mara kwetu tunakuvunia
Ni like nduguuu best naso
2ko pamoja❤❤
Fayaaaa💎💎💎💎🇹🇿
Bg up sana new song🎉❤
❤🎉
Moto sana kaka
Safi iyoo🎉
Naaasooo🎉🎉🎉🎉
Kama uliniona umenilenga upewe mauw yako😊
Kaliiiiii
❤❤🎉🎉🎉 courage
🎉
Bro naitwa saju Diamond nataman kufanya kolabo nawe bro ili unisaidie kukua mana kutoboa kazi sana bila niny kaka zetu
Kali sana
🎉🎉🎉🎉🎉
Levo yako so wakuendelea kutoa nyimbo kama hizi brother badrika
We acha ufara toa yako
Mfalme naso
Huyu jamaa vipi mbona ana anatupa mawe makali Sana,,sijawahi kurudia kusikiliza wimbo you tube lakini Kwa huyu jamaaa nimerudia mara tatu😅
Noma kaka
much my brother best naso
Nikisema unyama nitakuwa nimekosea ko hii nikichwa ya fundi. kwenye nyimbo uko makini mno kaka kikubwa tunaomba tu mfumo wa biti zisichuje bali ziendelee kuja za moto moto
BigUP nasso
hii ungeimba ukiwa solo utoe uyo jamaa ameharibu io part
Dude la dunia hili unyama tumeutenda fbi dancers
Kaka unyama sana
Big fan of best naso from drc cong
Hii pia Kali kaka
Naso unatisha
Bien Bronx🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Upo vixuri na ni kweli
kutoka kahama like zangu wa kahama
Kwenda huko
Besti nasso Nakukubali sana 1:17 1:17 1❤ Al
🎉🎉🎉🎉🎉 hit song
👍👍👍👍👍
Hivi ni nani anaweza kushindana na nasso mwamba wa kwetu musoma Mara Tanzania? Kama yupo ajiitokeze