Best Naso - Hadija (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 139

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa 9 หลายเดือนก่อน +50

    Wale tunaoiangalia 2024
    Tujuane kwa like ❤❤❤❤

  • @gaspershirima2993
    @gaspershirima2993 15 วันที่ผ่านมา +6

    Hii Ngoma sio poa anaeisikiliza mwisho wa huu mwaka 2024 December

  • @SamsonMakasi-ky9vc
    @SamsonMakasi-ky9vc 9 หลายเดือนก่อน +8

    imebamba sana enzi hizo

  • @dominickmganga-z5v
    @dominickmganga-z5v 3 หลายเดือนก่อน +9

    kaka nyimbo zako zina nitoa machozi

    • @esterabonga7947
      @esterabonga7947 17 วันที่ผ่านมา +1

      itakuwa unateswa na mapenzi 😂😂au kipindi huu wimbo ulitrendi sana ulikuwa na mtu unaempenda sana mwisho wa siku akakuumiza 😂😂😂

  • @officiallyreckstar2748
    @officiallyreckstar2748 10 หลายเดือนก่อน +10

    Naqbr San kaz za best naso hasa izo za kitambo 2024

  • @knourisgalis199
    @knourisgalis199 ปีที่แล้ว +16

    😍😍😍2023 My fav Nasso

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 ปีที่แล้ว +35

    Daaa iih enzi Ngoma inatoka nilikuwa naishi Arusha na sikuwahi kuwaza Kama maisha yangu yatakuja kuwa dar es salaam maisha ni fumbo sana

    • @sharmilaoman6389
      @sharmilaoman6389 ปีที่แล้ว +5

      Fumbo sanaa enzi hizo niko dodoma sa hii niko oman ooh oooh😍😍🥲🥲

    • @dharaksharkh6809
      @dharaksharkh6809 ปีที่แล้ว +1

      Maisha ni fumbo mzee mungu ndio anae jua ila binadam watakuchelewesha tu

    • @anitamongi9649
      @anitamongi9649 ปีที่แล้ว

      @@dharaksharkh6809 vvvvvbnyjnyub until n notbe h

    • @mremoney6276
      @mremoney6276 ปีที่แล้ว

      Bro acha tu 😂

    • @ArafatisaidaSelemani
      @ArafatisaidaSelemani 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yani maisha nikitendawili yani daa

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nomasana🎉

  • @andrew0502
    @andrew0502 ปีที่แล้ว +12

    Story songs ni tamu sana na Best Nasso ni mtaalamu sana wa nyimbo za stori ukiikumbuka Mamu wa Dar utanielewa

  • @onestartz
    @onestartz ปีที่แล้ว +14

    Dah!! Nimekumbuka mbalii Sana 😥😥

  • @JoyceMlenge-b2u
    @JoyceMlenge-b2u 7 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤ nini chanzo hata kama umewahiwa kwangu sio tatizo.wimbo huu naupendaga

  • @nsumbaboy3549
    @nsumbaboy3549 ปีที่แล้ว +16

    Hii ngoma kila mshabiki wako lazima aipende

  • @wallesmdoe9164
    @wallesmdoe9164 ปีที่แล้ว +9

    Dah nakumbuka hii song ishawah kunitoa machozi nilipanda basi moja na mlembo mmoja daha😮😮😮😮😮

  • @mariamomari9581
    @mariamomari9581 ปีที่แล้ว +14

    Best nasso baba

  • @rassyb-ij9md
    @rassyb-ij9md วันที่ผ่านมา

    Hatali sana

  • @AmosJacksonJackson
    @AmosJacksonJackson 13 วันที่ผ่านมา

    Bonge la ngoma dah yanikumbusha mbali sana 🤔

  • @Juma852
    @Juma852 หลายเดือนก่อน

    Ngoma za best naso za kitambo Kali sana,

  • @rizikisilau9501
    @rizikisilau9501 ปีที่แล้ว +6

    Namkubar sana mwamba huyu

  • @KhadijahRamadhani-mw3wh
    @KhadijahRamadhani-mw3wh 8 หลายเดือนก่อน +11

    Naombeni like zangu 5 ❤❤

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 2 วันที่ผ่านมา

    31 December hii leo nafunga nayo mwaka Insha Allah saa 17:26 jioni

  • @auleriahumbi3976
    @auleriahumbi3976 5 หลายเดือนก่อน +4

    Ipo goood❤❤❤❤❤

  • @PamelaJonas-dh6lg
    @PamelaJonas-dh6lg ปีที่แล้ว +4

    Hii nyimbo inanikumbushaga mbali sana nikiisikilizaga inanitoaga machoz💔love you best naso❤❤❤❤❤

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda 5 หลายเดือนก่อน +3

    kazi nzur

  • @raajtz8073
    @raajtz8073 ปีที่แล้ว +8

    Uku wapili Kaka naomba collabo

  • @AishaSalum-o5r
    @AishaSalum-o5r 28 วันที่ผ่านมา

    Napenda sana

  • @Simon-rj3rp
    @Simon-rj3rp ปีที่แล้ว +3

    Wimbo wangu pendwa ❤❤❤

  • @FatinaZakayo
    @FatinaZakayo หลายเดือนก่อน

    Enzi hizo ngoma ilitamba sana

  • @Best_tz
    @Best_tz ปีที่แล้ว +3

    Hili gomma miaka Buku Kaka Usimsahau Kisaka kaka huu mziki ndio unaitajika town vinanda 🎹

  • @AthumanKimola
    @AthumanKimola 8 วันที่ผ่านมา

    Maua yake apewe best nasso

  • @GabrielKida-bb4gw
    @GabrielKida-bb4gw ปีที่แล้ว +7

    Kipindi inatoka hii nyimbo nilikuwa na mausiano na mapenzi wangu wa kwanza katika ujana wangu

  • @KalimuChonga
    @KalimuChonga 7 วันที่ผ่านมา

    Hii ngoma hatari

  • @carolinavictor5944
    @carolinavictor5944 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha

  • @HulumaMsilwa
    @HulumaMsilwa 10 วันที่ผ่านมา

    Hajawahi feri huyu jaman kama ningeweza ningekupa hata dadaangu 😅

  • @DottoSalum-c6u
    @DottoSalum-c6u 10 วันที่ผ่านมา

    Naikumbuka sana hii ngoma

  • @SameerMohamed-m7g
    @SameerMohamed-m7g 17 วันที่ผ่านมา

    Hatariii kimbiza kaka

  • @judynyabuto7363
    @judynyabuto7363 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wenye tumewai vunja promise hoyeee

  • @habibjaphar7074
    @habibjaphar7074 ปีที่แล้ว +6

    Naipenda Sana hii nyimbo nasikiloza KiLA wakat

  • @Mgodza
    @Mgodza 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa ulikuwa unaimba nyimbo nzuri Sana lakini umepotea dah ❤

  • @innocentboykid244
    @innocentboykid244 2 หลายเดือนก่อน

    Uko na mdogo wako real jofu

  • @Robert-firefox
    @Robert-firefox 8 หลายเดือนก่อน +3

    kumbe alivunja promise ,,,,,,2024

    • @sarahmkenga2007
      @sarahmkenga2007 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 alivunja na anataka maua hajui best naso alipigwa jua kumsubiri😅😮

  • @AyubuMuhammad-q4g
    @AyubuMuhammad-q4g 2 หลายเดือนก่อน +1

    Me NILIKUWA Tanga lakin kwasasa maisha yangu yapo dsm

  • @kevsimon5532
    @kevsimon5532 ปีที่แล้ว +1

    Namwona Mtoto Mwamvua Sema uliupiga Mwingi wallah 😜

  • @ramamasunga8269
    @ramamasunga8269 3 หลายเดือนก่อน +1

    💥💥

  • @KakuruAron-c6p
    @KakuruAron-c6p 2 หลายเดือนก่อน

    Hiii ngoma Kali san❤❤

  • @NzomukundaFiacre
    @NzomukundaFiacre 24 วันที่ผ่านมา

    Thanks so so !Mr Best naso your songs are importants,your guidances are changing my life.

  • @kilimapozimuvinajr.
    @kilimapozimuvinajr. ปีที่แล้ว +4

    Wasanii wangu nyie, nimewajulia qwa Arungu.

    • @hawarajab
      @hawarajab ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤

  • @hyasintalashau7759
    @hyasintalashau7759 ปีที่แล้ว +3

    Kitambo hii😋😋

  • @rogathemassong1788
    @rogathemassong1788 9 หลายเดือนก่อน +2

    Masterpiece best nasso one of his best

  • @HappyGramophone-iq6cr
    @HappyGramophone-iq6cr 2 หลายเดือนก่อน

    nyimbo inanikumbusha mbali❤❤

  • @JosephJovin-ti3ux
    @JosephJovin-ti3ux 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ngoma nakumbuka nilikua naish buza sikuwah kuwaza nitakuja kuish mbez beach kula mema ya nchi ni hatariiiiiiiiiiii

  • @SimoniMambo
    @SimoniMambo หลายเดือนก่อน

    Kipindi iyo ngoma inatoka nilikuwa musoma kigela niwa na mabesti wakina betti n dionizi

  • @MichaelPaulo-fb7jv
    @MichaelPaulo-fb7jv 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman nakumbuka hii ngoma nilikutana Nademu ambae nilimuelewa Sana lakin turipokua tunapanga nae promis hakutokea nilikua naumia Sana

  • @geraldfody1258
    @geraldfody1258 ปีที่แล้ว +3

    Ilitamba sana enzi hizo kwenye papaso na djaro arungu, ila ngoma hii haichuji

  • @indiansonglomanticlove8493
    @indiansonglomanticlove8493 ปีที่แล้ว +2

    huu mziki ukijua umejua tuu

  • @RaheemStarboy-do6ki
    @RaheemStarboy-do6ki 5 หลายเดือนก่อน +1

    noma sana fantastic😂😂😂

  • @RubeniElisha
    @RubeniElisha หลายเดือนก่อน

    Kaka shikamoo nina kumbuka ingoma inatoka pale bwalo la police musoma mwisenge❤❤❤

  • @abdulrasulchinowa8543
    @abdulrasulchinowa8543 ปีที่แล้ว +8

    Legend 🙌🙌🙌

  • @Daphne362
    @Daphne362 ปีที่แล้ว +4

    Jamani♥️♥️♥️♥️♥️

  • @mapozmchingama6464
    @mapozmchingama6464 2 หลายเดือนก่อน

    noma sana

  • @johnmarleymarley-b4t
    @johnmarleymarley-b4t หลายเดือนก่อน

    Inakukumbusha was ukiisikiliza😢😢

  • @PlevisMnyama
    @PlevisMnyama 2 หลายเดือนก่อน

    Nime ona leo ni tembeleya enzi hizi niki shule🇨🇩

  • @BakariAthuman-r3z
    @BakariAthuman-r3z 3 หลายเดือนก่อน +1

    nakumbuka mbali xan kipind nk dodm vijiji 2014 nafany kaz ya umaching duh sa

  • @marieakili3005
    @marieakili3005 4 หลายเดือนก่อน +1

    Good job ❤❤🎉

  • @Eunicemakokha-gc9ss
    @Eunicemakokha-gc9ss ปีที่แล้ว +1

    Bro uko sauti poa na utunzi wa WA nyimbo zako pamoja na sauti inflow sambamba na bits

  • @RamadhanMsangula
    @RamadhanMsangula 3 หลายเดือนก่อน

    Atar best anajua

  • @nevergiveuptv1204
    @nevergiveuptv1204 ปีที่แล้ว +4

    Long time go wee nakubarisa you are the best

  • @DavidPeter-e1y
    @DavidPeter-e1y 2 หลายเดือนก่อน

    Kipindi hii ngoma inatoka niko form one daah katka wasanii wa musoma nakukubali wewe sababu nyimbo zako zina ujumbe mzito sana

  • @madonmamber2102
    @madonmamber2102 ปีที่แล้ว +4

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @masheyn
    @masheyn ปีที่แล้ว +1

    Umetukumbusha mbali sana kaka

  • @GodChild-n4q
    @GodChild-n4q 3 หลายเดือนก่อน

    Best Verse ❤❤ of Every year

  • @daviddaudi7387
    @daviddaudi7387 ปีที่แล้ว +1

    Naso noma san kaka

  • @JoshuaLaizer-rj7hb
    @JoshuaLaizer-rj7hb 7 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zake ni nzuri zote

  • @FrankStanley-oq6ot
    @FrankStanley-oq6ot 7 หลายเดือนก่อน

    Imetamba sana enz hiz

  • @HappyMagesa-k4q
    @HappyMagesa-k4q ปีที่แล้ว +1

    I love you naso always never give up

  • @YawingeJohny
    @YawingeJohny 11 หลายเดือนก่อน

    Unanikumbusha mbali bro nakukubali sana

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 11 หลายเดือนก่อน

    Hiiiii ngoma yangu pendwa sanaaaaaa

  • @JacquelineMapogo-b7o
    @JacquelineMapogo-b7o 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani Ex wangu poopote ulipo nyimbo yetu😂😂

  • @martinofficial173
    @martinofficial173 ปีที่แล้ว +3

    💥✌️

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 4 หลายเดือนก่อน +1

    Uko wapi wewe unanyimbo zenye mafunzo hakiki

  • @Hamisskojoa-jb4td
    @Hamisskojoa-jb4td ปีที่แล้ว +2

    Nice good music

  • @FarajaSijali
    @FarajaSijali 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @SeveriniLyota
    @SeveriniLyota 8 หลายเดือนก่อน

    Kipindi hii nyimbo inatoka nilikuwa morogoro kihonda mazimbu rod nakumbuka sana maisha ya nabadikika sana nikisiliza hii nyimbo nahisi chozi linanitoka

  • @arnoldkasoma886
    @arnoldkasoma886 ปีที่แล้ว +1

    Daaah!!!!

  • @JosephElim-g5o
    @JosephElim-g5o ปีที่แล้ว

    Kitu kama hii ##nakipenda

  • @MagesaLugwisha
    @MagesaLugwisha 6 หลายเดือนก่อน +1

    2013 nikiwa ushirombo

  • @nockigona5160
    @nockigona5160 ปีที่แล้ว

    nakumbuka enz hizo nipo bukoba harafu tumegombana na demu wangu

  • @mwanaishamghwai5181
    @mwanaishamghwai5181 ปีที่แล้ว

    Uliniona kilaza kwa mafumboo eeh

  • @MaziraAlloys-qe6bj
    @MaziraAlloys-qe6bj 9 หลายเดือนก่อน

    Mm namkubali San naso

  • @hadjamudy2844
    @hadjamudy2844 ปีที่แล้ว

    Hadijaaaa💃💃💃💃

  • @Sharifujjuma
    @Sharifujjuma ปีที่แล้ว

    Naikubali albam hiyo dah khadija

  • @yasinjumahamis6267
    @yasinjumahamis6267 ปีที่แล้ว

    Nakubar sana

  • @MagwedaDj
    @MagwedaDj ปีที่แล้ว

    Hii ngoma naikubali sana tu

  • @elossbpro
    @elossbpro ปีที่แล้ว +1

    Tiwa clip mpia

  • @JenipherMallya
    @JenipherMallya ปีที่แล้ว

    Wee❤❤❤

  • @robertjonh
    @robertjonh ปีที่แล้ว

    Nakuku sana maana wanikumbusha mbali naso

  • @Jofuboy
    @Jofuboy ปีที่แล้ว

    Aise imenitoa mbali sana hii Ngoma enzi zile 😢😢😢

  • @BigsonPumpkin
    @BigsonPumpkin 9 หลายเดือนก่อน

    Cool brother

  • @HassanKatani
    @HassanKatani ปีที่แล้ว

    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jumannekamota4870
    @jumannekamota4870 2 หลายเดือนก่อน

    oct 17/10/2024❤❤❤❤❤

  • @tysonwafula
    @tysonwafula ปีที่แล้ว

    Abomue saku🤝👏👏