Mazungumzo ya Fatma Karume na Zuhura Yunus wa BBC

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 134

  • @jackmoshi
    @jackmoshi 3 ปีที่แล้ว +3

    spot on ! this woman is simply spot on and we need to protect her at al costs.

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 4 ปีที่แล้ว +8

    You're a treasure of Tanzania.Thank u for educating the mass

  • @NoorMohamed-ki4zh
    @NoorMohamed-ki4zh 4 ปีที่แล้ว +4

    Fatima is very well spoken. Intelligent and passionate

  • @MusaNgao
    @MusaNgao 4 ปีที่แล้ว +9

    Sifungamani na upande wowote kwa sababu kadhaa, lkn asante kwa haya mazungumzo nimejifunza vitu vya msingi sana.

  • @helenibe9339
    @helenibe9339 4 ปีที่แล้ว +3

    please Shangazi keep on educating us about our civil rights do not let anybody despair you

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +17

    you can only understand shangazi if u stand 4 justice

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 4 ปีที่แล้ว +12

    Sio Tanzania haijui, Watanzania wengi hawajui. Tuelimishane jamani tuondokane na dhuluma na ujinga. Juu ya yote tupendane bila kujali itikadi ya vyama.

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 ปีที่แล้ว +19

    Hoja zote alizozisema ni za msingi,namkubali sana huyu mama,

    • @salumtalib1434
      @salumtalib1434 4 ปีที่แล้ว

      Nikweli analoongea fatma juu yasuala LA DPP kupewa mamlaka ya kumtia hatiani mtuhumiwa wakati jaji yupo jee mahakama haijui kua polisi no kuli was mahakama

    • @salumtalib1434
      @salumtalib1434 4 ปีที่แล้ว

      Polisi wengi wanatumia ubabe sio sheria ni wachache wanaofuata sheria

  • @shedracknorman4321
    @shedracknorman4321 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada Fatuma mungu akujalie nimepata Elimu hapo ya kujuwa baadhi ya sheria.

  • @alhaji6094
    @alhaji6094 4 ปีที่แล้ว +7

    Jaman Zuhura Yunus na Fatuma Karume nawapenda sana jaman❤️

  • @hassanmonge3970
    @hassanmonge3970 4 ปีที่แล้ว +3

    Dada(shangazi) very good kwa ukweli!!

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 2 ปีที่แล้ว

    Thanks fatima hii ni zaidibya elimu

  • @raymondsilveira1936
    @raymondsilveira1936 4 ปีที่แล้ว +3

    22:40 am glad someone realizes this ....Invest in people!

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 4 ปีที่แล้ว +1

    Well said

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 4 ปีที่แล้ว

    Our learned friend....try to be fair and think outside the box!

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 4 ปีที่แล้ว +1

    Bila kupendelea bila kuingiza uchama ama siasa lakin ,hii lecture aliyoitowa shangazi teseme asante kwa sababu tumeipata bureeeeeeeeee Maneno haya akiyasema kwengine anaweza akalipwa ...kwenye siasa mie simo lakin naongea kuhusu huuu ufafanuzi wa sheria

  • @hillaryfrancis3943
    @hillaryfrancis3943 4 ปีที่แล้ว +2

    Well Said Shangazi

  • @rajabuthabiti1848
    @rajabuthabiti1848 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana huyu mwanamke

  • @azizjuma7678
    @azizjuma7678 4 ปีที่แล้ว

    Facts!! Ila jistiri mwanamke stara nimekuelewa vzuri, muuige Zuhra mavazi yake nimekupenda sana Zuhra !!! You're related to my sister..

  • @abdillahabdallah1297
    @abdillahabdallah1297 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwanza ZUHURA Yunus,kidogo nichangie kitu japo muda umekwenda wa hii clip nikuwa ndege ni muhimu lkn maji ni muhimu zaidi sasa huwezi kuacha jambo muhimu zaidi kwa ajili ya jambo muhimu.nakutolea mfano kutokana na dini yako,baba na mama ni muhimu kwa mtu wowote kuna aliye muhimu zaidi.siku moja alikwenda swahaba kwa mtume s.a.w akamuuliza mtume s.a.w nani nimfanyie wema akaambiwa mama yako,akauliza kisha nani akaambiwa tena mama yako,akauliza kisha nani akaambiwa tena mama yk,akauliza tena kisha nani then akaambiwa baba yk.na kuhusu impact ya kusema kwao pia tunaambiwa katika hadithi ya mtume s.a.w mwenye kuuona uovu miongoni.mwenu basi naauondoe kwa mkono wake,kama hatoweza basi kwa mdomo wake,na asipoweza basi naachukie kwenye moyo wake na hiyo ni imani dhaifu.kwahiyo hiyo ndio misingi sahihi ya wanaadamu wote.

  • @mjuemtakatifuyosefu9410
    @mjuemtakatifuyosefu9410 3 ปีที่แล้ว +1

    Aache unafiki

  • @khalfantvmansour8765
    @khalfantvmansour8765 4 ปีที่แล้ว +3

    love u my Magufuli. love from Zanzibar .futuma boommmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

    • @hashimuhehwa3780
      @hashimuhehwa3780 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwanaume umezidiwa akili na huyu Mwanamke kausha unajitia aibu

    • @azizjuma7678
      @azizjuma7678 4 ปีที่แล้ว

      Hhhhh

  • @LaurentAmathan
    @LaurentAmathan ปีที่แล้ว

    Dad muogope mungu unapambania ushoga??? Wew huo usomi wako hauna faida yoyote

  • @hanifahassan9138
    @hanifahassan9138 4 ปีที่แล้ว +2

    Zuhura umependeza mash Allah we we datuu kwanza funika kichwa

    • @agiasaidi5294
      @agiasaidi5294 4 ปีที่แล้ว

      MashaAllah dada Zuhura,kwel kapendeza sana mashaAllah

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani kuna mambo yanafanywa na serikali hii hadi yanaleta shida na shangazo kwa ulimwengu wetu.

  • @melkiadeskalisto8918
    @melkiadeskalisto8918 4 ปีที่แล้ว +1

    Tunatete wahalifu na Magaid what is it?

  • @nsabimanaabedi541
    @nsabimanaabedi541 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwalim dakika 25 kwa Siku? Kwali Fatma

  • @mohamedkisalala4523
    @mohamedkisalala4523 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakuelewa shangazi

  • @saidvoali6586
    @saidvoali6586 4 ปีที่แล้ว

    Okay

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwahiyo unalia pole sana.

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Huyo hn shida anakuteteeni nyie mpumbavu wee unitambuwe ujuwe haki yk iko wp mpumbavu

  • @issachombo1117
    @issachombo1117 4 ปีที่แล้ว +1

    Wote lenu moja mnata uhuru gani tuachieni2 Tanzania yetu tunajuwa mmetumwa na hao wanao waripa

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 3 ปีที่แล้ว

      taratibu wanataka kupitisha ushoga

  • @bonifacemkumbo6073
    @bonifacemkumbo6073 4 ปีที่แล้ว +3

    Ant ni mpambanaji

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 3 ปีที่แล้ว

    Bunge la CCM na serikali yake ni wakandamizaji wa haki za binadamu

  • @masoudalbalush8834
    @masoudalbalush8834 4 ปีที่แล้ว

    Hakuna MTANZANIA anae shi nje halafu akawa anazikubali serikali za CCM (SMT na SMZ) KWA sababu hazina faida kwa raiya Wala hawatumii democracy zinaongiza kwa mabavu na kutumia nguvu za dola vibayaaaaa!!!!!!!

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว

    Ushauri cyo shuruti

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 ปีที่แล้ว

    Popolarity it need lteligence to maintain popularity if your not careful outcome y drop your popularity with knowing yourself this is the position of fatuma karume talk too much on Midia she has lost popularity

  • @fatmajuma4998
    @fatmajuma4998 4 ปีที่แล้ว +2

    Mie nashangaa baba ake alikuwa raic mbona alikuwa hajasema kitu

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 ปีที่แล้ว +1

      kwani kama ulikuwa ktk uovu husemi hapo awali lkn ukaja ukausema huko mbele kuna ubaya upi? Vyenginevyo mtu abaki ktk ujahili tu au vipi siku zote acheni uzumbukuku.

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Ww ushawahi kumgomba Baba ako au unasema tu?

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Polisi aa Tanzania hawafati sheria ubabe mwingi tu il kuna cku watakiina cha moto wkt wanamokaa tunawajuwa na famila zao

    • @monicamosha9927
      @monicamosha9927 4 ปีที่แล้ว

      Duh

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว +1

      Ww wazee wako wakijamba utawaambia km wamejamba?

  • @frankkasha3945
    @frankkasha3945 3 ปีที่แล้ว

    Sijawai kusikia mtu kafungwa kwa madai kwaio huwezi kumfunga raisi wa tz myb jinai

  • @allyawadh8492
    @allyawadh8492 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke ukimwangalia muonekano wake kama changu Kama mwenye matatizo mwenye mawazo yaani kachoka sana kama mtu aliyekosa vitamen furani yuko rafu sana,mm nikimsikilizaga huwa simuelewi kabisa sijui hata kasomea wapi mbona hakukaa kama mtu msomi.

    • @simenmsangi8622
      @simenmsangi8622 3 ปีที่แล้ว

      Ww paka hujui kitu fatma yuko sawa ww ndio mavi kinyes tena ww ningurue wa ccm

    • @jumaalhamid5242
      @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว

      Mbon ulimskilz kma humuelew

  • @muhammedomer9256
    @muhammedomer9256 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo kubwa haswa Tanzania ni elimu hakuna kabisa, kuanzia ngazi ya chini hadi juu ukweli ni kwamba haswa wakubwa na viongozi wanawapeleka watoto wao nchi zingine au nchi za jirani kwa kupata elimu na vilevile hakuna watu wanaojua sheria watoto wako madarasani lakini hawafundishi lolote hakuna elimu kabisa

  • @josephmilawi3012
    @josephmilawi3012 4 ปีที่แล้ว +1

    nakuuliza swali, wewe ni laia wa wapi? Kama sio mtanzania tuambie watazania tujue hata kiswahili kinakushinda kuzungumza unachanganya sana kias kwamba huleweki unachoongea. Kama kiswahili ongea kiswahili na kama kiingleza ongea kiingleza ili ueleweke

    • @linarchristian4960
      @linarchristian4960 4 ปีที่แล้ว

      Dooh kweli wakati mnamnyooshea mwenzio kidole kimoja vitatu vinakuangalia.
      Laia
      huleweki
      kiingleza

    • @shedracknorman4321
      @shedracknorman4321 4 ปีที่แล้ว

      Huwezi kumuelewa kama umesoma kwenye Darasa moja lenye watoto Sabini.utamuelewa vipi.

  • @yakoboamosi1742
    @yakoboamosi1742 4 ปีที่แล้ว

    Fatma karume mswahili kweri ?mbna km kiswahili kinamu wawanya kumradhi lkn bi mdogo Fatma 🙏

    • @MasoudKhamisAlBimani
      @MasoudKhamisAlBimani 3 ปีที่แล้ว

      Tokea shule ya msingi amesoma England mpaka amemaliza chuo so ameathirika na Kiingereza zaidi

  • @emmanuelnimbasa1754
    @emmanuelnimbasa1754 4 ปีที่แล้ว

    Sawa Dada, huyu blandina hajitambui.

  • @fatmajuma4998
    @fatmajuma4998 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnafiki huyo mama

  • @mzenji
    @mzenji 4 ปีที่แล้ว

    Ninakubaliana naye katika pointi nyingi lakini nisichoelewa mimi ni: unaishije Tanzania miaka 25 au zaidi ilhali ni raia tena wakuzaliwa, na tena babu yako alikuwa raisi lakini usijue kiswahili. Yaani sielewi.

    • @faidhahemedi4759
      @faidhahemedi4759 4 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhh yaani

    • @mdathirumagayane688
      @mdathirumagayane688 4 ปีที่แล้ว

      Aliwahi kueleza historia yake,kuanzia darasa la tatu alisomea uingereza mpaka anamaliza sheria,kwahiyo miaka mingi mnoo kakaa wingereza ,Tanzania amekaa miaka tisa tu kwa mijibu wa historia ya maisha yake

  • @hassanmonge3970
    @hassanmonge3970 4 ปีที่แล้ว

    Maisha yathaminiwe

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว +2

    Unavyozidi kuongea nagundua zaidi kwa nini baba yako alisema hukusoma alituhakikishia kuwa ulitumia hela ya maskini wa Tanzania bure. Leo umetuzihirishia unafanya siasa kwenye sheria wewe🤔🤔🤷‍♂️KATIBA HUIJUI mbona hukuizungumzia wakati wazazi wako madarakani leo wametoka ndio unaibuka, tunaelewa SUPU zimepungua😂😂

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 4 ปีที่แล้ว +1

      Maneno ya mlevi husikilizwa na mlevi mwenzake
      Na Wakati wazee wako madarakani alikua anasoma bado. Tafuta jengine

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

      @@sahimm4767 hahaaa ongea jingine hapo umeboom hakuna mwanasheria hapo siasa tupu

    • @sylvestermwingira2879
      @sylvestermwingira2879 4 ปีที่แล้ว

      Acha kufikiria low wewe kuelewa mambo nikujifunza, so huyu wakati anasoma ndo alikuwa anatafuta ukweli na udhalimu uko wapi sasa amejua ndo sasa anaongea think big.

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Ss yule mlevj hn samani .acha chuki huyo kasoma katafute basha

  • @babailu2133
    @babailu2133 4 ปีที่แล้ว

    Aaaaa wapi anajifanya Educated nothing, yaaani bureeee kabisaa eti motto wa kiislam dah mtihani.

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Hy yake mwenyewe ww una dhambi ngapi? Unazini unasengenya na mengine mengi

  • @حكايةغد
    @حكايةغد 4 ปีที่แล้ว +1

    KUNUNUA TOYS

  • @fatmajuma4998
    @fatmajuma4998 4 ปีที่แล้ว +1

    Muslam gani alokaa km hivyo manywele km jini

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Anajifanya eti anajifanya ana uchungu na akina kama kujitishwa ndoo kichwani. Alafu anasahau kuwa pesa hizo badala ya kusaidia hayo maji badala yake ndio zilitimika kumpeleka huko aliko hivyo basi awalaani wazazi wake ndio wametusababidshia tote hayo. Akili hana anafikiri kwa kusema hivyo wananchi wataona anawatetea wampe uongozi. bure kabisa

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 ปีที่แล้ว

      Acheni ujinga huo mtu akiwa na mawazo mbadala tena hata yawe yamefungamana na sheria anakuwaje msaliti na mjinga na n. k watz kweli pasua kichwa duuh

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +1

    unajua tz tutakuwa nyuma kila cku
    kwanza mitaala yetu
    n kwa kiingereza ndo lugha ya asili inatutoka
    mtu hawez kutoa speech lisaaa moja mfululizo bila kutia kiinereza tatzo n mtaaala
    nch zilizoendelea zote ukichunguza mtaala wao n wa lugha yao ya asili.

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 3 ปีที่แล้ว

      uko sahahi lkn kiswahili hakijakamilika ....kuna maneno kwa kiswahili hayapo

  • @debbiemes4600
    @debbiemes4600 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nakubaliana uamuzi wa Tanzania kujitoa katika Mahakama hiyo kwa sababu kubwa mbili;
    1. Mpaka sasa ni nchi 9 tu kati ya 52. Hata nusu idadi haijafikiwa tusubiri angalau zifiki ¾.
    2. Nchi nyingi zimeendelea kwa kujitoa muhanga kwa baadhi ya mambo kama vile kukataa kuingiliwa kima amuzi na nchi zingine na taasisi za kimataifa kwani mara nyingi hulenga katika kukwamisha jitihada zinazo chukuliwa. Mfano mzuri ni China. Kwa sasa Tanzania hatutaki kukwamishawa na jitihada zetu za kuwekeza katika viwanda na biashara. Makesi kesi yatamaliza fedha, muda wa kuwekeza katika maendeleo na kuathiri ajira zinapatikana kwa wanainchi.

    • @hamidjuma2178
      @hamidjuma2178 4 ปีที่แล้ว

      SS twenye akili zetu tumekufahamu wengine wa nn a chuki zao ila subiri likukute we au mtu wako kuwa mkweli ata Kama hupendelei watu flani

  • @abumasoud1996
    @abumasoud1996 4 ปีที่แล้ว +2

    FATMA KARUME Samahani dada angu. Rais magufuli anajitahidi sana.Mimi naomba fatma karume ukasomewe dua kwa sheikh au padri.mimi naona wewe haupo sawa kichwani kwako.tafute kio ujione nywele zako kama mabeberu.na wala huna educate yoyote.

    • @hassanjr5318
      @hassanjr5318 3 ปีที่แล้ว

      anatumika na mabeberu ndio maana anapitishaga ushoga

  • @sharifkhamis7245
    @sharifkhamis7245 3 ปีที่แล้ว

    Maneno kuntu

  • @battojr5442
    @battojr5442 4 ปีที่แล้ว

    Mbona kama hata sheria unayo izungumzia nayo huitambui. Unaongea kama upo saluni

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 4 ปีที่แล้ว

    We mtanzania gani unokiswahili kibovu na too much know

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 4 ปีที่แล้ว +3

      Ana Kiswahili fasaha kabisa. Hakuna neno alilotamka kinyume chake. Kauli zake zote zimesimama katika lafudhi ya Kiswahili fasaha. Isitoshe, huyu ni Mzanzibari. Kiswahili cha sasa msingi wake ni Kiunguja!

    • @mussaseifabdullwahid341
      @mussaseifabdullwahid341 4 ปีที่แล้ว

      Nahao wanyamwezi ni waswahili gn? Au unataka kufirwa?

    • @mdathirumagayane688
      @mdathirumagayane688 4 ปีที่แล้ว

      Kuanzia darasa la tatu kasoma Uingereza mpaka anamaliza shahada ya sheria

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Anachokieleza ianaonekana Tanzania haijui

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 4 ปีที่แล้ว

    Kweli huyu mama anakosea anaposema viongozi hawajui sheria wkt ofisi zote zina wanasheria

    • @innocentcp845
      @innocentcp845 4 ปีที่แล้ว

      Kila kazi ina vipaji. Serikali kuwa na wana sharia sio ndio kuifahamu sheria. Aunt fatuma anajitahidi sana kutuelimisha. Bombers sana aunt fatu.

  • @josephmilawi3012
    @josephmilawi3012 4 ปีที่แล้ว +2

    ana matatizo ya akili Huyo apuuzwe au apelekwe milembe akatibiwe kwa kumsaidia

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 ปีที่แล้ว

    Unajua jata dactari ukifuta dawa kwa mgojwa kabla ya kuliza umeandika kwa nini na mgojwa akifa we ni muaji sasa wewe watu wamekaa wakakubaliana wewe Leo unaongea upuuzi kabisa

  • @org5233
    @org5233 4 ปีที่แล้ว +1

    Jitu lisilo ishi Tanzanian haliwezi
    Kuusoma mchezo vibaraka mbwa nyie mmeongea pumba tuuu.

  • @harrymb1849
    @harrymb1849 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa nini unaongea sasa wakati mambo yameimprove kuliko yalivyokua, n speaking of fundamental issues toa solution labda ungefanyaje..

  • @tzmny4909
    @tzmny4909 4 ปีที่แล้ว

    wote Malaya

  • @nazraseiban1082
    @nazraseiban1082 4 ปีที่แล้ว

    Lady..u hv been brainwashed

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 4 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu alisoma sheria kweli au ,simuelewi

    • @mundhirabubakar9065
      @mundhirabubakar9065 4 ปีที่แล้ว +2

      Sasa utamuelewa Nini wakati serekali yako haikutengeneza mazingira ya wew kupata Elimu sio wazee wako no serekali yako kwa mfano inchi ni yananchi kwaiyo kila mtu anahaki yakua sawa namwenzake kiinchi ila Sasa wewe ni saw na mtoto was sheha kiinchi hapo ndipo panapo shida ila samahani Sana broo tunawekana sawa kifkra tu hapana siasa sababu mim mwenyewe ccm Tena sio ccm jina kindakindaki ila tunasema kwakua tuwekane sawa kwenyemambo ya usingi sio kwamba tunanjaa no ninamaisha mazuri sihaba nashukuru ila ukweli ndio huo hakuna ujinga Kama sikupanda ujinga na ukaota

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 4 ปีที่แล้ว

      @@mundhirabubakar9065 Ndugu tukifanya kama hivi huyu mama anavyo taka tutauwana tuishe tutavulugana vya kutosha Mimi Niko tz,nimetembea nchi zingine nimeona ,nchi yetu ni nzuri hakuna anae onewa ,huo utaratibu ulio wekwa tena kwa nchi zingine ni zaidi ya hizi sheria bila utii Wa sheria hata MUNGU huta mtii ,na nilishukulu walivyo mzuia kufanya Nazi zake hapa tz maana ni adui Wa Taifa, raid huyu mnae msingizia kuuwa watu kuteka huyundio ange uwawa hazarani

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 4 ปีที่แล้ว

      @@charlesmakuri792 Hakuna anaeinewa? Hebu jiulize tena hili suala kaka

    • @hashimuhehwa3780
      @hashimuhehwa3780 4 ปีที่แล้ว +1

      Utaelewa wakati zwazwa ubongo mavi

    • @rashidiabdul-aziz4791
      @rashidiabdul-aziz4791 4 ปีที่แล้ว

      Alikua rais wa wanasheria wa Tanzania kwa iyo kawaiulize wale waliomchagua kuwa rais je na wao vipofu mpaka wamchague huyu

  • @abelkabili8474
    @abelkabili8474 4 ปีที่แล้ว

    Tafuta Mme uolewe kwanza uache Ukahaba Labda kidogo akili zako zitakaa vizuri

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว +1

      Hahaaaaa😂😂

    • @abelkabili8474
      @abelkabili8474 4 ปีที่แล้ว

      @@blandinamwarabu5025 kabisa Blandina hawa watu wasio na waume sometime wakilala peke yao wanaamkaga na kisilani

    • @feisalissa3009
      @feisalissa3009 4 ปีที่แล้ว

      Wewe kuma tu acha kuntukana fatma wewe na selikali yako ndio haifahi

    • @feisalissa3009
      @feisalissa3009 4 ปีที่แล้ว

      Wewe takataka wewe kuma tu nazani wewe ni kichaa tu fatma anasema mambo mazuri tu ya maana sana

    • @tonyanthon1777
      @tonyanthon1777 4 ปีที่แล้ว +1

      Mnamtukana hata robo ya elimu yake hamna ebu jitafakalini kwanza

  • @davidhyera3549
    @davidhyera3549 4 ปีที่แล้ว +2

    Umeumbuka Sana Fatma Hayo maswali hukuyategemea umebaki unajichekesha chekesha Tu.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +1

      yani wewe ndio unachekesha, ni kitu gani ambacho ameumbuka!!!???

    • @mundhirabubakar9065
      @mundhirabubakar9065 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo hamna Elimu halafu mumategemea kujua vitu vigumu vile sikujichekeshachekesha ile ni teknik ya uzungumzaji wa zarau yeye Hana shida atatumia mpaka atakufa ila wewe mtoto wa mwenzangu na mie kaziunayo Baba jikazetu utakujaelewa soon

    • @driftdumper8927
      @driftdumper8927 4 ปีที่แล้ว

      Darasa la saba utaelewa nini!? Bora unyamaze

    • @ezekiamwanuke1606
      @ezekiamwanuke1606 4 ปีที่แล้ว +1

      Ccm ifike mahalimukubali tu siokilasiku nijumapili hapana mmeminya demokrasia vyakutosha sasabassssss kifochanyani mitiyotehuteleza,

    • @richartmichael9639
      @richartmichael9639 4 ปีที่แล้ว

      Huna lolote ww mwana mama sijaona Cha maaana unachoongea hapo