Fatma Karume azungumzia yaliyofanya kufutiwa haki ya kufanya kazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ก.ย. 2019
  • Eagan Salla

ความคิดเห็น • 35

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว +1

    Haki na kazi wapi na wapi , hakuna kutereza ulimi kwa hivyo ...... Wewe dada zinaingia na kutoka aisee.....

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 4 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Leo hii anataka kufanya kazi wakati alikua akipaza sauti ya lockdown. Sasa akae ndani hii ndio lockdown yenyewe ili asipate corona

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 ปีที่แล้ว +2

    Kuwa mzalendo we dada na nchi yak usitumik na midude ya nchi nyengn

  • @bonifasbonara9323
    @bonifasbonara9323 4 ปีที่แล้ว +1

    Karibu kwenye siasa kurayangu yako njoo chadema

  • @tusajigwekanemela4784
    @tusajigwekanemela4784 4 ปีที่แล้ว +1

    Ona kisura kigumuuu mnafiki wewe

  • @kopiscojacobisaya409
    @kopiscojacobisaya409 4 ปีที่แล้ว +1

    Utabaki kwenye kumbukumbu za mawakili wasio jitambua.unaluga chafu

  • @jayemily3821
    @jayemily3821 4 ปีที่แล้ว +1

    Nina mashaka na sauti yake ahahaaaa

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye siasa utazungumza nini wewe na Kiswahili hujui

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 4 ปีที่แล้ว

    Ni lock down tu dada. Subiri iishe.

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 ปีที่แล้ว +2

    Hujuielew

  • @kibuzosengamshairi4214
    @kibuzosengamshairi4214 4 ปีที่แล้ว +1

    We siyo mzalendo ni kibaraka tu

  • @josephkizuri4077
    @josephkizuri4077 4 ปีที่แล้ว

    Huwezi jua sababu kamwe coz ww mwenyewe hujitambui...

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 4 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nakuangalia tu!

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +1

    Pumbavu sana huyu

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 4 ปีที่แล้ว +1

    Kakae nyumbani ufanye kazi za kupika na kupakuwa

    • @shadymbuki87
      @shadymbuki87 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo hana hata wa kumpikia na kumpakulia.

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 4 ปีที่แล้ว +1

    Were mchochezi

  • @christophermalongo1577
    @christophermalongo1577 4 ปีที่แล้ว

    Sababu huna adabu

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 4 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo ni dharau. Siyo Feleshi. Ni jaji Feleshi mpe heshima yake haikupunguzii kitu .

    • @shadymbuki87
      @shadymbuki87 4 ปีที่แล้ว +3

      Wakati wa JK alimzaba vibao na kumtukana matusi ya nguoni hakimu akalindwa, zama zile hazipo sasa acha anyooshwe.

    • @zachmaselle6635
      @zachmaselle6635 4 ปีที่แล้ว +2

      Huyu binti bahati mbaya anatumia jina la babu na baba yake vibaya. Nafikiri amelitumia kwa muda mrefu na kiasi cha kujisikia kwamba sheria za nchi hazimgusi.

    • @shadymbuki87
      @shadymbuki87 4 ปีที่แล้ว +2

      @@zachmaselle6635 huyo sio binti aisee, kama mwaka 2000 wakati baba yake anakuwa R
      Rais wa Zanzibar yeye alikuwa na miaka 32 leo hii ukiongeza 19 bado unaona ni binti tu? au sababu hakajaolewa!?

    • @zachmaselle6635
      @zachmaselle6635 4 ปีที่แล้ว

      Umenivunja mbavu. Njua wanamwita shangazi lazima kuna sababu lakini ukweli ni kwamba sijajua malalamishi yake ni nini! Labda ndio nchi yetu ilipokuwa imefikia kitabaka sasa watu bado wamelala usingizi hawataki kuamumka kwamba kuna mkuu mpya. Kitu kingine kinachonisumbua kichwa ni wenzetu wa BBC. Ukweli sijui wana mchango gani katika jamii yetu. naona kama imekuwa kama ushabiki!

    • @christophermalongo1577
      @christophermalongo1577 4 ปีที่แล้ว +1

      Haka kamalaya kanautovu wa nidhamu

  • @godwinmasoud7180
    @godwinmasoud7180 4 ปีที่แล้ว

    Rudisha kiwanja cha Kanisa Anglikana Zanzibar kile cha Mfuuni-Mbweni

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 4 ปีที่แล้ว

    unaelm nenda kafanye kaz uingereza wewe n mzungu huku waachie wa Tz...

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 4 ปีที่แล้ว

    TZ jamaa bado mwazaba kina mama

  • @zainabkhatib6509
    @zainabkhatib6509 4 ปีที่แล้ว +1

    Usijali sister nijambo dogo sana

  • @muammarsoud1854
    @muammarsoud1854 4 ปีที่แล้ว +2

    Unaleta muangaza kwenye kiza hii africa hamna atakae kuelewavifaru watupu

    • @hamzaathuman9703
      @hamzaathuman9703 4 ปีที่แล้ว

      Muammar Soud alipompiga judge mkuu akati babaake yupo madarakan akalindwa anadhan ndo wakati huuu?!?? Km hujui kaa kimya tatizo LA Fatima dharau Na kiburi