FAHAMU MAANA HALISI YA MAFANIKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Kwako wewe binafsi unafafanua vipi neno mafanikio? Kwako ina maanisha nini? Naomba tuandikie kwenye comments wakati mwalimu na mwandishi wa vitabu bwana Richard Mabala akifafanua kwamifano mizuri neno mafanikio kwa namna anavyoelewa yeye.
    .
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
    .
    Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
    Click hapa: / channel
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
    ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
    ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
    ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
    ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
    ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
    ⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
    #Mafanikio #Mabala #Ezden

ความคิดเห็น • 16

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว +2

    KUPATA VITABU:
    1. Elimu ya msingi ya fedha
    2. Elimu ya msingi ya biashara
    3. Biashara ndani ya ajira
    4. Una nguvu ya kutenda miujiza
    .
    Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo. Free delivery kwa Dar es salaam.
    Bei: 20,000 TZS.
    .
    Kujiunga na group la VITABU
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076

    • @brantleybode2578
      @brantleybode2578 3 ปีที่แล้ว

      dont know if you guys cares but if you are bored like me during the covid times then you can watch all of the new movies on Instaflixxer. Have been binge watching with my gf for the last couple of days xD

    • @xavieraxl1082
      @xavieraxl1082 3 ปีที่แล้ว

      @Brantley Bode definitely, been watching on InstaFlixxer for since november myself :)

  • @patrickapolinary2949
    @patrickapolinary2949 3 ปีที่แล้ว +3

    Kila mwanadamu anamaana yake katika hili suala la mafanikio,maelezo mazuri.

  • @charlesyohana8546
    @charlesyohana8546 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsant san baba MUNGU akubariki sana

  • @ImmanuellyWilliamAyo-jt8kg
    @ImmanuellyWilliamAyo-jt8kg ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe una mtazamo chanya nimepata point. Yangu hapo.

  • @EsterChiwango
    @EsterChiwango 2 หลายเดือนก่อน

    The good author

  • @kalungu_psychomotive1
    @kalungu_psychomotive1 3 ปีที่แล้ว +1

    It was a very great speech...

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 3 ปีที่แล้ว

    Nimwelewa sana mzee mabala tena zaidi ya sana

  • @twofivefive906
    @twofivefive906 3 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa uko sawa

  • @drallymnugwa4961
    @drallymnugwa4961 3 ปีที่แล้ว

    Success path network kaz nzur mnafanya

  • @leonardmadelemo9104
    @leonardmadelemo9104 3 ปีที่แล้ว

    Daah nimeelewa sana khs mafanikio

  • @safeniubwa4627
    @safeniubwa4627 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 3 ปีที่แล้ว +1

    Elimu nzuri sanaa

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 ปีที่แล้ว

    👍👍✌️