NAMNA YA KUTAMBUA FURSA - MABALA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Namna ya kutambua na kutumia fursa inaweza kuwa changamoto kwa watu wengi sana leo hii kutokana kuwa na mambo mengi sana yanayoendelea katika mitandao ya kijamii.
    Karibu katika somo hili umsikilize Mr. Richard S. Mabala mwandishi wa vitabu na mwalimu akilizungumza jambo hili kwa upana ili wengi waweze kupata mwanga kwa namna gani wanaweza tambuana kutumia fursa zilizopo.
    Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
    .
    Channel yangu yenye video fupifupi ( EZDEN SHOT CLIPS)
    Click hapa: / channel
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE pia kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    TAZAMA ZAIDI KUTOKA KWETU:
    ⚫️ EZDEN JUMANNE: • EZDEN JUMANNE
    ⚫️ VITABU: • JE, TEKNOLOJIA INADUMA...
    ⚫️ VICTOR MWAMBENE: • TUMIA WATU KWA NJIA HI...
    ⚫️ HAMASA YA LEO: • SOMO LA MAISHA | Hamas...
    ⚫️ NDOA: • JIFUNZE MAMBO MANNE (4...
    ⚫️ AFYA: • Njia Salama za Kutoa S...
    #Tambua #Fursa #Mabala

ความคิดเห็น • 18

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว +11

    KUPATA VITABU:
    1. Elimu ya msingi ya fedha
    2. Elimu ya msingi ya biashara
    3. Biashara ndani ya ajira
    4. Una nguvu ya kutenda miujiza
    .
    Tafadhali tuma ujumbe wa kawaida au whatsapp wenye jina la kitabu katika namba 0759191076 popote ulipo. Free delivery kwa Dar es salaam.
    Bei: 20,000 TZS.
    .
    Kujiunga na group la VITABU
    Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 ปีที่แล้ว +4

    Unapozeeka unarudi kwenye utoto wa pili kwahio labda nipo kwenye ujana wa pili wakati narudi kwenye utoto wa pili.........damn sijawahi kusikia hii sentensi mr Ezden Jumanne imenifanya niiandike ila sijaielewa maana yake

  • @janetybubegwa5272
    @janetybubegwa5272 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukiona WOTE wamekubaliana jambo mimi sikubaliani.hilo jambo hakuna mafanikio

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 ปีที่แล้ว +3

    Mara nyengine fursa inakuona wewe mara nyengine fursa unaiona wewe inabidi uwe macho

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว

    Tunakuelewa baba

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว

    Sana sana mafanikio

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni mtu muhimu sana na huyu mnge mpa ubunge wa viti maalumu anamawazo mazuri ila Hana sehemu ya kuyatolea

  • @frankbwahema32
    @frankbwahema32 3 ปีที่แล้ว +1

    1st

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 3 ปีที่แล้ว

    Daah mzungu ni mzungu tu jamani yani jamaa ana mindset ya kipekee kabisa ingawa ni mtanzania..

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 3 ปีที่แล้ว

    Nakupata nikiwa hapa ukonga magereza

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni SAWA BUT KWANINI USHINDWE KUIMBA KAMA SARA ??????

  • @salumsamesame1741
    @salumsamesame1741 3 ปีที่แล้ว

    Iko smart sana sana

  • @ayoubnyava8432
    @ayoubnyava8432 3 ปีที่แล้ว

    Minimesoma vitab vyako ise ukovr sana

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa ukumbusho hii na Elimu Mkuu 🙏💎

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 3 ปีที่แล้ว

    Naam

  • @mossesezekiel7862
    @mossesezekiel7862 2 ปีที่แล้ว

    👍✌️✌️

  • @Coachsamwel
    @Coachsamwel 3 ปีที่แล้ว +1

    Powerful talk

  • @freeomyomarion8318
    @freeomyomarion8318 3 ปีที่แล้ว

    ✊🏻