Jinsi ya kutengeneza barafu za ubuyu laini sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Asante san kwa support zenu ndugu zangu ❤️❤️❤️

ความคิดเห็น • 49

  • @umfarid247
    @umfarid247 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sanaa asande sanaa

  • @angelhassan3325
    @angelhassan3325 3 ปีที่แล้ว

    Somo nzuri sana ntajaribu

  • @ibrahimukholo6842
    @ibrahimukholo6842 ปีที่แล้ว

    Hongera sana, naomba kuuliza naweza kupataje bag za kuuzia Ice cream, asante sana

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  ปีที่แล้ว

      Sokoni utapata ulizia tu vifuko vya barafu utapewa boss

  • @margaretnalobile9126
    @margaretnalobile9126 2 หลายเดือนก่อน

    Ni vema

  • @ibrahimukholo6842
    @ibrahimukholo6842 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa somo zuri

  • @josephinenoah8559
    @josephinenoah8559 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @ESTALUSAYO7420
    @ESTALUSAYO7420 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba maelekezo ya kiweka rangi iwe namvuto mim ni kiweka linakuwa haing'ai vzr

  • @omary8564
    @omary8564 ปีที่แล้ว

    Yafaa kutengeneza kwa maji baridi.maana nimeona ww umeweka jikoni.msaada tafadhali

  • @SuzyJacob-y2x
    @SuzyJacob-y2x ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @MariamEmanuel-z9i
    @MariamEmanuel-z9i 7 หลายเดือนก่อน

    Kilo Moja2

  • @helkamgaya3955
    @helkamgaya3955 3 ปีที่แล้ว +1

    Oky gud meelewa

  • @BasilisaLuselema
    @BasilisaLuselema 5 หลายเดือนก่อน

    Mim nikitengeneza inakua lain lakin utamu unajitenga pale napoweka kwenye frij tatizo nn?

  • @joycegeorge-mf5kn
    @joycegeorge-mf5kn ปีที่แล้ว +3

    Mi Huwa nachanganya na ngano

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  ปีที่แล้ว

      Ooh sawa ila ata CMC ni nzuri

    • @fatmahussein4563
      @fatmahussein4563 7 หลายเดือนก่อน

      Nasikia ukieka ngano huwa raini sana. Kwa unga nusu ngano waeza korogea size gani dia.

  • @emilianamagala-wj7jc
    @emilianamagala-wj7jc ปีที่แล้ว +1

    Naomba uwekevipimo vya maji Lita Tano

  • @chadianasheila9525
    @chadianasheila9525 3 ปีที่แล้ว +1

    Izo rangi sina flavour au ni rangi tu?

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  3 ปีที่แล้ว +1

      Ukiwa na flavor itapendez zaidi ila kam huna so lazima unaweza weka rangi tu 💙

  • @salamasimkoko959
    @salamasimkoko959 2 ปีที่แล้ว

    Nmeipenda hyo

  • @teacheribrahim2176
    @teacheribrahim2176 2 ปีที่แล้ว +1

    Hyo bag ( kartasi) inaitwaje?

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  2 ปีที่แล้ว +2

      Ukifika sokoni waulize karatasi za kufungia barafu watakupa...

  • @chimpayefedrick
    @chimpayefedrick 11 หลายเดือนก่อน

    Jaman nisaidieni nimejalibu kutengeneza barafu ila zimegoma kuganda nimekosea wapi

  • @careenally9575
    @careenally9575 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mm natengeneza lakin znakua kama na uchachu

  • @NeemaYona-r2x
    @NeemaYona-r2x ปีที่แล้ว

    hicho ulichoweka cha njamo kinaitwaje

  • @deboradamian682
    @deboradamian682 ปีที่แล้ว +1

    Mbona nimechemsha unga wa ubuyu ukakatika

  • @esthercharles83
    @esthercharles83 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mambo nimependa kiukwer ila naitaji kujifunza zaidi hauna group wassap la mafunzo

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  2 ปีที่แล้ว

      Pow sina group ila tutakuw na darasa la barafu siku so nyingi karibu sana ❤️

  • @leaserugora6104
    @leaserugora6104 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi zinakuwa ngumu

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  3 ปีที่แล้ว +1

      Labda utakuw unagandish mda mrefu san maan mm nikisem masaa 2 kwako ya kawa mengi sana kwaiyo jaribu kujua friji lako linatakaje 💪

    • @aidaa8253
      @aidaa8253 3 ปีที่แล้ว +1

      Asanteee ubarikiwe

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  3 ปีที่แล้ว

      Nashukuru sana

  • @neemaitika9158
    @neemaitika9158 ปีที่แล้ว +1

    Ukitaka kutengeneza za biashara maybe barafu 60 inabid unga wa ubuyu uwe kiasi gani

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  ปีที่แล้ว

      Kiasi icho nilicho weka pigia mahesabu utapata tu best

  • @omary8564
    @omary8564 ปีที่แล้ว

    Unaweza kutengeneza bila kuweka jioni uji yaani kutengenezq kwa maji baridi

  • @josephmbinga6360
    @josephmbinga6360 ปีที่แล้ว

    Kaka UKitaka kitengeneza Lita kumi je

  • @marycosmas4043
    @marycosmas4043 3 ปีที่แล้ว

    CMC huweki?