NANI KAWAAMBIA IST ZINAUZWA MILIONI 8? ACHENI KUKARIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.พ. 2024
  • Acheni Kuishi Kwa Kukariri, Sio IST Zote Huwa Zinauzwa Milioni Nane(8) Maana Imekuwa Ni Kama Vile Wimbo Wa Taifa🇹🇿Kila Ukipigiwa Simu Na Wateja Wao Iyo Ndio Kama Default Price Yao
    Maisha Hayapo Ivyo Jamani, Toyota IST Ni Gari Kama Zilivyo Gari Nyingine Tena Yenye Unafuu Mkubwa Wa Kuihudumia Ivyo Tunavyowapa Bei Ni Kwamba Zinakidhi Viwango Vya Ubora
    Bei Yake Imeanzia TSH 16,500,000/= Maongezi Kama Yote Ukija Kwenye Gari Kukagua Nimemaliza FULL STOP🛑
    Kwa Mawasiliano Zaidi
    Piga📞+255 747 999 927
    Napatikana Sinza Jijini Dar Es Salaam. Karibuni Tupunguziane Bei

ความคิดเห็น • 1