Aina 6 za magari ya bei ndogo kwa unayeanza maisha - Mr Sabyy
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2021
- Usibonyeze Link hii chini 👇👇👇 kama huna ROHO NGUMU juu ya MAGARI ....👇👇👇
/ @mrsabyy
Ndugu mtazamaji kama ndio unaanza maisha ya kumiliki Gari na kipato chako ni kidogo/wasitani nakushauri ununue gari moja wapo katika aina hizi 6 za magari ya Toyota nilizozielezea.
Huduma zangu...
1: Kuagiziwa GARI JAPAN/UK/DUBAI ni BURE
2: kutolewa Gari yako Bandarini ( Clearing & Forwarding ) kwa wateja waliokwisha nunua Gari
3: Msaada wa kutafutiwa Gari mtandaoni na kupigiwa hesabu ni BURE
4: Msaada wa kuagiziwa bidhaa mbalimbali nje ya nchi
5: Kusafirishiwa Gari yako popote ndani ya Tanzania
Tumia mawasiliano haya chini.
NB: Tunafanya kazi na watu binafsi /Makampuni / Taasisi zote
--------------------------------------
Social media handle
Instagram: / mr_sabyy
Whatsapp link : wa.me/message/LPV2C5ESGM6CL1
☎️DM/Piga/Text 0653953900 /
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: charlessabikazi@gmail.com
🏢Company: Mofaz movers Ltd
📍Location: PSSSF HOUSE, Ghorofa ya 9, Wing A-Room 4, Samora Avenue St.
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
All copyrights reserved under CAIRO PROMOTIONS © 2021
--------------
#Clearing #Forwarding #MrSabyy
#Clearing_And_Forwarding
#Clearing_And_Forwarding_Agent
Kwa unayehitaji KUAGIZIWA GARI nje ya nchi au unayetaka KUNUNUA GARI YA MKONONI ( Iliyotumika hapa hapa Tz ) please tumia no hii Call/Text/WhatsApp +255653953900
Pia usiache ku subscribe na kutuFollow
Instagram@mr_sabyy
Twitter@mr_sabyy
Asante
Asante sana kwa darasa zuri juu ya ufahamu wa Magari.
@@musangalu ubarikiwe kwa comment yako.
Nahitaji gari lile la watu watatu tu
Ifanyieni review Grand Vitara
Sawa
Nice
Okey
mashaailaah
Nimefaidika
Thanks my brother
Thanks too, usiache ku subscribe na ku share content hii kwa wengine
Asante kwa elimu🙏
Asantee sanaa 🔥🔥🔥
Shukran sana Mr Sabyy...
Shule imekaa poa.
Tupe na shule ya magari comfortable kutumiaa
Asantee sana, episode zipo nyingi zinakuja, tunazipa mda zitofautiane. Usiache ku-subscribe pia.
iko poa
Ahsante sanaaa kwa Darasa huru
Asante sana, ubarikiwe na usisahau ku subscribe na ku share. Ukihitaji gari nitafute no zangu ziko hapo
Good job
Thanks don't forget to subscribe
Arufadi
🔥🔥🔥🔥
thanks kwa ku subscribe
Je Millon 5 siweziiiii Kupata gari used
Big up sana Mr shemeji wangu
Asante SEMA ume subscribe?
Elimunzur xana twambie kampuni nyingine tofaut
Asante boss, tutaendelea kuweka elimu hizo... naomba usiache ku subscribe channel yetu na kuwatumia link wengine. asante
Hapo kwenye keyless entry... Mh.. weka sawa
Ume subscribe kwanza? key less maana yake gari inatumia sensor na sio funguo za kawaida
Starlet bei yake
Hapo mzeee Toyota Ractis iko sawaaaa
Yah
Mr Sabby naomba kazi
Oohh kwa sasa hatuna nafasi
Starlet vp mzee
Iko POA pia
Yaani yuzd yabei ndogo
Hac aina ya shangingi
Hebu ifafanueni toyota agya 2020 2021
Naomba maelezo kidogo kuhusu gari Amina ya Toyota Harrier
Hello, naomba nitxt WhatsApp 0653953900 . Asante
Upovizuri kaka. Umeweza kufafanua bizuri. Mimi bado kidogo.
Ila napendasana ist
Vishen yakwanza na yapili kwanani ya gari panafanana?
Kwamaana ya kuanzia dashboard sits na vingine. Je nisawa na vits?
Kama kunatofauti uniambie. Kama hakuna nibaki Niki balansisha cc
Asante sana, save no yangu 0653953900 siku ukiwa tyr utanichek. Pia kwa ndani hazifanani
Kikikekike kimama mama
Mm namba 1 na 5, nice appearance na asante kwa ushauri
Welcome boss 🤩
Toyota Runx naipenda sana muonekano wake
Gari nzuri sana, ukiihitaji klb tukuagizie
Bei no pow
💡💡💡💡
Mr elimu nzur utuelezee na kampuni nyngne nje ya toyota,kama nissan,mitsubishi,subaru kpnd kngne
Asante, tutaelezea kila kampuni... Ukiitaji msaada wa kununua gari basi nitafute 0653953900 🙏
@@MrSABYY sawa mkuu
Kama ninapesa mkononi siwezi kupa gari papokwa papo?
Hello Naomba nitumie msg WhatsApp 0653953900
Bro kuna bmw used 3000 pound kuitoa uingereza hadi Tz inaweza gharim shingapi?
Hello, Naomba nitext WhatsApp 0653953900, pia Murano ipo sokoni bado
Vipi kaka naomba bei Za Alfad old cc 2.0 na 3.0 tafadhali
Njoo WhatsApp 0653953900
Na vipi Toyota rumioni
Mbon IST hujataja bei
Nyinyi mpapenda kuzifatilia gari marufu tu zile zilizokua ngeni hamuzitaji asa km agya nk
Ndio
Bro, Toyota spacio tunaomba utulezee hata kidogo ubora wake
sawa boss, tutafanya hivyo kwenye episode zijazoo, usiache ku subscribe na kutazama video zingine. asante
Naomba maelezo ya undani ya toyota sienta
Boss tupigie 0653953900
Kaka nahitaji gar yamkonon
Model???
Ractis kuna 1290 Cc na 1490Cc
Oohhh ndio boss
Nimekusubscribe bro
Vip toyota isisi
Tunaomba maelezo
Toyota St bei hujataja
Kuanzia 17Million… Karibu 0653953900 whatsapp
Vipi kuhusu Toyota rumion
Nayo ni gari nzuri kwa unaeanza maisha…. Save no yetu siku ukihitaji tupigie 0653953900
hiv kwa nini katika magari ya watu wa kati na wa chini TOYOTA FUNCARGO huwa hazitajwi kabisa,,, kuna shida gani?
Hazina shida boss
Nahitaji kujua gharama ya Nissan patrol double cabin hapa Tz
Nichek WhatsApp 0653953900
Ractis ina version mbili pia kaka
Thanks kwa kuturekebisha. Usiache ku-subscribe pia
Mbna IST hujataja bei yake kk
12.5-15M kaka, ukihitaji tuchek tukuagizie, pia naomba u subscribe
Mimi nahitaji toyota paso sette
Hello karibu WhatsApp 0653953900
Ila passo inawahi kualibika nasikia bro
Utunzaji tu
Je vipi kuhusu Toyota starlet?
Nayo sawa
Umenipa mzuka wa kununua Gari
Inshallah 🙏 nilipata Milioni Kumi nikanunua Kiwanja na vitu vya ndani,kugawa kwa ndugu but
Soon napata Pesa zingine
oohh vzr ukiwa tyr nitafute... pia wasambazie wengine link hii. asante
Naomb na Mimi hela bhasi
@@Adrext njoo uchukue
@@Adrext uki subscribe na mm nakuongezea kama akikupa 😁😁😁
Nataka kujua kuhusu altezza
Sawa boss kwa maswali zaidi unaweza tutumia kwny WhatsApp no yetu 0653953900 . Ubarikiwe
Ukovizuri Sana kwa kusaidia watu ambao wengi tumekua tukiingia kwa matapeli na kuibiwa pesa nitumie namba yako ya cm
0653953900
0653953900
Nataka. Toyota ist Ila sijasikia inagharimu kiasi gani Kaka🙏😢
Kalibu WhatsApp 0653953900 Kwa Bei zaidi
@@MrSABYY thanks ..
@@evenlightpatrick7225 nasubilia msg Yako WhatsApp
Ist Bei gani?
IST inaanzia 12M mpaka 14.5M.... Nitext 0653953900
unazngua ww
Oohh sorry
U subscribe lakini 🙏
Naomba namba yako
@@MrSABYY tayar boss
@@deomlope1648 0653953900