HOUSE GIRL EP 55 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 849

  • @zawadisaid3454
    @zawadisaid3454 2 หลายเดือนก่อน +242

    Niko radhi mwarabu wangu ani teteshe lkn ni sikose house girl ni kiwa saudia Arabia nipeni like zangu jamani ❤❤❤

    • @kalamapendo2701
      @kalamapendo2701 2 หลายเดือนก่อน +5

      Hukosi ni mtoto wa zakayo😂😂😂

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂tupo wengi😮😮

    • @NancySaha-kd2ov
      @NancySaha-kd2ov 2 หลายเดือนก่อน +3

      Pamoja 😂😂😂

    • @ImaeImae-p3v
      @ImaeImae-p3v 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tpo pamoja

    • @salehHassan-rl8bd
      @salehHassan-rl8bd 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tupo wengiii

  • @WanjeraMasaba
    @WanjeraMasaba 2 หลายเดือนก่อน +46

    Wa kwanza Leo tunaofatilia house girl gonga like🎉

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 2 หลายเดือนก่อน +51

    naona tukifika episode 100 ju mautamu ya hii movie jameni i can't explain from Kenya wangp wanaunga mkono alafu tumefika 100K subscribers makofi kwetu 👏👏👏👏 congratulations Busaliti Tv tunawaenxi jameni 🌹🌹🌹

    • @ErastoMsemwa
      @ErastoMsemwa 2 หลายเดือนก่อน +1

      Da!! Mikitasiku nacherewa

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ErastoMsemwaucjali 😅😅

    • @MwanaikiSwalehe
      @MwanaikiSwalehe 2 หลายเดือนก่อน +1

      Umeona naomba iendelee km jua kali na huba inavutia kila siku

    • @Janet-b8b
      @Janet-b8b 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kai baraka ziongezeke❤

  • @johariabdalla3099
    @johariabdalla3099 2 หลายเดือนก่อน +55

    Jamani 😢hata like 1 tu 🤣🤣kendy utaila is coming soon

  • @PetronilahMatisha
    @PetronilahMatisha 2 หลายเดือนก่อน +80

    Team zuu na Kai ❤❤❤❤❤❤much love from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

    • @RebeccaRhobi
      @RebeccaRhobi หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤much love from our country Kenya❤❤❤

  • @aishaseif-zq6zx
    @aishaseif-zq6zx 2 หลายเดือนก่อน +28

    Jmn tafadhali naomben like maana cjawahi kupitwa na hii movies kila siku lazima nitazame

  • @LindaEDWARD-tu7ho
    @LindaEDWARD-tu7ho 2 หลายเดือนก่อน +28

    Jmn naombeni likes wakenya wenzangu na WA Tanzania

  • @HEAVENLIGHTJLAIZER
    @HEAVENLIGHTJLAIZER 2 หลายเดือนก่อน +89

    Kumekucha papa na canndy😂😂😂😂😂 kai karudi tena tunaoamini katika baraka za wazazi tuangalie movie kisha tujuane❤❤❤

    • @zippyMtali
      @zippyMtali 2 หลายเดือนก่อน +1

      Upo sahihi

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 2 หลายเดือนก่อน +2

      Upo saw

    • @PaulOjiambo-p1f
      @PaulOjiambo-p1f 2 หลายเดือนก่อน +1

      upo sawa

    • @ApolinaMwitenda
      @ApolinaMwitenda 2 หลายเดือนก่อน

      🤍🩵💚💜👍❤️♥️⭐💌🙏🇱🇷🇨🇩

    • @AminaSada-h4p
      @AminaSada-h4p 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nko radhi mwarabu wangu aniteteshe lkn nisikose house girl nikiwa Saudi Arabia Al hasa

  • @ignitiussilungwe7930
    @ignitiussilungwe7930 2 หลายเดือนก่อน +18

    Kay! Mdogowangu nikupe ushauli! Ndoahio ikicheleweshwa utakutamwana siwako. Kumbuka ulivyokua unalamba Athari hukuweza kutumia kinga yeyote sasa basi kumuka kuamda woote yule Zuu anaweza beba Ujauzito nahio alusi tulikua tunaisubiri ikawa imeishia hewani. iratupokuomba Mungu akukinge namtihani huu maana Ndoa yako na Zuu twaisubiri kwahamu
    Wanaao kubaliana namimi Like zangu ❤❤😂😂

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @GreensonMfikwa
    @GreensonMfikwa 2 หลายเดือนก่อน +24

    Mmmmmh na mm Leo wa kwanz naomba like zang

  • @FaithJoshua-n8n
    @FaithJoshua-n8n 2 หลายเดือนก่อน +16

    Wakwanza jameni kutoka Kenya, tunawependa sana Wana kai

  • @NyotaWilondja-c4i
    @NyotaWilondja-c4i 2 หลายเดือนก่อน +19

    Wakwanza Leo Ni peni like nzangu from USA ❤❤❤❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 หลายเดือนก่อน +88

    Ambao tunasubiria kwa hamu harus ya zuuh na khai gonga like please tujuane......❤❤❤😂😂😂❤❤

    • @mohamedlopa8410
      @mohamedlopa8410 2 หลายเดือนก่อน

      🎉🎉

    • @mohamedlopa8410
      @mohamedlopa8410 2 หลายเดือนก่อน

      😂😢🎉🎉😂

    • @Slddhhh
      @Slddhhh 2 หลายเดือนก่อน

      Tunangoja kwa hamu na gamu😅😅

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤❤harusi tunayooo Mchele tunaanza kuula kabla ya harusi kufika😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohamedlopa8410
      @mohamedlopa8410 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@Slddhhh😅😅

  • @HudhaimatHaji-wf8nh
    @HudhaimatHaji-wf8nh 2 หลายเดือนก่อน +19

    nimewahi mashallh leo nawapenda wote busati❤

  • @Tunusugar
    @Tunusugar 2 หลายเดือนก่อน +11

    Zuu pambee ndoa tunayo na tunatamba nayo💃💃💃ila kilamba na mkewe mnajua kuchangamsha😂

  • @KanezaAmina-t4h
    @KanezaAmina-t4h 2 หลายเดือนก่อน +25

    Leo na mimi nimekua wa kwanza like zangu za kutosha love from burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo wng Burundi 🇧🇮 ♥️ ❤️ 😍 ❤

    • @FATMARAHMARahma
      @FATMARAHMARahma 2 หลายเดือนก่อน

      Na mimi wa burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤mumpe like❤

  • @MageKinongo
    @MageKinongo 2 หลายเดือนก่อน +23

    Yani dakika mbili tu waja nipeni hata like tano nimejitahidi😂

  • @SelinaChristopher-h7b
    @SelinaChristopher-h7b 2 หลายเดือนก่อน +66

    Mbona Saivi Mnaturingia Sana Ivyo Jamani Toka Jana Hadi Leo Naona Mmetuchoka 😅😅😅

  • @AgnesDavidmtalemwa
    @AgnesDavidmtalemwa 2 หลายเดือนก่อน +24

    Waoh Leo nmewahi jaman naombe like kama zote

  • @Fransiscakavish
    @Fransiscakavish 2 หลายเดือนก่อน +31

    Jamn wa kwanz naomb like zang zuu atafungaa harus na kaiii

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani kai uko na marafiki waxuri sana kiramba pamoja na tasha wapewe maua yao

  • @Johar903
    @Johar903 2 หลายเดือนก่อน +24

    ❤❤❤❤nashukuru sana mume mtarajiwa wa zuu amerudishwa kazini na zuu anaolewa ilo limenifurahisha sana naomba muendelee vizuriii

    • @MirriamWanjala-h2r
      @MirriamWanjala-h2r 2 หลายเดือนก่อน

      Zuu ataishi maisha poa

    • @Johar903
      @Johar903 2 หลายเดือนก่อน

      Inshallah

  • @AshaBinmorisho
    @AshaBinmorisho 2 หลายเดือนก่อน +28

    Wakwanza leo naomba like 🎉🎉🎉

  • @Naima-v6v
    @Naima-v6v 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nmefurahi Kai kurudishwa kazini na harusi tunayo 😂😂❤❤❤❤

  • @FausterMyphone
    @FausterMyphone 2 หลายเดือนก่อน +4

    Yan kweny movie hii nampenda sana tasha yani laliki Bora sana yani

  • @winnermauky9116
    @winnermauky9116 2 หลายเดือนก่อน +19

    Mnanikanyagaaa na kuombaa kwenu like aya nipen zang hata mbili😢😢😢😢😢

  • @JoyceNifasha
    @JoyceNifasha 2 หลายเดือนก่อน +48

    Natoka burundi nipeni like zangu

    • @ErnestineNene
      @ErnestineNene 2 หลายเดือนก่อน

      Ndayiguhaye ariko umbwir aho ushak kuzitwara🤣🤣

    • @JoyceNifasha
      @JoyceNifasha 2 หลายเดือนก่อน

      @@ErnestineNene 🤣🤣🤣🤣

  • @DivineIngabire-lj3sr
    @DivineIngabire-lj3sr 2 หลายเดือนก่อน +11

    Naomba basi mutuongezee yingine usiku wallah

  • @FettyDMOSO
    @FettyDMOSO 2 หลายเดือนก่อน +42

    Kama una amini kendy ichi anachikifanya ndio anahalibu kabsa na kukosa wanaume wote gonga like kwa wingi

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 2 หลายเดือนก่อน

      Iy niuwakika d Sasa ajipange😅

    • @AbdulRazak-wr3ld
      @AbdulRazak-wr3ld 2 หลายเดือนก่อน

      Candy anaharibu 😢

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 2 หลายเดือนก่อน

      Tumwangalie tu akitamba na nyumba ya kufanya kuwekwa kama aliyokabidiwa hata hati tena hana je hapo alipowekwa na huku Chiko anajua mimba ni yake huyu papa akimjua Chiko ataumbuka huyu

    • @IreneDomisian
      @IreneDomisian 2 หลายเดือนก่อน

  • @easther8475
    @easther8475 2 หลายเดือนก่อน +20

    Jamani Leo nimewahi naomba like hata kumi🎉🎉🎉🎉

  • @esterester3628
    @esterester3628 2 หลายเดือนก่อน +6

    Radhi ya Mzazi Ni Bora Sana Kai karegeshwa kazini ❤❤❤❤❤

    • @mauamaua1228
      @mauamaua1228 2 หลายเดือนก่อน

      Zuu ywaenda kwa mumewe n baraka zake❤❤

  • @RazikeRara
    @RazikeRara 2 หลายเดือนก่อน +17

    Kai na zuu nawapenda sana nangojea harusi

  • @JaffarIliasy
    @JaffarIliasy 2 หลายเดือนก่อน +216

    Tangu nianze kuangalia hii movie na nimejiunga kwa group sijawai ata pata like moja😢😢

    • @Farthun
      @Farthun 2 หลายเดือนก่อน +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimekupa mm udugu

    • @JaffarIliasy
      @JaffarIliasy 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 udungu hazina yetu​@@Farthun

    • @PillysalimSengo
      @PillysalimSengo 2 หลายเดือนก่อน +1

      like ndio movie mnaboa mnaomb like

    • @MirriamWanjala-h2r
      @MirriamWanjala-h2r 2 หลายเดือนก่อน

      Lakini umejifunza kitu

    • @mariymukhatibu4919
      @mariymukhatibu4919 2 หลายเดือนก่อน

      Nahio❤❤

  • @NoorAli-gk8bj
    @NoorAli-gk8bj 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaa Allah baraka za mzazi kay kazin tusiwasaau wazazi na ndomana tunaambiwa tukiwa hasira kuusu mtt ako usitamke Maneno mabaya mana duwa ya mzazi inajibiwa harak

  • @kenethmwasenga
    @kenethmwasenga 2 หลายเดือนก่อน +3

    Daah uyo mjinga mwezangu anajua kukaa kwenye na fasi ake nampa maua yake 🎉

  • @NuruSolomoni
    @NuruSolomoni 2 หลายเดือนก่อน +42

    Hta kama. Nmechelewa kidg nliimiss naomba like yangu

  • @JanetRiziki-ut2is
    @JanetRiziki-ut2is 2 หลายเดือนก่อน +8

    Aweee leo nmewahi haya leteni like zenu jaman 😂😂😂

  • @mauakigweh8560
    @mauakigweh8560 2 หลายเดือนก่อน +15

    Wakwanza kutoka kenya naombeni likes zenu

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 2 หลายเดือนก่อน +4

    Ndoa tunayo kai na zuu wallahi zuu umependeza kbla ndoa nawaangalia kutoka kenya❤ kai.unaaraka ajabu

  • @SalmaAlly-u1r
    @SalmaAlly-u1r 2 หลายเดือนก่อน +37

    Ivi izi like mnaombaga ni zanini 😂😂😂

    • @DorosiaAmani
      @DorosiaAmani 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @SuzzyMatei
      @SuzzyMatei 2 หลายเดือนก่อน +1

      tuwaulizage awa wajinga

    • @NuruSolomoni
      @NuruSolomoni 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 tunapata bndo la bule 😅😅

    • @MymunaMuna-qn5lo
      @MymunaMuna-qn5lo 2 หลายเดือนก่อน +1

      mm naona wana Faida nazoooo maana mtu hata kutizama hatizami yeye Ana kuja kwa ajili like to

    • @HappynessMnaro
      @HappynessMnaro 2 หลายเดือนก่อน +1

      😊😊

  • @ZakiyaollerRadju
    @ZakiyaollerRadju 2 หลายเดือนก่อน +10

    Napenda san iyi movies san

  • @PriscaSalamba
    @PriscaSalamba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sitaki hata inipite bora niache kula kuliko kukosa kuangalia house girl ❤❤❤nipeni like

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mnastahili pongezi sana kwa kujitahid kutoa vipande kila siku tofaut na nyingine wanatoa kwa wik ep moja

  • @LeahMendeli
    @LeahMendeli 2 หลายเดือนก่อน +6

    Sania umebadilisha tabia badili na mavaz ❤❤❤

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 2 หลายเดือนก่อน +1

      At tabia bad ajabadilika😅

  • @DelphinaJeremiah-ii1rv
    @DelphinaJeremiah-ii1rv 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kai tafuta nyumba me sitaki kukuona unamuoa zuu ukiwa kwa tashaa🙏🙏 🙏🙏 usimpe nafasi shida akakucheka😁😁😁😁

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 2 หลายเดือนก่อน +9

    Taratibu tusikanyagane waomba like 😂😂😂😂😂😂😂😂sawaaaa.

    • @DoriceDominic
      @DoriceDominic 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Maashallah kaka Kai ndani ya job mambo c hayo❤❤❤❤baraka za baba na bibi zuu 💕💕🤲

  • @GloriaNahimana-x8p
    @GloriaNahimana-x8p 2 หลายเดือนก่อน +17

    Atakama nimechelewa naomba like mwenye atakuja nyuma 🥰🥰🥰🎉❤

  • @AshaBinmorisho
    @AshaBinmorisho 2 หลายเดือนก่อน +12

    Kendy dada wa drama kaaaah😮

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂nilidhani nimewahi kumbe nimechelewa😊 watu mpo Kasi sana kuniwahi😂

  • @افااقع
    @افااقع 2 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani harusi tunayo wapi vigelegele vya wa kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @brendanawanga
      @brendanawanga 2 หลายเดือนก่อน +1

      💍❤️🎂🌹🥱

  • @DianaAnatos
    @DianaAnatos 2 หลายเดือนก่อน +5

    Zuuu alusiiii hiyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @lydiahnyongesa69
    @lydiahnyongesa69 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nimewahi leo 👏..naifuatilia movie kutoka kenya 🇰🇪

  • @NajmaMohamed-sr2mu
    @NajmaMohamed-sr2mu 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanza leo kutoka Tanzania naombeni like zangu 🎉😊💃💃

    • @FetrissJanni-lb5il
      @FetrissJanni-lb5il 2 หลายเดือนก่อน +1

      H😂😂🙌 ume amua kujitambulisha kbs kiswahili aki toshii 🤣🤣🤣

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nausubili mtehe kwa hamu,,,,,mwali tunaye nakioo chenyewe kinasema🎉🎉🎉🎉

  • @Gertrude-m8h
    @Gertrude-m8h 2 หลายเดือนก่อน +70

    Jamaniii Leo nimekuwa wakwanza naomba Ata like tano❤❤ please

    • @AnnaKinyana
      @AnnaKinyana 2 หลายเดือนก่อน

      Sasa nie mkiomba like na wenye muvi wataomba Nini mnakera nie

    • @MariamJulias-n9f
      @MariamJulias-n9f 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@AnnaKinyanaNawashangaa washamba hao

  • @ZenaMayengo
    @ZenaMayengo 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nimefurahi sana Kai kurudishwa kazini

  • @AbelArlindo
    @AbelArlindo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna wazo limenijia kichwani mwangu ,,,nazani kama papa atakua ndoo Boss WA akina Kai na tasha pia

  • @NanaaHaji-qr1rk
    @NanaaHaji-qr1rk 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mnarudia rudia sanaa story zinakuw nying

  • @MariamFilmon
    @MariamFilmon 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman kendi na hiyo mimba yake kahalibu kule ndoa ya watu mpo wagogo wezang nawapnda sanaaaa❤❤❤❤❤❤❤

    • @asha_bakari
      @asha_bakari 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo😍

  • @SaumuChihunga
    @SaumuChihunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaishia wapi kwani 😅 haya bana tuko pamoja ❤❤❤❤

  • @AminaKavuo-gj3oc
    @AminaKavuo-gj3oc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Waoo Asante patamu San,,, hila candy hakichukuwa mme wa kamukonde

  • @ashaathman-k4n
    @ashaathman-k4n 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hatamm niko radi mwarabu anitukane lakini nisikose kuona house girl naipenda tata nikiwa nimekasirika nikiona house girl nafurahi sana ❤❤❤

    • @zainabzain3434
      @zainabzain3434 2 หลายเดือนก่อน

      Mashaaallah 😂😂😂😂😂

  • @SelemanKushoka
    @SelemanKushoka 2 หลายเดือนก่อน +17

    Jamani na Mimi wakwanza Leo naombeni like ata Kumi ty❤❤❤

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 2 หลายเดือนก่อน +11

    Hii move sasaivi hamtoi kwa wkt 😂😂😂 km kunamtu kaon km nirivyoon mm nipeni Iike

  • @naomysidi7823
    @naomysidi7823 2 หลายเดือนก่อน +1

    Harusi tunayo hatunaaa...jamani mimi naona tu Cindy akiwa house girl wa zuu

  • @ibrahimhamisi3599
    @ibrahimhamisi3599 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂Zuu kapiga wigi lakwenda🎉 kiukwel hii movie nikali sana ✔️

  • @everlineaminakombe278
    @everlineaminakombe278 2 หลายเดือนก่อน +9

    Team strong hawayuniiiiii...njoon huku jamaniii

    • @s.aaa-y8w
      @s.aaa-y8w 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tuko fwaaaaaini alhamdhulilah😂😂😂

    • @everlineaminakombe278
      @everlineaminakombe278 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@s.aaa-y8w hio n poa 😂🙏

    • @DoreenWanyonyi-x8y
      @DoreenWanyonyi-x8y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Tupoooo

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 2 หลายเดือนก่อน

      Topo dear🎉🎉

  • @khadijak-f7n
    @khadijak-f7n 2 หลายเดือนก่อน +9

    Inshaallah zuu vc kai

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 2 หลายเดือนก่อน +25

    Bwana tumewachoka waomba like 😢😢jamaniiii jaribuni kuwashauri waigizaj wetu, hata hamjamaliza kuangalia mmeshaomba like .

    • @janethnyigo5925
      @janethnyigo5925 2 หลายเดือนก่อน

      Kaa wanaomb kupelekwa choon ama wanakeraaaaaa

    • @NasrahamesaSalim
      @NasrahamesaSalim 2 หลายเดือนก่อน

      Nakwambia sa zinafaida gani

  • @ThaBroski
    @ThaBroski 2 หลายเดือนก่อน +2

    Nani anasema candy akimtumia sania hiyo video atmjulisha chiko kwamba mimba sio yake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ritatibasaga6532
    @ritatibasaga6532 2 หลายเดือนก่อน +1

    Raha kweli kweli 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ep 56

  • @MelissaHaluwa
    @MelissaHaluwa 2 หลายเดือนก่อน

    Siombi likes lkn busati tv congratulations kwa hii movie kuna vitu nasoma,, salute kwenu 💪💪💪

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kendi n km alikua shetani kwa Kai,ona Kai kaitwa kazini tena,baraka za bibi,baba n zuu❤

  • @RitahKedi-h3e
    @RitahKedi-h3e 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yule rafiki ya zatiti ni dadake Tasha mchezo bado😅

  • @AnjellahMwendamseke
    @AnjellahMwendamseke 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza mengi Sana na bado najifunza kutoka kwenu mbalikiwe sana

  • @Mildred-rb2wr
    @Mildred-rb2wr 2 หลายเดือนก่อน +3

    Back to job again,,,team Kai hii

  • @VivianeMhapa
    @VivianeMhapa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mnabidiii muongezee bidiii na series nzur zaidii kupata subscribers wengi zaidii ya hapoo jaman

  • @PriscalMummy
    @PriscalMummy 2 หลายเดือนก่อน +14

    Jamani Toka nianze kuangalie hii move sijapata like hebu nipeni hata 10❤🎉

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mpumbavu mwenzangu wakiume anaongea jmn khaaa ! 😅😅😅

  • @SamouOman
    @SamouOman 2 หลายเดือนก่อน +1

    jaman leo wa kwanza nami nipeni like ata moja 😆😆nafatilia san nikiwa omani

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂 mpumbavu mwenzangu wewe haaaaaaaaa sema umependezaa 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

    • @marymele9714
      @marymele9714 2 หลายเดือนก่อน

      😁😁

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 2 หลายเดือนก่อน

    Ndoa 2nayo🎉🎉🎉🎉ila mpumbavu umenikumbusha singer 😂😂😂😂😂😂😂

  • @MwanamvuaNassoro
    @MwanamvuaNassoro 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kam kun mtu han akili ni kandy anafikiri anamkomoa sania kumbe anajikomoa mwenyew

  • @FaridaIbrahim-t1z
    @FaridaIbrahim-t1z 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nan anaamin kua Tasha ni rafiki mzur sana kwa jay

  • @MauwaSuleiman
    @MauwaSuleiman 2 หลายเดือนก่อน +3

    Napda amcheleweshi mashallah pnd sn ❤❤❤

  • @RUTHWERE-m2y
    @RUTHWERE-m2y 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda waigizaji lakini tafadhali punguza gumzo ni mingi❤

  • @NasibuAlly-wb9uv
    @NasibuAlly-wb9uv 2 หลายเดือนก่อน

    hii movie wacheza sana Yan babu babu kweli Bibi Bibi kwel Yan ualisia kabisa ongeren Sana 👊

  • @GhUy-u7s
    @GhUy-u7s 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tasha kai leo hakutalalika itabidi tasha ubane nakufuli kai asitoroke😂😂😂😂

  • @ZulfaChai
    @ZulfaChai 2 หลายเดือนก่อน

    Harusi tunayo hatuna vinglele wadau wa zuu ❤❤❤❤

  • @glorymhanga8718
    @glorymhanga8718 2 หลายเดือนก่อน

    Hongrn sana busat tv kaz nzur kwakwel❤❤❤❤
    🎉🎉🎉

  • @everlineaminakombe278
    @everlineaminakombe278 2 หลายเดือนก่อน +2

    @BUTATI TV hongereni sana kwa 100k subscriber's. Hongeren pia kwa kazi nzuri mnayoifanya. Ila sisi kma mashabiki zenu tunawaomba kma itawezekana muwe mnatuongezea mda japo 30_40mins plz ili tuzid kuburudika.

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe 2 หลายเดือนก่อน

    Watoto mpaka mnawazungumuzia Huko asante kwakutukumbuka ❤❤❤❤❤❤Eti mwana mboka

  • @Agatha-g6v
    @Agatha-g6v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nilijua mwisho wa candy umefika kumbe ndo kwanza kaanza,,kaz nzr jmn wanaoamin pamoja na mim cheaz😅😅😅😅like bac😅

    • @Agatha-g6v
      @Agatha-g6v 2 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @AbdulRazak-wr3ld
    @AbdulRazak-wr3ld 2 หลายเดือนก่อน +11

    Munacherewesha move jmn😅 aaah

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +2

      Ww Mgeni Eeeh 🤣🤣

    • @ZainabuKassim-l1c
      @ZainabuKassim-l1c 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ZainabuKassim-l1c
      @ZainabuKassim-l1c 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @ferouzmasoud3104
      @ferouzmasoud3104 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli huyo mgeni 😂​@@busatitv

    • @aminaamina-xj6qs
      @aminaamina-xj6qs 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂mgeni karbu mbon hawa wapo fasta San balaaa lipo kwenye wrong house Mamaya Wana kera mno

  • @AminaMwamgodza
    @AminaMwamgodza 2 หลายเดือนก่อน

    Two people au for 😂😂😂 mpumbavu mwenzangu❤

  • @Nelly-s3h
    @Nelly-s3h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila candy chizi kwelii😂😂

  • @MarcoJoseph-u3k
    @MarcoJoseph-u3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sania badil na mavaz km umeamua kubadilika 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZainabuSaid-q1k
    @ZainabuSaid-q1k 2 หลายเดือนก่อน +9

    Aweee nimewahi ❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 หลายเดือนก่อน

    Ila kilamba misomisondo na kanzu😂😂😂...congratulations busati tv kufikia 100k subscribers 💖 ni Mungu