HOUSE GIRL EP 57 || love story💞💕

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #bongomovie #housegirl

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 หลายเดือนก่อน +201

    Zatiti na shoga ake wazur sana anaewakubali like hp

    • @manajr9155
      @manajr9155 2 หลายเดือนก่อน +2

      Munipe number za Zatiti bc Kuna 10 linazagazaga hapa

    • @Edna-w3z
      @Edna-w3z 2 หลายเดือนก่อน +4

      Tena wanatak fanana cjui Ni mtu Na mdg wake

    • @nyamokizainabu205
      @nyamokizainabu205 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@manajr9155🤣🤣🤣🤣🤣🙌

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 2 หลายเดือนก่อน +3

      Mimi huu hapa toka mwanzo wa movie nilimpenda sana zatiti

    • @Elizabet2694
      @Elizabet2694 2 หลายเดือนก่อน

      @@ashuramuhammed3257 kweli warembo sana

  • @Dianaf774
    @Dianaf774 2 หลายเดือนก่อน +77

    Mm pia nimekuwa surprised 😂 kama unamkubali mr tasha pita apa

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 2 หลายเดือนก่อน +35

    😅😅😅 pole yak Kendy Mme umekosa na nyumba pia duu kweli mkataa pema pabay humuitaa aliyependezwa na sapraz ya kai week leki yako

  • @AnnaAmanda-v4q
    @AnnaAmanda-v4q 2 หลายเดือนก่อน +106

    Asante Mungu kwa zawadi ya uhai uwaponye wagonjwa wote wote tuseme ameeen 🙏❤️❤️😢

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 หลายเดือนก่อน +2

      Ameen

    • @MwaliSuleih
      @MwaliSuleih 2 หลายเดือนก่อน +2

      ❤❤❤❤❤❤ Aamin ya rabby Aamin

    • @ArietJohn-jb9qc
      @ArietJohn-jb9qc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @MamySamwel
      @MamySamwel 2 หลายเดือนก่อน +1

      Zuuu nakupenda

    • @evalyneacheing-ow2ew
      @evalyneacheing-ow2ew 2 หลายเดือนก่อน

      Amen🙏🙏

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 2 หลายเดือนก่อน +79

    Wanao mcheka candy hebu tusaidiane😅😅😅😅kwa like hata Moja......daa zuu na Kai hongereni sana tunasubiri harusi ❤❤❤❤❤

    • @NaaMaty
      @NaaMaty 2 หลายเดือนก่อน

      hhhhhhhh😂😂😂😜

    • @IddaJovin
      @IddaJovin 2 หลายเดือนก่อน

      Amina kaka

    • @Claris-qr2kf
      @Claris-qr2kf 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo kwa wingiii🎉🎉🎉🎉❤❤

    • @QadraQuraisha
      @QadraQuraisha 2 หลายเดือนก่อน

      Tupoo❤❤❤❤❤❤❤

  • @AdamMwava-z3g
    @AdamMwava-z3g 2 หลายเดือนก่อน +38

    Dada anae mshauli zatiti walai nimzuli dada chukua maua yako kwakwel🎉

  • @DamarisomwengaKemunto
    @DamarisomwengaKemunto 2 หลายเดือนก่อน +78

    Pia mimi like Tatu kwa zuu jamani❤❤

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 2 หลายเดือนก่อน +19

    Tukubaliane kwahili waliokuwepo umu kwenye house girl wote vyuma kiufupi wameupiga mwingi🙌🙌🙌🎉 wanajua wanajua tenaaa🎉🎉

  • @Aishybeb
    @Aishybeb 2 หลายเดือนก่อน +41

    Team strong hoyeee nimefika mapema kwa ajili ya kuwawakilisha kwa team zuu n kai nikiwa Dammam wap wenzangu tuwapongezen akina zuu 🎉🎉❤

    • @DoreenWanyonyi-x8y
      @DoreenWanyonyi-x8y 2 หลายเดือนก่อน +1

      Team strong tupoo tukose tuchekwe❤❤

    • @Aishybeb
      @Aishybeb 2 หลายเดือนก่อน

      @@DoreenWanyonyi-x8y harusi tunayo hatuna 😂😂❤️

    • @فلورنس-ذ8د
      @فلورنس-ذ8د 2 หลายเดือนก่อน

      Hoyee Sana nipo nkiwa Ali hassa

    • @VelonikaMbughi
      @VelonikaMbughi 2 หลายเดือนก่อน

      Nipo😊

    • @scolas3134
      @scolas3134 2 หลายเดือนก่อน

      Tupo sana

  • @ChristineMwende-t4x
    @ChristineMwende-t4x 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wow!my happiness kai and zuu forever woooooow 😂😂

  • @millicentwairimumuriuki8638
    @millicentwairimumuriuki8638 2 หลายเดือนก่อน +188

    Dada zanguni naomba like ata kama ni kumi jameni

    • @zawadismaili144
      @zawadismaili144 2 หลายเดือนก่อน +6

      😂 ukaamua utuombe wa dada tu

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 2 หลายเดือนก่อน +6

      Kisha ujui kubajet like ukipew unatumia vibay mar umemaliza zajana😮😂😂😂😂😂

    • @samuelnthia8858
      @samuelnthia8858 2 หลายเดือนก่อน +4

      I Like.

    • @maysaghjii5058
      @maysaghjii5058 2 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂Wawoooooo

    • @missIsaiah
      @missIsaiah 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hizi like nizakufanyia nini jaman

  • @fatmasaid4806
    @fatmasaid4806 2 หลายเดือนก่อน +15

    ❤❤❤Alhamdlillah dah kumbe kay uko mzm wa afya 😅😅😅jmn 😍😍😍🤣mmejua kutuumiza vichwa khaaaa sio poa

    • @KhadijaMdee
      @KhadijaMdee 2 หลายเดือนก่อน

      Mamb

    • @fatmasaid4806
      @fatmasaid4806 2 หลายเดือนก่อน

      @@KhadijaMdee poa

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 2 หลายเดือนก่อน +147

    Watazamaji wa hii movie weka like kwa busati TV

    • @جاااحظمجنون
      @جاااحظمجنون 2 หลายเดือนก่อน

      Unaeka na wapi nieke mimi

    • @SelemanHamad-xj7iv
      @SelemanHamad-xj7iv 2 หลายเดือนก่อน

      Ira mm munaniuzi tu kutafsiri iranawaomba muifkishe kwenyemia

    • @SelemanHamad-xj7iv
      @SelemanHamad-xj7iv 2 หลายเดือนก่อน

      Kisma ukweli picha umeikalia nakama nichakura kimeiva vizuli nanitmu

  • @PatrickBisimwa-p5x
    @PatrickBisimwa-p5x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kiufupi tu, niseme hii movie ni nzuri sana inafundisha na inafariji na inafurahisha sana hongera sana wahusika wa hii movie wote

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 2 หลายเดือนก่อน +25

    Mama acha candy kikurambe maan ulijikuta mjanja sana jmn team Kai na zuu weken like za kutosha😂

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 2 หลายเดือนก่อน +14

    Hu ndo mda wa çandy kulia na kusaga meno 😂 wap team zuu harusi tunayo🎉😂

  • @ReginaAli-f3d
    @ReginaAli-f3d 2 หลายเดือนก่อน +67

    Ambao walihumia kai ikipata ajali tujuwane 😢😢😢😢

    • @elizanyange2010
      @elizanyange2010 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ilibak kidog ni ichukie hii move wall ah😂😂😂🎉🎉

    • @fatmaubwa-z8s
      @fatmaubwa-z8s 2 หลายเดือนก่อน +2

      yani kidogo movie niachane nayo😂😂😂😂😂😂😂

    • @pyelesyamwakatika540
      @pyelesyamwakatika540 2 หลายเดือนก่อน +1

      Wametutesa kweli kwa kuwaza ajar

    • @BerthaNjerekela
      @BerthaNjerekela 2 หลายเดือนก่อน

      😢😢😢

    • @ASNATIBAKARI
      @ASNATIBAKARI 2 หลายเดือนก่อน

      Asanteni 🎉🎉🎉

  • @LidyaKadogo
    @LidyaKadogo 2 หลายเดือนก่อน +79

    Tunaofurahia kai akiwa hai like hapa

  • @EmilyOchando
    @EmilyOchando 2 หลายเดือนก่อน +65

    Wakwanza leo konga like coment tukisonganga from 🇰🇪🇰🇪

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 2 หลายเดือนก่อน +20

    Zatiti unaniluza unanikumbusha nilivyotimuliwa jmn wanaume munaviti vyenu mbinguni zatiti nipe like 5

    • @vxp5228
      @vxp5228 2 หลายเดือนก่อน

      Wallai tena

  • @DorotheaJames
    @DorotheaJames 2 หลายเดือนก่อน +17

    oooooooy wale tunaempenda kai nimenjoy san

  • @SaraUlaya-is2ch
    @SaraUlaya-is2ch 2 หลายเดือนก่อน +9

    Tasha we nimpuuzi sana umesababisha nimelia leo nikajua mpnz wangu khai hatuko nae❤❤❤❤

  • @daxpcomandomz3450
    @daxpcomandomz3450 2 หลายเดือนก่อน +23

    From Mozambique 🇲🇿 tunaomuombeya mazuri zuuu ebu gonga like apaa

  • @ZainabLwambi
    @ZainabLwambi 2 หลายเดือนก่อน +6

    MashaAllah Allah awaongoze kwa kila jambo kusema ukweli hii movie ina fundisha sana keep it up good work ❤❤❤❤❤

  • @Essy1492
    @Essy1492 2 หลายเดือนก่อน +6

    Daaaah hii kweli surprise bwana Kai mmetufanyia 😂 ila fresh tuu... Afu sijaomba izo like zenu 🙄 niwakute sasa

  • @ChristineMwende-t4x
    @ChristineMwende-t4x 2 หลายเดือนก่อน +8

    Kilaba na mkewe mnababa sana...😂😂😂😂

  • @SleepingEyes-ej3ir
    @SleepingEyes-ej3ir 2 หลายเดือนก่อน +93

    Wa pili leo nipeni like wapenzi furaha yng kwa kumuona kai yuko mzima ❤❤❤😊

  • @FranciscaRuth-tw2mw
    @FranciscaRuth-tw2mw 2 หลายเดือนก่อน

    Mibariki télé mulicheza muzuri sana nawapenda sana, zatiti njo mbala sana ni mzuri na mupenda mno ❤

  • @FaisalAlrefai-u2y
    @FaisalAlrefai-u2y 2 หลายเดือนก่อน +20

    Woow harusi tunayo hebu hatuna tunayo 😂😂🎉🎉🎉🎉

  • @Alice-n2g
    @Alice-n2g 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hiii movie nzuri Sana jameni tu Nangoja episode 58 Bana Ila msicheleweshe

  • @DottoMbemba
    @DottoMbemba 2 หลายเดือนก่อน +20

    Kai anajua sanaa ila dah aise nafurahia sana hii movie

  • @HidayaAbdallah-l2l
    @HidayaAbdallah-l2l 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wao Kai and Zuu congratulations ❤❤❤❤❤❤

  • @AnnaMengo
    @AnnaMengo 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefurah kukuona Kai hata ugali cjala nilikua nakuwaza Kai pole zuu kwa maumivu ya mda Tasha hiyo saplaiz Asante mwaaaa❤

  • @GasareSaxy-e9h
    @GasareSaxy-e9h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awape mwendelezo mwema Yani mnajua mpaka basi hongereni sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @PetronilahMatisha
    @PetronilahMatisha 2 หลายเดือนก่อน +8

    Hello the first one kudonjo Leo wishing Kai quick response watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah mwazo nililia sana nikajuazuutena basi ila nimechekasanaleo ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @esterester3628
    @esterester3628 2 หลายเดือนก่อน +7

    Candy kimekulamba vizuri 😂😂😂kilichobaki sasa mchezo WA mimba nayo tujue itaangukia nani😢😢

  • @absoirahmed5302
    @absoirahmed5302 2 หลายเดือนก่อน +1

    The script is quite professional. Appreciate it !

  • @VeronicaIbrahim-wv4dg
    @VeronicaIbrahim-wv4dg 2 หลายเดือนก่อน +193

    Tunao mwuombea kai apone haraka gonga like🎉🎉🎉🎉

    • @KiluaSamambo-f8d
      @KiluaSamambo-f8d 2 หลายเดือนก่อน +2

      Me np p1 na ww atapn ❤❤❤❤❤❤🎉

    • @Naaah-cc3kq
      @Naaah-cc3kq 2 หลายเดือนก่อน +23

      Kihelehele Cha kucomment kabra ya kuangalia movie mpaka mwisho

    • @Naaah-cc3kq
      @Naaah-cc3kq 2 หลายเดือนก่อน +5

      Kihelehele Cha kucomment kabra ya kuangalia movie mpaka mwisho

    • @FaudhiaKisinda
      @FaudhiaKisinda 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kai nakukubali sana

    • @MariaFelix-le7ph
      @MariaFelix-le7ph 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@VeronicaIbrahim-wv4dg kai alikua aumwi bana waliamua kufanya sapraiz kama iyo ya ajali🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mwajuma-g1f
    @Mwajuma-g1f 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nimefurahia saaana kai kuvalisha zuu pete 😂😂💕💕

  • @mutietish1995
    @mutietish1995 2 หลายเดือนก่อน +32

    Hapa kutoka Kenya mnipe zangu like

  • @sushmita-p1v
    @sushmita-p1v 2 หลายเดือนก่อน +1

    yessss yessss 💪🏻💪🏻 nilijw t kai hajafaaa😂😂😂😂❤❤

  • @Phanny-Nyonge
    @Phanny-Nyonge 2 หลายเดือนก่อน +50

    Wa kwanza kabisa❤❤ Team Kai gongeni like tukitizama❤

  • @ChristinaKennedy-t8t
    @ChristinaKennedy-t8t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kedi mumemuwezaaa hahaha hahaha kwahio ndoa tunayo

  • @JustinMarcus-h7w
    @JustinMarcus-h7w 2 หลายเดือนก่อน +8

    Uyo mzee bola wangemuacha2 nyumbn watamsababishia balaaaa bule bd anaumwa.

  • @Rose-hy3kc
    @Rose-hy3kc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kai kafanya wengine wetu damu hitembei ila mzima God is good guys

  • @Violethsoory
    @Violethsoory 2 หลายเดือนก่อน +8

    Duh watu mko sharp na kuwai kotee nkajua nipo mwenyewe Kumbe duuh!

  • @DatiusMjuli
    @DatiusMjuli 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo ujuwe unafiki so mzr alafu usimudhalau usiye mjuwa cndy muchezo wake umeiaha dazur hongela❤

  • @SalmaMohamedy-o2g
    @SalmaMohamedy-o2g 2 หลายเดือนก่อน +12

    Leo nimewahi team strong kujeni tumliwaze Zuu wetu

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 2 หลายเดือนก่อน +27

    Jaman waomba like tupumzishen sasa wajameniiiii😂😂😂😂😂😂au na mimi naombeni basiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @FatmaTanzania-g8m
      @FatmaTanzania-g8m 2 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @ClariceMatulanga
      @ClariceMatulanga 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ngoja nifate mmja baada ya mwengine

  • @فراحهكينيا
    @فراحهكينيا 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kama unahis tasha ata kutana n zatiti n wawe n mahusiano hbu gonga like hapa tukisonga❤❤😊😊

  • @MwanakomboAli-p5e
    @MwanakomboAli-p5e 2 หลายเดือนก่อน +5

    Alhamdulilah ❤❤nimelala kwa wasiwasi ungekufa Tu nami house girl bas🎉

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏

  • @WittyMussa
    @WittyMussa 2 หลายเดือนก่อน +11

    Zazatt msikilize mwenzio ila nimekupend pia

  • @WinnieWisdom-u1l
    @WinnieWisdom-u1l 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jomn kai love yuo❤❤❤❤❤ jomn nawapenda na zuu❤❤❤

  • @TwaibaMnyazi
    @TwaibaMnyazi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Napenda sauti ya Kai zuu nisongelee niwe mke mwenza

  • @HalimaBakari-so8dp
    @HalimaBakari-so8dp 2 หลายเดือนก่อน +2

    Haha napenda candy anavyoongea Asa akifoka😂

  • @WalburgaKimario
    @WalburgaKimario 2 หลายเดือนก่อน +7

    Jana nililia leo nimecheka😂😂😂

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hii namba ndo imepita maunyama kuliko zote ongereni saan ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @marthanassari3524
    @marthanassari3524 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ci mniulize ni nini kinafanya natabasamu na meno nnje. Nyie mapenzi ukipendwa unakopenda ni matamu jamani🎉🎉🎉

    • @DinaSamwel
      @DinaSamwel 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa🎉

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kaii ❤❤❤❤❤❤❤😂😂 yani tokajana hata hiyo yakuangalia movie sina ilasaii imerud mahal pake baada yakumuona kaka kai yuko sawa hata kama anamaumivu ❤❤pole sana kai

  • @MymunaMuna-qn5lo
    @MymunaMuna-qn5lo 2 หลายเดือนก่อน +28

    weee tenaaaaaaaaaa leo wakwanza ila sitaki like zenu nyokoooo zanguuuuuuuùuùuuu njoooni niko peke yangu jamn kai

  • @افااقع
    @افااقع 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kai na tasha mlinifanya jana siku lala badala ya ajali sikujua mko vipi kumbe mko salama ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪ndio nyumbani

  • @AngleFrank
    @AngleFrank 2 หลายเดือนก่อน +12

    Yani tumbo joto nikajua Kai kabadilisha mawazo na akarudi kwa Candy

  • @irenirenemickdadi
    @irenirenemickdadi 2 หลายเดือนก่อน +1

    wow huyu tasha noma asee upewe maua yako

  • @Aminah-r4s
    @Aminah-r4s 2 หลายเดือนก่อน +6

    Maashallah ndoa tunayo nilikosa furaha Alhamdulilah kaka Kai mzima ❤❤❤❤

  • @Eunice-v8
    @Eunice-v8 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hii kipidi ni nzuri sanaa naomba ifike ata kama ni episode mia moja 👍

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 หลายเดือนก่อน +4

    Capu ya zuu na dada Ake Wana mabuno sura funika polo lakin sepu wapo SAWA kama umekubal like hp

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alie muonea uruma zatiti kwamaumivu anayopitia😢😢aeke kiimoji Cha uzuni

  • @MariamuAkonaay
    @MariamuAkonaay 2 หลายเดือนก่อน +5

    Daaah jamani mnipe ata like 😂mojaaaa

  • @lydiahnyongesa69
    @lydiahnyongesa69 2 หลายเดือนก่อน +1

    Candy anaumwa jamani 😂.....hongera kai na zuu

  • @FatumaMwaka-j9i
    @FatumaMwaka-j9i 2 หลายเดือนก่อน +7

    Nmewai pia Alhamdhulillah 😊

  • @emmykadenyi7977
    @emmykadenyi7977 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani wale wakuomba likes hata hamuwezi support Bustani Tv kwa kazi nxuri kaxi zenyu ni kuomba tu likes anyway much love🎉❤ from Kenya watching from Saud Arabia

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante sana🙏

  • @AishaNibizi
    @AishaNibizi 2 หลายเดือนก่อน +11

    Wakwanza kutoka Burundi Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 like kumi basi

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sijachelewa sana🎉🎉team gulf mko wp au mnaandaza ghawa

  • @DjFg-ue3pg
    @DjFg-ue3pg 2 หลายเดือนก่อน +6

    Number one from Saudi arabia

  • @ngusakalima9899
    @ngusakalima9899 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeipenda hiyo kalinaina toa machozi

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 2 หลายเดือนก่อน +8

    tunakiwasha mpaka paeleweke coment nani unamkubali zaidi kwenye series hii kama kweli ww ni team busati tv

  • @RuthKemboi-s6j
    @RuthKemboi-s6j 2 หลายเดือนก่อน +2

    We love Kai and her team movie tamu sana hakika

  • @SuzanneOg-yj1nr
    @SuzanneOg-yj1nr 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mi nimeogopa ili likai jaman nikajua limekufaa eh,,😭😭😭😭

    • @AdelaLudovick
      @AdelaLudovick 2 หลายเดือนก่อน

      Stelingi afi naakifa mchezo umekwishaaaaa

    • @ModdestaGhati
      @ModdestaGhati 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅

  • @WITNESSSANGA-n5i
    @WITNESSSANGA-n5i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie muwe mnamariza kuangaliza 😂😂😂nimelia hatal kumbe wanayakwao

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman jaman 😂😂😂😂 house girl 👧 imenoga hatariiiiiiiiii

    • @busatitv
      @busatitv  2 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @KhamisJuma-ni1vk
    @KhamisJuma-ni1vk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kai Na Tasha Mukona Mipango Mizuri Tena Mingi Sana lakn Uhuu Pango Aki Mutamuuwa Mzee.. Bt Ongerani Sana

  • @MercyNthenya-no9ed
    @MercyNthenya-no9ed 2 หลายเดือนก่อน +12

    Hii movie imeanza kunice wapi likes zangu

  • @buru1235
    @buru1235 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mkichuguq vile nimetetemeka hdi n Kwa matako l say 😅😅😅 kai Wangu Zuuu Wangu yoooyeee 😂😂❤❤Zuu take that one 💍💍💍💍

  • @Rwenzatv-f1l
    @Rwenzatv-f1l 2 หลายเดือนก่อน +6

    Penzi kama Penzi haliwezi kua Penzi ndani ya wapenzi.ila Penzi kama Penzi linaweza kua Penzi bila wapenzi

  • @عباسعلي-خ3ص
    @عباسعلي-خ3ص 2 หลายเดือนก่อน

    Wow hongera sana zuu na kai kwa kuvalishana Pete ❤❤❤🎉🎉🎉
    Mmeninshtua mliposema kai kapata ajali juzi zuu jana kai aaaaaah nawapenda bur team yote ya busati hongereni sana

  • @BesterManda
    @BesterManda 2 หลายเดือนก่อน +3

    Lake kwanini inatokaga ep Mojave Mojave Jaman ninaombba ziendele kwamala Moja

  • @eliaichiJames-wv4xc
    @eliaichiJames-wv4xc 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Kai akichukia mzur jaman ❤❤

  • @EmmyYorammy
    @EmmyYorammy 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kaz kazi nafurahije mie tim zu na Kai 😂😂😂

  • @WinfredKathambi-t4e
    @WinfredKathambi-t4e 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 Kumbe ilikua surprise Kai na Tasha walikuwa wanaandaa

  • @sifamaureen2792
    @sifamaureen2792 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kuazdia leo,kila mtu ajipe like mwenyewe,juu tumejuwa watu hawaangalii movie hadi mwisho, wale wote wameomba like wasipewe like juu niwasumbufu 😂😂 huwa hawaangalii movie hadi mwisho🎉🎉🎉

    • @NiyodusengaBetty
      @NiyodusengaBetty 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @sifamaureen2792
      @sifamaureen2792 2 หลายเดือนก่อน

      @@NiyodusengaBetty kweli

    • @NiyodusengaBetty
      @NiyodusengaBetty 2 หลายเดือนก่อน

      @@sifamaureen2792 ni kwel kbx maana hawa waomba like wanaboa sana

  • @SakinaRamadhan-s8m
    @SakinaRamadhan-s8m 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 hiii😂episode inachekesha sana niuyo mpumbavu mwenzangu 😂😂

  • @Christin-nf1vs
    @Christin-nf1vs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeipenda iyo plan hongera sna Tasha ❤❤❤Nice boy

  • @KhadijaMwinjuma
    @KhadijaMwinjuma 2 หลายเดือนก่อน +1

    Haya masofa kwa da masozy yapo,kwa rafiki ake kai yapoo😅

  • @Thebossmama254
    @Thebossmama254 2 หลายเดือนก่อน +5

    Waaah kama naona caddy anavyo hudhuruia zuu akivalishwa pete na Kai patam hapo ❤

  • @NaidKadala
    @NaidKadala 2 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn kumb kai hajaf n surprise duuh., Like kwa mchong wao jmn ❤️❤️😊

  • @LucyKadalida
    @LucyKadalida 2 หลายเดือนก่อน +5

    Jamn tulio huzunika Kwa ajili ya ajali ya Kai tujuane

  • @zainaburamadhani2982
    @zainaburamadhani2982 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn kwann Sasa wakae wawili wawili😂😂

  • @SelinahKeny
    @SelinahKeny 2 หลายเดือนก่อน +5

    Walai Leo nimewahi from Kenya 🎉🎉❤❤

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyooo surprise aloifanya kai mpaka Sim imenidondoka duuuuh movie Ndani ya movie kweli bongo pameanza kuchangamka