KWIKWI ZA HAR-MAGEDONI _ 1: MCHUNGAJI PAUL SEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 21

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 หลายเดือนก่อน +3

    Pr Semba unaumwa?! Pole mtu wa Mungu ikiwa unaumwa, siyo kawaida yko umepoa sna. Mwenyezi Mungu akubariki kwa somo lenye ujumbe mzito.

  • @theresiagideon2178
    @theresiagideon2178 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe zaidi Pr, tunamshukuru Mungu kwa kutufunulia haya

  • @victormpunza1917
    @victormpunza1917 หลายเดือนก่อน

    Amina .......
    Mungu akubariki daima....
    Asante since Mungu azidi kukutumia....
    Kwangu u are my role model najifunza mengi sana....

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 หลายเดือนก่อน +2

    Asantee Mungu kwa kuzidi kunifungua fahamu zngu. Mbariki sna mtumishi wako Pr Semba.

  • @faustinemashauri7254
    @faustinemashauri7254 หลายเดือนก่อน

    Sana par. Turekebishe matendo yetu na tujiweke tayari.

  • @bamag-021
    @bamag-021 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu atukuzwe kupitia mtumishi wake PR SEMBA .
    HILI SOMO NILILINGOJA SANA KUTOKA KWAKO, BARIKIWA

  • @TheLastMinuteMessages
    @TheLastMinuteMessages 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana pr Mungu aendelee kukutumia katika masomo haya ya KWIKWI ZA HAR-MAGEDONI
    nimejifunza nimeelewa Ubarikiwe sana

  • @EllyMoses-g9m
    @EllyMoses-g9m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Be bless Pr Semba......Hakika nimeanza kuelewa kwanini mto frat....nlikuwanikijiuliza sijui....na lile somo la HATMA YA DUNIA hakuna muendelezo... sehemu ya Tano???

  • @ernestshekalaghe1945
    @ernestshekalaghe1945 2 หลายเดือนก่อน

    ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, Pr Na lecturer Paul Semba

  • @erastoemmanuel6571
    @erastoemmanuel6571 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Pr tumemisi masomo haya sana na wakati u karibu tupatie hiki chakula cha kiroho Pr ili tujiandae na mwisho ulio mwema

  • @pascalngaya4050
    @pascalngaya4050 2 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN barikiwa mtumishi kwa kazi ya Mungu

  • @YusuphfrankDaniel-y8j
    @YusuphfrankDaniel-y8j 2 หลายเดือนก่อน +2

    AMINA mungu awe pamoja nawe

  • @TULIMKUMBWA
    @TULIMKUMBWA หลายเดือนก่อน

    Barkiwa hiki ni chakula kwa wakati wetu

  • @AlbertSelestine
    @AlbertSelestine 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman Mungu akutie nguvu uzid kutupa masomo zaid

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 2 หลายเดือนก่อน

    Bwana nimwema barikiwa Sana
    Jina Sarah abdullatif hilali ni mwejeji wa Zanzibar ila kwasasa nipo omani nilikuwa nahitaji uniunge kwenye group

    • @paulsemba_TV
      @paulsemba_TV  2 หลายเดือนก่อน

      TUWASILIANE: +255621154690

  • @nikitumarthinne8909
    @nikitumarthinne8909 2 หลายเดือนก่อน

    barikiwa mtumishi. ila mimi nina swali Roho tatu ni nani? Munyama ni nani?Joka lenyewe najua ni shetani

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia 2 หลายเดือนก่อน

    Simna

  • @emmanuelmbuliimo7055
    @emmanuelmbuliimo7055 2 หลายเดือนก่อน

    Pr tunaomba Tena ufafanue SoMo kuhusu kusuka , je, kusuka kawaidA tu bila kuweka mapambo mengine Kama Rasta Ni makosa au sio makosa