KWIKWI ZA HAR-MAGEDONI SEH. #10: MCHUNGAJI PAUL SEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 4

  • @stephanomuganga9872
    @stephanomuganga9872 2 วันที่ผ่านมา +2

    Namshukuru sana Mungu kupokea salaam ya Neema Toka kwako Pr. Paul Semba, na Timu yote ya Mafundi wasaidizi wako wa Orione Tv,pia Kwa Baraka ya kutuombea sisi wateja wasikilizaji waahubiri yako, shukrani Kwa Roho Mtakatifu anayekuongoza ktk Mafundisho na Mahubiri mema, shukrani Kwa familia na waumini wanaokuombea.......Toka Pr. Mganga Minjeja village...

  • @ZIRHUMANAFISTON
    @ZIRHUMANAFISTON 2 วันที่ผ่านมา

    Amina 🇨🇩 Bukavu

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij 2 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji! Kuna habari kwamba fundisho kuhusu asili ya shetani eti ni mapokeo na biblia IPO kimya kuhusu asili yake! Ila nikama wakristo tunajitahidi kupindua maandiko! Mfano isaya 14 haimuengelei shetani bali mfalme wa babilon, na Ezekiel 24 pia inamuongelea mfalme wa tiro! Sasa shetani ni nani haswa!?