The Lisa Story (Pt 1): Nduguze Mabeste hawakunitaka, Niliumwa, Kanisani nilikuwa natembea kama NYOKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 536

  • @jawabu92
    @jawabu92 4 ปีที่แล้ว +5

    Tatizo la vijana wengi duniani sikuizi tunashindwa kuelewa kitu kimoja, mapenzi or (love) is not enough kwenye ndoa! Mapenzi sio kitu pekee kinachotosha ili watu waingie kwenye ndoa, kunahitajika pia maturity au ukomavu wa aina tatu ili ndoa isimame imara! 1) Physical maturity yani ukomavu wa kimwili
    2) Mental Maturity yani ukomavu wa kifkra
    3) Financial Maturity yani ukomavu wa kipato au kifedha
    Shida nayoona apo ni kwamba hawa waliingia kwenye ndoa sababu wanapendana lakini mmoja wao au wote hawakuwa na ukomavu wa kifkra, na ukomavu wa kifedha au kipato.. ili kushindana na matatizo mengi yaliyokuwa yanawakabili kutokana pia na aina ya maisha walioanza nayo yani ya umaarufu na usuperstar.

  • @susanruo8087
    @susanruo8087 4 ปีที่แล้ว +46

    Criss you are going to be the next king of interview in this industry.. Hongera sana kaka na utie bidii kabisa

    • @sebastianmavukilo7191
      @sebastianmavukilo7191 4 ปีที่แล้ว

      Acha kumsifia uongo dada, amepoa sana. Angechangamka kidogo tu hii interview ingetisha sana. Anashindwa hata kufanya follow up ya mazungumzo, anauliza mambo ambayo mdada alishayaongelea. Inabidi dada amwambie unakumbuka nilikwambia hivi na hivi,,,,,,,,,,kosa kubwa sana kwa interviewer

  • @nathanielpaul8327
    @nathanielpaul8327 4 ปีที่แล้ว +25

    Upo uhitaji wa kumwomba Mungu sana juu ya issue za mahusiano, kwa kuingia kwenye mahusiano kunaweza kupekea milango ya mafanikio au milango ya matatizo kufunguka, shida ni kwamba wengi wanaingia mapatano bila kujua undani wa yule unaeingia nae kwenye mahusiano, watu wanatoka kwenye koo mbalimbali na matabia tofauti ambapo wengine wana maagano ya giza, tumtafute Mungu sana juu ya haya mambo ya mahusiano, pengine Mungu anaachilia hivi vitu kwa uwazi ili tujifunze kitu

  • @kartelgizemc1590
    @kartelgizemc1590 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akutangulie kwa kila baya..damu iliyomwagika msarabani ni ishara ya ukombozi kwako..

  • @sarinabarungurabarungura6150
    @sarinabarungurabarungura6150 4 ปีที่แล้ว +8

    Asiejua uongo wa hayo madudee atateseka saaana sana sana na atakwaruzana na watu buure kisa mapepo. Tumuombe Mungu atufundishe kila siku

  • @iambaizo
    @iambaizo 4 ปีที่แล้ว +14

    Ata Eva angejielezea hivi pale Edeni lawama zingeenda kwa Adam
    Tutafteni PESA

  • @happynesselisha2048
    @happynesselisha2048 4 ปีที่แล้ว +3

    Hiyo kutetemeka ni hasira,uchungu au bado unaumwa mamy,mungu akuponye

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 4 ปีที่แล้ว +12

    Du inanihuzunisha sana tena sana polesana dadayetu mngu atakusimamiya maombi ndokilakitu kwasisi tuliyemjuwa ngu 💞💞🥰

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 4 ปีที่แล้ว +139

    ndoa inaweza kukufikisha katika malengo yako, kuchelewesha malengo yako au kukupoteza kabisa usifikie hatima yako.
    Mungu atusaidie sana katika kuchagua wenza wetu.

    • @emilehaule8790
      @emilehaule8790 4 ปีที่แล้ว +1

      greta gonga Amen

    • @chunanachu2529
      @chunanachu2529 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa

    • @rahillhamidu2544
      @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +1

      We acha tuu kabla ya kuoa maisha huwa mazuri lakini shida baada ya ndoa

    • @NTM9320
      @NTM9320 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli aseee

  • @queendollie8792
    @queendollie8792 4 ปีที่แล้ว +12

    I have always been telling people ukimuona mwanaume he is doing so better trust me master mind kila siku ni mwanamke aliyenae! Lisa is bright if she was 19 na alkua anajitegemea plus working then she is a woman n ahalf...... sema tu magonjwa yame mrudisha nyuma! Lisa my dear God is on your side never n never should you lose faith in him🙏

    • @saidikikoko
      @saidikikoko 4 ปีที่แล้ว

      Umeongea ukwel sista huyu mwanamke ni yupo smart sana tena

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 4 ปีที่แล้ว +39

    Siku hizi raha sana mkigombana mahakama mtandao mahakimu na majaji watazamaji dah kikubwa ni bando tu ukienda huku stamina ukirud mabeste hatarii

    • @ELLYTECH
      @ELLYTECH 4 ปีที่แล้ว +6

      i think ni kwasababu wanahusiana na media,means kuna namna maisha yao yamepitia kwenye media,

    • @mamiibatenga617
      @mamiibatenga617 4 ปีที่แล้ว +2

      😁😁😁🤣🤣

    • @amedeuskimario269
      @amedeuskimario269 4 ปีที่แล้ว +3

      @@ELLYTECH umeongea fact sana bro nahic utakua umeeleweka kwa kiwango cha juu sana

    • @gloryabraham9796
      @gloryabraham9796 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 4 ปีที่แล้ว +2

      @@ELLYTECH media zinawasaidia nini zaid ya kujichoresha tu

  • @zaidankasamya7402
    @zaidankasamya7402 4 ปีที่แล้ว

    Pole Dada mungu atakupigania tena kwa haki...kuwa na amani ya moyo usije ukapata presha

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว +20

    Duh yani huyu dada ni uthibitisho kwamba wanawake na wao wanabeba mizigo mingi sana

  • @rockjuma4183
    @rockjuma4183 4 ปีที่แล้ว +3

    Lisa umechagua maisha yako uenda Sisi atujui undan na atutaki ushabik kwenye hil Ila ni vema watoto wasije wakapata Shida sababu ya hili ...na pia ulipo sasa Muombe Mungu maan Una watt wanaitaj udum usijitue Kwa mwanaume mwingin Kwa sasa

  • @ronylauwo6175
    @ronylauwo6175 4 ปีที่แล้ว +1

    Mabeste anakupenda sana na ndiyo maana hakuwa upande wa familia yake kwa namna yoyote alichagua kuwa upande wako kama mke wake

  • @barbarasara4033
    @barbarasara4033 4 ปีที่แล้ว +20

    Tatizo ni la mwanammke. Wanawake we have to do better....Aliona red flags mapema akaziignore kashindwa kulipa mahari angeondoka mapema, Familia ya mwanamme mbovu angeondoka mapema......Tujifunze kutoignore red flags mapema tu mwanamme anayekupenda angeenda kukopa kama mwanammke alivyofanya........

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama hujawah kulogwa au kupitia hayo mambo huwez kuelewa but mim nimemwelewa Lisa pole sana hayo ni mapito yatapita itrust yu girl

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +3

    Dada songa mbele, kua strong, changamoto hutuamsha akili, hutufanya tumrudie Mungu, hutufanya tuone wema wa Mungu ktk maisha.

  • @dr.madevualcantara4775
    @dr.madevualcantara4775 4 ปีที่แล้ว +16

    "Ndoa za bongo bwana hufungiwa chumbani na kuvunjikia kwenye media..!!"🤣😃😆😂😂😄😀😀😀wabongo bhana😳

    • @daudisima797
      @daudisima797 4 ปีที่แล้ว

      Shkuru Saleh aiseh mie bado najiuliza kwann waende kwenye media ili wagundue nn heri ndoa ya mlala hoi inadumu

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +17

    Pamoja na yote uliyopitia GOD never and w'll never ever forsake you my dear hold on HIM forever in JESUS NAME.

    • @nestor384
      @nestor384 4 ปีที่แล้ว

      Acha hizo this girl speaks the truth..

    • @blandinamnyinga8318
      @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว

      @@nestor384 me or who? if you read correct am supporting her 100%

  • @iambaizo
    @iambaizo 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kwa matatizo yaliyokukuta kama mtu hajawahi kupitia katika mambo ya mizimu na roho chafu hawezi kuvaa viatu vyako na unajua sana kujieleza na we ni mvumilivu sana na una busara lakini sijajua sababu za msingi za kuenda kutoka na rafiki yake najua nobody is perfect but iyo kitu imeongeza chuki na visasi ila siwez ku judge maana sijui kwann umefanya hivyo maana hata Mabeste sio makosa yake yy ni familia yao

  • @8pistons194
    @8pistons194 4 ปีที่แล้ว +11

    Ila uyu manzi anaonesha ana kiburi mbayaa

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 4 ปีที่แล้ว +8

    I like her confidence. She is very smart.

    • @franknantalila1588
      @franknantalila1588 4 ปีที่แล้ว

      Smart wapi usaliti ni usaliti tu uwez kucheat na rafk alaf unakuja na excuse wanawake bhana ibilisi kbsa

  • @hoseajafeti9509
    @hoseajafeti9509 4 ปีที่แล้ว

    Unaweza ukapataa matatizo ukazaniii mungu amekutengaaa lkn mungu hajuwi kumtengaa MTU me naelewaaaa sana dada Angu pole saana

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 4 ปีที่แล้ว +6

    😳😳😳😳😳
    We really really are in need of Mental Health Awareness.
    SnS this is a very therapeutic conversation for this lady, I'm glad you provided a platform for her to verbalize her feelings. They are very real to her.

    • @dee8679
      @dee8679 4 ปีที่แล้ว

      Na ana uchungu jamaniii... i feel her pain aisee...

  • @juliusdaniel3185
    @juliusdaniel3185 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaman tuwe serious relationship ikivunjika kunakua na maumivu ya hali ya juu sanaa

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 4 ปีที่แล้ว +40

    Nmechogundua. Uliingia kwenye mahusiano wakati bila kujua kua ndoa nibahari kubwa. Yenye kila aina ya raha na karaha. Kwaiyo ulifurahia wakati una date lakini zilipo anza changa moto ukashindwa kuzipokea kiakili. Ndio mana ukapata tatzo la streass..pole sana. Jamani ndoa sio raha tuu inamambo mengi mazito

    • @lilyanmongi1946
      @lilyanmongi1946 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ndoa zinachangamoto na zinaitaji uvumilivu ukisikiliza part 1 utajiuliza kwann hakuweza kuvumilia changamoto lkn ukisikiliza hadi part 4 kiukweli kavumilia sana na kama binadamu yyte ni ngumu kuendelea na hiyo ndoa maumivu ni makubwa sana.

    • @teejoee993
      @teejoee993 4 ปีที่แล้ว +1

      Na ndomana akasema alikua mdogo 19 sio rahisi kuyajua yote hayo mwanzoni

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂 mahusiano ya miaka minne mbona ni mingi Sana. Huwezi kuishi na mtu miaka minne usijue kuvumilia. Basi tu kachoka stress

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 4 ปีที่แล้ว

      @@ilovejesus9303 kweli nimingi kwa wawilitu yaani mwanamke na mwanaume tena mkiwa mahawara ila inapofikia kwenyehatua yandoa, halafu mbayazaidi ikiwa familia ya mume haimtaki mke , ningumusana ndoakudumu… hususan mkioawana wote vijana. Maana njia zauwadui huwa ninyingi nanyinyi mpowawilitu.

  • @frolamwandry8701
    @frolamwandry8701 4 ปีที่แล้ว +5

    Pole mdogo wangu. Ila naona bado unaumwa na umejaa hasira plz samehe moyo wako utapona. Nimekupenda sana

  • @jayma1537
    @jayma1537 4 ปีที่แล้ว +33

    This woman is smart and a real wife,,mabestie umeshindwa wap

    • @jamalshaha4512
      @jamalshaha4512 4 ปีที่แล้ว +1

      Katombwa na mshikaji yake mabeste

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว +5

      Usiangalie hisia bro, wanawake Mungu anawajua.

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว

      @@jamalshaha4512 hapo sasa

    • @beatricemagambo5510
      @beatricemagambo5510 4 ปีที่แล้ว

      Mabeste ni looser! Amepoteza Lulu. Ni wife Material n yuko vizuri upstairs. Mungu aendelee kumlinda Lisa na Watoto.

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว +4

      @@beatricemagambo5510 hamna kitu pretender huyo, yeye ndo kapoteza mume mzuri aliyekuwa naye hata nyakati za shida. Na mwanamke ndo kamkataa mabeste na sio mabeste kamfukuza mwanamke sasa ulitaka mabeste amlambe miguu maana yeye ndo kakataliwa. Na mabeste kakataliwa kwasababu ya ukata hiyo ndo sababu kuu hakuna kingine hapo.

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Dada hapo niulikuwa na stress sana ndio maana ulimwa sana bila vipimo kuonesha chochote

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 4 ปีที่แล้ว +22

    Pole sana my dear, ndoa za bongo ni mitihani. Story yako ni kama yangu kabisa. Ukweni walinitupia mavitu ili tu nitengane na mtoto wao, bado fujo za kumtafutia mahawara na visirani vya live. Khaaa nikaenda for deliverance nikaona for my saftey ni heri kuwaachia mtoto wao. Am happily divorced. With a new life, na cha ajabu nimefunguliwa maisha mazuri zaidi.

    • @ciaelbernard5541
      @ciaelbernard5541 4 ปีที่แล้ว +2

      Haya mambo yapo kma hayakukuta huwez kuelewa

    • @mbumimwampeta3092
      @mbumimwampeta3092 4 ปีที่แล้ว +3

      Wasiojua haya mambo hawaamini ila shetani yuko kazini

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว +4

      Hangaya Kabisa nimeyapitia lkn saiv alhamdullillah maisha yamenifungukia mpk wanaona wivu

    • @shamilamchimiler2514
      @shamilamchimiler2514 4 ปีที่แล้ว +1

      Hangaya nakuelewa mnooo dear pole sana

    • @khadijakassim6926
      @khadijakassim6926 4 ปีที่แล้ว +1

      @@zuleikhakhamis3303 yaani wahanga tuko wengi jamani

  • @Phoenix_Greenleaf
    @Phoenix_Greenleaf 4 ปีที่แล้ว +1

    Presenter is just a cool and smart guy

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 4 ปีที่แล้ว +3

    ujanja wa sasa ni kuwa faithful kwa mpenzi mmoja....

  • @Boaz22
    @Boaz22 4 ปีที่แล้ว +16

    Kuna roho ya chuki inaanza kukuingia,.naiona katika ulimwengu wa roho,Mungu akutie nguvu

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 4 ปีที่แล้ว +18

    Daah pole sana yaniuonyesha ni jinsi gani unavyoumia hata kwenye kuongea Mungu atakusaidia🙏

    • @mudymbwana7711
      @mudymbwana7711 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania Oman

    • @jimmycroud1027
      @jimmycroud1027 3 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo unampa pole kwa kutembea na lafk yke mabeste iv Kama ungekuw n ww mke Wang anatembea na lafk yko alaf anakudai talaka iv ungekual na ata kama familia yke mabeste walikuw awamtak yey awez akatembea na lafk yke mabeste

  • @happymahega2000
    @happymahega2000 4 ปีที่แล้ว +13

    Maskin pole Lisa, utakua sawa hadi nimelia 😭pole dia, time heals more than a Doctor, u will be okay, yaan umeongea kwa uchungu sana

  • @hasheemabby2583
    @hasheemabby2583 4 ปีที่แล้ว +7

    Pamoja nayote kama kaliwa na swahiba wake bas hana jipya huyu bint

  • @ashahashiru7868
    @ashahashiru7868 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atakusaidia, amini kuna sababu yaww kuyapitia haya na Mungu atakuinua, shkuru Mungu kwa kla sababu

  • @neemaruta316
    @neemaruta316 4 ปีที่แล้ว

    Dah Dada pole jamani ulikuwa na haki ya kuachika mungu ni mwema atakujibu maombi yako

  • @nahishakieathumani5041
    @nahishakieathumani5041 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana sister ani kwakweli una umia sana sister ani

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 ปีที่แล้ว +4

    Usijute dada.Mungu amekuepusha na shetani.you have to thank God.wamekushindwa

  • @nasramwalimu2900
    @nasramwalimu2900 4 ปีที่แล้ว +2

    Ivi uyu Dada si hyu ambae alikua anaumwa sana,mpka ikafikia mabest akawa anaomba msaa kwenye Media jamani.!!!! I

  • @H-moneybags
    @H-moneybags 4 ปีที่แล้ว +6

    Ndoa huvunja tangu miaka ya zamani baada ya kifo cha nabii suleiman au solomon shetani alianza kuwafunza binadamu jinsi ya kuzivunja ndoa sasa hadi leo uwo uchawi au black magic bado watu waovu wanaendelea kuwatatiza wanadamu kwahio swala la kujikinga ni kusoma quran asubuhi na jioni mungu atakukinga ameen

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 4 ปีที่แล้ว +45

    Alichoongea Lisa ni ukweli na Alichoongea Mabeste ni ukweli.
    Kila mmoja ni ukweli kwa upande wake

    • @sarahmwendi506
      @sarahmwendi506 4 ปีที่แล้ว +1

      Umenena aisee.....but najua watu wengi wataona Lisa ndo anaongea ukweli kwa jinsi anaweka hisia kwenye kuongea

    • @leyxon_delee
      @leyxon_delee 4 ปีที่แล้ว +1

      Ni ukweli kabisaa

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +51

    Lisa ana uchungu mno😭 hizi mambo hauwez elewa hasa Ukiangalia watu wanavyo ishi uko Mitandaoni 😫

  • @neserianithomas4361
    @neserianithomas4361 4 ปีที่แล้ว

    pole ssana Mungu hajakuacha

  • @sophiewisy3216
    @sophiewisy3216 4 ปีที่แล้ว

    Anajua kujieleza sana jaman hongera kwa hili pia 👏👏👏 ...pole sana kwa yote uliyopitia kwa jinsi unavyoongea hamna uongo hapo

  • @happyelias4536
    @happyelias4536 4 ปีที่แล้ว +48

    Kama hujawahi kurogwa huwezi kuelewa mambo haya pole Dada maombi ndiyo siraha kubwa

    • @zenajimmy6603
      @zenajimmy6603 4 ปีที่แล้ว

      Happy you very right kisha ulifanya hati akuna uchawi .uchawi upo Sana hata Bible na Quran zina Kiri hili who are you to say there is no such spiritual nkt

    • @noravalue1800
      @noravalue1800 4 ปีที่แล้ว

      Happy Elias kabisaaaaaaa

  • @martinlumba482
    @martinlumba482 4 ปีที่แล้ว +2

    Mababu zetu walioana tangu vita ya kwanza ya Dunia mpka vita ya iran bado wapo,,ata sijui waliwezaje🤔 but wato wawili bado wanapendana,,ila kurudiana ndo ishu ilipo,,ila ka sister kapo poa sana kwa matumizi ya kibinadamu.

  • @roseboaz1819
    @roseboaz1819 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hali hii hat mimi ningeachana name, pole dada. 👐👐

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 ปีที่แล้ว +8

    Tupo wengi sema tunasubiri saa na siku ya kuachana.Mungu tusaidie

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 jmn usikate tamaa. Mungu anaweza badilisha kilio kikawa Furaha tena

    • @dubenamahanga5363
      @dubenamahanga5363 4 ปีที่แล้ว +1

      Tupo wengi sanaaa🤣🤣🤣

    • @abdndaizy8650
      @abdndaizy8650 4 ปีที่แล้ว

      kweri tupo wengu ndoa eeeee e Mungu tusaidiye

    • @ikrammahonda4566
      @ikrammahonda4566 4 ปีที่แล้ว

      Yaan acha tu dadaangu

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 4 ปีที่แล้ว +11

    Naelewa unachojisikia kwa sasa kikubwa ...mungu ndyo jibu la maswali yako yote dada na siku zote ukiongea kitu ambacho ulikuwa utakiki kukizungumzia lazma ulie yanatoka moyoni kabsaaaa

  • @susanarabiel9717
    @susanarabiel9717 4 ปีที่แล้ว +2

    Makanisa ya cku hizi ni uchonganishi mno Mungu atusaidie

  • @paulabellaminzi4151
    @paulabellaminzi4151 4 ปีที่แล้ว +3

    Uchawi pia....yaani jaman its real real real!! Pole masikini

    • @SuperLee83
      @SuperLee83 4 ปีที่แล้ว

      Familia Ya Mabeste wanajua walichomfanya huyu binti...ni akili za kishirikina tu kutotokea kwenye harusi ya mtoto wenu...

  • @gloryassey3962
    @gloryassey3962 4 ปีที่แล้ว +56

    Unahitaji psychologically counselling pole tafuta professional counselor na ibilisi ni mwongo sana analeta chuki kwako na kuingiza Roho za chuki

    • @nicksonhaule8185
      @nicksonhaule8185 4 ปีที่แล้ว +1

      kabisa aiseee daaah

    • @cornelyakatangwa489
      @cornelyakatangwa489 4 ปีที่แล้ว +1

      Counselor wakati katembea na rafiki yake

    • @gloryassey3962
      @gloryassey3962 4 ปีที่แล้ว

      @@cornelyakatangwa489 Sawa lakini hatakiwi kuwa na vinyongo na hisia negative ndio vyanzo vya magonjwa

    • @mercysiyanga7067
      @mercysiyanga7067 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha kweli ila CONI kama kuna kosa mtu kueleza hisia zake,kama katendwa hana budi kutoa ya moyoni,kama hayajakufika omba MUNGU, tena ukoo

    • @othumanlorenzo260
      @othumanlorenzo260 4 ปีที่แล้ว

      Yeah yeah brother kuna tone kuna muda anaitoa kuna muda anairudisha

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 4 ปีที่แล้ว +50

    Kwenye familia nyingi hasa ya mke na mume, ndugu wengi wa familia ya mume ndio Sababu ya kuvunjika ndoa..

    • @candybenardy3110
      @candybenardy3110 4 ปีที่แล้ว +6

      Kweli kabisa 😭😭 Ndugu wa upande wa Mwanaume huwa wana vita sana,,, Mm mwenyewe yalishanikuta haya.

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว

      Fetry well said haswaaaaaa

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว +1

      @@candybenardy3110 tuko sawa best ila ukijua kuzipotezea stress bac mambo yananyooka mpk wao wenyewe wanakuja kushangaa

    • @nadhraabdulaziz9193
      @nadhraabdulaziz9193 4 ปีที่แล้ว

      Asante sana

    • @emanuelcosmas395
      @emanuelcosmas395 4 ปีที่แล้ว

      Mtu mmoja unashikwaje na watu ishirini?

  • @خسنموس
    @خسنموس 4 ปีที่แล้ว +12

    Pole sister, dunia sio mbaya ila binadam ndio wabaya Dah! Imenigusa sana.

  • @abelbest4984
    @abelbest4984 4 ปีที่แล้ว +2

    Tumechoka iz story za kuachana ,em Dada Amber Ruth dondosha Part 4 yako

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว

    Inahuma sana pole sana Dada yangu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 ปีที่แล้ว

    ii move ni nzuri sana

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 4 ปีที่แล้ว +2

    hakuna mwanamke ambaye alishaachana na mmewe asiseme au asionekane na stress. kilichopo wanawake mjifunze kuwa, mwanaume ambaye hakucheat, sio mrevi kupindukia, hajawai kuwa anakukosesha raha kila wakat kwa kukupiga kila wakati, huyo ni mwanaume na hukupashwa kumwacha. still hata ndugu wa uliyeona ni bora kuzid mwanaume wa ujana wako ktk ndoa, HAWATAKUPENDA!!!!!!!

  • @missmarble979
    @missmarble979 4 ปีที่แล้ว +8

    U had postpartum depression its unfortunate hukutambua hilo wakati unaumwa!! Lakini nimenotice ignorance kubwaa sana huku africa kwetu!! Its a sad situation😳😭😭

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +3

      Yeah you are right. Sijawahi sikia kuusu hizi postpartum blues, depression and pyschosis kabisa zikiongelewa home.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      💯💯

    • @fefenailsandmakeup1353
      @fefenailsandmakeup1353 4 ปีที่แล้ว

      Nshaiskia sana hii, ntaifatilia hope na mm nilikua nayo

    • @freddiekenz4069
      @freddiekenz4069 4 ปีที่แล้ว

      Yesss true

  • @nyakaimg1393
    @nyakaimg1393 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana love

  • @shangwemagilani5669
    @shangwemagilani5669 4 ปีที่แล้ว +25

    Dada nakuelewa mimi 2017 niliumwa miezi 6 kila nikipima hamna kitu ,maumivu ya kila aina ,mwil ulikua unawaka moto ,sikuwahi kupata usingizi miezi yote hio,so nakuelewa kabisa

    • @jumanaga929
      @jumanaga929 4 ปีที่แล้ว

      Sasa uliponaje?

    • @solana796
      @solana796 4 ปีที่แล้ว +1

      Depression ni hatarii...mental health bado sana tanzania

    • @shamayzawahir2508
      @shamayzawahir2508 4 ปีที่แล้ว

      Pole sana

    • @pendomariki6562
      @pendomariki6562 4 ปีที่แล้ว

      Mim mwenyewe namwelewa maana hata mim nilishawah kuugua hivyo

  • @roseliku531
    @roseliku531 4 ปีที่แล้ว

    Dada anaongea kwa uchungu pole sana my dear

  • @nicken3250
    @nicken3250 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndo umekomaa sasa hapo Dada.. Haÿa mrudiane muanze upya

  • @allanmoses6329
    @allanmoses6329 4 ปีที่แล้ว

    Hii intavew ni kubwa sana,hakika Mungu ana nguvu sana ya kuwateketeza wachawi na mawakala zake,waliookoka tu ndo wataelewa alichoongea uyu dada

  • @mr.performance2533
    @mr.performance2533 4 ปีที่แล้ว

    She is so smart

  • @faza4023
    @faza4023 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna mwenye makosa kati yenu, tena inaonekana mlipendana sana,ila mlikutana na shida zilizowazidi zikapelekea kubadilika kwa maamuzi.

    • @franknantalila1588
      @franknantalila1588 4 ปีที่แล้ว

      Usaliti ni usaliti tu huwa hauna reason uwez kucheat tena kwa best wa mume au mke alaf ukatoa excuse

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว +3

    Simfahamu huyu dada wala nilikuwa sijawahi kumsikia lakini afya yake bado haiko sawa. Anahema sana akiongea. Mungu amuonekanie.

    • @gracemalatwe6064
      @gracemalatwe6064 4 ปีที่แล้ว

      Nimecheka eti afya haiko sawa

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      @@gracemalatwe6064 Sasa kinachochekesha ni nini hapo?

    • @sophiajoseph4267
      @sophiajoseph4267 4 ปีที่แล้ว +2

      Yni bdo ana hasira na uchungu ndo inafanya aongee ivo wala sio ugonjwa

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 4 ปีที่แล้ว

      @@sophiajoseph4267 Atakuwa ana tatizo kwenye moyo jamani hiyo siyo hema ya kawaida au ya hasira.

    • @mandelynhenrick5389
      @mandelynhenrick5389 4 ปีที่แล้ว

      Ana hasira ndio maana ana hema sana

  • @zuwenaalamini4158
    @zuwenaalamini4158 4 ปีที่แล้ว

    Pole Sana dada

  • @kingdazzostarboy1431
    @kingdazzostarboy1431 4 ปีที่แล้ว +19

    Napenda we jamaa unavointerview

    • @tktv8617
      @tktv8617 4 ปีที่แล้ว +2

      Ni kama milard ayo

  • @flightclubtanzania1638
    @flightclubtanzania1638 4 ปีที่แล้ว +20

    Sometimes hizi interviews za broke relationships za superstars mnaziona zinaumiza na kuna ukubwa but kwa hawa watu wa chini ambao sio superstars ndoa zao zimevunjika na misukosuko ya ajabu sana ambapo zingekua zinawekwa bayana sababu za uhusiano wa ndoa hizo kuvunjika basi wasanii mngekua wapole maana nyingine hazifai kabisa kusimuliwa kisa zinatisha mno kuliko.

    • @gracesanga7171
      @gracesanga7171 4 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @missdija4959
      @missdija4959 4 ปีที่แล้ว

      Flightclubtanzania Yes ni kweli kabisa

    • @tmtmslm2697
      @tmtmslm2697 4 ปีที่แล้ว

      Swadakta ujumbe mufti

    • @franknantalila1588
      @franknantalila1588 4 ปีที่แล้ว

      Kbisa mtaan kwa chini kuna hatar zaid alafu usaliti ni usaliti tu

  • @jumashabani6460
    @jumashabani6460 4 ปีที่แล้ว +3

    Kunabomu kubwa linaendelea hapa mchini sababu ukiangalia ktkndoa hizi mbili wote walikuwa hawana muda wa kujuana haya poleni

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว +1

    Rayvanny ft willy paul-mmh, rudianeni tu hakuna kipya chini ya jua

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 4 ปีที่แล้ว +9

    Hamkoseagi sns😘 maswali ya maana

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 ปีที่แล้ว

    pole dadangu najua unaongea na uchungu Mungu halali

  • @raphaelmzomozi7629
    @raphaelmzomozi7629 4 ปีที่แล้ว +8

    vijana wa kitanzania kwanini uanzshe familia wakati bado huna source of income ilioko stable??

    • @mobaisa1704
      @mobaisa1704 4 ปีที่แล้ว

      hiv unajua kuw kuna watu wamefirisika?? Income kuwa stable mwisho wa maisha. *Maisha yana siri kubwa*

  • @zeyriog6722
    @zeyriog6722 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii story ya kutotambulishwa ata mi yamenkuta mpaka nmepata mtoto ndio nawaona na baba mkwe wangu hajawai kuntambua
    Wacchana 2jitambue jaman

  • @sekelamwangosi3289
    @sekelamwangosi3289 4 ปีที่แล้ว +5

    Uyu dada ana uchungu adi anavoongea anatetemeka duh😌😌

  • @rehemasalila574
    @rehemasalila574 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaah huyu dada nampata sanaaaa amekuja sanaaa kwenye maombi kwa Gamanywa ila Mungu amsaidie ameteseka sanaaaa alikuwa hawezi chochote

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 4 ปีที่แล้ว +15

    Huyu dada hayuko sawa kiukwel but usife moyo pole kwa matatzo

  • @openmindtz
    @openmindtz 4 ปีที่แล้ว +8

    Kitu kinacho niumiza kichwa ni hapo tuh....Naona umri unaenda naitajika kuwa na familia lakin Daah Life of marriage its where the problem start .... Ukilala ukiamka unasikia vilio everySide 😥😥😥 Am stuck God

  • @andrewpaul5037
    @andrewpaul5037 4 ปีที่แล้ว +6

    Pole sana dada, mahusiano yana mambo mengi

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 4 ปีที่แล้ว +11

    Wakwanza kabisa ku like, comment and 3rd viewer....
    I love #SNS🙌🙌🙌🙌🙌🏃‍♂️🏃‍♂️
    Who’s #Mabeste???

  • @leodigardrweikiza546
    @leodigardrweikiza546 4 ปีที่แล้ว +11

    Sasa kama unalijua hilo why husimpeleke na yeye akaombewa ili umuokoe

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 ปีที่แล้ว +11

    Sielewi kwanini familia imkatae mwanamke kama huyu...kwanza ni intelligent...pili ni wife material... Tatu ni mzuri sana...kuna kitu tunafichwa...

    • @jamalshaha4512
      @jamalshaha4512 4 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa kaka wanawake ni waongo sana

    • @shufaamauya2451
      @shufaamauya2451 4 ปีที่แล้ว +3

      Ana kitu kikubwa ambacho Amebarikiwa ndio mn shetani anapigana nae, na shetani haji physically anakuja spiritually na anaingia ndani ya mtu ili kukuchanganya nakujenga chuki kwa huyo mtu kumbe ni roho imemuingia huyo mtu, kwann hasa,inaonekana huyu mwanamke ndio kabeba hatima ya mabeste lazima wamchanganye kumgombanisha ili lile kusudi lisitimie, kikubwa wanapaswa kusimama kuomba na kufunga kukua kiroho nakupata ulinzi wa kiMungu shetani nimdogo mno ukiwa kiroho! Mungu awafungue macho wadogo zangu ili muishinde hii vita

  • @thomasmhindi1469
    @thomasmhindi1469 4 ปีที่แล้ว

    Naogopa ndoa ,,, sjui maisha yang yatakuaj ,,, for ds cases

    • @mariumpeter6147
      @mariumpeter6147 4 ปีที่แล้ว

      Usiogope kufuga mbwa kisa mbwa wa jirani ana kichaa!Ndoa ni baraka toka kwa Mungu karibu chamani mdau

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 4 ปีที่แล้ว +6

    Pamoja na yote ila sio kama alivyofnya hyu dada na kitendo cha kua kimahusiano na rafiki wa mabeste hapo mnaonaje? Ina maana alikua anamcheat mda sana

  • @marymosedmosses7258
    @marymosedmosses7258 4 ปีที่แล้ว +28

    Dada anaonekana ana uchungu pole dia mtwishe yesu mizigo yko dada

    • @bilajasho449
      @bilajasho449 4 ปีที่แล้ว

      Atamtwishia wapi sasa Huo mzigo

    • @marymosedmosses7258
      @marymosedmosses7258 4 ปีที่แล้ว +1

      nurdin suley anamtwisha kwa imani amwambie yesu matatizo yngu nakubebesha wew unisaidie kwa imani

    • @dee8679
      @dee8679 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa jamaniii

  • @yassirihernandez8611
    @yassirihernandez8611 4 ปีที่แล้ว

    Kama kweli wazee/Familia ya Mabeste ilifanya maumivu yote kwa uyu Dada /Walaaniwe mungu atawalipa malipo duniani 😢

  • @ejtjr2647
    @ejtjr2647 4 ปีที่แล้ว +21

    Ujauzito una mambo mengi, kama ulizembea na hukujua jinsi ya kudeal na Hormonal changes ndio basi ni chanzo. Then this woman sio mtu wa kusamehe she remembers pity things hadi maudhi ya mimba.

    • @keagleeagle821
      @keagleeagle821 4 ปีที่แล้ว

      Ndio nashangaa.

    • @reymammakasa1537
      @reymammakasa1537 4 ปีที่แล้ว +7

      Maudhi ya mimba ww unayajua?? Kwani kukumbuka usumbufu wa mimba kuna shida gani??? Wengine mpaka tumekuwa wakubwa mama zetu wanatusimulia jinsi tulivyowasumbua just for fun. Ana kila haki ya kukumbuka kila kitu, muacheni.

    • @mikidadichisala6136
      @mikidadichisala6136 4 ปีที่แล้ว +1

      Ushawahi kubeba mimba..???

    • @reymammakasa1537
      @reymammakasa1537 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mikidadichisala6136Na ndio maana nimekuuliza hilo swali coz najua what goes on kaka. Ni mama wa watoto wawili.

    • @breezybabe0019
      @breezybabe0019 4 ปีที่แล้ว +1

      Yan alivyoanza kulalamikia aliyoyapitia kweny mimba nikashangaaa aisee

  • @elektrated9605
    @elektrated9605 4 ปีที่แล้ว

    Lisa amemzidi Mabeste kila kitu.

  • @litokai413
    @litokai413 4 ปีที่แล้ว +3

    Unaposema unampenda mtu ina maana uko tayari kuyabeba mapungufu yake,aibu zake na changamoto zake as a person na kama unaona hauko tayari kuyabeba hayo yote ni bora usiseme kabisa neno nakupenda.Unakosea sana kumuhukumu mabeste kwa mapungufu ya familia yake,you married him not his family,kama tatizo lilikuwa ni lakiroho,ulipaswa kusimama kama mke na mama kuipigania familia yako,kuikomboa kiimani kwa maombi na funga.He played his party sana tu kwenye kukuuguza,kitu ambacho wanaume wengi wasingeweza kufanya,he had nothing much to offer but he had true love kwako.If u can't be greatful kwa kitu kidogo hata kikubwa huwez kushukuru.Adui yako alipaswa kuwa shetani maana ndo kavuruga hadi ndoa yako,not mabeste.Mwanamke mpumbavu anavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.Methali 14:1"Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".Omba sana hekima.

  • @jacksonmakala
    @jacksonmakala 4 ปีที่แล้ว +3

    This lady is so genius.

  • @hassanpazi7216
    @hassanpazi7216 4 ปีที่แล้ว +6

    Creez favors your the best so far

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 2 หลายเดือนก่อน

    Sura sio roho, Sura sio utamu wa kitumbua, sura sio tabia. Mboga za jalalani zinavutia lakini kiafya hua sio nzuri

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว +3

    LOVE IS WAR💔
    SO PAIN

  • @hamismda1058
    @hamismda1058 4 ปีที่แล้ว +5

    ulicho zingua ni kwwnda kwa mshikaji wake mabeste

  • @samirahlaxman7375
    @samirahlaxman7375 4 ปีที่แล้ว +1

    Pole Lisa,familia za watu zinamengi,Mungu akutie nguvu.