Mabeste asimulia jinsi alivyotaka 'kujitoa uhai' baada ya ndoa yake kuvunjika 'Nilibaki peke yangu'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 23

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 4 ปีที่แล้ว +2

    Mabesti jamani mbona mm nakupenda njooo kwangu jamani

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 หลายเดือนก่อน

    Jamaa yuko Marekani sasa ameoa maisha yanaendelea Lissa sijui yuko wapi

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 4 ปีที่แล้ว +4

    Mabeste unisamehe but you were the problem in the relationship (there is a boy in you) mwanamke anaonekana alikua powerfull na alikua anakuhandle kama mtt wake and that's not ok,maana unakuja ona hata majukumu yako ni yake. How do you cut off your parent's sababu ya mke?,it was your fault. It was how your relationship was built from the very beginning. Na ulipokimbilia kumuongelea exwife vibaya, that was a failure,ule ni utoto and playing a victim didn't help and never will. You can always say no to the media and focus on your career

  • @janetkemush3784
    @janetkemush3784 4 ปีที่แล้ว

    Poleee kaka mabeste

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 2 ปีที่แล้ว

    Mh sikuelewi kuongea ongea sio dili

  • @taussmussa8144
    @taussmussa8144 4 ปีที่แล้ว

    Misijui kilichokuwa ninini mwanaume anasema hiv mwanamke anasema iv

  • @jejufima4887
    @jejufima4887 4 ปีที่แล้ว

    Dah..🤔 hivi mbona nasikia Ni mtoto mmoja.. au..yule mdogo niwajamaa mpya.. mmh.. Aya.ila nahili litapita tu

  • @vero57
    @vero57 4 ปีที่แล้ว

    JAMANI MULIVYO PENDANA HATUKUEPO, SASA MUME ACHANA MUNA TANGAZA NINI SASA??

  • @ndimilaalbert6671
    @ndimilaalbert6671 4 ปีที่แล้ว

    Childish

  • @samweljoseph9038
    @samweljoseph9038 4 ปีที่แล้ว

    😎😎

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 4 ปีที่แล้ว

    Mazoezi husaidia kupunguza Stress! Karibuni mjifunze mazoezi kwenda gym!

  • @nelsonsimtowe4268
    @nelsonsimtowe4268 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke pekee aliongea na nyoka muishi nao kwa akili

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 ปีที่แล้ว +3

    This guy is lying all along , no wonder is struggling to answer even a simple question , no wonder she is gone 🇬🇧

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu anajua ameplay part kubwa ya wao kutengana na alitegemea wakiachana the lady ndo ataisha, so he started running on the media playing "a crying baby" after realizing she'd moved on and she's happy!

    • @mrfirstborn2839
      @mrfirstborn2839 4 ปีที่แล้ว +1

      @Kay Ji she helped her the time the girl was ill how can you say that

    • @myrachells
      @myrachells 4 ปีที่แล้ว

      Utakuwa lisa wewe au umetumwa

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 4 ปีที่แล้ว +1

    Punguza kuongeaongea ‘ ulipokua na MATATIZO hawajakufuata hao’ BE A MAN ‘ fanya mambo yako ACHANA na STORI STORI...!
    SOMETIME kataa hizo INTERVIEW ....Hazina MSINGI wowote’ mambo yamekubadilikia kidogo kipindi hiki Una Afya njema fikiria kuhudumia mtoto’ ..!....KUFIKIRI Ndio ujanja kuliko KUONGEA..!