Bila woga MKOJANI amemjibu SHEIKH KISHKI kiufundi zaidi vita inaendeleaa..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na shekhe wa kweli anaemuogop Allah hasemi km atamfanyia muislam mwenzake ubay mtume Muhammad rasulullahu hakuwa hivo Wal hakutufundisha hivo

  • @amirmape6474
    @amirmape6474 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwani shekhe amekataza dua au huo ujinga wenu yani watu hovyo wamepewa kipa umbele

  • @DeleAbdalla
    @DeleAbdalla 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kijana sharfu from Kenya kijana ako sawa

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mm nimuombee tu shekhe kishk anyamaze kimya majibu yapo sahihi juu ya huyu sharif maan mpk mkojan AAA shekh nyamaza jukumu lako limekwish kwa Allah sasa muachie Allah anatosh Kaz kwao wao km ni sharif au ni sharifa watajua wenyew huko

  • @HuseniJuma-h3o
    @HuseniJuma-h3o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dah wallah hawa watu kwisha khabar ...huwezi muweka sheikh kishki na huyu kijana

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    kishiki Yuko sahihi nyinyi ndio washenzi hasa mazinge hatukutegemea kama Nayeye anaweza kua chawa

  • @eddyeddy1337
    @eddyeddy1337 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hamna kitu hapo ushirikina tu upako utoko huo wanafiki njaa kubwa.

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ukiona Unashangiliwa na Watu wa Namna Hii na Wanawake sauti Kali zinawatoka hivi...
    Rudi Kwa Mola wako..
    Mkojani ni Muislam POA POA.. Mazinge ni Muislam POA POA
    Haishangazi kuongea ujinga kama huu...
    Allah Tuongoze, Tuzindue Waislam...
    Hizi ni Zama za mwisho Wallah😢
    Ipo Siku atakuja kujiita Mtume, na wote Hawa Waislam POA POA, Watakiri..
    Kimbia, ukiona upumbavu kama huu...😢
    Waislam POA POA wanapokusanyana Huwa hakuna Cha mana utakachokipata, zaidi ya vijembe

  • @rashadmohamed4357
    @rashadmohamed4357 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Muna ushawishi mkubwa katika jamii, kutuhatibia vizazi vyetu kwa kisingizio cha kioo cha jamii. Allah awaongoe

  • @MauBonde
    @MauBonde 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna wagonjwa mahospitalini nendeni huko wapelekeeni hayo maji ili watoke mahospitalini.allah awaongoze insha'Allah.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkojani acha njaa.Huyu dogo ni tapeli tu

  • @abdulkarimally9656
    @abdulkarimally9656 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na Dua ya mzaha na istihizai kwa ALLAH

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wew mkojan Kaz ni kuect michezo tu bc sio mambo ya dini uko mbali na dini ya Allah subuhanallah mtihani kwa kweli

  • @RahimaMct-ik8mr
    @RahimaMct-ik8mr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan kishk kakataza duaa.kuombewa

  • @abdullabdull5771
    @abdullabdull5771 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaah kweli huyu sharifu ni mshenziiiii

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    SubhaAllah, mbona hampendi ukweli, wote mekasirishwa na Kishki kusema ukweli

  • @MsalabaniReko
    @MsalabaniReko 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duh sharifu kapata machawa wa kitanga

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mazinge mihadhara hailiipi umehamia kwenye dua za kitapeli na kupiga hela

  • @SheikhmuhammadShariff
    @SheikhmuhammadShariff 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hukmu n ya allah hata huyo kishki hakutumiya hekma katka kurekebisha kwake alitakiwa amuite sheikh shariff waekane sawa co mambo yakuchafuwana haipendezi waislamu tena mashekhe aibu.

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉 Sasa kwanini ilikua unamsema mwanposa wewe ni mjanja Na mtandao wenu wa kuwatapeli wanyonge muogopeni mungu

  • @aboujanomarion6121
    @aboujanomarion6121 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tatizo watu waislamu jina dini hawakuisoma na hawajui kisha wanajikuta wajuaji ila bana skuizi ukiona kitu hakifai ongea hukuskizwa wacha watu wazame kwenye ujinga wao yani fanyeni mnavyo jiskia yani pindueni pindueni mnavyo taka

  • @nurumohamed7225
    @nurumohamed7225 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanaume tuna wajibu kuwaelimisha wake zetu na family zetu tutakuja ulizwa siku yakiyama ina maana wake zetu ndio wagonjwa Tu?

  • @fetehomar27
    @fetehomar27 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu mazinge kamuona dr sule analiga ela na yy ktafuta njia ya kupiga ela

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mkojani huna ulijualo kaigize ndo unojuwa acha kupotodha watu

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dua siotatizo ,tatizo uyo muhun alizidisha ukafiri alikua anakufurisha watu

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Weye mkojani mwenyewe mshirikina huyo njama simshirikana mwezio ndomana unamsapoti tuwacheni wachatu munakushanyawatu munatafuta wakutowa vikowa ili mupate umaarufu na kazizenu zipate kwenda vizuri kwaroho zawatu lakini Allah anawaonà

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkojani acha njaa mambo hayo waachie wenyewe

  • @Fear_Allah394
    @Fear_Allah394 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya ndio yale aliyoyasema Sheikh Kishki…njaa imetoka tumboni imehamia kichwani.

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wew mkojan wapi na wapi na mambo ya dini hapo tu inatosha km huyo SI sharif kwa mwenye akili mpk mkojan AAAmmezid huo ni utapeli semeni km mnatibu watu kwa kutumia ushirika kwa majini

  • @AlnordGozonga-gw2sb
    @AlnordGozonga-gw2sb 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwani usilam nidini ya kishiki au huyo kishki asijifanye yeye kila kitu yeye tu akae pembeni dini siyake bari ni yamungu aache roho ya kichawi

  • @IddySharifu-sg1xz
    @IddySharifu-sg1xz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Weww unajua nn kasome

  • @user-sr9js6rj5v
    @user-sr9js6rj5v 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Nendeni muhimbili na mahospitalini mkawatibu binadamu wenzenu, kama kweli huyo sharifu ana makarama msisahau kwenda hospitalini. Mungu atakuongezea makarama yako.

  • @MohdAli-ez4xe
    @MohdAli-ez4xe 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama kwenye Dua na maji yenu Yana poneshe nendeni mahospitalin Kuna wangojwa Wana miez kadhaa bila kupona kawafanyien wapoe

  • @priyahtz7255
    @priyahtz7255 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nendeni mahospital watu wanaumwa kapigeni maji yenu kashikeni vichwa wattu wapone halafu ndo wengne tuwaamini …..acheni hzo biashara bana

  • @abdulkarimally9656
    @abdulkarimally9656 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpaka makomedian wameingilia nahapo ndipo mjue huyo ni msanii kama wasanii wengine

  • @HerriThabiti-qd5rr
    @HerriThabiti-qd5rr 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah yaani Dunia yaleo ukiwa na pesa tu hata ujiite nani utapata wafuasi

  • @omari-vo7dy
    @omari-vo7dy 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkojani ni msanii na Yale anayefanya ktka usanii wake mara nyingi Huwa ziko kinyume na shariah za dini...na sharifu ni msanii wanaigiza tu...maskini mkojani Hana la kusema ktka dini

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuzungumza mambo bila elmu bora ukae kimya mkojani ukiulizwa masuala ya kisheria utaomba msaada mzee.

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzaha ktk dini

  • @HassanAbdalla-v6d
    @HassanAbdalla-v6d 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dini imevamiwa😮😮😮

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtihani dini imeinqiliwa

  • @JumaSelemani-gd2py
    @JumaSelemani-gd2py 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuombe mwisho mwema njaa izi zinatupeleka pabaya mbaka tunakufulu

  • @TwahayusufuMaziku
    @TwahayusufuMaziku 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duu dini imeingiliwa

  • @ShabaniRashidi-d2v
    @ShabaniRashidi-d2v 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa uigizaji na uislam wapi na wapi?unganeni na bidaa wenzenu wa maulidi,sisi atuwahitaji

  • @kassimkunta1974
    @kassimkunta1974 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwanaume una mwanya maana yake hujawa rijali

  • @ShamsudeenOmary
    @ShamsudeenOmary ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jitu jahili badala lizungumzie mambo ya kisanii linajichanganya ktk masuala ya dini halina ma'arifa yoyote sub-hanallah.
    Sasa mijitu km hii inazungumza kitu gani!!

  • @AbuuNasir-q9w
    @AbuuNasir-q9w 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    acha kuchekesha misifanye masihala na dini

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa zinawsumbua

  • @fetehomar27
    @fetehomar27 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wapiga ela hawa 😂😂😂

  • @abdulkarimally9656
    @abdulkarimally9656 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mpaka analeta na komedi hapohapo

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi hawa wanaosapoti wanalipwa ama

    • @msafiriduwiya7765
      @msafiriduwiya7765 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      MJINI MTU AITWE KISHA ARUDI BURE

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Njaa hio na nyie munashangiria mutaingia mutaingia hamna akili siku ya kiyama kila mtu atabeba mzigo wake nyie fuateni tu

  • @AllyRamadhani-f1p
    @AllyRamadhani-f1p 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chawaa wengi

  • @BeduaImidi-lh4xf
    @BeduaImidi-lh4xf 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe nikafiri