Azam goli keeper hamjapata ametema mipira mingi xna, anyway good play to Azam mumeonyesha upinzani mkubwa kwa wanaoongoza ligi...Big up Azam msife moyo
No aucho, No bangala,No fei,no yaccouba,no Farid, na timu inapata matokeo💥💚 pongezi ziende kwa NABI Ameitengeneza timu ata asipokuwepo Fulani.....bado timu inapata matokeo.....
Wasichokijua hawa wanaoangalia mpira kwa pupa wakijua MAYELE hatari ila kuna watu hatari zaidi wanaoanzisha mashambulizi ushindi wa Yanga upo kwa wachezaji DJUGUI DIARA DJUMA SHABANI MAYELE mmaliziaji mzuri maana hizi krosi za Djuma Shabani hatari sana jmn
@@elishakishiwa599 wanaumwa hao wanaomfananisha DJUMA SHABANI na Kapombe Djuma Shabani fundi sana akili nyingi mnooo anacheza mpila hatumii nguvu nyingi
A we hili goli alofunga mayele n la kiufundi amepokea cross kutoka kwa D juma shaban bila kuituliza bb akaingiza mkuki kama ulivyo 😅😅jamaa wakabaki wanaduwaa tu afu penati ile n ya halali kabisa kipa alidaka miguu badala ya mpira nyie makolo umieni tu najua mnateseka sana🤣🤣😃😃👏👏
Naomba Sana hii Iwe Brand yetu Miaka yote Kuwa tunatetema naona ina Motivation kwa timu nzima.. Aijalishi nani kafunga... Wachezaji wote wanattetema... Saf sana...
Mashabiki wa mpira wa mguu nchini Tanzania nawapa mkono! Nawakubali. Full stadium!
Azam goli keeper hamjapata ametema mipira mingi xna, anyway good play to Azam mumeonyesha upinzani mkubwa kwa wanaoongoza ligi...Big up Azam msife moyo
Naishabikia Yanga yangu nikiwa nchini Congo 🇨🇩 🙏🙏🙏🙏
Safi sanaaaa
Nyie iyi yanga ni tamu zaidi ya asali🤗🤗😍
Je unateseka na mapenzi? Bhas njoo Yanga💛💛💛💛 Asante Mayele na Yanga yote💚💚💚💚💚
😂😂😂😂 asante Yanga kiboko ya matatizo yote
No aucho, No bangala,No fei,no yaccouba,no Farid, na timu inapata matokeo💥💚 pongezi ziende kwa NABI Ameitengeneza timu ata asipokuwepo Fulani.....bado timu inapata matokeo.....
Kabisa yanga tamu
I love you yangaa💛💚
THE ONLY ONE MAYELEEEE IN TANZANIA🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Aliyemsajili mayele Mungu anamuona. Djuma, Diarra, Saido, wako vzr sana aisee walitakiwa wawe watanzania walau Taifa stars ing'ae
Mayeleee 🔥🔥🙏💪
Edjuma shabani 🔥🔥🔥🔥
what a player, Mayele 😮
Awesome...!
Aisee hii pitch ni hatari na nusu 🔥🔥🔥
Wasichokijua hawa wanaoangalia mpira kwa pupa wakijua MAYELE hatari ila kuna watu hatari zaidi wanaoanzisha mashambulizi ushindi wa Yanga upo kwa wachezaji DJUGUI DIARA DJUMA SHABANI MAYELE mmaliziaji mzuri maana hizi krosi za Djuma Shabani hatari sana jmn
la
kin utashangaa anafananshwa na kapombe
@@elishakishiwa599 wanaumwa hao wanaomfananisha DJUMA SHABANI na Kapombe Djuma Shabani fundi sana akili nyingi mnooo anacheza mpila hatumii nguvu nyingi
Exactly
OUI, LUI est le vrai roi de la forêt du CONGO 💪💚💛
Yanga tam 💚💚💚💚💚💚💚
Naipenda yanga hatari
Huyu DJUMA SHABANI namfananisha na fundi wa kibrazil DANNY ALVES sio kwa kros zile aisee anavyoupiga mpila kama anauchota na kijiko vile
Alichokifanya juma shaban mh🤗🤗🤗
Yanga👋🤩🔥🔥💯
Wauwe wafe tu
Wa kwanza leo ...Leo sili dakuuu nakula goli LA mayeleee
😂😂
Ulinisikia nini?
Fiston ni weng ila mayele ni mmoja aliye msajil mayele hakika hana dhamb
Sema tu..
Yanga jana angeshinda Gorii ata NNE
Walitengeneza nafas nying..
Nice 👍 work coach
Mayele baba usitembee usiku wasije wakakuloga wale makolokolo duuuh 🤣🤣🤣💚💛💚💛💚💛
Kijanaa anakaaa masakii hahahah
Yanga tamu💛💚💛💚
Hebu jamani muulizeni huyu mlinzi aliye kuwa anamlinda mayele na hili goli kajiskiaje ?
Yangaa tamuuuuuuuuuuuuuu
Jiandaeni makolo, mtakula za kutosha ,mayele anawangoja kwa hamu
Akamngoje mama yake
Yanga yangu naipenda mpka naumwa 💚💛😍
Yanga bingwa 2022
A we hili goli alofunga mayele n la kiufundi amepokea cross kutoka kwa D juma shaban bila kuituliza bb akaingiza mkuki kama ulivyo 😅😅jamaa wakabaki wanaduwaa tu afu penati ile n ya halali kabisa kipa alidaka miguu badala ya mpira nyie makolo umieni tu najua mnateseka sana🤣🤣😃😃👏👏
Fiston Benzema Mayelee
Yanga raha sana
Naomba Sana hii
Iwe Brand yetu Miaka yote
Kuwa tunatetema naona ina Motivation kwa timu nzima..
Aijalishi nani kafunga...
Wachezaji wote wanattetema...
Saf sana...
Kabisa
❤❤❤ love you so much yanga
young africans 🔰💚💛
Hongera yanga africa
I love you mayele
Duh uo mgoli 🔥🔥😂😂😂😂 haubanduki nyavuni
🤣🤣🤣🔥🔥
Kwanini mwanga ni hafifu sana
Yanga mungu yupo oamoja nanyiiii
Wabongo siku izi soka lenu lipo juu sisi kama wakenya hatuwafikii tena mana mchezo pia umewekwa kwenye siasa.
Yanga tamu
mayele ndio muamua mech🤑🤑🤑
Nakupenda yangu
Kwa goli la mayele ni halina utofauti na la CR7
Yanga aina utofauti sana na Man City
Nimefikaa
Kama unastress za kuachwa umepima hiv positive na umefukuzwa kazini au nchi yako inavita we shabikia yanga utakuja nishukuru💚💛💚💛💛
Geita gold waweke maji tarehe 10 tuwanyoe Fa
Iliniumiza sana
Mayele tunakipenda Sana.jamn
Hahahahaha djuma shaban hachekagi yani
Mechi ambayo Mayele alimstaafisha Aggrey Morris hahahaaa
Juma shabani
Young african,mbele wembe nyuma chuma hu ni wakati wetu wakujitanua hakuna wakutusumbua!yanga mpooooooooooooooo🏌
💚💛💚💛💞
Yanga mmejua kutufurahisha Leo tunalala na viatu
Agrey aliutoa kwa mkono kichwani kwa mayele.
game lilikua kali knoma
Uyu jamaaa ni Atari na nusu 💪🏿
Awoteeeeeeeeeee
Yanga inaweza kuchukua makombe kika mwaka lkn itachukuwa mda mrefu mno kufanya vizuri kimataifa.
Kwanini?
Huko kimataifa fanyeni nyie mtuletee makombe
Kwan simba wana kombe gani la kimataifa!
Unaumia ukiwa wapi Mtani..Dah Yanga rahaa sana
Wanaumia wakiwa Egypt 🤣🤣🤣
💛💚💛💚💛
Yang tamu
Mabeki. Wa. Tanzania. Preemiam. Hamuwezi. Mayele. Kwa. Mayele. Huyoo. Watasubiri. Sannaa
Jmn jmn yang mtaniua
🤓🤓💚💚💚
Kuna kucheza na yanga kisha kunakucheza na mayere sasa hapo chagua moja wapo ulinde lipi
Mwaka wa Young Africa wengine wakae kwakutulia
Kunawakat lazma ukubali Ulicho kikataa mayere oyeeee
Daaah! Hiiii!!!!! Ni hatari
Yanga lahaaaa
💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Ooooooooooyeeeeeeeah
Mayeleeee
Huyu mayele huyuuu
Ni shida
Kwani.mokorooo.wanasemaje.yanga.tamuuuuu
Yanga mwaka huu tusipochukua ubingwa nahama Tanzania
Yanga hii show Kali namkumba ngasa msuva
hai
nilichofrah kwa agrey Morris hakuhangaika kuona goli lilivyoingia ila aligeuka kujua nan kafunga
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂
🤣🤣🤣🤣
💛💚💚💛💚💛💚💛☑️🔥
YANGA BINGWA
Bado mama yao ajipange yanga tamu
KUNA WATU NAFSI ZINAWAUMA...
Yanga
huyu agrey moris beki yeye huku keeper yeye leongo kumkamia mayele
Jifunze quran kwa hukmu kuswalikwa vitendo gusa picha yang mara 2 hapo kama hautojl
Good
Yanga oyooooooooo
Yan wataongea sana ila mwaka uuu wa kutetema tyu ya
Anafata ajitaje mapema
Geita fa
Weeeeeeeee I lovu uuuuuuuuuu yangaaaaaaaaaaaa,,,, YANGAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021 2022
Yaani mtangazaji wa wapi huyu inamaana alikuwa haoni ile ya agrey ameshika kwenye box anazuga eti🤣
🔥🔥🔥🔥🔥
Who else is trying Mayele
Ila ht simb wanamkubali mayele
Sana tew
Afungwe Azam ila wanaumia makolo
Kama wanavyofungwa wageni kwa mkapa then mnaoumia ndala fc
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yanga baba Lao
Sawa