Dont do it for money ni moja Kati changamoto kubwa sana watu hivi sana. Kila kitu pesa tu, mtu haitaji kuonesha uwezo wake kabla bila pesa. True as you said brooo we need to add value to other people life, one day there are gonna open their wallet.
No pain no gain. Hakuna mabadiliko bila ya jasho ni kweli kabisa. Work, focus on it tirelessly and the success will follow. Kweli kila kitu ni wewe mwenyewe. Asante EDZEN kwa kuelimisha Watanzania ni jambo zuri sana. Naipenda kazi yako.
"Don't do it for money," but Do it to uplift other people. There is more reward in doing something that adds value to others. Ni kweli kabisa. Asante. 💕
Broo nimependa hamasa ya Leo kwasbb imeni inspire kitu kitu chenyew nikwamba naanza kua sasa mtu shujaa yan mvumilivu sana katika maisha jambo hili ndilo lililokua linanikwamisha sana so big up saanaaa kaka angu kipenzi
Asante sana Hassanova junior kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
Nakukaribisha kwenye channel yangu kwa ajili ya video fupi-fupi. Tafadhali SUBSCRIBE na uendelee kujifunza mengi katika video fupi na muda mfupi zaidi. Bonyeza hapa: th-cam.com/channels/peaXNEKc2SeXn8MphTSkSw.html
Kiukweli kak mkubwa hamnag siku unakosea somo kweny kipind point zote it's was strong but inahitaj Sana watu wenye nature ndo wataweza kuelewa kwa kuyachambua ili tuwez kuchange Life style ili tuendan na somo.
Kaka ezden nakufatilia Sana umenifanya nibadiri kabisa mfumo wa maisha yangu tangu nianze kupata mafundisho yako 🙏🙏
Masha Allah Somo zuri Sana Mungu Akuzidishie Elimu Yenye Manufaa
Dont do it for money ni moja Kati changamoto kubwa sana watu hivi sana. Kila kitu pesa tu, mtu haitaji kuonesha uwezo wake kabla bila pesa. True as you said brooo we need to add value to other people life, one day there are gonna open their wallet.
No pain no gain. Hakuna mabadiliko bila ya jasho ni kweli kabisa. Work, focus on it tirelessly and the success will follow. Kweli kila kitu ni wewe mwenyewe. Asante EDZEN kwa kuelimisha Watanzania ni jambo zuri sana. Naipenda kazi yako.
Kaka Ezden Nina Zawadi yako maana umenifundisha Vitu Vingi Sanaa katika maisha yangu ,kiukweli 90% maisha yangu yamebadlika kupitia maarifa yako !!
Nafurahi sana kusikia hivyo. 90% ni sehemu kubwa sana, natamani nijue before and after of that. What'sApp me 0759191076
Mungu akubariki kwa hekima hizi alizokupa unapozidi kutumia kuelimisha.
Ahsante Sana bro tupo nyuma yako na tunakubali kazi zako Mimi ni new fan wako but ndan y mda mchache nimejifunza mengi be blessed bro🙏
Nakuelewa mwalimu wangu nimepata mafanikio makubwa kupita wewe mungu akubariki Sana.
Ahsante kiongozi
Mashaallah Allah akupe afya njema uwendelee kuelimisha👌🥰🥰
Somo lako ni zuri sana bro Ezden najifunza mengi sanaa loutish masomo yako yamekuwa ni moja ya kubadilisha Maisha yangu God bless you
Bro Allah akupe umri mrefu inshallah shukran sana kwa kutuelemisha na pia nimepata faina nyingi sana kutoka kwa kunitoa kwenye giza kuiona mwangaza
Shukran
Shukran ❤❤
Thanks , imtulia
Kizuri nikwamba asante san bwana. Djumainne usiace kutushika mikono kwamazuri unayoanda kwakutuhelimisha ao kutuzindua
Thanks sana God bless you nimejifunza mengi
Ni azan mimi aki napenda sana haya maoni yako ndugu, na naona kwangu yananisaidia, aki ubarikiwe ndugu
Hakika umebalikiwa kupitia wewe wengi tutanufaika thanks so much brother,
Hakika nmejifunzaa kitu.More Blessng
sina neno zaidi ya🙏🙏🙏🙏🙏
Vizuri sana😘
Kwamajina naitwa bahati sasi soronyo napatikana dodoma kaka nakupa hongera sana unatwelimisha mungu akubaliki
Asante mungu akupe maisha malefu
Somo zuri sana🙏🙏
Nimekuelewa sana kaka! endelea kuisaidia jamii na Muumba wa Mbingu na ardhi aendelee kukutumia zaidi Kwa kazi yako njema.
Do the work!!! Thanks Ezden
You are always right,may God bless
Thank you so much point kubwa San tu
Kaka ezden jumanne nimejifunza pesa sio kila kitu Kwenye maisha bali utu ndio kila kitu
DEVELOP A REWARD
SYSTEM 💪💪💪
Siku nyingi uwa najaribu kujipongeza lakini nilikuwa nikijuwa napotea but right now nimejua kuwa niko sahihi 😁😁
Great video
Duuh kaka uko humu siku nyingi ila mala zote sikukufatilia leo ndo nimeona who are you
Duh huna baya ww mungu akubaliki na abariki kazi yako
Nashukuru sana Kwa dua njema.... Amiin
Nakukubal xn bro.! Ezden since day one 💪💪💪
Fact kka Allah akulipe kheri
Shukran sana
Karibu
@@successpathnetwork tunashukur sana kaka mungu akulipe kher
@@saumusanjiama6991 Allahumma ameen
Asante nimejifunza mengi
Thank u so much
Asante bro.@Ezden 🙏🙏
Minimeioenda Sana hiyo ya ngoz ngumu.,, Naitumia Sana mm.
Thanks kwa somo zur,🤝🤝
Asante sana
Daaaa hakika upeo wako kaka ni thawabu kwetu ,unabadlixha maixha yetu kwa maneno yko!!
Tunakushukuru kaka kwa kutuelimisha
Ahsante..kuna mwanga fulani umeingia kwenye kioo changu nizidi kuona mbali 🙏🙏
Nice bro nakubar kwa hizo njia big up ma Bro 💪💪💪
Nimependa sana somo hili
Maashaallah
Ubarikiwe sana brother
Aaasante sana
Thanks bro
Asante sana bro may Allah Grant you in your life
Safi Sana bro upo vizuri
Nimefurahi Sana na mafundisho yako mungu akubariki na kukuongezea juhudi na maarifa.
Nakukubali Kaka endelea kutufungua ufahamu Mungu akupe yaliyo mema uzidi kutuelimisha good job.
Naam shukuran bro!!!!🙏🙏🙏🙏
Ahsante
"Don't do it for money," but Do it to uplift other people. There is more reward in doing something that adds value to others. Ni kweli kabisa. Asante. 💕
Naam.... money isn't always the answer, and there are things money can't buy.
Good yah
Nimependaa kuhusu IBADA inakuepusha sana na matumizi mabaya ya fedha ni Inatengeneza ratiba ya mambo yako vizuri sana 💯
Sawa kaka nashukuru sana 🙏
Asante! Nashare kwa watu wengine wajifunze, waelimike kisha wabadilike.
Somo zuri sana
Shukran kaka Ezden🙏🙏
blessed
Thanks Ezden De Rocka
Thank's
Nakukubali sana
Thanks for the info. You have talked about nice things to do to succeed
Nakuelewa sanaaaaaa asanteeee
Shukran uko vizuri sana napenda unavo elimisha jami.mishi bakari kutoka kenya tuko pamoja
Big up brother for educating societies, we are all together.
God bless you bro.. umenifunza sana...
Asante Sana brother
Asnte Sana kwa Sana Mungu azid kukupa neema!
Broo nimependa hamasa ya Leo kwasbb imeni inspire kitu kitu chenyew nikwamba naanza kua sasa mtu shujaa yan mvumilivu sana katika maisha jambo hili ndilo lililokua linanikwamisha sana so big up saanaaa kaka angu kipenzi
God bless you
Nimelibali mwanangu
Its ver fantastic ideas,lets kip it on work.. May Allah bless yo en yr family
Shukrani kaka Ezden 👏
Nakukubali sana kaka
Ezeden Leo umenipa akili ya ziada Allah akulinde
Mashaallah nimejifunza mengi Shukran kaka
Kingine kuwa nangozi ngumu asante
ALoveyou my brother💕💕💕💕💪💪💪💪wanifugua mengi
Mimi zaidi... Karibu sana
Ahsante kaka Ezden ,God bless you & I appreciate you more .
Be blessed bro🗣
Kazi nzuri kaka
HASANTE sana ndugu
Thank you bro u motivate me
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
Nimekuelewa Sana kaka
Asante sana kaka
Somo zuri kaka
Thank you my brother Ezden you always feeds my brains with new food may ALLAH grant you more Success
Asante sana Hassanova junior kwa kufuatilia. Endelea kuwa karibu na usisite kutujulisha kama kuna chochote tunahitaji kuboresha. Na nitafurahi sana kama uta-share link za masomo yetu kwa wengine ambao unajua wanahitaji elimu hii. Stay blessed!
@@successpathnetwork Thanks I'll do that Bro stay blessed 🙏
Ñ
Hakika umenigusa sana
Bless brooh ✌️
Kiukwel edzen umebadlixh xn maixh yng nakukubaliiii xn
Nashukuru sana kusikia hivyo. Karibu
Nakukaribisha kwenye channel yangu kwa ajili ya video fupi-fupi. Tafadhali SUBSCRIBE na uendelee kujifunza mengi katika video fupi na muda mfupi zaidi. Bonyeza hapa: th-cam.com/channels/peaXNEKc2SeXn8MphTSkSw.html
Be blessed brother may Allah Grant u more in return than what u have inspired us.
Wewe ezden wa kiss fm au mwingne
Realistic
Tunakupatasana J4
Nimeioenda hii Develop a thick skin
Asanti