Yaani wewe Jumanne ni kama mwanangu hila pamoja na utu uzima wangu yaani umenifundisha mambo mengi ya maana yaani mafanikio yoote ya maisha. Ahsante sana Ezdem Hapa ni Mama yako.
Allah akupe afya mdogo wangu yaani mimi nnao watu kama hawa nibalaa hata umfanyie nini hana shukran pia kukutaftia ubaya kwa njia yoyote akukosoe akuseme vibaya kwa watu
Toxic people, toxic relationships. Ukiwa kwenye situation hii ya Topic relationships kwa hakika uwezi kuwajua mojakwamoja inahitaji umakini sana kuwajua. Kulalamika, kulaumu, kukosoa hata kwenye mazuri, chuki ukifanikiwa, inshort wasiopenda mafanikio yako. Ukipata promotion kazini wanachukia. Kikubwa ni kuset boundaries nao taratibu, kuokoa nguvu na muda.I have been in that situation.
Asante sana Bro Hii ipo katika mazingira karibu yoote na hasa wale wanaotufahamu toka utotoni au tuliokua nao,,,,unafanya kazi nzuri Allah akujaalie uendelee kutupa faida Kaka.
Ezden upo really sana yaaan maneno yako ypo sana hasa unakuta unaish na mtu hasa ss ambao tunaanza life and wote mnafanya kaz lkn hata kusema na mm nitoe kod ya nyumba mwez huu hapana ye kila siku hana
Ni kweli kaka angu yani ni kweli kuna dada nimepanga nae nyumba moja yani anahasira na mimi sana kila nikirudi kutoka kazini anakasirika na nikimkosea kidogo yani kaka ananiambia maneno mabaya tofauti na yale yaliopo pale yani ninashida nae jamani
dah wee jamaa unajuwa sana mm kweli nisha kutana nayo hayo maeneo ya mbagala yani ukifanya jambo la maendeleo utasikia huyu jamaa anaringa yani maneno maneno tu
Exactly watu hawa wapo wanakera bila hata kuwakosea mm nina rafik ktk hizo tabia ulizozitaja anazo n ubaya zaid ameona n muepuka hikivo ameamua kujenga urafiki n roomate wangu nakumpandikiza chuki kipind cha chuo n kingine Zaid haishi kunidiscuss life yangu. Ndomana nilijitenga nae nikawa najiuliza mbn niko hivo n hata nikileta ukaribu moyo wang hautaki. Cha msingi nikujua ishi nao na uwavumilie kwa kuepuka nao
Walah kwel akikujaza maneno hatakma ulikuwa upo vizur unajihisi hali ya kuwa tofaut Kwa kulalamika kwake sasa inakuaje na ndo unaishi nae make ni vampire hatar
Yaani wewe Jumanne ni kama mwanangu hila pamoja na utu uzima wangu yaani umenifundisha mambo mengi ya maana yaani mafanikio yoote ya maisha. Ahsante sana Ezdem
Hapa ni Mama yako.
Allah akupe afya mdogo wangu yaani mimi nnao watu kama hawa nibalaa hata umfanyie nini hana shukran pia kukutaftia ubaya kwa njia yoyote akukosoe akuseme vibaya kwa watu
Asante sana kaka mimi ni Nancy kutoka Qarar.yani unanifurahisha kaka asante nitajifunza kuwawekea mipaka watu hawa
Kujifuza sanaaa👏asant sanaaa
Nimejifunza shukulan
Toxic people, toxic relationships. Ukiwa kwenye situation hii ya Topic relationships kwa hakika uwezi kuwajua mojakwamoja inahitaji umakini sana kuwajua. Kulalamika, kulaumu, kukosoa hata kwenye mazuri, chuki ukifanikiwa, inshort wasiopenda mafanikio yako. Ukipata promotion kazini wanachukia. Kikubwa ni kuset boundaries nao taratibu, kuokoa nguvu na muda.I have been in that situation.
Asante Sana rafiki
Me hua nakusikiliza Sana kwa makini bro !maneno yko n ya kwel sana nmeshuudia mwenyewe mwalim wngu !Mungu akulinde bna asante
Asante sana Bro
Hii ipo katika mazingira karibu yoote na hasa wale wanaotufahamu toka utotoni au tuliokua nao,,,,unafanya kazi nzuri
Allah akujaalie uendelee kutupa faida Kaka.
Jumma Humbe th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html jifunze hapa pia
Nakuaminia big thump ishanitokea kwa watu wa aina hii
Hi dear gud work
Nice lesson ezden
Bro Masha Allah nilikua confused sana na hawa jamaa expecilly wa mwisho na wapili kutoka mwisho
Shukran bro 👊
somo nzuri kikubwa kuyatendea kazi maarifa tunayoyapata
Ezden upo really sana yaaan maneno yako ypo sana hasa unakuta unaish na mtu hasa ss ambao tunaanza life and wote mnafanya kaz lkn hata kusema na mm nitoe kod ya nyumba mwez huu hapana ye kila siku hana
Njuu Jera jifunze hapa pia th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html
Dah kweli nshakutana nayo
nzuri sana broo
Uko vizuri bro safi sana
Thanks full
Thanks bro napenda mawaitha yko sna wko wtu kma hwa wengi sna
Nimejifunza vitu kwako shukran
Thanksbro
Upo sahihi Kaka nakubali
Kaka umegusa maisha yetu Allah akulipe khairi kupitia maneno mazuri
Shukran ❤❤❤❤❤❤
Tunakutana nazo sn, tena si mara moja.
Asante sana nimejifunza na nimeelewa vizuri sasa naenda kuzifanyia kazi
Vizuri
Kabisa true
Nikweli
You are doing great brother
I like it. Allah blessed you pal.
Kwer me mwenyewe ishanitokea sana yan nimeasirika kisekorejia kwer ilo somo limeniingia
Kaka ezden nimekuelewa ahsante kwa kazi yako nzuri umenigusa sana Leo ubarikiwe siku zote
Safi brother.
BR. KAZI YAKO NIMEIPENDA. KEEP IT UP
Kweri brother mambo reall kabisa
asante
Thanks alot,coz da nimeish nao bila kujua wananimalza
Very great insight.
Hehehe, I have seen these things. Kwenye relative zangu
Uko vizuri ndugu. Endelea kutupa darasa.
Ahsante mwalimu wangu
Moja kati ya ndoto zangu ni kuonana na brother ezden jumanne
Karibu...
Ni kweli ndgu,najifunza kitu kizuri tunao wengi,
Nimekuelewa sana kaka Ezden Mungu akubariki
Kulsoom Kulsoom th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Shukran San bro
Asante kwasomo la leo
Umeongelea topic nzuri sana kaka inagusa due! Wao watu wapo kabisa in our lives kumbe ni wanyonyaji wa nguvu za wengine!!
Bro nakukubal xn💪💪
Nikama hili darasa lishanipitia nashukuru kwa mafundisho yako nishajifunza kitu.
Ahsante brother kwa darasa nzuri mno Allah azidi kukutunza Amiin 🤲 ❤️❤️❤️
Namkubari
Amin
Op
Hongera 4 new education
Shukulani sana kaka mungu akubaliki na akupe umli murefu
uko vizuri sana na mada zako mashaallah!
Rahma Islam jifunze hapa pia th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html
Asante sana
Fatuma Ahmmed th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Unpatiasana,ok
Big,up.kaka
Yeah... nimependa ilo somo,
Utangulizi ama ile introduction,ni mrefu mno.Pamoja na hayo una busara Sana Mkuu.
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi lakini nikumwomba Mungu atusaidie
Aamiin
Baraka Bahati th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html jifunze hapa pia
Baraka Bahati th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hap pia
Ok
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri,na mafunzo kaka ezden
Success p, thanks.
thank you to teach many thing
Ubarikiwe sana Brother kwa Elimu hii unayotujenga kila kukicha 🙏💪💎🤞🤝
seriously hawa watu wako Asante bro kwa ushauri wako
wewe ni sawa na mwalimu wangu asante sana kwa mafundisho yako mungu akubariki sana sana,
Abeid Myovela th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Kak ww n mwlm akka unanfunza meng asantee
Kweli kbs wako watu wengi wenye kupotosha unapo mfata kiushauri, ama kuanzisha kzi flani anakuvunja moyo anakushauri ningumu sna huezi fanya
kiukweli kaka uko vizuri unatusaidia sana endelea kutupa masomo zaidi
🙏🙏🙏🙏🙏mkuu
Kikubwa ujasili Mungu mbele....tupo kwenye vita nzito sana
baba mily ,kweli tupo kwenye vita nzito,kikubwa kumtanguliza Mungu katika kila jambo,maana siku hizi hata ndugu yako aweza kuwa kikwazo kwako
baba mily th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifu
Baba mily Sana Sana
Kweli broo mambo hayo yapo mtaani.
Asante sana my brother🙏
💯
cool
Gloria Malisa th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Thnx bro may Allah bless you 🙏
U can't believe what u have been said it happening to my real family brother and his wife to me. But am pull up
MKUGA TV left them now
Well spoken. Je na wale wanao kuhusudu kwa kugusa jicho lake kwako wakati yeye ana pesa kukuliko. Je watu hao nao wanaitwaje?
Congratulations brother I have nothing to add or subtract all u have speak it's true weldone u always teach points 👏👏💃
Jemai th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html jifunze hapa pia
@@successdna5644 lol on lll la pp poll la LL
@@successdna5644
Loll Lpp
P
Lol
Plll
Ppplp
P
P
P
P
L
Plpl
L
Ppp
P
Nimekutana nao sana, sikufahamu kama wanamadhara kiafya, asante #Ezdan sasa n mwendo wa🏃🏃
Nice Brother, wasio kuelewa ndiyo hao mavampire
😀😀😀😀Aisee jamaa wa aina hiyo wamenitesa sana
Success path each one teach one, since kiss collabo mix show
Frank Philipo th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html jifunze hapa pia
Nimekuelewa bro
kaka nimekibari mafundisho yako watu awatunaishi nao uku mtaani
#EachOneTeachOne❤❤❤❤
Nakuelewa Ezden big up
Esther Michael th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
@@successdna5644 hongera na wewe kwa kazi unayofanya songa mbele zaidi
Ahsante Esther , help to subscribe and share my channel to others
Luvanda
Ngoja niwashuulikie ao pimbi
unanifunza mambo mengi bro God bless you
Odilia Mmanga th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Kweli kabisa mimi huwa nawapiga standoff mapema sitakagi ujinga kabisa
Ni kweli kaka angu yani ni kweli kuna dada nimepanga nae nyumba moja yani anahasira na mimi sana kila nikirudi kutoka kazini anakasirika na nikimkosea kidogo yani kaka ananiambia maneno mabaya tofauti na yale yaliopo pale yani ninashida nae jamani
dah wee jamaa unajuwa sana mm kweli nisha kutana nayo hayo maeneo ya mbagala yani ukifanya jambo la maendeleo utasikia huyu jamaa anaringa yani maneno maneno tu
Nasry Shabany th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Sana bro
Ibrahim Timoth th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Y/w-d-xo.html jifunze hapa pia
Bro very tachable
Yahya Abdallah th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Kabisa is true
Unatoa zaidi ya Tiba bro'
Chali Macochali th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Kweri bro kama mm nkona mwenye ananinyonya damu bro kila nikiongea nayeye nikulalamika alafu akupi nafazi ya kuongea sijui nifanyeje bro Njumanne
Asant Bro unanisomesha sana
Ezra Wakitambo th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Assalaam alaykum. Shkrn sana kwa somo zuri sana, ila mziki umetoa raha ya kuskiza vizuri. Ingekuwa bora bila mziki.
Waaleykum salaam. Asante, nitafanyia kazi
Huyu ndio wale wale watu wa kulaumu
Exactly watu hawa wapo wanakera bila hata kuwakosea mm nina rafik ktk hizo tabia ulizozitaja anazo n ubaya zaid ameona n muepuka hikivo ameamua kujenga urafiki n roomate wangu nakumpandikiza chuki kipind cha chuo n kingine Zaid haishi kunidiscuss life yangu. Ndomana nilijitenga nae nikawa najiuliza mbn niko hivo n hata nikileta ukaribu moyo wang hautaki. Cha msingi nikujua ishi nao na uwavumilie kwa kuepuka nao
Dudubayatz aje hapa tumemchoka na lawama zake kwa clouds
Namekuelewa sana
Muba Mdetele th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifu ze hapa pia
Walah kwel akikujaza maneno hatakma ulikuwa upo vizur unajihisi hali ya kuwa tofaut Kwa kulalamika kwake sasa inakuaje na ndo unaishi nae make ni vampire hatar
fact 100%
LINDI YOUTH ORGANIZATION. th-cam.com/video/XcMZT3fqy2Yj/w-d-xo.htmlifunze hapa pia
Thanks brother Ila kwanini nilipiga hatua mazingira yananirejesha nyuma
Yaan hawa watu wanapatikana kilamahali, dah!
Tunao hasa kwenye jamii zetu.