Kusilimu kwangu 2012 na kuanza kusoma kwangu 2013 nakulikua hapa uganda 2015 nikaenda mambrui sikuelewa masomo illa mpaka hivi sasa naomba mungu ametueka pamoya na ustadh mpaka katika ukombozi ya dunia
Shekhe mtu amefariki ulikudanganya nn mbn unajikuta swahaba aisee mtume kasema tajeni mema ya maiti wenu na mjizuilie na mabaya yao wewe nini kinakuwasha kama mungu amesha mpa mema yake wewe shida yako nni acha kibri
@@yasirshee3152 Hile nilisikia pia, mama alimuahidi shekhe kwamba "sitokufa mpaka nisilimu....." Aloo halafu eti wanamuona Mwanachuoni mkubwa kumbe hana moja hana mbili Kama alivyosema imamu Shafi tu..mtu hawi sufi asubuhi isipokuwa utamkuta mchana tu kashakuwa mpumbavu
Allahuma khufir shekh sharif albeith
Mashaallah Allah atujaalie katika mawalii wake
Mashaallah sheikh wetu mungu akupe maisha marefu yenye manufaa inshaallah
Mashaallah allah allah akurehemu shariif
Kusilimu kwangu 2012 na kuanza kusoma kwangu 2013 nakulikua hapa uganda 2015 nikaenda mambrui sikuelewa masomo illa mpaka hivi sasa naomba mungu ametueka pamoya na ustadh mpaka katika ukombozi ya dunia
Mimi ni shahidi Kwa waliyullah nilioona mungu anawaezesha ALLAH Akbar
We ni mgonjwa kama msemaji
@KhamisiMulusi kweli maneno yako 💯👍
MaashaaAllah. Jazaakallahul khair
MashaALLAH tupe darasa kamili
th-cam.com/video/yUSx66ITzxw/w-d-xo.html
Swah
@@ALIFAZA shukran
Akupe darsa ama akudanganye nawewe ulivyo zuzu waamini kwani nyinyi akili zenu hazipigi sio hazina akili akili zenu
@@masjiddarulssalamsouthb5727 Asante
MashaAllah❤
Huyu alikuwa.mrongo sanaa
Shekhe mtu amefariki ulikudanganya nn mbn unajikuta swahaba aisee mtume kasema tajeni mema ya maiti wenu na mjizuilie na mabaya yao wewe nini kinakuwasha kama mungu amesha mpa mema yake wewe shida yako nni acha kibri
Wasingeziweka hizi video zake, zimejaa urongo.
إذا ساء فعل المرء سائت ظنونه
@@abubakarymaulidy5681
@@eddieeddie2755
إذا ساء فعل المرء سائت ظنونه
Kuamini kutokuamini ni imani yko kwn alikutia kamba na shemere uamini ukisemacho ikiw hupendi maneno yke usiwe mfuasi kukataza anachokifikisha kw wngn.
Mi najiulizaga au hawa masheikh wakisufi wanaangaliaga movies kisha ndo wanakuja kuwasimulia watu kwenye duruus zao😂,
Hahaha kwa urongo mumechukua vikombe.
Hawa masufi ni waongo sana, wazee kwa vijana wanashindana na kwa uongo.
MIREMBE KUNA NAFASI ZIPO FALA WEWE
Kama si urongo tuambie hivo visa kavitolea wapi?
@@eddieeddie2755 umesoma vitabu vingap
@eddieeddie2755 kwenye vitabu
Ukimuona mtu anapinga basi jua anayepinga hakusoma. Mawahabi hawasomi inavyotakiwa.
Sasa ww mtaje tu masheikh wenu wanaomshinda ilmu sheikhul Islam ibn taimiyya
@@ExcitedCricketHelmet-wr4sq
Ebu eleza walimu wa ibnu taimiya.
😊😅😮
Wallah ukhurafi ni maradhi nzito hata hana haya akiongea hivi mwongo kweli kweli na ashaa tangulia tumuogope Allah
Wewe huja soma kama wa pinga n'a mawali andika Mara pili kuwa hui shh muongo.
Nataman Nimuone huyu shekhe hakika Ni Maktaba iliyosheheni
Ashafariki
Mwenye enzi mungu amrehemu fadhwilat Shaykh al alimul alama Seyyid Muhammad Albeidh
ALLAH amrahamu ameshatangulia mbele ya haki
Hivi visa maraajii yake ni wapi?? Na je vimeswihi?
Wewe mwenyekuuliza umeswihi?
Visa havikuswihi jee unalo la kuswihi? Tupe nasi faida.
Hhhhh huyu unaetaka kujua kama visa vyake vimesihi humfikii hata 1% ya elimu yake
Ukiona mtu anauliza maswali haya ujue ni wahabi
unaweza kuvitafuta minajili yake
Utamjibu nini allah kwa urongo huu
Shukran sana kwa ukweli wako.....Allah akuzidishie
Aloo hili jamaa ni ongo balaa
Hawa masufi ni waongo sana
kama masharifu wanalolitaka hua basi wawo nimiungu
Mrongo tu acha ujinga we mzee wadanganya watu tu huna dalili na unavyo vizungumza
Ww una dalili mtume s a w aliwatabiri nyinyii munao tusi wanazuoni huna hishima hata wazazi wako huwahishimu
we kuwa na adabu uyo si mwanao usi heshimu elimu yake lkn heshimu umri wake mbuzi we
Simba shimoni wiki nzima alitolewa msitu gani huyo simba??hata mvuta bangi haweki kubali hizo stories
na wasi na imani yako
Beidh ni ongo kama masufi wenziwe akina jufri
@@rukiakhamis-le6kg hawa masufi wanamkubali hata kama ni urongo hawapingi
@@rukiakhamis-le6kg ata kuna day alisema mama alikufufuka akasema shahada akarudi akafa tena
Kisha wafuasi wakaamini wakipiga takbir
@@yasirshee3152 Hile nilisikia pia, mama alimuahidi shekhe kwamba "sitokufa mpaka nisilimu....." Aloo halafu eti wanamuona Mwanachuoni mkubwa kumbe hana moja hana mbili
Kama alivyosema imamu Shafi tu..mtu hawi sufi asubuhi isipokuwa utamkuta mchana tu kashakuwa mpumbavu