TUNDU LISSU AICHARUKIA SERIKALI MAPENZI YA JINSIA MOJA-"TUMETUNGIWA SHERIA KALI, WAMEFUNGA WANGAPI?"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 186

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @lubambilubambi8681
    @lubambilubambi8681 ปีที่แล้ว +7

    Excellent Tundu Lisu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +19

    Tundu lisu hata kama tunapingana kisela, maono, ila leo umesema ukweli.

  • @amlikendelwa8974
    @amlikendelwa8974 ปีที่แล้ว +23

    Sijui kwa nini watu hawamuelewi Lisu,kwa sababu mara zote napotoa hotuba ama anapowasilisha maoni yake kuhusu jambo lolote,huwa anajikita sana kwenye sheria kuliko mitazamo na fikra zake binafsi,na kwa kawaida mtu anajadili au kutoa ufafanuzi wa jambo katika muktadha sheria,ni ngumu kuwa wrong, nafikiri chuki binafsi huwatia watu upofu wasione umakini na usahihi wake katika hoja na hotuba zake,na hili nalo ni tatizo kubwa. Haijalishi watu wangapi hawaoni umuhimu wa huyu mtu kwenye hili Taifa,ni wazi kwamba Lisu tumamhitaji sana na mtu makini sana niliyetokea kumfahamu nchini Tanzania. Pengine ndio sababu yuko hai hata sasa.

    • @drsumatz7539
      @drsumatz7539 ปีที่แล้ว +3

      Kaka nataman tupate lunch yapamoja sku moja aseeee . Umenigusa sana kwa maoni yako

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 ปีที่แล้ว +1

      Àsante sana kakaangu mwenye akili nyingi@Amlike

    • @amlikendelwa8974
      @amlikendelwa8974 ปีที่แล้ว

      @@drsumatz7539 😃 Asante ndugu.

    • @amlikendelwa8974
      @amlikendelwa8974 ปีที่แล้ว

      @@zuleyvendor6577 Asante

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว +1

      Nikukumbushe tu kwamba wengi ni wakurupukaji. Na hawawezi kupata dhana hapo. Uvivu wa kufikiri ni tatizo. Na hapo ndipo kwenye ilee 80% na 20% ya maamuzi ya waTz kufuata mfumo.

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 ปีที่แล้ว

    TRUE DR. TUNDULISU

  • @almostaphiqarlown158
    @almostaphiqarlown158 ปีที่แล้ว +2

    Point Sana Baba Lissu

  • @hashakishabani4896
    @hashakishabani4896 ปีที่แล้ว +14

    Mh.lisu ameongea ukweli kabisa ndugu mungu akubariki sana

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว +12

    Leo ndo nmekuelewa lisu Sana. serikali yetu ipo kmy kwenye kkemea ushoga nchii inazinguwa inapenda misaada Sana ndo Mana awatak ktoa tamko Kali kuusu ushoga

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 ปีที่แล้ว +3

    Baba sisemi asante, bali nina sema tunakushukuru kwa hufafanuzi mzuri kwa wanetu.

  • @ramadhanichuma7925
    @ramadhanichuma7925 ปีที่แล้ว +4

    Genius

  • @TaitasBang-qi5lh
    @TaitasBang-qi5lh ปีที่แล้ว

    Upo sahihi lisu

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 ปีที่แล้ว

    Asante Lissu kwa hili nimekuelewa Vema.

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 ปีที่แล้ว

    Lissu

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 ปีที่แล้ว +2

    Upo sawa ifatwe shetia aseme uwaz samia

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana lisu

  • @lucaspaulo5371
    @lucaspaulo5371 ปีที่แล้ว +11

    Lisu leo nimekuelewa sana nilikuchukia tu kumtukana Magufuli ila kwa sasa nipo na wewe mpaka 2025

    • @paulokiwango21
      @paulokiwango21 ปีที่แล้ว

      Alimtukana coz anaamini alikuw hasimu wake mkubwa ila anyway alimtukan maybe hasira ila anajtahdig kwa hoja sana yuko vzur

  • @amlikendelwa8974
    @amlikendelwa8974 ปีที่แล้ว +14

    Tulipofikia sasa kila binadamu anamhitaji MUNGU seriously,hali ni mbaya kuliko neno lenyewe,tuliowatazamia kusimamia na kutuongoza katika kuimarisha uadilifu na maadili katika jamii(viongozi wa dini mbalimbali) nao wamekengeuka wanafanya yaleyale waliyotakiwa kuyakataza,hakuna cha Askofu,mchungaji,Shekh,Imam,wala kiongozi wa ki-siasa,wote wana kashfa. Mtu pekee aliyebaki ni MUNGU/MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA NA VYOTE VILIVYOMO. Ni wakati wa kumtafuta MUNGU binafsi bila kumuangalia wa kulia wala kushoto kwako maana hakuna wa kumwamini kati yetu.

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc ปีที่แล้ว +14

    mimi pia nalia na serekali yetu kwa nini hawaweki sheria kali

    • @johnycavishe5207
      @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว

      Wanazinguwa

    • @geofreykapela3998
      @geofreykapela3998 ปีที่แล้ว +1

      Washakul hela za mabeber wanao support ushog ndo maan hawawek Waz kipi kifanyike kwa mashoga zaid zinaendlea tu propaganda tu za kisiasa. Na nafikir hay ndo matokeo ya mikopo ya riba nafuu.

    • @barakadanieli1440
      @barakadanieli1440 ปีที่แล้ว

      ​@@geofreykapela3998 kweli kabsa wapinga ushoga kwa Lugha ya kubembeleza Sana reaction za waz hawatoi cjui kwanini tu

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 ปีที่แล้ว

      Sheria Kali ipo ila haisimamiwi, na lingine iongezwe makali zaidi kuthibiti Mazingira mapya ya kueneza ushoga ambayo ymahitokeza Sasa.

  • @yohanamkunga6790
    @yohanamkunga6790 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe tulitungiwa. SHERIA ya 90

  • @pastor_mashimo
    @pastor_mashimo ปีที่แล้ว +11

    Naitwa Mchungaji wa Taifa Daudi Mashimo, na chukua hatua hii kupongeza Mh Tundu Lisu. Kwa KUSEMA ukweli juu ya ushonga

    • @kingmandama8382
      @kingmandama8382 ปีที่แล้ว +1

      🙏

    • @magidachimija5599
      @magidachimija5599 ปีที่แล้ว +2

      Mchungaji pita huku💥💥

    • @nekaagripa3993
      @nekaagripa3993 ปีที่แล้ว +1

      Mch.wa taifa la baba ako

    • @aziziatumanially424
      @aziziatumanially424 ปีที่แล้ว

      Uku nabii mkuu uku mchungaji wa Taifa mwenzio aliupatia mbinguni wewe umepatia wap acheni njaa mbwa nyie

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 ปีที่แล้ว

    Super gurus.

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn ปีที่แล้ว +1

    Namuelewa sanaa huyu jamaa

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 ปีที่แล้ว

    Kwanini Sheria Tutungiwe Na Wazungu, Kwanini Kila Jambo Tuambiwe Na Wazungu,Mimi Maisha Yangu Saizi Sitaki Kujiita Nina Viongozi,Nina Viongozi Vipofu Tu,Na Wasinishawishi Kwachochote Wala Kuniongoza Nitaomba Mungu Aniongoze Pekee Yake.Kwa Wanadamu Hakuna Msaada Ila Kumechafuka Natamani Hata Arudi Leo Kuihukumu Dunia Juu Dhambi Hii.

  • @otianasanga9106
    @otianasanga9106 ปีที่แล้ว +1

    Asantee lisu.ndiomana MUNGU alikuepusha anakazi nawewe wewe nimpasua miamba Ile clip niwatu TU wenye roho mbaya kazi Yao nilichafua watu

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 ปีที่แล้ว +6

    HUYU ANATAKIWA AWE MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว

      Unakuja kazi za mwanasheria mkuu wa serikali?

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว

      Mtendaji mkuu wa dola.

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 ปีที่แล้ว

    Lisu nimekuelewa sana

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 ปีที่แล้ว

    Lisu

  • @jumangozi2720
    @jumangozi2720 ปีที่แล้ว

    Huyu muandishi sijui kama vip

  • @mwlpaulnghumbujanila6264
    @mwlpaulnghumbujanila6264 ปีที่แล้ว +2

    Mm naona viongozi wengi na wanasiasa wanajikanyaga sana kwenye hili, aliyejaribu kulikemea nae alijaribu tu, ni Hayati Magufuli tu, lakin wengine wanawaogopa wazungu, na wanawaogopa wananchi wao sijui watawachukia pengine wawanyime kura mm sielew. Sasa anagalia Mh. Lisu amesema vizur kumbe tunasheria tena nzur tu, yeye wakati akiwa Mb. alifanya nini kwenye hili, kwan yeye hakuwa na nafasi ya kulizungumzia!!!???? Nampongeza amesema vizur kwamba, hakuna wa kumnyooshea kidole kwenye hili, basi nayeye asiwalaumu CCM, kwako studio🎤

    • @hoseastephen4508
      @hoseastephen4508 ปีที่แล้ว

      Kiukweli kwa Tanzania ushoga haujawahi kukemewa/ kuchukuliwa hatua kwa dhati zaidi ya janjajanja kila mwenye macho anaona ndio maana hata Makonda serikali ilimkana kwamba ni msimamo wake binafsi na sio wa serikali.

    • @ghettoboysmusic7118
      @ghettoboysmusic7118 ปีที่แล้ว

      Magufuri alikemea lini na aliwafunga wangap?

  • @PastorHenryAluodo.
    @PastorHenryAluodo. 5 หลายเดือนก่อน

    hatimaye nimekuelewa kiongz

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi ปีที่แล้ว +2

    Huyo nd'o Tundu lisu bwana hakwepeshi,anatandika kwenye mshono paaaap!😂😂😂

  • @ANDREWKAZUNGU-gt7lb
    @ANDREWKAZUNGU-gt7lb ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hyoo

  • @mabagaplatnum8307
    @mabagaplatnum8307 ปีที่แล้ว

    Hatujachelewa bado safar ipo ila tuwe tayar kukabiliana najanga hili laushoga

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 ปีที่แล้ว +1

    Mheshimiwa nakuelewa sana

  • @charlesjoseph1081
    @charlesjoseph1081 ปีที่แล้ว +2

    Kweli Tundu wamechelewa kalamata weye muuza tako

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว

    Mwanahabari kakutana na kichwa cha msomi aliyebobea,Sheria zipo na viongozi wa dini wapo wanafanya nini swali zuri sana

  • @nahumumgwama2280
    @nahumumgwama2280 ปีที่แล้ว +2

    Selikaliya ya Hii inchi wanatuona mandondosha Sana laia wake

  • @wanainchitvrdc6705
    @wanainchitvrdc6705 ปีที่แล้ว

    Excellent

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 ปีที่แล้ว

    Lissu raisi

  • @kitumainikubatu3182
    @kitumainikubatu3182 ปีที่แล้ว

    Nilisema wakati mwingine, congo ikipata watu kama Lissu tusingekuwa kama tulivyo. lakini baadhi ya wa tanzania wanamudharau.

  • @mymuamsrrr7884
    @mymuamsrrr7884 ปีที่แล้ว

    Mabasha ndio wanatakiwa kushikwa ???mhh!!!!! Hapooo sasa Ngoma Italia jiruuuuuu

  • @faraigarincha2136
    @faraigarincha2136 ปีที่แล้ว

    Tatizo lissu kila kitu siasa badala ya maoni wew serikali na ccm ndio ulicho kalili

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +1

    Tunamashoga ndani ya serikali. Ndo maaana makamu wake marekani walisain kimya kimya.

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 ปีที่แล้ว

    mama,samia toa sheria tujue mojaa uganda washatoa sheria kwa mishoga iuliwe

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 ปีที่แล้ว +2

    Ushoga ni raana kubwa

  • @geofreynyigo-qy1hu
    @geofreynyigo-qy1hu ปีที่แล้ว

    Wanasiasa wengine bn ,sura vinyonga...ushoga hapana!!!!

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 ปีที่แล้ว

    Si kweli kama sheria ilikuwa grand fathered ina maana haikuwa sheria baada ya kupata Uhuru. Swali lingekuwa je kabla ya Uhuru wangapi walifungwa?

  • @wilbertjosephat1615
    @wilbertjosephat1615 ปีที่แล้ว

    UNA NIFAHAMU!😀😀

  • @mashannapapaaa9582
    @mashannapapaaa9582 ปีที่แล้ว +1

    Tundulisu uchambuzi naufafanuziwako niwakisomizaidi pia uko makini kuliko maviongozi mabunju yaliopo kwenyemadalaka kwakubebwa mugongoni

  • @zakariakashiri7082
    @zakariakashiri7082 ปีที่แล้ว +7

    Lisu ulianza kudadavua vizuri sana,juu ya sheria yetu ambayo unadai kwamba tume copy kutoka kwa uingereza sikatai lakini swali la msingi unalikimbia hapo,uwezi kusema eti kwasababu wazungu ndio waliotunga sheria kali juu ya vitendo vya kishoga leo washindwe kuwa sehemu ya kuupigia chapuo huo ushoga,mi ninachofahamu ukisema ufate historia ata shetani alikuwa Malaika wa heri kabisa aliitwa Lucifer,lakini leo amekuwa mbaya sana kwa sisi wanadamu kwaiyo atakama wazungu ndio waliotunga hizo sheria hivi uwezi kuamini kwamba watu ubadilika??? Ukiulizwa swali kwanini usitoe majibu unaanza kujiumauma,kuna nini Chadema mbona mnakuwa wazito kuonyesha msimamo wetu katika hili janga????

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 ปีที่แล้ว +7

      Swali kalijibu tangu aentensi ya kwanza bila kutafuna maneno. USHOGA SIO HAKI ZA BINADAMU. Au hukumsikia. Alafu tangu lini iki kichwa kikashindwa na swali

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 ปีที่แล้ว +2

      Jitahidi kujifunza na kuelewa kabla hujatoa maoni.

    • @zakariakashiri7082
      @zakariakashiri7082 ปีที่แล้ว +1

      @@richardnganya2311 we nawe hivi kweli umesoma vizuri nilichokiandika au unajibu tu pasipo kusoma na kuelewa??? rudia rudia kusoma comment yangu hope utaelewa vizuri.

    • @zawadimbwambo1091
      @zawadimbwambo1091 ปีที่แล้ว +4

      Unajitahidi kutaka kumhusisha unavyojua wewe lakini kwa huyu , umefeli anauwezo ambao kwa udogo wa akili zako ukijitahidi kumkosoa lazima uonekane mjinga tu, kwahio pumzika tu,

    • @zakariakashiri7082
      @zakariakashiri7082 ปีที่แล้ว +1

      @@zawadimbwambo1091 anhaaa,hii comment inaonyesha ni kwa namna gani Taifa hili Lina watu wengi wenye changamoto ya Akili ikiwemo wewe zawadi Mbwambo,,badala ya kujibu hoja kistarabu unaanza kutukana haya mambo hayataki hasira kuwa makini na mwanasiasa ndugu yangu huyu ndie yule ambae alituaminisha na kuwataja mafisadi papa pale kiwanja cha mwembe yanga,alafu badae akasimama kutetea yule alie mtuhumu kuwaelewa wanasiasa unatakiwa uwe na upeo mkubwa sana wa kufikiri,mimi nilitamani Aseme moja kwa moja kwa mtazamo wake kwamba ushoga ni mbaya na autakiwi kwa Taifa hili.

  • @JoramKasenga-ig2gk
    @JoramKasenga-ig2gk ปีที่แล้ว +1

    Wambie ukweli

  • @saidymsensemi1783
    @saidymsensemi1783 ปีที่แล้ว

    Tundurissureo

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 3 หลายเดือนก่อน

    Maaskofu wamelaumiwa kila sehemu duniani.

  • @Christvoicechannel
    @Christvoicechannel ปีที่แล้ว

    Anajua hatapata uraisi , akisema , aasubiri aingie, ama kweli nyoka anapovunga kufa, unaweza ukafikiri kafa

  • @manilabonalumanula9210
    @manilabonalumanula9210 ปีที่แล้ว

    Kwa kuwa hakuna waliofungwa, maana yake ni kuogopa kukosa misaada ama serikalini nako kuna mashoga?

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 ปีที่แล้ว

    Sina itikadi ya kuipenda CHADEMA hata siku moja ila Lissu akiwa na moyo wa haki na uzalendo ndani ya hii nchi ni mtu makini sana kikubwa tu Mungu amsimamie sana asikengeuke.

    • @YohanaPetro-xv9tp
      @YohanaPetro-xv9tp ปีที่แล้ว

      Kwani Hana uzarendo au ndoyaleyale ya ccm Kila mwana ccm ni Zilo unataka Uzarendo Gani Sasa ukweli ampendi kuambiwa

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 ปีที่แล้ว

    Mimi nadhan hili swala mnavyozidi kuliongelea na kulifanyia media tour ndo linazidi kutangazwa na kilipa nguvu hadi vizazi vidogo vilijuwe,mtazamo tu nadhan lingepuuzwa lingepotea.

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 ปีที่แล้ว

    Walewale

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 ปีที่แล้ว

    Lisu akili nyingi sanaaaa

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk ปีที่แล้ว

    Mbona nahisi kama mnakigugumizi kuhusu issue ya ushoga? Si useme tu haufai na huaikubaliki.

  • @johnjoycemalusu4886
    @johnjoycemalusu4886 ปีที่แล้ว

    Naitwa Mario malusu, nampongeza lissu kupinga vikali maswala ya ushoga na usagaji.

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 ปีที่แล้ว

    ushoga ni ushenzi!!
    ni upumbavu
    ni ushetani
    mwanamume mwenye akili timamu huwezi kukubali kufanyiwa ushenzi wa aina hiyo!
    wanaume wanaofanyiwa ushenzi huo akili zao haziko sawa

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 ปีที่แล้ว

    ***Ana unguli gani?***

  • @JoshuaKaru-ub5nb
    @JoshuaKaru-ub5nb ปีที่แล้ว

    Apo tundulisu nimekuerewasana viongoziwetu wanaupamba ushoga

  • @happyodran4347
    @happyodran4347 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma leo Lissu ... ukweli mtupu tusiingizie wazungu sana

  • @asedymbwilo7216
    @asedymbwilo7216 ปีที่แล้ว

    Lisu tusaidie maana sauti yako ni fimbo ya tz

  • @Christvoicechannel
    @Christvoicechannel ปีที่แล้ว

    Tundu lissu , hukuwa unasema hiyo ni haki ya faragha? , hukuwa ukituhubiria kuwa serikali haina haki ya kuingilia haki ya faragha? , sasa leo mbona unaruka?

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    AKIRUDI,,ANAINANGA TU CCM AFU ANASEPA,,SINA INTEREST NA VIONGOZI DIZAINI HII,,

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 ปีที่แล้ว +1

    Shida nchi hii usalama wa taifa upo kwa kulinda viongozi wa mcc tu bcz mpaka taasisi isajiliwe na serikali ianze kufanya mambo kinyume na sheria serikali ipo tu haisemi kitu.

  • @gessanabuu99
    @gessanabuu99 ปีที่แล้ว

    Kwahyo ww lisu Unasemaje kuhusu Ushoga? Unaunga mkono sheria kweli?

  • @shabanadam4476
    @shabanadam4476 ปีที่แล้ว +1

    Too much learner

  • @karloladislaus45
    @karloladislaus45 ปีที่แล้ว +2

    Ndugu mwana habari amekutawanya sanaaa.... Kama ukitumwa basi umeonja joto😂😂

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 ปีที่แล้ว

    Shida inakuja sehemu moja labda watu wanahidi misaada ambayo tunakopeshwa wao hawafaidiki kabisa wakati c kweli unapaotaka Umeme ukufikie Kijijini kwenu na maji lazima tukope leo hii mlimani cty ambayo mnajivunia nayo Ile imejengwa kwa mkopo na bado tunaendelea kulipia na maeneo mengi tunayotumia tumekopa

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa ungeongeza na kuwa MUNGU anachukia Sana vitendo hivyo

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว

    Watueleze wamefunga wangapi? Ni unafki tu Makanda walimgeuka akawekewa marufuku kwenda Marekani

  • @gaspercharles4242
    @gaspercharles4242 ปีที่แล้ว

    Huyo mtangazaji hatoshi anasemaje eti kunawazazi wanaleawatoto ktka malezihayo machafu yaushoga;,kunawatu mlm na akilizaotimamu wakikopi nakupesiti eti hakizabinadamu .

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว

    Mjukuu wa chief KESHO FANYA BREAKING NEWS

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Acha kuitana waheshimiwa.Muite Ndugu

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว

    Ooh OK, sasa tumegundua kumbe serikali nayo inapenda ushoga, la sivyo wange fanya kama Uganda. Kesho mtatukoma mnao jiita serikali.

  • @hamisimuhunzi7916
    @hamisimuhunzi7916 ปีที่แล้ว +3

    Hilo ndio tatizo la Mtanzania!!? watu Tanzania wana njaa kwa sbb ya mapenzi ya jinsia moja?? inabidi sasa tuanze kudili na matatizo ya mtanzania ambayo ni wizi wa mali za umma unaofanywa na serikali ya CCM..watu wanakufa mahospitalini kwa kukosa huduma kwa sbb pesa zinaibiwa na wezi ambao ni vuongozi wa ccm??

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 ปีที่แล้ว

    Ni kweli lakini hatujui mazingira yalikuwaje pia hatujui akili za hao waliopenyezewa hio sheria leo sisi kwetu kama tumeona ni mbaya sio kosa kurekebisha kwani ni dhambi kurekebisha

  • @teddymashells2601
    @teddymashells2601 ปีที่แล้ว

    kwa sababu na hao wamo katika kuusapoti ushoga.

  • @yohanakihumi1356
    @yohanakihumi1356 ปีที่แล้ว

    We lissu Naye ni shoga tu

  • @tinolutonja8932
    @tinolutonja8932 ปีที่แล้ว

    hii

  • @EagleCrown-pb9qv
    @EagleCrown-pb9qv ปีที่แล้ว

    Chadema mkiulizwa swali linalohusu ushoga Kwa nn Huwa mnakwepa kwepa Sana.?? Lena alivyohojiwa alikwepa na wewe Leo unakwepa Kwa nn msinyooke tu msimamo wenu pasipokupindisha???

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk ปีที่แล้ว

    Nilichogundua ni kwamba Hawa watu wanakwepa swali la msingi LEMA kakwepa LISSU naye kakwepa mtafute na MBOWE pia na watu WA serekalini watafute WA sisiem bila kumsahau ZITTO KABWE.

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 ปีที่แล้ว

    Chadomo Sera yao ni ushoga ukiwauliza kuhusu ushoga hawana jibu sahihi

    • @severinmagwaya6453
      @severinmagwaya6453 ปีที่แล้ว

      Wao ni nchi? CCM wanasemaje? ACT mmewauliza? vyama vingine? Makanisa yanayofungisha ndoa mmewauliza maaskofu wao?

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 ปีที่แล้ว

    Wale Wale

  • @masoudymichael
    @masoudymichael ปีที่แล้ว +1

    Hapo sema watu wanapindisha wanasema siyo utamaduni wetu wasema Tanzania hatutaki ushoga

    • @1961nungwi
      @1961nungwi ปีที่แล้ว

      Ndio Wana vyosema hivyo, na Sheria hairuhusu.

  • @praygodmakere6273
    @praygodmakere6273 ปีที่แล้ว

    Unanifahamu??😂😂😂

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 ปีที่แล้ว

    Lissu naunga mkono hoja

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 ปีที่แล้ว

    Fedha Ni Sawa Na Ile Namba Ya Uasi 666,Ili Uishi Lazima Uwe Mtumwa Wao,Bora Kufa Masikini

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 ปีที่แล้ว

    Kuna kampeni inaendelea kuhusu wazungu hususani wamarekani na ulaya inaendeshwa na vikundi flani (siwezi taja hapa). Watu wanashindwa kuelewa Marekani pia ni Taifa lenye watu washenzi (Democrat) Kama ilivyo Tanzania (CCM).
    Unaeza kukumbuka Trump alisema nn kuhusu Ushoga?

  • @bettykasase1267
    @bettykasase1267 ปีที่แล้ว

    Anaishi kwao,hawezi kuponda

    • @kassimali2273
      @kassimali2273 ปีที่แล้ว

      Ameongea ukweli m2pu kama serekali haitaki hili jambo wangelikua washawafunga wengi ambao wanajukika haswa

    • @amlikendelwa8974
      @amlikendelwa8974 ปีที่แล้ว

      Sasa ulitaka aseme nini hapo,maana kimsingi hajatoa maoni yake binafsi ila ameturejesha na kutukumbisha kuwa tuna sheria inayokataza USHOGA au MAPENZI YA JINSIA MOJA,na hiyo sheria tunayo muda mrefu,kwa hiyo hakuna maneno mengine aliyotakiwa kusema Lisu zaidi ya hayo. Ni vizuri kujijengea tabia ya kujadili hoja na sio mtu.

  • @eatlawe
    @eatlawe ปีที่แล้ว

    Mimi nimependa uchanmbuzi wa kisomi na kihoja wa Lissu kama mwanasheria. Mwandishi naye amekuwa mtu wa kutaka ndio au hapana. Hii fani ya uandishi nafikiri imejaa unprofessionals wengi. Serikali inataka fedha za wafadhili hivyo sheria iko ili wapate kura. Kunyamaza kwao kutofunga watu inawapa kibali kwa washoga ili wawape fedha. By the way, mashoga wanazo hela za kutosha kwa sababu hawana akiba ya kuwekea watoto. Wanasubiri kufa na kupotea milele!

  • @SANJA0693
    @SANJA0693 ปีที่แล้ว

    hili jamaa shoga hakuna kaz

  • @rahimmasoli5369
    @rahimmasoli5369 ปีที่แล้ว

    Jibu swali umeulizwa nn maoni yako sio ooh ccm jibu sawali nn maoni yako

    • @jambo3751
      @jambo3751 ปีที่แล้ว +1

      Hapa hajadiliwi mtu tunajadili hoja
      Ndio maana anafafanua Sheria ya nchi inasemaje kuhusu mapenzi ya jinsia moja.Sheria ya nchi inawahusu watu wote watakaokuwa ndani ya nchi husika lakini maoni ya mtu yanamhusu mwenyewe.Nashangaa kwanini muulizaji maswali hakumuuliza CHADEMA inasemaje kwasababu CHADEMA ni taasisi lakini eti anamuuliza yeye Kama yeye!Sasa sisi inatuhusu nini ikiwa anaunga mkono au anapinga! Au hata awe shoga itatusaidia nini sisi Kama nchi.
      Waandishi wetu wajaribu kuwa na uweledi katika kazi zao.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Lissu analipwa n a hso mashoga.huu ndio.ukweli wenyewe.Kajisahau😮

    • @hallin9561
      @hallin9561 ปีที่แล้ว +4

      umekimbilia moja kwa moja kukoment bila ya kusikiliza alichoongea, acha kukurupuka

    • @dicksonerasto7105
      @dicksonerasto7105 ปีที่แล้ว

      Duuuu tuna safari ulichokomenti akina uhusiano

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 ปีที่แล้ว

    Wamarekan wanaprint macontena ya karatasi zinazoitwa dollar na kuzileta kwetu kwa mashart sana hebu tukatae tusimame wenyewe

  • @hashakishabani4896
    @hashakishabani4896 ปีที่แล้ว +2

    Mh.lisu anaumuhimu mkubwa sana katika taifa hili akipewa nafasi .huyu jamaa huwa kwenye ukweli hapendishi hana unafiki ndani yake