Kuna wakati huwa nahisi naumwa na najihisi mnyonge na nisieweza kufanya kitu chochote najiona ndio nimefika mwisho yani ukomo wa kufanya mambo ila baada ya kuanza kusikiliza mafundisho yako nimekuwa nikipata matibabu makubwa katika maisha yangu bila kutegemea kama ingewezekana asante sanaa kwa mafundisho yako ❤️🩹🙏
Nice brother kweli kabisa endapo tukipata matatizo tukishalitatuwa tu tunalisahau kabisa na tukipata tena matatizo jengine tunakuwa bora zaidi ya mwanzoni tujifunza kitu kimpya shukran bro Allah akujaliee mafanikio makubwa zawadi unayotegemea aamin
Ni Kweli Naamini hilo, Mimi nishaomba vingi sana kwa Mungu nikapata Nashindwa ata kumsaliti Mungu naogopa Mungu niepushe na hili linalonisumbua kwa wakati huu sitotenda nilichokusudia tenaaaa
Yaan haya maisha ni Kama mchezo wakutengenezwa mi maishan mwangu nikikumbuka mwaka 2019 kwwnzaia mwez watatu mpka tareh 19 mwez wa tano kaka huwa camn Kama naish kwa furaha kaka nilipoteza kijinga Sana kila kitu changu nkabak mwenyew bila kaz na maden kila sehem kaka ckukata tamaa nilimuomba mungu anipe njia salama kaka huwez Amin Kama ulikuwa mkosi mm kuishi eneo lile niliondoka nakukikimbia chumba changu nkaenda mbali nkaanza maisha upya toka tarh 19 mwez wa tano niliondoka nikaenda mbal nilipofka kule nilikokusudia kufika mwenyez mungu alishusha mkono wa baraka kwangu mpka Leo naish kwa furaha na Amna nilishasahau nakufuta kila kitu kuhusu Yale mapito nilopitia, kaka ezden God bless you.
Unatugusa vijana wengi maana maisha bila changamoto bhado hayajawa na ukamilifu wa kuitwa maisha brother.Pongezi zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kukupa maarifa haya na kwa Wazazi wako kwa njinsia zao zote Bless Up Man
Kweli maneno yako na nilitoka kwenye matatizo kwa nguvu za mola wetu. Napenda sana kipindi chako. Mungu akuzidishie elimu zaidi na mafanikio mema. Tu nafaidika na tunapata manufaa.
Nilijalibu mara kadhaa kunukuu Maneno yako na kuandaa khutba za ijumaa Zimeleta Mabadiliko makubwa san katk jamii yetu uku nashukur sana kaka Allah Akuzidishe kila kher na akupe mwisho mwema!
Karibu... Na pole sana kwa lolote unalopitia kwasasa. Nakuombea kwa Mungu akufanyie wepesi na upate uhuru katika hilo. Kama utaweza kumsaidia mtu yoyote leo kwa chochote haijalishi kidogo kiasi gani, lakini weka nia Kwa Mwenyezi Mungu kwa sadaka hiyo akuondolee mitihani uliyonayo, na kwa uwezo wake yeye itakuwa. Amiin
Nashukuru sana Masoud Chegeka kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Is a health consultant, and I work with an American company, called bright future company, and specializes in the study of natural nutritional supplements, the manufacture of nutritional supplements and the distribution of natural nutritional supplements, worldwide, 👉we treat chronic health diseases In humans, for example, 1, hormonal disorders, 2, bone and foot fractures, 3, high blood pressure, 4, diabetes, hypertension, heart 5, testicles, 6, arriving, 7, stomach ulcers, 8, fertility For both men and women 9, U.T.I resistant, resistant to fungus, and irritated parts of seals, 10, overweight n.k, 🤝welcome to EMILY
Asante sana nakumbuka nikiwa shule nimepitia changamoto ya Karo lakini nashukuru Mungu sana ndio naelewa kumbe aliruhusu nikose hili anifunze kujuwa kutafuta,kujituma,ukarimu namtukuza sana Mwenyezi kwa kuruhusu haya.
Mimi uandika mafunzo yako kwenye vitabu na sasa ivi nishafikisha vitabu vinee inanisaidia sana na imeanza kubadilisha maisha yangu haswa ile ya kusaidia watu nimeanza kusaidia watu na kweli nimeanza kuwa na furaha sana moyoni mwangu mungu akuinue zaidi kaka ili uzidi kutuletea mafunzo mazuri ya kubadilisha maisha ya kila mmoja wetu
Leo umenigusa sana Mimi mana napitia changamoto ngumu sana ya kifedha kila ninachofanya hakiendi ni mwezi 1 sasa Yan naishi maisha ambayo sijawahi kuyaishi. Asante kwa uwepo wako Kaka🙏🙏Nakwenda kuinuka tena kwa uwezo wake Mungu.
Nashukuru sana Richard Kigeso kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Asante sana kaka umenigusa sana nakushukuru sana changamoto nazopitia ni nyingi ila nimemuachia allah maana yeye ndiye kila kitu nakuombea kwa allah akupe after njema pia maisha marefu
Nashukuru sana Patricia Fabiani kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya vitabu au kujiunga na group la vitabu nitumie Text / Whatsapp hapa 0759191076
Azden nishawai kutelekezwa na mtoto mchanga Kodi imeisha chakula ndani kimeisha umeme nadaiwa sina hapa pesa ya sabuni ya kufulia nepi za mtoto niliuza vitu vya ndani Kwa bei ya hasara nikarudi kijijini Kwa mama yng huko nilipauka na sikuwa na MTU wa kupokea cm yng mwanaume yupo anakula BATA huko same alipoenda kikazi nikawa nikipiga cm anapokea mwanamke huku akinikatisha tamaa kwamba life yng imeisha lkn namshukuru mungu japo nilimuacha mtoto na mama yng akiwa na mwaka na nusu nikapata argent nikatengeneza passport na Niko nje ya nchi navuna mema ya nchi aliyo nibariki mungu sio wa kulipa tena Kodi wala kudaiwa chochote nashukuru mungu na sintokata tamaa wale walio kuwa wakinibeza Leo wananiomba hata Ile laki mbili Tu wafungue genge wallah mungu anajibu maombi Kwa wkt sahihi Sana mungu akubariki Kaka Ezden hunijui lkn mm nakufatilia mno unazidi kunijenga na kunikomaza kiakili na fikra ....🙏🙏🙏
Mm mpaka apa nimeshatatuwa tatizo kubwa sn ambalo lilikuwa linataka kunipelekea maisha yangu kageuka na kuwa history bro lkn namshukuru mungu San niliweza litatuwa na mpaka sasa nilisahau ila tatizo ambalo linataka kunitoa njian kwasasa bro watu tu ambao wamekukuta katika kazi bc tu wanataka kuleta upinzan Na chuki San Yan ilo swara linanifanya nakuwa Na hofu ya kufell naitaj kujua zaidi kutoka kwako bro 🙏🙏🙏💬👈
Kuna kipindi nilikata tamaa ktk mtihan wangu wa taifa lkn namshukuru mungu nilipatw na ujasir ambao hata mm sielew ulitokea vp lkn bila shaka. niliweza. Kuushinda
Nashukuru sana Benny Benedict kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Nashukuru sana Medson Starlon kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Nilishtakiwaga nikawa kwenye wakati mgum wakati huo lakini kulitokea baadha ya watu kwenye hio familia ilio nishtaki wakanitetea nilishangah sana nikamshukur mungu
Kujiunga na group la SPN BOOKS CLUB
Tuma whatsapp text : SPN BOOKS CLUB kwenda 0759191076
i guess I'm kinda off topic but do anyone know a good place to watch newly released series online ?
@Kash Nicholas flixportal xD
@Cameron Makai thanks, I signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !
@Kash Nicholas happy to help :)
SPN BOOKS CLUB
Nilikuwa Sina pakukaa naishi kwa marafiki ndugu mpka kulala nje leo nimepanga na maisha yangu na kitendea kazi,namshukuru mungu kwa Kila Jambo
Kuna wakati huwa nahisi naumwa na najihisi mnyonge na nisieweza kufanya kitu chochote najiona ndio nimefika mwisho yani ukomo wa kufanya mambo ila baada ya kuanza kusikiliza mafundisho yako nimekuwa nikipata matibabu makubwa katika maisha yangu bila kutegemea kama ingewezekana asante sanaa kwa mafundisho yako ❤️🩹🙏
1:Muombe mwenyezi Mungu. 2:Jenga mtazamo chanya wenye nguvu. 3:Hauko pekee yako. 4:jitahidi mambo yaliyo pita yawe yamepita,yasikushughulishe. 5:Fahamu kuwa Mwenyezi Mungu haezi kukupa changamoto huezi tatua.
Asalam alaikum. Brother Julianne, nimekuelewa sana darasa lako Mw/Mungu akipenda nitaomba nikuone.
Asante mpenz hua ninajilaumu sana na kila ninapopitia changamoto hua najuta nakulia maisha nilopitia nyuma labda ndo chanzo, nmependa comment yako
Maa shallhwah
Shukran kwa ujumbe ,,
Nice brother kweli kabisa endapo tukipata matatizo tukishalitatuwa tu tunalisahau kabisa na tukipata tena matatizo jengine tunakuwa bora zaidi ya mwanzoni tujifunza kitu kimpya shukran bro Allah akujaliee mafanikio makubwa zawadi unayotegemea aamin
Namba moja namba 2 Mungu na kuendelea mungu mpaka mwisho
Nimekuerewa sana kitucakwanza nikumuamini mwenyezimungu
Ni Kweli Naamini hilo,
Mimi nishaomba vingi sana kwa Mungu nikapata
Nashindwa ata kumsaliti Mungu naogopa Mungu niepushe na hili linalonisumbua kwa wakati huu sitotenda nilichokusudia tenaaaa
Wallah kaka ujumbe umenigusa sana sasa siwez kukarubisha matatizo yanitawale maishani mwangu💪🙏
Yaan haya maisha ni Kama mchezo wakutengenezwa mi maishan mwangu nikikumbuka mwaka 2019 kwwnzaia mwez watatu mpka tareh 19 mwez wa tano kaka huwa camn Kama naish kwa furaha kaka nilipoteza kijinga Sana kila kitu changu nkabak mwenyew bila kaz na maden kila sehem kaka ckukata tamaa nilimuomba mungu anipe njia salama kaka huwez Amin Kama ulikuwa mkosi mm kuishi eneo lile niliondoka nakukikimbia chumba changu nkaenda mbali nkaanza maisha upya toka tarh 19 mwez wa tano niliondoka nikaenda mbal nilipofka kule nilikokusudia kufika mwenyez mungu alishusha mkono wa baraka kwangu mpka Leo naish kwa furaha na Amna nilishasahau nakufuta kila kitu kuhusu Yale mapito nilopitia, kaka ezden God bless you.
ACHA kukimbia madeni kayalipe🤣😂🤣
Asantee 🇦🇪watupa ujasirii watufundisha mengi
Nashukuru kwa kututia moyo ni kweli kuna wakati napitia changamoto sana hasa za madeni naomba uendelee kutupatua maarifa
Pole Kwa changamoto na karibu sana
Thanks bro may God blees u
Unatugusa vijana wengi maana maisha bila changamoto bhado hayajawa na ukamilifu wa kuitwa maisha brother.Pongezi zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kukupa maarifa haya na kwa Wazazi wako kwa njinsia zao zote Bless Up Man
Kweli maneno yako na nilitoka kwenye matatizo kwa nguvu za mola wetu. Napenda sana kipindi chako. Mungu akuzidishie elimu zaidi na mafanikio mema. Tu nafaidika na tunapata manufaa.
Nilijalibu mara kadhaa kunukuu Maneno yako na kuandaa khutba za ijumaa Zimeleta Mabadiliko makubwa san katk jamii yetu uku nashukur sana kaka Allah Akuzidishe kila kher na akupe mwisho mwema!
Bro Upo Fact Sana Nikifanikiwa Nitakuona ❤
Allah akubaarik
Shukran sana mwalimu kwa somo zuri
asante sana kaka kwaushauli mungu akubaliki
Nashukuru sana Vicent endelea kufuatilia. Pamoja sana
Hakika Mungu akubariki sana kaka
Im going through a very hard time and this came through my feed imenisaidia sana sana asante broo ezden
Karibu... Na pole sana kwa lolote unalopitia kwasasa. Nakuombea kwa Mungu akufanyie wepesi na upate uhuru katika hilo. Kama utaweza kumsaidia mtu yoyote leo kwa chochote haijalishi kidogo kiasi gani, lakini weka nia Kwa Mwenyezi Mungu kwa sadaka hiyo akuondolee mitihani uliyonayo, na kwa uwezo wake yeye itakuwa. Amiin
Ubarikiwe sana kaka EZDEN.
NIMEPATA UJASIRI BAADA YA KUANGALIA HII VIDEO💪💪
Nashukuru sana Masoud Chegeka kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Is a health consultant, and I work with an American company, called bright future company, and specializes in the study of natural nutritional supplements, the manufacture of nutritional supplements and the distribution of natural nutritional supplements, worldwide,
👉we treat chronic health diseases In humans, for example,
1, hormonal disorders,
2, bone and foot fractures,
3, high blood pressure,
4, diabetes, hypertension, heart
5, testicles,
6, arriving,
7, stomach ulcers,
8, fertility For both men and women
9, U.T.I resistant, resistant to fungus, and irritated parts of seals,
10, overweight n.k,
🤝welcome to EMILY
Asante sana nakumbuka nikiwa shule nimepitia changamoto ya Karo lakini nashukuru Mungu sana ndio naelewa kumbe aliruhusu nikose hili anifunze kujuwa kutafuta,kujituma,ukarimu namtukuza sana Mwenyezi kwa kuruhusu haya.
Mimi uandika mafunzo yako kwenye vitabu na sasa ivi nishafikisha vitabu vinee inanisaidia sana na imeanza kubadilisha maisha yangu haswa ile ya kusaidia watu nimeanza kusaidia watu na kweli nimeanza kuwa na furaha sana moyoni mwangu mungu akuinue zaidi kaka ili uzidi kutuletea mafunzo mazuri ya kubadilisha maisha ya kila mmoja wetu
Bro unatupa 🧠 food mungu akupe maisha marefu uzid kuwapa watu hii faida kubwa sana
Kwa kweli nachanganyikiwa kimaisha namuomba mungu kILA.wakati lkn afadhali yajana lkn najua mungu yupo na ananiona
Leo umenigusa sana Mimi mana napitia changamoto ngumu sana ya kifedha kila ninachofanya hakiendi ni mwezi 1 sasa Yan naishi maisha ambayo sijawahi kuyaishi. Asante kwa uwepo wako Kaka🙏🙏Nakwenda kuinuka tena kwa uwezo wake Mungu.
Dah! Mungu ni mwema sana kila wakati
I just like it ❤❤❤
hongera sana endelea kutupa somo
Asante bro kutupa maujanja
Nashukuru sana Richard Kigeso kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Mungu akubariki
Best class ever you are the best MashaAllah 🙏
Kaka nashukuru Sanaa yani upo sahihi xnaa mmi shuhuda wa Kwanzaa.
Shukran
Shukran brother nimejifunza vingi
ongera sana nimepata vitu vikbwa sana asante
Asante sana Bryson Kaaya kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
kazi nzuri sana thanks Allah akuzidishie maarifa ila pamoja nayoote usiache swala.🤲
Asante Sana nafurahia najifunza ,
Asante sana kaka angu kwa ushauli make nipo kwenye matatizo sana ila nimeenjoy
Thanks God for this product I'm so proud for you bro
Up vzr mtaalam.
Somo la leo lakwanza na la 6 limenigusa sana GOD BLESS you and your family ⚘⚘⚘
kaka allah akuongoze nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako na nashkuru mungu nimepata mafanikio makubw kupitia wewe
Mubarikiw sana
جزاك الله أزدن أنا معك دائما
U're right
Jazaakallahu khayran Kaka Ezden🤲...Ramadhan Mubarak
Asante kaka hua najiuliza sana
Asante sana...
Asante kaka 🙏🙏🙏🙏 Najivunia uwepo wako
Mungu ndiye apaswaye kutegemewa pindi kunapokuwa na matatizo tusichoke jaMani kumuomba
Asante sana kaka umenigusa sana nakushukuru sana changamoto nazopitia ni nyingi ila nimemuachia allah maana yeye ndiye kila kitu nakuombea kwa allah akupe after njema pia maisha marefu
Kaka upo vizuri cn binafnc mimi nakukubali hatr
Nashukuru sana brother
Pole sanaa kaka
Shukran sana👏👏
Mungu ni Tegemeo na jibu kwa kila Jambo. Kesheni mkiomba.
Nakubaliii sanaaa kaka Ezden ,tunajifunza Mamb mazurii snaaaa Broo !!
Asante sana Mery Kabogo kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
asante kaka umenisaidia elewesha zaid na itanisaidia
Nashukuru sana Patricia Fabiani kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya vitabu au kujiunga na group la vitabu nitumie Text / Whatsapp hapa 0759191076
Aiseh absolute good thing ni kwamba god is first I'm nt that point "Jana yangu imepita Leo yangu unatumia kujenga kesho yangu". Broh hii kitu ni 💪💪
🙏🙏
Azden nishawai kutelekezwa na mtoto mchanga Kodi imeisha chakula ndani kimeisha umeme nadaiwa sina hapa pesa ya sabuni ya kufulia nepi za mtoto niliuza vitu vya ndani Kwa bei ya hasara nikarudi kijijini Kwa mama yng huko nilipauka na sikuwa na MTU wa kupokea cm yng mwanaume yupo anakula BATA huko same alipoenda kikazi nikawa nikipiga cm anapokea mwanamke huku akinikatisha tamaa kwamba life yng imeisha lkn namshukuru mungu japo nilimuacha mtoto na mama yng akiwa na mwaka na nusu nikapata argent nikatengeneza passport na Niko nje ya nchi navuna mema ya nchi aliyo nibariki mungu sio wa kulipa tena Kodi wala kudaiwa chochote nashukuru mungu na sintokata tamaa wale walio kuwa wakinibeza Leo wananiomba hata Ile laki mbili Tu wafungue genge wallah mungu anajibu maombi Kwa wkt sahihi Sana mungu akubariki Kaka Ezden hunijui lkn mm nakufatilia mno unazidi kunijenga na kunikomaza kiakili na fikra ....🙏🙏🙏
Ni kweli kaka upo sahihi
Umenipa sana nguvu ya kufanya kitu thanx bro.
Nakubali kuwa wapo wanaopelekea mafanikio yako kwa kutaka kukujeruhi
Asante
Asante sana 🙏🙏🙏
Somo zuri bro thnx alot
Like your videos very helpful pls prepare something about how to deal with Toxic people thanks
Mm mpaka apa nimeshatatuwa tatizo kubwa sn ambalo lilikuwa linataka kunipelekea maisha yangu kageuka na kuwa history bro lkn namshukuru mungu San niliweza litatuwa na mpaka sasa nilisahau ila tatizo ambalo linataka kunitoa njian kwasasa bro watu tu ambao wamekukuta katika kazi bc tu wanataka kuleta upinzan Na chuki San Yan ilo swara linanifanya nakuwa Na hofu ya kufell naitaj kujua zaidi kutoka kwako bro 🙏🙏🙏💬👈
Mashala
Barikiwa sana kaka
Thanks brother!! may Allah increase u more in knowledge and wisdom
Kuna kipindi nilikata tamaa ktk mtihan wangu wa taifa lkn namshukuru mungu nilipatw na ujasir ambao hata mm sielew ulitokea vp lkn bila shaka. niliweza. Kuushinda
Nakushukuru sana ndugu nina matatizo mengi lakini umenitia moyo nina amka tena ubarikiwe sana.
Nashukuru sana Benny Benedict kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Mashallah asante Kaka...IPO siku kila linalotia uchungu litapita🥺
Hongela sana broo vipi somo bado lipo la kusoma vitabu kwa njia ya wat sap
Mungu akubariki umenipafunzo,hadisasaajionaninamiaka 25 wakarininamiaka zaidi ya48
hongaIa sana ndugu kwa mafundisho mazuuIisana
Thnx so much ezden
Asante Sana kwa kutujuza
This is good. Very courageous, inspirational, and has touched me extremely. Thax very much bro. Much love from US.
Pamoja
Uko vzur san kaka
nashukuru sana Nassor...
Asante sana kaka,umenifumbua macho.
Shukran sana kaka
That's wonderful bro🙏
Shuklan sana ndugu of course na enjoy kukuskiliza
Shukran bro mungu azid kukubarik
Shukrani sana kaka Ezden kwa somo hili,, blessed sana mkuu
Nashukuru sana Medson Starlon kwa kufuatilia channel hii. Tuendelee kuwa pamoja. Kwa Mahitaji ya kununua vitabu andika neno "VITABU" na kujiunga na group langu la vitabu andika maneno "SPN BOOK CLUB" nitumie Text ya kawaida au Whatsapp namba 0759191076. Karibu sana!
Yani kaka Umenifanya nielekee mahali ninapo afiki maisha yangu yanaanza kung'aa kwa lulu zako sadakta ezden kazi nzuri ina umakini pia👍
Upo vizuri kaka🙏🙏
Yaani mungu kama aliniambia angalia cm utapata ushaur amini mungu nna matatizo mpaka nachanganyikiwa biashara. Imekufa madeni yameniandama
Nimejifunza sana kwako brother
Nilishtakiwaga nikawa kwenye wakati mgum wakati huo lakini kulitokea baadha ya watu kwenye hio familia ilio nishtaki wakanitetea nilishangah sana nikamshukur mungu
Thanks bro, you made my day
Asante kaka
Makimi sana
👌
True brother
Dah broo we hatr ila zaid nseme tu we up vzr san zaid ya san asnt kwa mambo moto moto unayoyatoa broo
Hakika umenijenga. Barikiwa sana bro