LIVE RAIS SAMIA NA SILINDE WAIMALIZA CHADEMA TUNDUMA! Kwa miladi Mikubwa iliyo fanyika!...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safi saaana hapana chezea Chama kubwa , waliachiwa tu warukeruke kama Bisi kwenye kikaango, Sasa ona mambo haya , hatari Saaana alafu hapa kampeni bado kabisaaaaaaaa Ni kusalimia tu Wananchi

  • @LeylaZakalia
    @LeylaZakalia 3 หลายเดือนก่อน +1

    You did it my brother

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 หลายเดือนก่อน

    Silinde

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    Mama samia mungu akubarik san

  • @LeylaZakalia
    @LeylaZakalia 3 หลายเดือนก่อน +1

    You did it my brother 🎉🙏

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd 2 หลายเดือนก่อน

    jamani kuweni na aibu kidogo basi! ccm myaka 62 inatosha, nawengine watawale.

  • @hajimgwami5224
    @hajimgwami5224 3 หลายเดือนก่อน +2

    WATU AKITAJWA RAIS KWENYE MAENDELEO MNAKASILIKA, HV MNAZANI ASIPO KUBALI KUSAIN PESA ZITOKE WANGEJENGA AU MALENGO YAKE YASINGEKUA ELIMU NA AFYA, MAJI NA KAZALIKA VINGEJENGWA, PESA ZA SERIKALI ZINASMAMIWA NA RAIS, TUNAPANGA BAJETIIIIII ZEN ANAPELEKEWA YEYE ANAWEZA KUAMUA HILI LIWEPO NA HILI LISIWEPO, ANAEZA KUAMUA KUJITENGEA PESA KUFANYA SHOPING ZAKE TU LKN YEYE BAJET YA MAENDELEO INAYOPELEKWA KWAKE NI MWEPESI KUTOA TOFAUTI NA WENGINE WALIKUA HATOI KWA KIWANGO CHAKE LENGO NI KUMALIZA KERO NDOGNDOGO KWA WANANCHI, SASA MNAO CHUKIA MNACHUKIA NINI AKITAJWA KUA KAFANIKISHA...

  • @charlesmbise2344
    @charlesmbise2344 2 หลายเดือนก่อน

    Mama samia ninakuombea mugu akulinde ,una busara za kutosha sana ,ningetamani siku moja nikuone nikuchie baraka lakini nafasi kama hizo za kukuona ni ndogo sana watu sisi, lakini nakuombea mungu uzidi kutuongoza,

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    Mama samia tunahitaji hospital ya kanda ya kaskazin

  • @Edger-bn2mt
    @Edger-bn2mt 2 หลายเดือนก่อน

    Utanilipia kila k2 lkn kur ni xriii

  • @ezekielmabwai4614
    @ezekielmabwai4614 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mmejitahidi kusomba watu. Na hayo mabendera mmeyanunua KWA Bei gani? Hamjanishawishi hata kidogo. Eti kawapa nanihiii, nanihiii!! Hizo ni Kodi zetu, msidanganye Watanganyika!!

  • @TwalibuKimaro-th5mv
    @TwalibuKimaro-th5mv 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni sawa na kuuza nyumba nakununua nguo na chakula halafu kulala barabarani

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 3 หลายเดือนก่อน +1

    Silinde na samia miaka mitano tena.

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa za Tanzania ngumu sana. Maji yanasumbua muda wote Tunduma wananchi wanateseka usiku kucha. Lakini mbunge anasema maji yapo. Mbomboo ngafuuu

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo nimependa upinzani msiuue,,
    Mwakajoka alilamika bei ya mahindi"
    Leo mumebadirisha.

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 2 หลายเดือนก่อน

    Tunahitaji hospital ya rufaa ya kanda ya kaskaazin

  • @Lwitikomsongole-z5f
    @Lwitikomsongole-z5f 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kila kitu rais wewe umefanya nini

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน

      Acha wivu , akitajwa Amri Jeshi Mkuu we unaumia nini? Pambana na hali yako

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni ujinga sana kodi za wananchi lakini mipumbavu inasema hela ametoa Rais ametoa zake mfukoni?

    • @jumamdoka7867
      @jumamdoka7867 3 หลายเดือนก่อน

      Kajinyonge huko hujui bila Rais kisaini hakuna pesa itakayoenda Field

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 หลายเดือนก่อน

      @@jumamdoka7867 Ufyatu wa mipumbavu ya ccm Bunge ndilo linalo dhihinisha bajet hakuna hisani ya Rais hizo ni kodi za wananchi yeye amepewa kazi na wananchi ya kusimamia tu mtapata akili lini mbwa nyie

  • @maryhando227
    @maryhando227 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna uwongo mtupu ,watu wanateseka, hakuna maji, Elimu mbovu.

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 หลายเดือนก่อน

      Uongo ? We unatokea wapi? Mbona wenyewe wanashangilia?

  • @kelvinmandala5240
    @kelvinmandala5240 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂

  • @davidpatrickdavies3633
    @davidpatrickdavies3633 3 หลายเดือนก่อน

    Na wewe nimuongo sana

  • @nicodemusngwala2079
    @nicodemusngwala2079 3 หลายเดือนก่อน

    Ujinga huu utaisha lini ? Unafiki huu utaisha lini ?.. aibu hii itaisha lini ..... Kujitoa ufahamu na uelewa .. ili kujikomba .. kujipendekeza .. kusifia ujinga ....

  • @LeylaZakalia
    @LeylaZakalia 3 หลายเดือนก่อน +1

    You did it my brother

  • @LeylaZakalia
    @LeylaZakalia 3 หลายเดือนก่อน +1

    You did it my brother