MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE: KONGAMANO LA PENTEKOSTE, KARISMATIKI KATOLIKI JIMBO KUU DODOMA. DAY 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • POKEA NGUVU ZILIZOMBADILISHA SAULI AWE PAULO.
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    PIA UNAWEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
    MANA MINISTRY # CADF # MWAKASEGE

ความคิดเห็น • 75

  • @pharesmitarya4892
    @pharesmitarya4892 2 ปีที่แล้ว +18

    Ngome ya udini na dhehebu inazidi kuanguka,Utukufu kwa Mungu

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante Yesu kwaajiri ya mtumishi wako mwalim Christopher mwakasege Mungu akutunze ,umekua mmbaraka mkubwa sana kwangu 🙏🙏🙏❤❤

  • @rachelkaali9757
    @rachelkaali9757 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi, Bwana asifiwe. Wakati mama anaomba nguvu za Mungu zikanishukia nikiwa kitandani nikatemeka kama vile mtu aliyepigwa na shota ya umeme. Nilijawa na nguvu nikahisi kulewa. Namtukuza Mungu kwa ajili ya upendo wake. Natokea mkoa wa mwanza.

    • @dianambise5006
      @dianambise5006 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akubariki sanaa sanaa

  • @hermantega8269
    @hermantega8269 2 ปีที่แล้ว +5

    uamsho unakuja ,dini sio issue! mambo ndo haya

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwaminifu sana

  • @patrickacapel5494
    @patrickacapel5494 2 ปีที่แล้ว +4

    Semina ilikuwa safi sanaaa....hongera kwa Mama kutupa funzo la kumkaribisha roho mtakatifu🙏

  • @protasd.massawe8013
    @protasd.massawe8013 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Mwl/Nabarikiwa sana pale nnapo sikiliza neno la Mungu kupitia wewe Glory to god 👏

  • @dorakiyao4509
    @dorakiyao4509 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante yesu kwa watumwa wako kwetu,tusaidie kuishi sawa na neno lako

  • @happyallan508
    @happyallan508 2 ปีที่แล้ว +3

    Amen Glory to God
    Thank you Jesus kwa neno lako

    • @hebronmalatila6186
      @hebronmalatila6186 2 ปีที่แล้ว

      Asante Yesu! Kwa namna ilivyokupedeza we Mungu, mi niwe moja ktk kusikia na kujua na kutambua mapenzi na Upendo uliyonao Mungu kwangu.na watoto wangu, ambao Unibariki ! Nami nikakutolea Sadaka yako Mungu. Amen. Imekuwa hivyo, inavyokupendeza.

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว +4

    ASANTE YESU SIFA KWA YESU 🙏🙏🙏

  • @isayamlimbila1522
    @isayamlimbila1522 2 ปีที่แล้ว +3

    Hallelujah

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa Neno la Uzima...nimeungana nanyi kutokea Ujerumani🙏🇩🇪

  • @dismasmushi9328
    @dismasmushi9328 2 ปีที่แล้ว +4

    Ameen

  • @rehemasuleiman7469
    @rehemasuleiman7469 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Mungu ni mwema ni wakati wa uamsho kabisa,Asante Yesu

  • @esthermoshili738
    @esthermoshili738 2 ปีที่แล้ว

    Jina la bwana litukuzwe milele huu ni upendo wa agape Mungu huyu hana ubaguzi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏hongereni sana wanaDodoma🤝

  • @ayoubmwaitebele9174
    @ayoubmwaitebele9174 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mteule wa Kristo.
    Mungu amenifundisha kitu ktk ujumbe huu

  • @yolandaliyoya1839
    @yolandaliyoya1839 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏 Amina . MUNGU AKUBARIKI MWALIMU .

  • @pastornchimbi2947
    @pastornchimbi2947 2 ปีที่แล้ว

    Tangu ningali mdogo nilikuwa naamini kwamba waromani katoliki nao wanaenda mbinguni,asante YESU kwa kutuunganisha na kutuokoa.

  • @getruderichard2801
    @getruderichard2801 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @dianambise5006
    @dianambise5006 2 ปีที่แล้ว

    Ninakushukuru Mungu hakika wewe ni Mkuu sana katikati ya maisha yangu!

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen

  • @fadhilisingano3259
    @fadhilisingano3259 2 ปีที่แล้ว

    Haleluya!!

  • @agneskaguo2275
    @agneskaguo2275 2 ปีที่แล้ว

    Tunakushukuru Mungu Mungu baba kwa kongamano hili na kwa Viongozi wetu walioliandaa

  • @anamariayuba5457
    @anamariayuba5457 2 ปีที่แล้ว +1

    ninakupa sifa zote mbinguni na duniani,ninakupenda bwana yesu kwa moyo wote kwa moyo wote,

    • @elkanakilumbe
      @elkanakilumbe 2 ปีที่แล้ว

      Yesu iandike kwa herufi kubwa

  • @christerburchard1570
    @christerburchard1570 2 ปีที่แล้ว

    nimefurahi kumuona mtoto wa mama Oscar, Mwenyezi Mungu azidi kukutumia

  • @atuganilemsomba3028
    @atuganilemsomba3028 2 ปีที่แล้ว

    This is great and very great evangelism

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Mungu bariki watumishi wote!!!

  • @shininisoipano4973
    @shininisoipano4973 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏 my God bless you 🙏

  • @isayamlimbila1522
    @isayamlimbila1522 2 ปีที่แล้ว

    wastahili Bwana

  • @petermfingwa1077
    @petermfingwa1077 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabalikii

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

    ngoja nirudie sasa vzr
    asante Yesu

  • @glorybura4554
    @glorybura4554 2 ปีที่แล้ว

    Glory to God Almighty

  • @RevivalTime_RT
    @RevivalTime_RT 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu alipiga watu na kitu kizito, Wakina Sauli Walipigwa na nyuno nzito 😊

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Roho Mtakatifu ni mzuri sana

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 ปีที่แล้ว

    WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO.
    1 Wakorintho 11:13

  • @emmanuelulimbakisya6184
    @emmanuelulimbakisya6184 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saaana

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaa

  • @judygathoni5861
    @judygathoni5861 2 ปีที่แล้ว

    Nimemtafuta mwalim Kwa 4 years now God help me this year 😭😭😭🙏🙏nimpate

  • @isayamlimbila1522
    @isayamlimbila1522 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Unastahili sifa zote Bwana!!!

  • @dimlajohn6338
    @dimlajohn6338 2 ปีที่แล้ว

    Ni siku yangu na nilipokea

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 2 ปีที่แล้ว

    Namba ya kutumia sadaka

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Waruni 8:26-28

  • @pastornchimbi2947
    @pastornchimbi2947 2 ปีที่แล้ว

    Na mimi pia naungana na maserafi na makerubi ninakuabudu

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Wafilipi 3-10

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Matendo 13-9

  • @deograthiusalphonce6977
    @deograthiusalphonce6977 2 ปีที่แล้ว

    UFALME WAKO UJE BABA WA MBINGUNI ....ASANTE BABA WA MBINGUNI KWA KUFANYA NJIA PIA KWA INJLI KUPITA KWA NAMNNA YA AJABU MAHALI AMBAPO ILIKATALIWA

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    1Korintho 2-4-5

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Warumi 8-11

  • @magdalenajohn6564
    @magdalenajohn6564 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba ya kutuma sadaka

    • @dee4144
      @dee4144 2 ปีที่แล้ว +1

      Fiatilia semina za neno la Mungu za nyuma huwa anataja namba hizo

    • @alexmauki6935
      @alexmauki6935 2 ปีที่แล้ว

      Ifungue hiyo title ya semina hapo juu itafunguka yote utaona namba

  • @flipaclipanimationz6790
    @flipaclipanimationz6790 2 ปีที่แล้ว +1

    Najiunganisha na mahali hapa nikiwa DSM.

  • @thaddeebarhazigirandi608
    @thaddeebarhazigirandi608 2 ปีที่แล้ว

    Kwa nini tena mama Mwakesege ka rudiliya kufanya aina ya promotion ya hizi nywele bandia kichwani, tena nywele za watu wengine; kwenye wakati huu wa uamsho?

    • @lukapastory
      @lukapastory 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu mama ananisikitisha Sana, kujiremba mahereni, nywele bandia, n.k, namuombea YESU amkumbke aache mapambo haraka

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 ปีที่แล้ว

      makubwa ,kajiremba wapi mama wa watu?kwamba ukiokoka usipake poda usivae hereni😀wokovu wa kijinga huo ushapitwa na wakati Nina Yesu ndo nisipake poda? nisinukie,khaaaa
      halafu nyie watu bwana kila moja anasoma neno,ana Roho Mtakatifu ndani yake ambae anamshuhudia chochote afanyacho km kibaya au kizuri!
      muacheni!
      mnataka kusema nyie ndo mnamsikia sana Mungu kuliko yeye?
      kwanza mambo ya imani haya kwann umpangie mtu?

    • @thaddeebarhazigirandi608
      @thaddeebarhazigirandi608 2 ปีที่แล้ว

      @@christinewomanoffaith5479 Zaidi sana mimi ni hizo nywele bandia, tena za watu wengine ; ijapo Waafrika nawo wana zakwao tena nzuri zaidi ; mambo mengine hayanihusu.

  • @johnsendeyo4558
    @johnsendeyo4558 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Haleluyaa!!!

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Wastahili Bwana

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว

    Amen