Hongera sana Eric na mkeo .Tumejisikia furaha sana kuungana amilia yako (Mzee Mwanri). Pia mmependeza hongeni Wazazi wa Eric na wazazi wa mke wa eric Na Mungu akubariki Mzee Kikwete
Fact: si kila wakili n wakili msomi, wakili msomi maanayake n muhitimu wa masomo ya Sheria lakini pia akasoma Law school Huyo ndio anaitwa wakili msomi
hili linatumika Tanzania zaidi kuliko popote pale. Linatokana na neno Learned lawyer. Kwa kawaida hutakiwa kutumiwa na mawakili wenzake wanapikua Mahakamani kama heshima kwa mwenzake. Sisi tumetafsiri na hata tusio mawakili tunatumia
Nimekupenda mtangazaji uko vzr sana Dogo km na wewe amekuvutia Ka like kwambalii
Hongera sana Father Joachim kwa kazi ya utume,,.
nimependa mh.mwanri alivomaliza mahojiano akataka ondoka pekeake,akakumbuka kasahau ubavu wake.akarudi kuuchukua...lovely
Hongereni sana bi na bwana arusi ,Amina
Congratulations to u Learned brother Erick
Safiii🔥🔥
Hongera sana. Wakileteana noma sukuma ndani wote
Hongera sana familia mh mwanry
Hongera sana Eric na mkeo .Tumejisikia furaha sana kuungana amilia yako (Mzee Mwanri). Pia mmependeza hongeni Wazazi wa Eric na wazazi wa mke wa eric
Na Mungu akubariki Mzee Kikwete
Imependezaa na Mzee wasukuma ndan
Hongera
Hongera sana Eric
Hongera sana
Safiiiii 💥💥💥💥@MC Swai G
Vzr
Mzee wa sukuma ndani...😃😃😃😃
😂😂😂
Like za mtangazaji 👇
Mziki kuliko sauti
Akileta kelelekelele Sukuma ndani😂😂😂
Steven Mwita 😂😂😂, soma iyo
Hongereni bwana na bibi
Baba sukuma ndani mama kanoga sana
Naombeni kuuliza
Je kuna wakili msomi na wakili asie msomi. Maana naona hapa wameandika wakili msomi. Sijui wakili asie msomi yukoje
Fact: si kila wakili n wakili msomi, wakili msomi maanayake n muhitimu wa masomo ya Sheria lakini pia akasoma Law school Huyo ndio anaitwa wakili msomi
hili linatumika Tanzania zaidi kuliko popote pale. Linatokana na neno Learned lawyer. Kwa kawaida hutakiwa kutumiwa na mawakili wenzake wanapikua Mahakamani kama heshima kwa mwenzake. Sisi tumetafsiri na hata tusio mawakili tunatumia
Hadi ukaitwa wakili it means ww ni msomi hakuna wakili asiekuwa msomi sema wametaka kukuza tu kichwa Cha story
k y
amos mtalai y
Saaaaaaf hongeren saaana
good
Namwona Kisiri kwa mbaaaaaali
Hivi kuna wakili siyo msomi
Kwenye shavu la mama mwanri Kuna nini
Huwaga kuna mawakili wengine siyo wasomi acheni ujinga wakili msomi wawkili msomi mawakili wengine hawajasoma msomi msomi msomi ndio nini
😃😃 kuna wakili na wakili msomi.. pia kuna doctor na doctor bingwa sasa hawa wenzetu kila mtu msomi wakati mahakamani wanashindwa kutetea wateja wao..
@@janerosejonathan4395 Afu degree moja anakuwa wakili msomi if that is the logic!!!! hajafikia kwenye ubingwa
@@janerosejonathan4395 dokta bingwa haitwi dokta msomi
Kauli ya wakili msomi utaikuta TZ pekee
Huwezi kuta mtoto wa kigogo kaolewa au kaoa mtoto wa mnyonge masikini matabaka hayataisha
Kweli kabisa
teheeee! tajir kwa masnmkn akafanye nn???
Ndio mana hawadumu kwenywe ndoa.
Si kwel nina mfano ulio hai mapenz hayaangalii utajir juz shemej yangu kaoa mtoto wa wazir fulan mume katokea familia ya kawaida sana
@@agathathobias8690 Fuatilia vizuri hiyo ndoa kama hakuna nguvu nyuma yake basi haiwez kudumu labda huyo mwanaume akubali kuwa mtumwa wa mwanamke
Sifa nyiiiiingi eti wasomi eti nini kwani ambao sio wasomi hawawezi
Bi harusi mrembo.
Tunauza ice cream machine na rambaramba machine. Follow me @hakika_uce_cream_ltd.
Nitumie no yako
@@marymabubakar1646 0676768892
Sasa tunakupata vipi
Nami nahitaj hiyo machine ya ice cream kwan bei gan tafadhal nipe jibu niko tabora
@@agathathobias8690 tabora tunatuma mashine karibu nipigie kwa no 0676768892