Habari gani. Mimi ni raia wa Kenya. Nafuatilia huduma nikiwa Qatar. Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako mtumishi na wale wanaofanya kazi yake Mwenyezi Mungu pamoja nawe. Mungu amenizungumzia mara kwa mara kuhusu siku zangu za usoni, ila kupitia wewe, ujumbe hizo nimepata kuzielewa kwa ndani sana kwa ajili ya huduma yako ya neno la saa la misimu. Vitabu hivi, naweza kuvipata kwa njia gani mimi nilie nje ya Tanzania?
Mungu WA Mbinguni aendelee kuwatunza na kuwatumia mmekuwa BARAKA Sana katika Maisha yangu ya kiroho Kwani kila SoMo ninalolisikia kutoka kwenu hunipa majibu ya maswali yangu kwa Mungu na pia kuniongoza Namna gani nifanye nilichomuomba Mungu
Yaani Mwalimu umenisema mimi kabisa , point ya kuolewa halafu wale wale walio vaa sare zangu ndio wa kwanza kunishambulia Asingekuwa Mungu Peke yake alie nipa ile Ndoa sijui ingekuwaje , Mungu akubariki sana kwa Somo hili
Utukufu wa Bwana uwe pamoja nasi.Somo hili la utukufu ni jema sana kwenye familia yetu,tulikuwa hatuelewi maana ya utukufu kibiblia.Asante Baba tunakufuatilia kutoka Marekani.
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO. 1 Wakorintho 11:13
Habari gani. Mimi ni raia wa Kenya. Nafuatilia huduma nikiwa Qatar. Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako mtumishi na wale wanaofanya kazi yake Mwenyezi Mungu pamoja nawe. Mungu amenizungumzia mara kwa mara kuhusu siku zangu za usoni, ila kupitia wewe, ujumbe hizo nimepata kuzielewa kwa ndani sana kwa ajili ya huduma yako ya neno la saa la misimu. Vitabu hivi, naweza kuvipata kwa njia gani mimi nilie nje ya Tanzania?
MUNGU ni mwema ubarikiwe mtumishi wa Bwana
Amen🙏 mtumishi nataman niwe Kama wewe naomba maombi yako cku moja na mm niwe mwalimu niwafundishe
Ahsante mzee kwa neno.musa alizijua njia za Mungu waisrael wajua matendo.nimedaka hiki wanawata vizuri.
praise the lord almighty Jesus Christ. blessings and protection to our teacher MWAKASEGE. Somo ni Revelation kiroho kweli kweli.
amen Ni Jipya kila siku Neno
Mungu WA Mbinguni aendelee kuwatunza na kuwatumia mmekuwa BARAKA Sana katika Maisha yangu ya kiroho
Kwani kila SoMo ninalolisikia kutoka kwenu hunipa majibu ya maswali yangu kwa Mungu na pia kuniongoza Namna gani nifanye nilichomuomba Mungu
God bless you so much for the powerful revelation of God's word. Najifunza vitu vingi vikubwa
Yaani Mwalimu umenisema mimi kabisa , point ya kuolewa halafu wale wale walio vaa sare zangu ndio wa kwanza kunishambulia Asingekuwa Mungu Peke yake alie nipa ile Ndoa sijui ingekuwaje , Mungu akubariki sana kwa Somo hili
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏mungu akubariki sana
Mungu AwaBariki Zaidi Kwa kusimama Na Kenya Kwa Maombi.Natizama nikiwa Kenya.
YESUakutunze mtumishi
Utukufu wa Bwana uwe pamoja nasi.Somo hili la utukufu ni jema sana kwenye familia yetu,tulikuwa hatuelewi maana ya utukufu kibiblia.Asante Baba tunakufuatilia kutoka Marekani.
GLORY TO GOD FOR THIS 14TH CONGREGATION WITH MANA...THANK YOU SIR DIANA& CHRISTOPHER MWAKASEGE FOR TEACHING US THIS REVELATION.
Amen mtumishi from 🇹🇿 to 🇮🇱 nimejiunganisha madhabahuni hii ya kongamano la kitaifa🙏🙏
Asante Yesu kwa kulituma neno❤️
Mungu ni mwema. Kwa kila jambo
Amina Amina, utukufu wa Bwana ukaonekane Tz nzima.
S H A L O M U
My spiritual father,my mentor 💕🇰🇪🙌
Mungu akubariki mnooo mtumishi kwa Neno la kuponya nafsi zetu 🙏🙏
God bless you Mwl Mwakasege ,God bless Mana Ministry,God bless us all.
Amen amen najiungamanisha na madhabau hii kwa jina laYesu
Najiunganisha na mambi hay kutoka karatu mungu aendelee kukupa nguvu mtumishi
Amen papa MUNGU akubariki sana nilikuwa nafatiliya nikiwa Australia
Mungu akubariki baba Maombi yangu Mungu anapoachilia utukufu nami uniijilie juu yangu niweze kusimama kwa ajili ya Taifa
Utukufu wa Bwana Yesu Kristo unatutosha . Asante Kwa maombi haya yenye nguvu ya Mungu Baba. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
WAAMBIE HAO WANAWAKE WANAONIABUDU NA KUNIFUATA MIMI YESU, WAACHE KUVAA NYELE BANDIA,KUCHA BANDIA, KOPE BANDIA NA VITU VYOTE AMBAVYO VINAPINGANA NA ASILI YA KUUMBWA KWAO, NA WANAPOKUA KANISANI KATIKA IBADA WAFUNIKE VICHWA VYAO.
1 Wakorintho 11:13
Praise the lord!!!!!! Amen 👏👏👏👏🙏🏿
Mungu Awabariki saaana sana, Huduma izidi Kuendelea Vema....
Mungu Ni Mwema, ASANTE Mtumishi kwa Somo.....
Najiungamanisha na Kongamano hili la 14 la maombi from U.S.A.
Glory to God
Amina baba nimekuelewa sana
Amen,barikiwa
Nomba utukufu wa Bwana unilinde na kila anaenihusu
Nisaidi mungu utukufu wako uliopo katika kongamano hili unifunike
Amen najiunganisha na madhabu
Najiunganusha na madhabahu hii!!
ooh LORD mold me in a fashion you want me to become.
Najiunganisha na madhabahu hii toka Botswana
🙏🙏🙏
Asante Yesu!
Najiungamanisha na madhabahu ya kongamano la kitaifa leo
Hulituma Neno lake…🩸
Amen 🙏🏾
Amina Baba
Amina 🙏🙏
AMINA , 🙏🙏🙏
Tupo pamoja
Bwana Yesu asifiwe Mwl mbarikiwe kwa kukubali kutumika Kwa Dar tunaweza kupata wapi hizi notes books?
Amina
AMINA
Namna ya kupata haya mafundisho kwa njia ya CD au flash?
Ameee
Ameen
Nipo unguja nafwatilia kongamano
Amen amen
🙏🙏
Nilitamn kuwepo ila kiroho tupo pa1
🙌
ONGERERENI KWA KWA UDUMA NKO OMANI MUSCAT NAFATILIA MAOMBI MMI NI MHONDO ZACHARIA ZEPHANIA TOKA MWANZA KAMBI YA MANA MRANGO MMOJA......MEMBER
Amen amen, najiungamanisha na madhabau hii, utukufu wa Bwana ukaonekane juu ya Tanzania
Maombp
Asante Bwana Mungu kwa ajili ya kuruhusu Kongamano hili la maombi. Najiungamanisha na madhbahu hii kwa damu ya Yesu
GLORY TO GOD FOR THIS 14TH CONGREGATION WITH MANA...THANK YOU SIR DIANA& CHRISTOPHER MWAKASEGE FOR TEACHING US THIS REVELATION.
Amina. Baba
Amina
Glory to God
Mungu akutunze baba akupe maisha marefu
AMEEN
Amen
🙏🙏🙏🙏
GLORY TO GOD FOR THIS 14TH CONGREGATION WITH MANA...THANK YOU SIR DIANA& CHRISTOPHER MWAKASEGE FOR TEACHING US THIS REVELATION.
Glory to god