Jamaa Ametoka Jela Huku Yues | I Prayed For Him | Homeless In Skid Row, Los Angeles 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Inasikitisha sana kwasababu kuna watu wanapitia mengi sana ambayo wengine wanaweza hata wasiyafahamu kwa kuwatazama kwa nje. Nilitembelea mitaa ya Skid Row, Los Angeles, California USA. Nilipokutana na Cimarron, Alisema kua ametoka jela siku hiyo. Pia alikua akilitaja jina la YESU na kunisihi nimfanyie maombi. Alizungumza mambo mengi sana. Tazama video hii ili ujionee yaliyojiri.
    Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
    My previous video;
    • Nilisaidia Watu Wenye ...
    🔸FOLLOW ME ON;
    INSTAGRAM: / jacchalz
    #hukuyues #losangeles #mtaani

ความคิดเห็น • 230

  • @jackwausa
    @jackwausa  ปีที่แล้ว +10

    Please Subscribe pia kwenye hii channel yangu nyingine ili ujionee zaidi ⬇️ ⬇️
    youtube.com/@Jackchalz

  • @thomasnachenga795
    @thomasnachenga795 ปีที่แล้ว +15

    Unafanya Kaz nzuri sana MTANZANIA mwenzangu
    ...salute
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Pamoja sana!

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +9

    Na utawarahisishia wale ambao wanandugu zao huku wanamiaka pabila ya mafanikio kisalam hawajui vipi watawapata ili wajue Mendeleev yao lkn sasa wewe ndo umekuwa mkombozi naamini wengi watawafaham ndugu zao na msada utapatikana was kuwarudisha makwao hungers sana ndugu

  • @nehemiahsteven6296
    @nehemiahsteven6296 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU! Umefanya jambo jema mno! Amen!

  • @jovinmushi2513
    @jovinmushi2513 ปีที่แล้ว +1

    Onger bro! Unafanya kilicho Bora machoni pabwana MUNGU akapate kuku kumbuka katika kila atua ya maisha yako bro!

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Asante sana na Amina. Mungu akubariki pia!

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +13

    Ndugu imenibidi nikupende kutokana na kazi Yako nikisema nikupende usinimaanishe vibaya yaani napenda hivi unavoshanya kwani tunaona vingi kupitia Kwa hivi unavo tuletea

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +2

      Asante, Nakupenda pia. Mungu akubariki!

    • @rehematawalani733
      @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

      @@jackwausa ammyn yarabb

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 ปีที่แล้ว +5

    Jack nakuona kama mhuni kumbe unajielewa sana hata YESU unamjua asante sana Jack

  • @huludaemmanuel8803
    @huludaemmanuel8803 ปีที่แล้ว +13

    Best Encourage and Message ever to met, from Tanzanian-based In USA Love U bro 💪🏾

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Thanks. God bless you!

    • @emanuelmoses6593
      @emanuelmoses6593 ปีที่แล้ว +1

      @@jackwausa salute sana🙏 mzee💯

    • @omarjuma2937
      @omarjuma2937 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@jackwausakaka naomba namba yako ya whattsapp nashida na ww omar wa kahama shinyanga

  • @lazaradiaz305
    @lazaradiaz305 ปีที่แล้ว +4

    So sad man God help he amen

  • @rachelmacharia2727
    @rachelmacharia2727 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa kazi yako sana hadi najikuta na comment before kuwatch video😂😂😂😂 Najua tu nitaipenda. Haya, wacha ni watch will leave another comment after😂😂 Keep up the great job bro! Your number 1 fan🎯💯

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Thank you very much and I'm glad that you like the videos. I really appreciate that🙏🏾. More content coming soon!!

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 ปีที่แล้ว +9

    Kazi nzuri sana.....I wish vijana wengi wanaopoteza bundle zako kwa udaku hii channel iwafikie waone life gumu...na muda unakwenda Kasi sana

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +2

      I hope itawafikia na wataona uhalisia wa maisha ya huku!

    • @christainc.5217
      @christainc.5217 8 หลายเดือนก่อน

      Kaka nip namba yako

  • @elymollel
    @elymollel ปีที่แล้ว +6

    My first time watching your Videos and I have subscribe already, thanx for the prayers you made for that desperate man. But at least you would have offer him a lunch,

  • @mikekude1811
    @mikekude1811 3 หลายเดือนก่อน +1

    bro hiki ulichofanya n jambo kubwa sana sio kila mtu ananguvu za kufanya hik ulichofanya ww huu ndo ubinadamuuu unaotakiwa aijalishi ww nn umetoka wap unaishi mazingira gan god bless youu kaka

  • @sergotabian6830
    @sergotabian6830 ปีที่แล้ว +5

    😲👍👍👍👍👍👍👍😢😢😢😥😥😥💞💞💞💞💞👍👍👍👍👍😘😘😘🌹🇳🇱🇳🇱

  • @enalnkegwaofficial7935
    @enalnkegwaofficial7935 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @huludaemmanuel8803
    @huludaemmanuel8803 ปีที่แล้ว +8

    Ameen Brother, appreciate what u doing... Mwanza, Tanzania

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Big up!!✌🏾

  • @raychipanha1919
    @raychipanha1919 ปีที่แล้ว +1

    Umepiga bonge moja la kazi Yan umeua mbaya umefunika MUNGU akutangulie

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina!🙏🏾

  • @marthamwasandube2371
    @marthamwasandube2371 ปีที่แล้ว +6

    When a simple vlog turns into a whole full sermon! 👋🏾❤️

  • @felixleon1535
    @felixleon1535 ปีที่แล้ว +5

    Nadhani hii ndio vlog Bora Kwangu kwamwaka huu. God bless you Sana king

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Asante na Amina. Ubarikiwe pia!

  • @ramadhanitokwete8069
    @ramadhanitokwete8069 ปีที่แล้ว +1

    Kupasuka lami kumbe hadi USA

  • @chachamakenge8367
    @chachamakenge8367 ปีที่แล้ว +1

    Mpe pole inaokana katika miguu yake aliteswa saana

  • @yohanaalimosa332
    @yohanaalimosa332 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Bro

  • @wilsonmwimi2392
    @wilsonmwimi2392 ปีที่แล้ว +5

    Mjomba nimelia machozi kwa Upendo wa YESU, Jamaa ubarikiwe Sana Sana,nimeamua kuokoka coz of u

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Nimefurahi kusikia hivyo. Pia, Hongera sana kwa kumchagua Yesu kua Bwana na Mwokozi wako. Namuomba Mungu aendelee kukupa ujasiri na kukuongoza katika maisha yako ya wokovu. Ubarikiwe sana!

    • @FlorianFredrick-qp8ix
      @FlorianFredrick-qp8ix 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@jackwausaJack naitwa Florian kutoka Tanzania asee huwa spend ku comment ila umekuw wakwanza nakftilia sana br... Nmefanya hiv kukwambia kuna mahali...unakwenda Umebarkiwa sanaaaa 💪💪

    • @FlorianFredrick-qp8ix
      @FlorianFredrick-qp8ix 11 หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri.. Nmeipenda hiii 👍

  • @berthatz
    @berthatz ปีที่แล้ว +5

    Da..Hii imenifanya ni subscribe faster..da…maskini ameona aite jina la Yesu tu..😢

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Asante kwa kusubscribe!!🙏🏾

    • @pendo8082
      @pendo8082 ปีที่แล้ว

      Umeona

  • @geoffreysebastian
    @geoffreysebastian ปีที่แล้ว +2

    Daaah ktk hii injili ya kushitukiza nimekuelewa

  • @tumainedward1018
    @tumainedward1018 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana kijana umetenda Jambo kubwa kuongoza oho hiyo kwenda uzimani

  • @grayhandlimited353
    @grayhandlimited353 ปีที่แล้ว +1

    The first guy looks like he's undergoing serious withdrawals from lack of drugs, probably fentanyl or meth or heroin. Very sad . This is what we don't see about first world countries

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Yea, It's really sad 😢

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 ปีที่แล้ว +2

    Wamerekani bwana mna vituko, ee my is jesus Christ

  • @jovinmushi2513
    @jovinmushi2513 ปีที่แล้ว +1

    Nilikua napitia uvifanyavyo ila ichi itakufanya uwe tofauti juu ya wengi bro! MUNGU uanalia unafanya kwajili ya Nani? Akijua nikwajili yake ukubariki na ukupa jina .IBRAIMU alipo mtoa isaka alifanya kwajili ya MUNGU lika mgusa na MUNGU aka mbariki napia ivyo ivyo slemani alifanya kwajili ya MUNGU MUNGU akambariki utajiri mkubwa San uwe kwajili yake bro! Naye atakua kwajili yako sikuzote za maisha yako bro!

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      🙏🏾🙏🏾

  • @jamesfanuel4595
    @jamesfanuel4595 ปีที่แล้ว +6

    I PRAY FOR HIM

  • @WordsOfChristChannel
    @WordsOfChristChannel 10 หลายเดือนก่อน +1

    blessings bro

  • @suleimansuleiman8387
    @suleimansuleiman8387 ปีที่แล้ว +1

    poleni saana

  • @nkinzingabosamuel4854
    @nkinzingabosamuel4854 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendasana Mukrustu muzima, Jesus Christ bless u

  • @stephen9716
    @stephen9716 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @juliuskalawa7860
    @juliuskalawa7860 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @BENSONMWAISAKA-ze2ez
    @BENSONMWAISAKA-ze2ez ปีที่แล้ว +3

    Be blessed Jack i like the way you do God bless you Brother

  • @jamesfanuel4595
    @jamesfanuel4595 ปีที่แล้ว +2

    JACK YESU KRISTO AKUTUNZE katika kila jambo Uso wa MUNGU Uende nawewe ..
    AMEN MUNGU amuongoze huyo kaka

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Asante na Amina!

  • @ilalikilimo440
    @ilalikilimo440 ปีที่แล้ว +4

    Brother ungeeenda kwa yule demu pembeni ukamjuliee hali yakee na yeye..

  • @mkalimala3564
    @mkalimala3564 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen

  • @ezbonmworiathemaker4190
    @ezbonmworiathemaker4190 ปีที่แล้ว +2

    Doing such things will make this channel grow immensely.

  • @gaspermoko171
    @gaspermoko171 ปีที่แล้ว +1

    Mungu sikia kilio chake na umsaidie mtu wako huyu anaeita jina lako baba amina

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina!🙏🏾

  • @Benard-dt3gr
    @Benard-dt3gr ปีที่แล้ว +1

    Keep the good work going,I like your job bro,,soon we will meet am from kenya

  • @bashirmrisho8491
    @bashirmrisho8491 ปีที่แล้ว +3

    Stay blessed jack...u r very humble

  • @thomasmwasongwe7790
    @thomasmwasongwe7790 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka umefanya jambo ambalo akuna mtanzania aliewahi kulifanya America.umenifunza jambo hapo.

  • @OmbeniIbrahim
    @OmbeniIbrahim 3 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏

  • @astonmayengo8993
    @astonmayengo8993 ปีที่แล้ว +1

    👊

  • @vitusntahondi2240
    @vitusntahondi2240 ปีที่แล้ว +3

    Unafanya kazi nzuri Sana bro zidi kubalikiwa

  • @greengospelonlinetv172
    @greengospelonlinetv172 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Jack umefanya kazi njema sana huwa natazama Sana video zako. Kwa video hii leo nimebarikiwa sana kumbe wewe ni ndugu katika Kristo. Siku nikipata neema ya kuja USA lazima nikutafute. By Pastor Green. Tanzania Mbeya.

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Asante na Amina. Ubarikiwe pia!

    • @elvisoscar9912
      @elvisoscar9912 ปีที่แล้ว

      @@jackwausa mzee kwaiyo USA Tanzania awaijui au mana naona mwamba anaishia tu Ethiopia sema naipenda kazi yako mi Niko Houston Texas

  • @paulouma3958
    @paulouma3958 ปีที่แล้ว +1

    That's good 🙏

  • @Kidia-yt3bm
    @Kidia-yt3bm ปีที่แล้ว +4

    Huyo jamaa hapo pembeni mbona anakuna kwapa sana nini tena

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +2

      Huyo ni homeless (Mtu asiye na makazi), Usikute ana matatizo yake binafsi hapo alipo!

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 ปีที่แล้ว +1

      MSICHANA HUYO.

    • @slowclimbertothetop4572
      @slowclimbertothetop4572 ปีที่แล้ว

      Sindano

  • @ezekielmichael9431
    @ezekielmichael9431 ปีที่แล้ว +1

    Ammen kazi nzuri jina la bwana libarikiwe Tz

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina. Jina la Bwana liinuliwe!

  • @ashimuvitaav1643
    @ashimuvitaav1643 ปีที่แล้ว +2

    Kaka naomba ugusie maisha ya mabondia wahuko wale wadogo sababu mabondia wabongo maisha yetu nimagumu na tunaamini mabondia wa huko maisha yao nimazuri kuliko ya bongo naomba Kaka ili tushee uzuefu wao na changamoto pia

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Nitalifanyia kazi hilo!

  • @nizigiyimanalongin7011
    @nizigiyimanalongin7011 ปีที่แล้ว

    jambo zuri sana brother.

  • @evancezacharia434
    @evancezacharia434 ปีที่แล้ว +2

    Kazi nzuri ya kuhubiri NENO LA BWANA

  • @catherinewanguiwaruru8226
    @catherinewanguiwaruru8226 ปีที่แล้ว +2

    mungu akupatie nguvu ili usaidie wengi from Kenya

  • @jessicajoel6410
    @jessicajoel6410 ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahi kuona hii ✝🙏♥

  • @raychipanha1919
    @raychipanha1919 ปีที่แล้ว +1

    Umepiga bonge moja la kazi Yan umeua mbaya umefunika MUNGU akutangulie

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +3

    Nimeona uchungu sana huyu mkaka jinsi anavopata maumivu

    • @mophatsamwel6587
      @mophatsamwel6587 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri Sana mkuu Kwa izi video nilizo ziona Mimi ni tajiri mkubwa. Siku moja utembelee mahali wanapo patikana wamachinga.

    • @rashidikanyama2357
      @rashidikanyama2357 ปีที่แล้ว

      @@mophatsamwel6587 machinga

  • @marymwapiya1274
    @marymwapiya1274 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aachilie uponyaji juu yake kwa jina la Yesu kama anavyo amini

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina!🙏🏾

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 8 หลายเดือนก่อน

    Irakaka sizani😢kama huyu kaka amepona inawonekana amekuwa najaaa nyingi😢masikini

  • @redemtamkemwa8222
    @redemtamkemwa8222 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki unaonekana ni mtu wa kiroho kupitia hiki Mungu atakukumbuka

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 ปีที่แล้ว +1

    "what's your name ?"
    My name is "Jesus christ"

  • @mcno1noah
    @mcno1noah ปีที่แล้ว +1

    Well done brother your doing good work ilike that from Tanzania isalute you

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +3

    Ila USA wenye shida ya afya ya akili wengi sana

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla ปีที่แล้ว +1

      struggle za Maisha mzeee acha tu

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Huku wengi ni blacks na maforegner s

  • @zuberiwilson4947
    @zuberiwilson4947 ปีที่แล้ว +1

    Broo umenikosha kiukweli japo sielewi kingereza

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว +1

    Tena imekuwa ni vema tunaweza kuwaona wengi ambao wapo huko kwaaji yay maisha lkn hayakuwa km vile walivo dhania

  • @mohhamedhango7802
    @mohhamedhango7802 ปีที่แล้ว +2

    Jitahidi kutumia kiswahili mzee

  • @fikiriseleman3460
    @fikiriseleman3460 ปีที่แล้ว +2

    Tunajivunia wewe kuwa mtanzania.

  • @mosamossile9113
    @mosamossile9113 ปีที่แล้ว

    Ds matter which position where u r

  • @ndihokubwayoherman2473
    @ndihokubwayoherman2473 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed my friend that man he have suffering

  • @nkinzingabosamuel4854
    @nkinzingabosamuel4854 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh Brother love u from Rwanda Kigal, East frican, God bless u🙏

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 ปีที่แล้ว

    jamaa kwambali naona anapiga gitaa alosto

  • @jumamshana4639
    @jumamshana4639 ปีที่แล้ว +2

    UNA IG ACCOUNT MZEE?

  • @judithcha-mushala8852
    @judithcha-mushala8852 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe kwa kazi yako ya kuwaongoza sala ya TOBA, kazi yako si bure utalipwa kwa wakati

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Amina na Asante. Ubarikiwe pia!

    • @gaspermoko171
      @gaspermoko171 ปีที่แล้ว

      ​@@jackwausa mungu akuongoze katika hustle zako kaka hakika tunapitia mengi kama wanadamu lkn yupo mungu anayeweza yote amina

  • @hasozempingo5069
    @hasozempingo5069 ปีที่แล้ว +1

    kazi safi.tupeleke uswaz tuwacheki nduguzetu

  • @alfredaloyce6835
    @alfredaloyce6835 ปีที่แล้ว +1

    Good jobs God bless you my friend

  • @chriseliudi5111
    @chriseliudi5111 ปีที่แล้ว +1

    Asante saaaana bro for what you did to this brother

  • @davidlaidoson4038
    @davidlaidoson4038 ปีที่แล้ว

    Jack umekuwa mchungaji

  • @RachelFuiki
    @RachelFuiki ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭 I have no words to say.

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa ni mtu poa sana

  • @OscarJoshua-r6x
    @OscarJoshua-r6x ปีที่แล้ว +1

    Big respect my brother

  • @carolinemmary8338
    @carolinemmary8338 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli unafanya kazi nzuri sana ..

  • @reynaabduli5122
    @reynaabduli5122 ปีที่แล้ว +1

    GOD bless you bro🙏 uwe na moyo huo huo milele

  • @babianliza
    @babianliza ปีที่แล้ว +1

    May the lord of heaven touch u forever ad ever there ure lending hopeless homelss food prayers.

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amen and Thanks 🙏🏾

  • @NtumbaLume-ch3lj
    @NtumbaLume-ch3lj ปีที่แล้ว

    Unatoka kahama sehem gan

  • @judywarui8237
    @judywarui8237 ปีที่แล้ว +1

    Wow...this is so good for you my brother saving his soul for Christ...may you be blessed in Jesus Mighty name

  • @francisnjuguna5168
    @francisnjuguna5168 ปีที่แล้ว +1

    Good work sir . May Almighty God bless you Jack

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Amen and Thanks!

  • @machachehardware5975
    @machachehardware5975 ปีที่แล้ว

    Unahatari sana jack

  • @mosesdavid-vm5hk
    @mosesdavid-vm5hk ปีที่แล้ว +1

    Bro akili kubwa keep it up

  • @dianalyamuya4809
    @dianalyamuya4809 ปีที่แล้ว +3

    Amen Jack be bless more and more I love you

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      I love you too. God bless you!

    • @aishasaidi2205
      @aishasaidi2205 ปีที่แล้ว

      @@jackwausa wacha wee baba mchungaji nimekupenda hio🤭

  • @zebedayokawiche5949
    @zebedayokawiche5949 ปีที่แล้ว +1

    Jack brother be blessed

  • @heritier5119
    @heritier5119 ปีที่แล้ว

    Wengi ni mateja

  • @magrethuria2991
    @magrethuria2991 ปีที่แล้ว +3

    Well done bro 👏

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว +1

      Thanks ✌️

  • @VailettyShigerla-fw2sg
    @VailettyShigerla-fw2sg ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @tumainimchwa2773
    @tumainimchwa2773 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana kamanda naona unajitahidi sana kuwahubiri injili Yesu Kristo

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina na Asante!!

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw ปีที่แล้ว

    💪✌️❤️

  • @MAJALIWAIDAMA
    @MAJALIWAIDAMA ปีที่แล้ว +2

    GOOD JOB BRO MUNGU AKUBALIKI KWA KAZ HIYO

    • @jackwausa
      @jackwausa  ปีที่แล้ว

      Amina na Asante. Ubarikiwe pia!

  • @mohamedmwadin-ik4no
    @mohamedmwadin-ik4no ปีที่แล้ว +1

    God will bless him

  • @adamngande9628
    @adamngande9628 ปีที่แล้ว +1

    Ameen Ameen Ameen 🤲🤲🤲