Allah kasema hawatokua tayari mayahud na manaswara mpaka mfuate mila zao ndugu zang waislam utaratib wa kuaga mait umeanza lini wapi ipo hadithi ay aya ktk qur-an tusifanye chchte kwa kuamua ila kama alivyoagza mtume muhammad (saw) maisha yetu tufuate qur-an na hadith leo tumejisahau na hadithi sahihi imepokelewa na bi aisha (ra) yoyte mwenye kuongeza kitu ktk dini si miongon mwetu "innalillah wainnailayhi rajiun allahuma ghufirrana dhunubana wa allahuma ghfirahu waalhamhu waaskinhu filjannat"
Hutu ndio Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Angalia alivyo Mtu Watu, Baba Watu, Magufuli Mungu akulinde Rais wetu, Amen.
Allah kasema hawatokua tayari mayahud na manaswara mpaka mfuate mila zao ndugu zang waislam utaratib wa kuaga mait umeanza lini wapi ipo hadithi ay aya ktk qur-an tusifanye chchte kwa kuamua ila kama alivyoagza mtume muhammad (saw) maisha yetu tufuate qur-an na hadith leo tumejisahau na hadithi sahihi imepokelewa na bi aisha (ra) yoyte mwenye kuongeza kitu ktk dini si miongon mwetu "innalillah wainnailayhi rajiun allahuma ghufirrana dhunubana wa allahuma ghfirahu waalhamhu waaskinhu filjannat"
Sakina Juma yaan hapo inaonesha zahiri tumetawaliwa na mayahudi
huu ni mcba inna lillah wainna ilah rajiun
Pumzikeni kwa Aman!!! Nas Tunafuatia
😢dahaa dunia tunapita ee yarabi tujalie utukufu wa myoyosafi
amiin
Ina lillah waina illah rajiun
Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun
King majuto😭💔
Sura tuuu zinaonyesha mlisho jpm warivyo Kaha pamoja chui napaka
Rais kpenz cha watu
Yani kifo hakina mjanja. Hadi magu niliona akifuta machizi. Kumbe ana moyo wa huruma hivi 😢
Nguo za chama kwenye msiba Manake nn, mkubafu wa mwisho
fuatilia misiba yote wanayo udhuria chadema
Mr President
rais anataka kuwasalimia watu walinzi wanamzuia ndio nini sasa
Kwan hujamuona Mzee Obama alivyokuwa anakatazwa kusalimiana hata na viongozi wa hapa Tz?!!! muulize Anna mngwila RC atakusimulia
Jamani. Poleni
Ilikuwaje kwa upande wake kwani kiongozi,nielimishe nitambue?@@nbfchisotta3749